- 17
- 11 313
NITUME MIMI TV
Приєднався 8 жов 2022
"Katika zama hizi, punde kabla
ya ujio wa Kristo katika mawingu ya
Mbinguni, Mungu anaita watu watakaoandaa watu kusimama katika siku ile kuu ya Bwana. Kazi kama ambayo YOHANA alifanya, inapaswa kuendelezwa katika siku
hizi za mwisho. Bwana anatoa
jumbe kwa watu wake, kupitia
vyombo alivyoviteua, na
angependa kuona wote tukisikia makemeo na maonyo anayotuma. Ujumbe uliotangulia huduma ya
Kristo ulikuwa, Tubuni, Watoza
ushuru na wadhambi; Tubuni,Mafarisayo na Masadukayo; "kwa maana ufalme wa mbinguni u mlangoni." Ujumbe wetu haupaswi kuwa ule wa AMANI na SALAMA. Kama watu tunaoamini katika ujio wa Kristo ulio haraka, tuna ujumbe maalumu kuutangaza."-
"Jiandae kukutana na Mungu
wako." (4 SDA Bible
Commentary.1184.6)
ya ujio wa Kristo katika mawingu ya
Mbinguni, Mungu anaita watu watakaoandaa watu kusimama katika siku ile kuu ya Bwana. Kazi kama ambayo YOHANA alifanya, inapaswa kuendelezwa katika siku
hizi za mwisho. Bwana anatoa
jumbe kwa watu wake, kupitia
vyombo alivyoviteua, na
angependa kuona wote tukisikia makemeo na maonyo anayotuma. Ujumbe uliotangulia huduma ya
Kristo ulikuwa, Tubuni, Watoza
ushuru na wadhambi; Tubuni,Mafarisayo na Masadukayo; "kwa maana ufalme wa mbinguni u mlangoni." Ujumbe wetu haupaswi kuwa ule wa AMANI na SALAMA. Kama watu tunaoamini katika ujio wa Kristo ulio haraka, tuna ujumbe maalumu kuutangaza."-
"Jiandae kukutana na Mungu
wako." (4 SDA Bible
Commentary.1184.6)
JE, TUMWABUDU MUUMBAJI AU KIUMBE? : SEH 2.
Ukweli wa Biblia unaothibitisha kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu.
Переглядів: 322
Відео
SOMO:DUNIA KATIKA BONDE LA KUKATA MANENO. SIKU YA 1.
Переглядів 11814 днів тому
SOMO:DUNIA KATIKA BONDE LA KUKATA MANENO. SIKU YA 1.
SOMO:JE, TUMWABUDU MUUMBAJI AU KIUMBE? PART 1. SIKU YA 1.
Переглядів 7714 днів тому
SOMO:JE, TUMWABUDU MUUMBAJI AU KIUMBE? PART 1. SIKU YA 1.
TANGAZO LA MKUTANO WA INJILI. Tar 20-26 Oct 2024.
Переглядів 5414 днів тому
TANGAZO LA MKUTANO WA INJILI. Tar 20-26 Oct 2024.
UJUMBE WA MALAIKA WA 1 NA PAMBANO LA MWISHO.PART.1
Переглядів 3492 місяці тому
UJUMBE WA MALAIKA WA 1 NA PAMBANO LA MWISHO.PART.1
UMIZIMU WA KISASA NA PAMBANO LA MWISHO.
Переглядів 3736 місяців тому
UMIZIMU WA KISASA NA PAMBANO LA MWISHO.
UKWELI : DUNIA NA VYOTE VILIVYOMO VIMEUMBWA NA MUNGU KUPITIA MWANAE.
Переглядів 1507 місяців тому
UKWELI : DUNIA NA VYOTE VILIVYOMO VIMEUMBWA NA MUNGU KUPITIA MWANAE.
UNABII:HARAKATI ZA MPINGA KRISTO ZAFUNULIWA SEH. 2
Переглядів 1,4 тис.7 місяців тому
UNABII:HARAKATI ZA MPINGA KRISTO ZAFUNULIWA SEH. 2
UNABII: HARAKATI ZA MPINGA KRISTO ZAFUNULIWA.
Переглядів 2,1 тис.7 місяців тому
UNABII: HARAKATI ZA MPINGA KRISTO ZAFUNULIWA.
UNABII: DUNIA IMERUDIA DHAMBI ZILEZILE.
Переглядів 4,1 тис.8 місяців тому
"Lakini kama kulikuwa na moja ya DHAMBI juu ya nyingine iliyopelekea kuangamizwa kwa jamii ya mwanadamu kwa GHARIKA,ilikuwa uovu mkuu wa kuchanganya VINASABA vya MWANADAMU na MNYAMA ili kutengeneza kiumbe kingine ambapo MFANO WA MUNGU uliharibiwa,na kusababisha machafuko kila mahali.Mungu alikusudia kuharibu kwa gharika kizazi hiki chenye nguvu,kilichoishi muda mrefu ambacho kiliharibu njia zak...
UNABII DANIELI 2 NA MATUKIO YA SIKU ZA MWISHO.
Переглядів 1878 місяців тому
Unabii Danieli sura 2 na Matukio ya Siku za Mwisho.
