Hyp Tunes
Hyp Tunes
  • 506
  • 3 525 940
Alizunguka Lyrics by Christ Followers Ministers
Alizunguka by Christ Followers Ministers✔
SONG LYRICS
STANZA 1
Alizungukazunguka miji na vijiji
akitangaza neno
kwao maskini na matajiri wote
wapate kumjua Mungu
na kuwafunulia siri kuu
ya ufalme wa Mungu utakaokuja
kwa walosikia walipata uponyaji mkuu ×2
CHORUS
Sisi ni mabalozi wake Kristo
tutangaze habari njema
kwa kila lugha tuwaonyeshe pendo lake
wapate kumjua Mungu
asili yako Mkristo ni gani
je wawatenga wengine kanisani
wawabagua watu wengine
badili mienendo yako ×2
STANZA 2
Upendo huvumilia upendo huhifadhi
upendo hauhesabu mabaya
haufurahi udhalimu
Bali hufurahi pamoja na kweli
tuzidi Kwa pamoja
ndipo sisi tutabarikiwa ×2
CHORUS
Sisi ni mabalozi wake Kristo
tutangaze habari njema
kwa kila lugha tuwaonyeshe pendo lake
wapate kumjua Mungu
asili yako Mkristo ni gani
je wawatenga wengine kanisani
wawabagua watu wengine
badili mienendo yako
Full Written Lyrics Here :
Official Video: ua-cam.com/video/jRmTpOh43g0/v-deo.html
WhatsApp Channel : whatsapp.com/channel/0029VanzTS8G8l5HOxhjTh2A
THIS VIDEO IS FOR PROMOTIONAL USE ONLY.
THIS CHANNEL IS NOT MONETIZED BECAUSE WE HAVE POSTED A LOT OF MUSIC THAT IS NOT OURS.
All credits goes to the rightful owner.
WE STRICTLY HAVE NO OWNERSHIP RIGHTS TO THIS MUSIC
🔔 Turn on notifications to stay updated with new uploads! Subscribe for more Videos.
🟡Hyp Tunes: Follow Here👇 and Subscribe for More Lyrics
🔴UA-cam: www.youtube.com/@hyptunes
💲💲Support Us: buymeacoffee.com/hitsmusic
⏸⏹Send your Submissions to: hyptunes.main@gmail.com⏮⏮
All credits goes to the rightful owner.
WE STRICTLY HAVE NO OWNERSHIP RIGHTS TO THIS MUSIC
⭐No copyright infringement intended / Don't reupload
💌hyptunes.main@gmail.com💌
IF WE HAVE UPLOADED YOUR SONG AND YOU WANT US TO DELETE IT.
PLEASE CONTACT US ON EMAIL AND WE WILL DELETE IT IMMEDIATELY
#hyptunes #lyrics
Переглядів: 1

Відео

Chukua Udongo Lyrics by Redemption Ministers
Переглядів 292 години тому
Chukua Udongo by Redemption Ministers✔ SONG LYRICS STANZA 1 Chukua udongo tena udongo tena Bwana kama vile shambani Edeni tengeneza tope kama kwa kipofu kaufinyange tena moyo wangu Bwana kuta zilizobomoka simamisha tena umba tena mawazo yangu Bwana niwaze ya mbingu tu e Bwana Bwana finyanga umba tena Kama zamani ×2 CHORUS Nilipobomoka, Bwana umba tena viganjani mwako nigeuze tena yachunguze mia...
Lutu Lyrics by Christ Followers Ministers
Переглядів 122 години тому
Lutu by Christ Followers Ministers✔ SONG LYRICS STANZA 1 Kimbia uende mlimani ewe Lutu na familia yako maana ghadhabu yake Bwana itawaka jua ya Sodoma na Gomora hakika hakuna hata mmoja atakayenusurika na Lutu akawa mgumu kwa malaika wa Bwana akasema kwamba hakika mmenisaidia kwa kuponya nafsi yangu pamoja na familia yangu lakini siwezi kukimbia hadi mlimani niruhusuni niende pale kuna mji mdog...
