- 202
- 349 452
Mtaifahamu Kweli
Приєднався 1 лют 2022
"Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru"
Yohana 8:32.
Відео
Unatafuta Mchumba, au Mbegu Bora? || Pr Semba
Переглядів 39221 день тому
Unatafuta Mchumba, au Mbegu Bora? || Pr Semba
Wakati, Nyakati na Nusu Wakati || Pr Paul Semba
Переглядів 72028 днів тому
Wakati, Nyakati na Nusu Wakati || Pr Paul Semba
Dhambi tatu,Gharika Ikaja || Pr Paul Semba
Переглядів 2,5 тис.Місяць тому
Dhambi tatu,Gharika Ikaja || Pr Paul Semba
Mwanamke anaposahau wajibu|| Pr Paul Semba
Переглядів 1,8 тис.Місяць тому
Mwanamke anaposahau wajibu|| Pr Paul Semba
Makosa Matatu ya Hawa || Mchungaji Paul Semba
Переглядів 988Місяць тому
Makosa Matatu ya Hawa || Mchungaji Paul Semba
Vita ya Har-Magendoni || Pr Paul Semba
Переглядів 394Місяць тому
Vita ya Har-Magendoni || Pr Paul Semba
Laki tano kwenye Suruali || Pr Paul Semba
Переглядів 5642 місяці тому
Laki tano kwenye Suruali || Pr Paul Semba
Kauli ya "Nani Kama Mama" ||Pr Paul Semba
Переглядів 1,5 тис.2 місяці тому
Kauli ya "Nani Kama Mama" ||Pr Paul Semba
Wazazi Kadi Nyekundu ||Pr Paul Semba
Переглядів 1,4 тис.2 місяці тому
Wazazi Kadi Nyekundu ||Pr Paul Semba
Waliohesabiwa haki kwa imani wana Amani || Paul Semba
Переглядів 1,9 тис.4 місяці тому
Waliohesabiwa haki kwa imani wana Amani || Paul Semba
Ni Imanueli Aliyevunja Sime ||Paul Semba
Переглядів 4235 місяців тому
Ni Imanueli Aliyevunja Sime ||Paul Semba
Palipo Imani hakuna Hofu || Pr Paul Semba
Переглядів 4,4 тис.6 місяців тому
Palipo Imani hakuna Hofu || Pr Paul Semba
Ukweli unauma,umeniumiza,lakini umeniponya
Utatu sio fundisho la biblia
Kwa hiyo huo utatu mtakatifu maana yake wako Mungu watatu wameungana ndo ukapatikana umoja huo...labda tu tujiulize sifa ya Mungu au miungu ni kuwa huwa na kiti cha enzi kinachomthibitisha kuwa yeye ni Mungu. Sasa biblia inaonyesha kiti cha enzi cha Mungu baba pia inathibitisha kuwa Yesu amepewa kiti cha enzi mkono wa kuume wa Mungu baba. Je ni wapi bibilia inaonyesha kiti cha enzi cha roho mtakatifu kama na yeye ni Mungu anayejitegemea..kwa sababu unaposema Mungu Ana nafsi tatu maana yake ni kuwa wako Mungu watatu...nafsi ni kitu kinachojitegemea chenyewe..
Imesha ishaa
Mpigaji kinamda anafanya sauti haisikiki vizuri
Amina
Mungu alibariki paster sembe maana ulisemalo la wagusa watu wengi tubadilikeni wapendwa
Pastor umeongea uongo!! Sana tena sana aisee
Ameeen ni mebarikiwa San na fundisho hili
Mungu Wetu tusaidie kuebukana na haya Kwa Neema zako za ajabu mno
Na unawapatia uzuri pastor
Aamen
Aamina na tujue ukweli,na tujitenge na kuwa waamiinifu
Gf
Ukweli utabaki kuwa ukwel, ubarikiwe mchungaji
Ubarikiwe mtumishi
AMINA🙏. MUNGU AKUBARIKI SANA MCHUNGAJI.
Theology the master plan of satan to decieve many hakuna sehemu yoyote kwenye biblia palipoandikwa utatu Yesu mwenyewe alisema BABA ni mkuu kuliko mimi Yohana 28:14
Sauti ya back ground itolewe please
Amen
😂Mungu atusaidie
😂😂
Ubarikiwe mtumishi
HAKUNA ANDIKO LOLOTE LINALOSEMA "UTATU MTAKATIFU KATIKA BIBLIA"....HIYO DHANA IMEJENGEKA TU BAADA YA KUONA MAANDIKO AMBAPO MUNGU ANASEMA " TUMFANYE MTU"
Sema mtumishi wa MUNGU tupone
Kwakweli Mungu atusaidie
Amina, nina barikiwa sana Pr.
Mungu akubariki mtumishi mwema, kwa uwazi huu.
Uko sawa mtumishi ,, watafute bibilia za kiebrania na kiyunani labda tunabalikiwa
Ameeen hii ni ngumu kumeza,ila inabidi wapokeee tu kwa Jina la BWANA
TUNAKARIBIA NYUMBANI THUBUTU JOKA😊😊
Labda wataelewa kwa kila atakaesikia hapa na kama hawatasikia basi motoni inawahusu
Shusheni sauti ya kinanda kidogo
Tumekusikia
❤❤❤❤❤
Mungu akuinue zaidi mtumishi wa Mungu
Amina
Fungu Hilo Mchungaji please naomba nisaidie nashida nalo ❤❤❤
Luka 17:27 Walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia katika safina, gharika ikashuka ikawaangamiza wote. Luka 28. Na kadhalika, kama ilivyokuwa katika siku za Lutu, walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakinunua na kuuza, wakipanda na kujenga;
Mithali 6:32,33
Una hubiri kama reformer 🙏
Chungu lakini ni tamu
Amina
❤❤❤
Amina
I'm so blessed
Daah 😅😅watu wanameremeta mashavu kumbe ni pombe😅 Umenikumbusha mkoa mmoja nilipo ikifika sakumi jioni watu wanameremeta vipaji mashavu yananinginia chini alafu wamechangamka vile
Kumbe ni funza tupu...
Eti ujumbe wamalaika watatu tunataka ujumbe wa Yesu siyo wamalaika.
Ubarikiwe sana
Ubarikiwe mtumishi
Ubarikiwe mtumishi
Ubarikiwe mtumishi
Pombe hairithishw