- 186
- 62 379
Maendeleo TV
Tanzania
Приєднався 24 лис 2019
This is an official page of National Development Corporation (NDC) that oversees development ventures under NDC.
TAARIFA ZA MSEMAJI || HAMASA NI KUBWA UHAKIKI WA TAARIFA FIDIA ENGARUKA
Wanakijiji wa vijiji vya Engaruka Chini na Irerendeni, Monduli mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi kuhakiki taarifa zao kwa ajili ya kulipwa fidia takriban bilioni 14.4 za Kitanzania ili kupisha utekelezaji wa mradi wa Magadi Soda wa Engaruka, uliopo mkoani Arusha.
Uhakiki huo wa taarifa za walipwa fidia unafanywa na maafisa kutoka shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Wathamini kutoka Wilaya ya Monduli na Maafisa kutoka Serikali ya Wilaya na Vijiji.
Uhakiki huo wa taarifa za walipwa fidia unafanywa na maafisa kutoka shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Wathamini kutoka Wilaya ya Monduli na Maafisa kutoka Serikali ya Wilaya na Vijiji.
Переглядів: 55
Відео
TAARIFA ZA MSEMAJI || WANAVIJIJI IRERENDENI NA ENGARUKA CHINI WAPEWA ELIMU KUHUSU FIDIA ENGARUKA
Переглядів 5014 годин тому
Wanavijiji vya vijiji vya Engaruka Chini na Irerendeni, Monduli mkoani Arusha wamepatiwa elimu ya matumizi bora ya fedha takriban bilioni 14.4 za Kitanzania wanazotarajia kulipwa ili kupisha utekelezaji wa mradi wa Magadi Soda wa Engaruka, uliopo mkoani Arusha. Elimu hiyo imetolewa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa kushirikiana na wadau wengine kama; CRDB na NMB, Uongozi wa Wilaya ya M...
TAARIFA ZA MSEMAJI || WANAKIJIJI MBAASH WAPEWA ELIMU KUHUSU FIDIA ENGARUKA
Переглядів 124День тому
Wanakijiji wa kijiji cha Mbaash kilichopo Kata ya Selela, Monduli mkoani Arusha wamepatiwa elimu ya matumizi bora ya fedha takriban bilioni 14.4 za Kitanzania wanazotarajia kulipwa ili kupisha utekelezaji wa mradi wa Magadi Soda wa Engaruka, uliopo mkoani Arusha. Elimu hiyo imetolewa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa kushirikiana na wadau wengine kama; CRDB na NMB, Uongozi wa Wilaya ya...
NEEMA YAWATEMBELEA WAMAASAI || KULIPWA FIDIA MRADI WA MAGADI SODA ENGARUKA
Переглядів 48514 днів тому
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amekutana na wananchi wa Engaruka katika zoezi la uhamasishaji kuelekea ulipaji wa fidia kwa wakazi wa maeneo ambapo Serikali inatarajia kulipa kiasi cha shilingi bilioni 14.4 kwa wananchi wanaotarajia kupisha utekelezaji wa mradi wa maendeleo wa Engaruka, Monduli-Arusha. Dkt. Jafo amesisitiza dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita kuhakikisha fi...
TAARIFA ZA MSEMAJI || MKURUGENZI WA NDC ZIARANI NCHINI CUBA
Переглядів 1612 місяці тому
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Dkt. Nicolaus Shombe amezindua dawa ya kupambana na ugonjwa wa kisukari, inayozalishwa na kiwanda cha Labiofam cha nchini Cuba. Hafla hiyo imefanyika wakati wa Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Havana - Cuba yanayofanyika kwa siku 4, kuanzia tarehe 4 mpaka 9 Novemba, 2024. "Nawapongeza Labiofam kwa hatua hii kubwa," alisema...
DKT GRACE TUTAKUKUMBUKA || WAFANYAKAZI WA NDC TUNAKULILIA
Переглядів 5074 місяці тому
Dkt. Grace Aloyce Msele alikua ni mke, mama, rafiki ila juu ya yote alikua ni mfanyakazi mwenzetu, Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) akiwa kama Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti na Mipango. Dkt. Grace hakuwa Mkurugenzi tu bali rafiki wa wengi, mcheshi, mwenye utu na upendo kwa wafanyakazi wenzake. Ni vigumu kueleza yale mema aliyoyafanya. Kipindi cha uhai wake, Dkt. Grace alituachia ujumbe wa ma...