Kanani | Canaan Lyrics by Christ's Vessels Ministers
Переглядів 152 години тому
Kanani | Canaan by Christ's Vessels Ministers✔ SONG LYRICS STANZA 1 Tumeondoka kwenda Kanani hakuna kurudi Misri tena Kanani nyumbani kwetu pazuri hatutaangalia nyuma tena kama mke wa Lutu tutachuchumilia wokovu wetu tuwe wakamilifu kuishi Kanani nyumbani Tumeondoka kwenda Kanani hakuna kurudi Misri tena Kanani nyumbani kwetu pazuri hatutaangalia nyuma tena kama mke wa Lutu tutachuchumilia woko...
Mterehemezi Lyrics by Sifu Gospel Ministers
Переглядів 122 години тому
Mterehemezi by Sifu Gospel Ministers✔ SONG LYRICS Ni kwa muda tu shida za dunia zitapita tusikate tamaa japo safari imezidi kuwa ngumu magumu tunayopitia Yesu ndiye suluhisho kwa maisha yetu Amini kwake yeye mwaminifu atatatua shida zetu zote tukifika ng'ambo ya mto machozi yatafutwa Full Written Lyrics Here : kenyatrends.co.ke/mterehemezi-lyrics-by-sifu-gospel-ministers/ Official Video: ua-cam...
Nyumbani Mwa Baba Lyrics by Msanii Music Group
Переглядів 152 години тому
Nyumbani Mwa Baba by Msanii Music Group✔ SONG LYRICS Nyumbani Nyumbani mwa Baba hakuna changamoto kama duniani Nyumbani mwa Baba ni furaha tele Hakuna giza hakuna jua la moto Nyumbani mwa Baba hakuna kazi ni mapumziko Full Written Lyrics Here : kenyatrends.co.ke/nyumbani-mwa-baba-lyrics-soft-life-by-msanii-music-group/ Official Video: ua-cam.com/video/qJG9TCc15EE/v-deo.html WhatsApp Channel : w...
Nitauimba Wimbo Lyrics by Maombi Samson
Переглядів 1,7 тис.21 годину тому
Nitauimba Wimbo by Maombi Samson✔ SONG LYRICS Nitauimba wimbo huu wimbo ulio wa kusifu roho nzito ya huzuni iwe huru Taendelea kwa sifa iliyobeba siri kwamba kwa Yesu kuna uhuru nitazizima sauti zinazovuta watu kwa shimo la kukata tamaa kwa wimbo mtamu wa furaha anakuja upesi kwa ajili yangu nawe Full Written Lyrics Here : kenyatrends.co.ke/nitauimba-wimbo-lyrics-by-maombi-samson/ Official Vide...
BEST SDA MIX 2024 | HypTunes Episode 017 | SDA MIX PLAYLIST | Weekly Mix | Lindo Mix-The Lighthouse
Переглядів 16714 днів тому
BEST SDA MIX 2024 | HypTunes Episode 017 | SDA MIX PLAYLIST | Weekly Mix | Lindo Mix-The Lighthouse✔ Find Official Videos on the Official Channel of Each Choir✔ WhatsApp Channel : whatsapp.com/channel/0029VanzTS8G8l5HOxhjTh2A THIS VIDEO IS FOR PROMOTIONAL USE ONLY. THIS CHANNEL IS NOT MONETIZED BECAUSE WE HAVE POSTED A LOT OF MUSIC THAT IS NOT OURS. All credits goes to the rightful owner. WE ST...
Mary Did You Know Lyrics by Don Moen
Переглядів 10014 днів тому
Mary Did You Know by Don Moen✔ Lyrics Video Credits to @worshiphitsguide SONG LYRICS Mary did you know That your baby boy will one day walk on water? Mary did you know That your baby boy will save our sons and daughters? Did you know That your baby boy has come to make you new? This child that you've delivered Will soon deliver you Full Written Lyrics Here : kenyatrends.co.ke/mary-did-you-know-...
My God Can Lyrics - Katy Nichole & Naomi Raine
Переглядів 3314 днів тому
My God Can Lyrics by Katy Nichole & Naomi Raine✔ Lyrics Video Credits to @worshiphitsguide SONG LYRICS I might not be able to part the waters Might not be able to calm the storms Might not be able to make my giants fall But good thing I’m not alone Cause there is a power that is greater So I’m not afraid of what’s ahead I’m standing in the confidence That even though I can’t My God can ...........