SOMO: DUNIA KATIKA MIZANI YA WAKATI WA GHARIKA; WAKATI WA SODOMA NA GOMORA.
Переглядів 1889 місяців тому
SOMO: DUNIA KATIKA MIZANI YA WAKATI WA GHARIKA; WAKATI WA SODOMA NA GOMORA.
SIRI YA MPANGO WA UKOMBOZI YAFUNULIWA:
Переглядів 1359 місяців тому
SIRI YA MPANGO WA UKOMBOZI YAFUNULIWA:
Nashukuru watumishi kwa ujumbe
Amina watumishi
Amina Mungu azidi kuwatia nguvu kazi yake ifanyike kwa bidii pasipo kuchoka na kukata tamaa.
Mubarikiwe sana watumishi
Amina mtu wa Mungu, tufanye kazi ya Mungu kungali kuna nafasi.
@@khomeshapaul5470Amina, iyi ndiyo injili ya kweli ya uzima wa milele.
Mbarikiwe sana
Ubarikiwe sana mjoli
Mbarikiwe sana wapendwa 🙏🏾
Ubarikiwe sana
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Amani na Bwana iwe kwenu watumishi wa Mungu
❤❤ubarikiwe sana mtu wa Mungu
Barikiwa sana mjoli Injili iende mbele 👏🏾👏🏾 Mungu awatie nguvu zaidi
Amina mjoli, kazi ya Mungu inasonga mbele.
ASANTE SANA MUNGU AKUBARIKI SANA
Mambo safi
Ombi la magoti pekee ndilo hufika mbinguni
Piga magoti unapoomba. Ombi lilopigwa magoti sio la baba wa mbinguni
Mungu akubariki mutumishi.
Amna lolote mnatapatapa tuu
Amina
Biblia ikowazi kabisa, watu walidanganywa siku nyingi sana, Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana
Amen
Amen mutumishi wa mungu kwamafundisho manzuri enderea kutuamsha
kazi Nzuri Mungu atukuzwe
Amina wajoli, tusonge mbele kuujenga ufalme wa Mungu.
Barikiwen wajoli
Amen
Amina
Amina watumishi,mbarikiwe napenda mafundisho yenu, nafuatilia kutoka nchi jirani
Amina ndugu, tuzidi kubarikiwa na Mungu wetu na tuimarishe mahusiano yetu na Mungu ili tufae kuwa raia wa ufalme wake.
Dah tunako elekea
Ujumbe mzuri .kutoka mombasa kenya
Mungu atukuzwe injili idhidi kusonga mbele
Ubarikiwe mtumishi
Mwenyezi Mungu atusaidie saana, bila mkono wa Mungu hatuwezi
Amen mjoli
Safi sana mbarikiwe kwa kutoa ujumbe wake yeye aliye juu
Mungu akubariki sana Mjoli
Mubarikiwe sana ndugu zangu
Asante
Amina mnapatkana wapi wajoli?
Tunapatikana Kagera mjoli.
Asant sana mjoli
Amina mjoli, tuzidi kusonga mbele kwa neema ya Mungu.
Akina, Barikiwa sana
Barikiwa kaka
Amina wajoli, tuzidi kubarikiwa.
Barikiwa sana
Mungu awabariki sanaa
Majitu hayakuzaliwa na mwanamke??????
"Lakini kama kulikuwa na moja ya DHAMBI juu ya nyingine iliyopelekea kuangamizwa kwa jamii ya mwanadamu kwa GHARIKA,ilikuwa uovu mkuu wa kuchanganya VINASABA vya MWANADAMU na MNYAMA ili kutengeneza kiumbe kingine ambapo MFANO WA MUNGU uliharibiwa,na kusababisha machafuko kila mahali.Mungu alikusudia kuharibu kwa gharika kizazi hiki chenye nguvu,kilichoishi muda mrefu ambacho kiliharibu njia zake mbele za Mungu.Asingeliwaacha waishi siku nyingi za maisha yao ya kawaida,ambayo ingelikuwa mamia ya miaka.Vilikuwa vizazi vichache nyuma ambapo Adam alikuwa na ruhusa ya kuufikia mti wa uzima.Baada ya kutokutii kwake hakuruhusiwa kula katika mti wa uzima na kuishi milele katika dhambi.Ili mwanadamu aishi milele alitakiwa kula matunda ya mti wa uzima.Kwa kuzuiliwa mti huo maisha yake yangelikuwa mafupi".3SG 64.1
"Viumbe hawa Mungu aliwaangamiza kwa Gharika maana uovu ulizidi juu ya dunia kila kitu alichokuwa anakiwaza mwanadamu ni kiovu tu,mwanadamu alijiharibu. "Kila jamii ya wanyama ambao Mungu aliwaumba walihifadhiwa ndani ya Safina.Jamii(species) ambayo ilikuwa imechanganyikiwa ambayo Mungu hakuiumba,ambayo ilikuwa ni matokeo ya kuchanganya VINASABA(jamii moja tofauti na jamii nyingine),ziliharibiwa na gharika"...3SG 75.2
Barikiwa Mjol 🙏
Amina mjoli.