TAARIFA ZA MSEMAJI || RAIS SAMIA AWEKEZA BILIONI 4.8 KIWANDA CHA VIPURI - KMTC
Переглядів 914 місяці тому
Mpendwa mtazamaji, Unaweza kufuatilia vipindi na taarifa mbalimbali kutoka Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kupitia mitandao ya kijamii ya; Instagram: @ndctanzania Facebook: @ndctanzania LinkedIn: @ndctanzania X: @ndctanzania Pia unaweza ukatembelea tovuti yetu; www.ndc.go.tz JIUNGE NASI KUIJENGA TANZANIA YA VIWANDA || YAJAYO NI NEEMA
WAJUZE WAJUE || NDC NI SHIRIKA LA WATANZANIA
Переглядів 2094 місяці тому
Mpendwa mtazamaji, Unaweza kufuatilia vipindi na taarifa mbalimbali kutoka Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kupitia mitandao ya kijamii ya; Instagram: @ndctanzania Facebook: @ndctanzania LinkedIn: @ndctanzania X: @ndctanzania Pia unaweza ukatembelea tovuti yetu; www.ndc.go.tz JIUNGE NASI KUIJENGA TANZANIA YA VIWANDA || YAJAYO NI NEEMA
TAARIFA ZA MSEMAJI || CHUMA KUCHIMBWA TANZANIA
Переглядів 2,3 тис.5 місяців тому
@ndctanzaniatz Inakuletea kipindi cha Taarifa za Msemaji ambapo utafahamu utekelezaji na faida za mradi wa kuchimba chuma wa Maganga Matitu uliopo wilayani Ludewa mkoani Njombe.
MAFUNZO YA MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
Переглядів 765 місяців тому
Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), wamepata mafunzo ya 'Client Service Chatter' Mafunzo haya yamewaongezea watumishi wa NDC ujuzi na uelewa wa namna ya kuwahudumia wateja na wadau mbalimbali wanaolisaidia Shirika kutekeleza majukumu yake ya ujenzi wa Taifa.
HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA DOLA MILIONI 77.45 ZA UCHIMBAJI CHUMA CHA MAGANGA MATITU - NJOMBE
Переглядів 1,6 тис.5 місяців тому
Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) linaingia makubaliano na kampuni ya Fujian Hexingwang Co. Limited kwa ajili ya uchimbaji Chuma Ghafi cha Maganga Matitu, mradi uliopo Ludewa mkoani Njombe.
JAFO AIPONGEZA NDC UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KIMKAKATI
Переглядів 1335 місяців тому
JAFO AIPONGEZA NDC UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KIMKAKATI
JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUTOKOMEZA MALARIA
Переглядів 856 місяців тому
JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUTOKOMEZA MALARIA
TAARIFA ZA MSEMAJI || UNAKULA MBOGA BILA SUMU, TPBL KIBOKO YAO
Переглядів 346 місяців тому
TAARIFA ZA MSEMAJI || UNAKULA MBOGA BILA SUMU, TPBL KIBOKO YAO
TAARIFA ZA MSEMAJI || VIPURI VYA TRENI VINAZALISHWA TANZANIA,
Переглядів 4066 місяців тому
TAARIFA ZA MSEMAJI || VIPURI VYA TRENI VINAZALISHWA TANZANIA,
NDC MKOMBOZI WA VIWANDA || KUINUA UCHUMI WA TAIFA
Переглядів 2646 місяців тому
NDC MKOMBOZI WA VIWANDA || KUINUA UCHUMI WA TAIFA
TAARIFA ZA MSEMAJI || UTAFITI UNAENDELEA MCHUCHUMA
Переглядів 696 місяців тому
TAARIFA ZA MSEMAJI || UTAFITI UNAENDELEA MCHUCHUMA
TAARIFA ZA MSEMAJI || TBPL MBIONI KUZINDUA VIUATILIFU
Переглядів 986 місяців тому
TAARIFA ZA MSEMAJI || TBPL MBIONI KUZINDUA VIUATILIFU
KENYA WAKUBALI HARAKATI ZA TANZANIA || YANUNUA VIUADUDU KUTOKA TBPL
Переглядів 6 тис.7 місяців тому
KENYA WAKUBALI HARAKATI ZA TANZANIA || YANUNUA VIUADUDU KUTOKA TBPL
LIGANGA NA MCHUCHUMA KUANZA || SAMIA ASISITIZA
Переглядів 1,9 тис.8 місяців тому
LIGANGA NA MCHUCHUMA KUANZA || SAMIA ASISITIZA
BABU ALIYEDUMU NDC - TAWALA MBALIMBALI HADI SAMIA || MIAKA 37 YA UTUMISHI ULIOTUKUKA
Переглядів 3359 місяців тому
BABU ALIYEDUMU NDC - TAWALA MBALIMBALI HADI SAMIA || MIAKA 37 YA UTUMISHI ULIOTUKUKA
KMTC YAFUFULIWA NA SAMIA || MIAKA MITATU YA SAMIA
Переглядів 18510 місяців тому
KMTC YAFUFULIWA NA SAMIA || MIAKA MITATU YA SAMIA
SAMIA AFUFUA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA || MIAKA MITATU YA SAMIA
Переглядів 68610 місяців тому
SAMIA AFUFUA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA || MIAKA MITATU YA SAMIA
NDC TUNA SHEREHEKEA MIAKA 3 YA SAMIA SULUHU HASSAN
Переглядів 22410 місяців тому
NDC TUNA SHEREHEKEA MIAKA 3 YA SAMIA SULUHU HASSAN
WABUNGE WAKOSHWA NA KIWANDA CHA KMTC
Переглядів 29810 місяців тому
WABUNGE WAKOSHWA NA KIWANDA CHA KMTC
Kama malaria itabaki tz hii inamaanisha wewe mtz hujitambui umuhimu wa kununua hiyo dawa.