Utakwenda Lyrics by Called to Serve Ministries
Переглядів 1,7 тис.21 день тому
Utakwenda Lyrics by Called to Serve Ministries
Lindo Lyrics by The Lighthouse Ministers
Переглядів 37021 день тому
Lindo Lyrics by The Lighthouse Ministers
Imba Lyrics by Celah Gospel | AMAC AWARDS 2024
Переглядів 203Місяць тому
Imba Lyrics by Celah Gospel | AMAC AWARDS 2024
Hapa Ni Wapi Lyrics by Vocals Of Praise | The Kenanis Wedding
Переглядів 186Місяць тому
Hapa Ni Wapi Lyrics by Vocals Of Praise | The Kenanis Wedding
Hitaji Langu Lyrics by The Saints Ministers
Переглядів 79Місяць тому
Hitaji Langu Lyrics by The Saints Ministers
Amewafanyia Amani Lyrics - Vocals Of Praise | The Sitatis Wedding
Переглядів 166Місяць тому
Amewafanyia Amani Lyrics - Vocals Of Praise | The Sitatis Wedding
HypTunes SDA Mix Playlist Episode 016 .Weekly Mix. Ananisikiliza Mix
Переглядів 160Місяць тому
HypTunes SDA Mix Playlist Episode 016 .Weekly Mix. Ananisikiliza Mix
Uinuliwe Bwana Lyrics by Christ Followers Ministers
Переглядів 1,7 тис.2 місяці тому
Uinuliwe Bwana Lyrics by Christ Followers Ministers
HypTunes SDA Mix Playlist Episode 015. Pillars Of Faith Ministers
Переглядів 1,2 тис.3 місяці тому
HypTunes SDA Mix Playlist Episode 015. Pillars Of Faith Ministers
HypTunes SDA Mix Playlist Episode 014 .Weekly Mix. Kafara Mix
Переглядів 2633 місяці тому
HypTunes SDA Mix Playlist Episode 014 .Weekly Mix. Kafara Mix
Hyp Tunes SDA Mix Playlist Episode 013. Best Of Iringo SDA Church Choir TBT
Переглядів 2163 місяці тому
Hyp Tunes SDA Mix Playlist Episode 013. Best Of Iringo SDA Church Choir TBT
HypTunes SDA Mix Playlist Episode 012. Best Of Redemption Ministers
Переглядів 2504 місяці тому
HypTunes SDA Mix Playlist Episode 012. Best Of Redemption Ministers
Heri ya Mwaka Mpya Lyrics by Golden Trumpet Singers
Переглядів 8774 місяці тому
Heri ya Mwaka Mpya Lyrics by Golden Trumpet Singers
Shukrani Lyrics by Mzinga Youth Choir
Переглядів 3574 місяці тому
Shukrani Lyrics by Mzinga Youth Choir
Mtuliza Bahari Lyrics by Msanii Music Group
Переглядів 8304 місяці тому
Mtuliza Bahari Lyrics by Msanii Music Group
Kimbilio Lyrics by Heroes Of Faith Ministers
Переглядів 2424 місяці тому
Kimbilio Lyrics by Heroes Of Faith Ministers
Ombeni Lyrics by Msanii Music Group
Переглядів 3494 місяці тому
Ombeni Lyrics by Msanii Music Group
HypTunes SDA Mix Playlist Episode 011 .Weekly Mix. Moyo Uliyonona Mix
Переглядів 1614 місяці тому
HypTunes SDA Mix Playlist Episode 011 .Weekly Mix. Moyo Uliyonona Mix
Nimekuachia Wewe Lyrics by Christ Followers Ministers
Переглядів 19 тис.4 місяці тому
Nimekuachia Wewe Lyrics by Christ Followers Ministers
HypTunes SDA Mix Playlist Episode 010 .Weekly Mix. Mbele Mbele Mix
Переглядів 1784 місяці тому
HypTunes SDA Mix Playlist Episode 010 .Weekly Mix. Mbele Mbele Mix

КОМЕНТАРІ