- 71
- 123 490
YouTube Rumba Channel
Tanzania
Приєднався 29 лис 2018
Zenelith Rhumba Channel ni chaneli inayoangazia muziki wa dansi/rumba wa miaka ya 70 hadi 2000. Maudhui yetu hujumuisha pia UCHESHI. Karibu uburudike, onyesha upendo kwa ku SUBSCRIBE chaneli.
Відео
Tusonge Mbele
Переглядів 262Рік тому
Hii ni VJB ya awali kabla ya Pambamoto Awamu II. ua-cam.com/channels/mY3Aj5Zl09dmKjd_ekdm_g.html
Shemeji wa Dar - VJB
Переглядів 64Рік тому
Prngine sote tunatamani tujue kama wimbo huu unaakisi tukio Fulani au VJB waliiasa jamii kwa ujumla? Ni somo lililoshiba. ua-cam.com/channels/mY3Aj5Zl09dmKjd_ekdm_g.html
BimaLee - Pendo
Переглядів 3,9 тис.Рік тому
Bimalee kabla ya Magnet 84. ua-cam.com/channels/mY3Aj5Zl09dmKjd_ekdm_g.html
URAFIKI JAZZ BAND
Переглядів 314Рік тому
Hawa ndio wanaume wa Urafiki Jazz Band, Wana CHAKACHUA. Usipime! ua-cam.com/channels/mY3Aj5Zl09dmKjd_ekdm_g.html
BimaLee - Sofi
Переглядів 546Рік тому
Hii pia ni enzi ya kabla ya Magnet 84. @UA-cam Rumba Music ua-cam.com/channels/mY3Aj5Zl09dmKjd_ekdm_g.html
PART 2 - MAHOJIANO (Bitchuka Stereo)
Переглядів 214Рік тому
Hii ni sehemu ya 2 na ya mwisho ya mahojiano. Sikiliza na sehemu ya 1. ua-cam.com/channels/mY3Aj5Zl09dmKjd_ekdm_g.html? sub_confirmation=1
Bimalee - Siri Yako @Subscribe.To_YouTube_Rumba
Переглядів 315Рік тому
Hii ni kabla ya Magnet 84 @Subscribe.To_UA-cam_Rumba ua-cam.com/channels/mY3Aj5Zl09dmKjd_ekdm_g.html
DDC - KIKOSI ANZILISHI @Subscribe.To_YouTube_Rumba
Переглядів 1 тис.Рік тому
Hiki ni kikosi anzilishi cha DDC Mlimani Park, toleo la 1.1 yaani "updated". Kumbuka Bitchuka na Mwanyiro walijiunga baadae kidogo. ua-cam.com/channels/mY3Aj5Zl09dmKjd_ekdm_g.html
BimaLee - Peleleza
Переглядів 155Рік тому
Hii ni BimaLee ya mwanzoni kabla ya Magnet 84. Bima ya akina Jumbe Batamwanya, Roy Bashekanako, Belesa Kakere na Duncan Ndumbaro. @Subscribe.To_UA-cam_Rumba ua-cam.com/channels/mY3Aj5Zl09dmKjd_ekdm_g.html
Mwamba Selemani
Переглядів 171Рік тому
Huyu ni jabali, mwamba mwenyewe. @Subscribe.To_UA-cam_Rumba Ni Juwata Jazz ya akina Bitchuka, Gurumo, Abel Baltazari, na wengine. @Subscribe.To_UA-cam_Rumba ua-cam.com/channels/mY3Aj5Zl09dmKjd_ekdm_g.html
Mariamu-Selemani - Rhumba Story
Переглядів 423Рік тому
Baadae ya Mariamu kumlalamikia Sele, Sale akaona ni vyema kumjibu. @Subscribe.To_UA-cam_Rumba @Subscribe.To_UA-cam_Rumba ua-cam.com/channels/mY3Aj5Zl09dmKjd_ekdm_g.html
Sauda & Arawa@Subscribe.To_YouTube_Rumba
Переглядів 129Рік тому
Sauda & Arawa@Subscribe.To_UA-cam_Rumba
VJB ft Sheggy @Subscribe.To_YouTube_Rumba
Переглядів 185Рік тому
VJB ft Sheggy @Subscribe.To_UA-cam_Rumba
VJB, BIMA & N-HEROES @Subscribe.To_YouTube_Rumba
Переглядів 3,7 тис.Рік тому
VJB, BIMA & N-HEROES @Subscribe.To_UA-cam_Rumba
Usia wa Babu - DDC @Subscribe.To_YouTube_Rumba
Переглядів 347Рік тому
Usia wa Babu - DDC @Subscribe.To_UA-cam_Rumba
Vijana Jazz Band @Subscribe.To_YouTube_Rumba
Переглядів 5492 роки тому
Vijana Jazz Band @Subscribe.To_UA-cam_Rumba
Uhuru wa Zimbabwe @Subscribe.To_YouTube_Rumba
Переглядів 1212 роки тому
Uhuru wa Zimbabwe @Subscribe.To_UA-cam_Rumba
Nimemkaribisha Nyoka @Subscribe.To_YouTube_Rumba
Переглядів 2942 роки тому
Nimemkaribisha Nyoka @Subscribe.To_UA-cam_Rumba
Kaka Hassan Mwenyezi Mungu akulinde kwa afya bora daima.
