- 7
- 101 770
VIPAJI VYETU ONLINE
Tanzania
Приєднався 12 лис 2021
Відео
KWA MARA YA KWANZA ANTI YUU AFUNGUKA KUHUSU SANAA YAKE
Переглядів 51Рік тому
KWA MARA YA KWANZA ANTI YUU AFUNGUKA KUHUSU SANAA YAKE
KASWIDA ILIOLIZA WATU JUKWAANI _ madrasat qamaria_ mwera meli sita
Переглядів 3,8 тис.2 роки тому
KASWIDA ILIOLIZA WATU JUKWAANI _ madrasat qamaria_ mwera meli sita
HESHIMA YA NDOA _ UST HAFIDH FT RASHID ZUNGU
Переглядів 58 тис.2 роки тому
HESHIMA YA NDOA _ UST HAFIDH FT RASHID ZUNGU
UST HAFIDH FT BAYT_ MIGOGORO YA NDOA
Переглядів 6 тис.2 роки тому
UST HAFIDH FT BAYT_ MIGOGORO YA NDOA
UKHTY ADILA _ HARUSI NJEMA - OFFICIAL AUDIO
Переглядів 8102 роки тому
UKHTY ADILA _ HARUSI NJEMA - OFFICIAL AUDIO
UKHTY FATMA AWAFUNIKA MASTAA WA ZANZIBAR_SAUTI ADIMU
Переглядів 33 тис.2 роки тому
#UKHTY FATMA # NEW KASWIDA#
WOW THAT'S A GOOD BETTER BEST 😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
VIZURI SANAAAAA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
HII NDIYO MADRASA YANGU PAMBE SANAAAAA TENA SANAAAAA.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😊😊😊
Ninaipenda sana QAMARIYYA YANGU.❤❤❤❤❤
Masha Allah kheri
Kawsida pambe 1:28
Hii😅
Bass haya😅
Nice
Tunakudai kasida mbili Ramadhani na Eid ww kaa kimya ila bado una deni sheikh hafidh
Mashallah mashallah
Mashllh 🥰🥰
Mashaallah
Tuseme kuruani
Masha Allah naipenda madrassa yangu
Maa shaa allah
Ukhty Fatma pliz usfanye ivyo tujieshimu jamani wanawake haturuhuaiwi kupandisha sauti ivyo tena Kwa kughani ni haraaam..,Dunia mapito tukimbuke wapi tunaenda
Huyo muongo ila qaswida mzut
Watu wazima kujihashua
Makubwa
Maashaallah ukhty Fatma uko wapi
Tumuogope Allah pia tukumbuke siku yaesabu dini yetu hailuhusu mwanamke kua ivo
ALLAH atuongoze wanawake tuhifadh saut zet Kwan ni fitna tutakwenda kuulizwa tumetmiaje neema alizotoa ALLAH as Niagara kwa waume zetu sio kujidhihirisha uzur kwa watu mbalimbali tumche ALLAH tujihifdh miili nasaut
Tatizo mashekhe njaa wameficha vingi.
Ma sha Allah
haramu mwanamke kutoa sauti yake, tena kuonekana mitandaoni, umesoma dini wapi wewe
MWANAMKE TULIA , USIJITANGAZIE KWENYE MITANDAO, WEWE UMESOMA WAPI DINI INAYOKWAMBIA MWANAMKE ANAJITANGAZA, KUMBUKA ALLAAH ANASEMA KATIKA SURATUL AHZAAB AYA YA 33 'Na kaeni majumbani kwenu, wala msijishauwe kwa majishauwo ya kijahilia ya kizamani. Na shikeni Sala, na toeni Zaka, na mt'iini Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Hakika Mwenyezi Mungu anataka kukuondoleeni uchafu, enyi Watu wa Nyumba ya Mtume, na kukusafisheni baarabara.'
Maan shaallaah FATMA nimependa kaswdaa nzuri
Ukhty tena ?
Naomba nirushie qasda ya tunazetu nia yote nzima nimeipenda sana
Waoo
Kila mmjo no ukhuty ukiwauliza una maendeleyo gani tangu uwaze kuwa ukhuty wa kaswida Hana jibu
😂😂
Wewe he unayo maendeleo
Sijakiona hahahhh
Mbona ww muongo Sana
Mashallah
👍
Jamn maukhty washakuwa wengi
Yani hii kasida naipenda mpaka nashindwa kujizuia Ilove dada
Mashallah ukhty Fatma unapatkana wapi madrasa gani
Hakuna Masha,Allah hapo. Anajianika uchi mbele za wanaume ambao si halali yake.
@@khalfanifarisy8313 Tena na miwanja na mishodo juu kampakia Nani?
@@aishaamwalimu2887 We umeolewa?
@@aishaamwalimu2887 kakupakia wewe mume wake 😅😅😅
@@saadiyehaji6541 😂mimi mwanamke vipi niwe mume ni kosa pia.
Bass haya