Hawa bila sisi hawatoboi kingeleza fake nyiiingi mdomo mwingi Tanzania ndio baba lao
Congratulations TZ.
Asante ndugu zetu wakenya sisi ndio wenzenu wazungu ni watalii tu!!!
Serikali inatakiwa ijenge viwanda vya chuma hapa hapa Tanzania
Tunatakiwa kijenga viwanda vya chuma Tanzania
Naomba namba za customer care na hitaji mpira
Mnapo amua kuhamiaha mali zetu kuwapa watu wanje mfanye kimya kimya inatuima sana)( hivi hiyo bilioni 220 ili mchimbo ya kwanza itabidi wachukue wao na faida juu na ninani atase mm a wekezaji imetosha mlicho chukua mtuachie sasa)( inauma sana mngempa muwezaji mzalendo achimbe isinge wezekanaa)( kwa hiyo sisi kaxi yetu kusoma tuu sio kuif as nyia kazi tulicho ki soma h as ya tutabaki na mm shimo matupu kama kongo na a zambia
Wanasema tusome hafu tujiajiri Sasa sijui tujiajiri Kwa lipi kama fursa zote wanawapa wageni
Mkisha chimba mtaweka stoo ya tz au utawalipa ao wachina na kusema ilikuwa upembuzi yakinifu ja mkatafuta muwekazi mingine)( au ndo mtahamisha kama wanavyo hamisha makaa ya mawe kule luanda Amana makolo)( walikuwa wakisema hivyo hivyo mtapata ajila misitu aitakatwa
Safi sana kenya kusema ukweli sijawahi sikia kenya kuja nunua bidhaa za wiwanda tz,kwa vyakula na mbao hii kilà siku shavu ,mm nawapenda sana wakenya wakarimu sana,
Huwafahamu kabisa. Ukarimu?
Nakuamini Doto Biteko
Una muamini Kwa lipi Kwa kufanikisha mnada au?
Utakuja shangaa Tanzania itabaki na malaria lakini majirani wakawa hawana na dawa ipo huku.
Dawa hazitolewi bure hio ni biashara
The process of mining iron and refining it into finished steel involves several steps, each essential to transforming raw iron ore into a usable metal. Here’s a breakdown of the steps: 1. Mining of Iron Ore Iron ore is extracted from the earth through open-pit or underground mining. The ore is typically found as hematite (Fe₂O₃) or magnetite (Fe₃O₄). Once extracted, the ore is transported to processing facilities. 2. Crushing and Grinding The iron ore is crushed into smaller chunks and then ground to a fine powder. Crushing and grinding help to increase the surface area, making the ore easier to process in the following steps. 3. Concentration or Beneficiation The crushed ore is subjected to beneficiation, which involves removing impurities (such as silica and alumina) to increase the iron content. Techniques include magnetic separation and flotation, where the iron particles are separated from other minerals. 4. Pelletizing or Sintering The concentrated iron ore is often processed into pellets or sinter (small iron ore lumps) to improve efficiency in the blast furnace. Pellets or sinter improve permeability, reducing energy consumption and enhancing productivity during the smelting process. 5. Smelting in a Blast Furnace The processed ore is mixed with coke (a carbon-rich material) and limestone and fed into a blast furnace. In the blast furnace, a series of chemical reactions occur as hot air is blown in, reducing the iron ore into molten iron (called pig iron) by removing oxygen. The limestone acts as a flux, helping to remove impurities by forming slag, which floats on top of the molten iron. 6. Refining Pig Iron to Steel The molten pig iron contains high levels of carbon and other impurities, making it brittle. It is refined into steel by reducing these impurities. There are two main methods of steel production from pig iron: a. Basic Oxygen Furnace (BOF): - Oxygen is blown into the molten pig iron to oxidize excess carbon and impurities. - This process is quick, producing high-quality steel with controlled carbon content. b. Electric Arc Furnace (EAF): - Scrap steel and pig iron are melted using high-voltage electrical arcs, reducing impurities. - This method is energy-efficient and commonly used for recycling steel. 