I'm listening right now here in Rovaniemi with my weed in this brutally cold 🥶
ISSA NUNDU "PRINCE"
Super stereo ni hatari
Naishiwa maneno kwakweli😢😢
Hello benitoxavery, nadhani huyu dada ni mzambia.
Ni Mtanzania sio mkongo wala m south. Alikuwa ujerumani miaka mingi ila nasikia amerudi yupo Tanzania.
Solo ina mwenyewe Abel Batazar solo yake siyo ya fujo ni kudonoa donoa tu
Hapo sauti nyingine ya dhahabu Maalim kinyasi au Hamisi juma.
Yaani jamani,..ni kweli kuwa zamani au mambo ya kale hayarudi?? Aaah...DDC Milimani, ngoma ya ukae, sisi wazee tutawakumbuka daima.
Vijana jazi vicki
Vijana jazi viki
Patrick Kamalee katembea saana ktk solo wakati huo Mulenga alikua katoka bendi kwa hiyo kamalee kaziba pengo na ukiwa nje ya ukumbi watu wakibishana kwamba huyo ni Mulenga kumbe ni Kamalee njia zile zile za King spoiler Joseph batromeo MULENGA
Na sauti za wanamuziki hapo ni tamu sana. Hakika kila mwenye jukumu lake amelitendea haki
Selemani NA MARIAMU ZA miaka ya 77 NI NYIMBO ZILIZOOMBWA na BITCHUKA mzee GURUMO na JUMA AKIDA. solo guitar ni ABEL BALTAZAR. RITHM NI AHMED OMAR NA BASE GUITAR NI MZEE HAMIS SAMA.
Ahsante sana kwa kutuachia mrejesho murua.
Chombo kimojàkimoja kinasikika na saut ni nzuri sana. Ahsante Bitchuka, Kakere, Professor Dela Shance KASSIM Mponda na WAZIRI ALI KISSINGER
Nimependa huu wimbo kwa miaka na miaka. Mwanadada aliuimba kwa usitadi sana nashukuru. Kama ako kweli na Mungu awe naye.❤❤❤.
Kikosi hiki anzilishi .Kila mmoja alisheheni upekee wa kipaji. Jambo ambalo Leo ni nadra sana.
Daa!Nimeutafuta sana wimbo huu,leo saa saba usiku,tarehe 11/12/2023 nimeufuma!
Siyo mxhezo sikinde ngoma ya ukae
Kobelo kazi anayo.
Bima lee orchestra ama kweli ya kale ni dhahabu
watu wa shekilango
Bichuka katimia ufindi kweli kuwataja wenzake katika wimbo huu
Kwenye Sauda ya Msondo namsikia Dede na Mbwembwe na Moshi
Nasikia huzuni sana hazina ya mziki huu daah
Ubunifu mzuri next time utuambie walio hai na sasa wapo wapi na wanafanya nini
Sauti ya dhahabu Hasani Rehani Bichuka Hilo ndio Ngindeee
Beresa kakere, Roy beshakanako na jumbe betamwanywa kwenye sauti. Kabla hawajaingia kina dede na nashon
Unamzunguziaje mtaalam Duncan Ndumbaro? Alitembea juu ya nyuzi mwanzo mwisho!
Hiyo ndy nyimbo Bora kbs
Naupenda sana huu wimbo, pamoja na mpangilio wa vyombo ,kifupi tu hawa wazee wetu wali ifanya kazi nzuri sana na ya kutukuka,pongezi kwao🙏
Good work.Bitchuka and Mwanyiro joined later
A powerful piece of music on Kenyan KBC radio in the 1980s.Really nostalgic
So touching. Ahsante sana.
Ilikua mwaka 1985 enzi za ujana wetu
Chuki za watu kipande cha mwanzo hakipo hapo
Anako ishi konjesta hahaha
Tutajie!
Solo la Patric kamalee
Saga rumba...RIP Maneti na Eddie
AMA KWA HAKIKA YA KALE NI DHAHABU HASWAAA
❤️
Juma town kwenye sax,
Dah! Wewe ni shabiki hasa wa Nginde 👋👋
Lead vocals Cosmas Tobias Chidumule, Hamis Juma kinyasi, Gurumo
Bass mwanyiro
Hello Brownee. The song you inquired about is still in vain, but you may be interested in its like: ua-cam.com/video/AlwVTgO93Uc/v-deo.html
Gama rythm, mulenga solo
Your translation is to mark!good job man
Thanks 👍
Hey, I'm away from home. Je unayo ya bitchuka na nuta inaitwa juwata? Maneno kama.... Wafanyakazi wote, tujiunge na na chombo chetu juwata
Hello Brownee. I don't have that number. I case I come across it I'll provide you a link (as a second reply right here). Thank you and please keep on supporting our channel.
Issa nundu....rip
Lendi kwenye sax
Kwenye sax Ally Rashid
Utunzi wake Jerry Nashon "dudumizi". Sauti ya uongozaji RIP Jerry
This Mlimani Park Orchestra was at its peak. The Sikinde beat which was making the City of Dar es Salaam hot all times
Bro masud safi sana kama hutajar naomba contact