7. Secondary Refining The steel may undergo further refining to meet specific quality and alloy requirements. Elements like manganese, nickel, chromium, and vanadium can be added to adjust the properties of the steel for desired strength, corrosion resistance, or malleability. Processes like ladle refining, degassing, and stirring help ensure a homogenous composition. 8. Casting The molten steel is then cast into various forms, such as slabs, blooms, or billets, depending on the intended end use. Continuous casting is the most common method, where molten steel is poured into a mold to create a continuous strand that is cut to the desired length. 9. Hot and Cold Rolling After casting, the steel undergoes rolling to achieve specific dimensions and surface finishes. Hot rolling: Steel is rolled at high temperatures to produce sheet, bar, or structural forms. Cold rolling: Further processing at room temperature improves surface finish, strength, and dimensional accuracy. 10. Finishing and Coating Depending on the application, the steel may be further processed, including heat treatment, galvanizing (zinc coating), or applying other protective coatings. These processes enhance durability, appearance, and resistance to corrosion.
Tanzania is the hub of Africa
Watakubalii tuu muda unakuja😅
Mtu wa kazi unalipa watu elfu nane kwa masaa 10. Hafu unajiita mtu wa kazi
Kwa mchina kuna ajira za uhakika Kwani? muwe mna tanguuliza watoto wenu kwanza ndio mjue kua hizo ni ajira au vipi?
😂😂😂😂😂tafadhali nakuomba nikupe cheti cha udakitari/mzalendo
Kijana Mbona Hueleweki??Hatuchimbi Chuma ,Tunachimba Chuma Ghafi (Iron Ør).Je Mnacho Kiwanda Cha Kuyeyushia Chuma???
mbona tz hatumii
Tunauuza sumu tunanunua sumu
Oh!! polen Sana ndugu zangu
😮 propaganda
Wakenya ni Wabishi sana, mpaka Wabaanweee sana Ndio wanakubali.
Hebu tumia akili,hivi Kuna ubaya gani inchi mbili majirani kufanya biashara baina yetu?Hebu Rudi shule ukapate japo elimu ya msingi Acha aibu ndogo ndogo mtandaoni
Hiyo bilioni 220 hizo serikali inashindwa wekeza na kumiliki mgodi asilimia 100?...kwann kila kitu mwekezaji na sisi tunajiita Wajamaa!!
Halafu soko wanalijua?,
ILA CCM INATUFELISHA SANA. Naandika Kwa masikitiko makubwa mno yaani vitu ambavyo vimefanywa miaka ya nyuma (1300) Huko China na (1650) na wenzetu wa ulaya. Kesho kutwa 2/8/2024 viongozi wa CCM. Wanaenda kusaini mikataba huko mundindi Ludewa Kwa ajili ya uchimbaji wa madini hayo na uchakataji na bila shaka ni kampuni ya kichina na Wamefanya hivyo Bila hata ya kuwapa nafasi wazawa Wenda wakapata kufunguka kwa kuwa njia ya uchukuzi/barabara inakwenda kukamilika na sijui wanafanya hivi kabla ya hata barabara kukamilika ili kuwawahi wa Tz au laaa sijui yaani. Mimi navyo fahamu uchimbaji wa madini na uchakati wa madini ya chuma na makaa ya mawee huko liganga ulisubiri tuu barabara Kwasababu haitaji teknolojia ya hali juu sana. Kutokana teknolojia ya hali inatumika pale ambapo makaa ya mawee yanakua gharama ndio hapo utahitaji tanuli la upepo wa moto (blast furnace). Lakini Kwa upande wa ludewa makaa ya mawe yapo jirani hivyo unaweza anza hata Kwa tanuli ndogo kabisa na za kawaida na kuna mwenzetu huko ludewa Mzee Kisangani kasha jaribu na alitegemeea vijana wengine kama 200 waingie. Mimi pia nilitegemea makundi ya vijana wadogo na wa makamo kutoka pande zote za nchi wakiwamo (wasomi, mafundi, wajasiriamali na etc) wataungana pamoja na Mzee Kisangani pindi tu barabara itakapo kamilika watakwenda kufanya Moja Kwa Moja shughuli zilipo kwenye makaa ya mawee na chuma sio kuwa manamba, sijui mama ntilie, kwenye eneo la mradi ambao ni wa mchina kwenye nchi Yao wenyewe. Mm nilifikiri kuwa ludewa ndo itakua ndio sehemu sahihi. Ambapo vijana wa nchi hii watapatia mitaji na uzoefu katika sector ya viwanda Kwa kuwa ndio sehemu pekee ambapo makaa ya mawee na madini ya chuma vipo karibu. Hivyo itawarahishia vijana kuanza chini Kwa kuwa ndio sehemu pekee ambapo makaa ya mawee na madini ya chuma vipo karibu. Hivyo itawarahishia vijana kuanza chini Kwa teknolojia ya kawaida na kukua na kupata teknolojia kubwa ambayo itawasaidi kwenda kuwekeza kwenye maeneo ambayo yatahitaji teknolojia na mitaji Mikubwa. Swali Sasa CCM Leo hii mnaamua kuwapa wa wachina mali tuliyopewa na mwenyezi mungu ambayo ni rahisi hata kwetu sisi kudeal nazo ila man aka kumpa mchina tena Kwa mvutano sana ambapo mchina anataka faida kuliko uwekezaji. Je na hayo maeneo mengine ambako ni kugumu mtampa mchina mta yaacha alidhini. Mm nilifikiri wachina wamepewa fursa kwenye uwekezaji wa viwanda lakini kwenye malighafi anapewa mtanzania. Kwa maana nimeona viwanda pale makambako vinajengwa na nimeambiwa Nivya vyuma mm nilijua labda mnasogeza wawekazaji ila kule ludewa vijana wa Tz waanze kazi. View: ua-cam.com/video/MRGEoW9YI6U/v-deo.htmlsi=QtIAEorUKSofnfNh
Super program ❤
Shukran sana, karibu utazame video nyingine kutoka NDC
Machine tools muongeze bidii uwekezaji ni mkubwa sana ila tija ni ndogo
Shukran kwa ujumbe wako
NDC to the world 🎉
NDC 🔥🔥🔥🔥
Looking good follow back done God bless you ❤🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷💖💖💖💖💪
Ni haki yenu hiyo tena serikali imewakosea kuchelewesha kuwalipa haki zenu
Aiseeeeeeeh nimeipenda sana 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
My lovely Daddy
Hongera sana baba, hakika ulijua kulipambania shirika la NDC na familia yako kwa ujumla. Sisi wanao tunakuombea maisha marefu zaidi ili uzidi kutufundisha namna ya kuwa bora ktk utendaji kazi mahali pa kazi. We love you ❤
Hongera Sana baba yetu, We're so proud of you Hesabu (Numbers) 6:24-26
Hongera sana mzee wangu kwa kufanya kazi kwa muda MREFU tunashukuru sana MUNGU WETU MWEMA kwa kukufikisha hapa BABA Yangu hongera sana wewe ni wa mfano sana tunakuombea afya njema katika maisha yako ya ustaafu
My daddy🎉🎉
Our baba ❤❤❤❤
Trekta mbovu hizi watu wanajuta
Trekita cyo imara hilo
Kama namimi nataka biashara taratibu zikoje ndc
Namba zenu naitaji
Nimeipenda zamani kwa mteja nini
Habari, kwa sasa hatuna tena mradi wa matrekta
Tanzania bila malaria inawezekana viuwadudu ndio suluhisho nimetumia na mbu kwangu wameisha Ni nzuri sana nawashauri watanzania tuitumie kwa wingi
Hongera sana
Mtu binafi anatakiwa afanye nini ili anunie mkaa
Unawasiliana na kampuni zinazo chimba ili mfanye biashara
Kama kunahalimashauli inapinga watumiwake wafukuzwe
Jamani selekali tusaidieni watanzania maana tunakufa sana maana pole pole amesema inawekana
Hili nalo ni TREKTA au Upuuzi...Mnaibia Wananchi Matrekta mabovu yanatesa sana Watu
Tulimeni hili zao tuachane na zao la mipera ambalo halina faida
Kihamasishwe hichi kilimo
hongera sana NDC
Kampuni yenu imekaa kiupigaji zaidi kuliko kuiletea maendeleo nchi hasa wananchi wazawa, Its None sense na saivi tunaona vikampuni vya kiupigaji vinazidi kuja eti CCM bandari kavu, wakati wa Magufuli hizi kampuni zilikuwa wapi??