- 57
- 12 243
Baraza La Ma Sheikh Holland
Netherlands
Приєднався 14 тра 2015
Baraza la ma Sheikh Holland (BSH), ni baraza ambalo limekusanya ma Sheikh mbali mabli kutoka katika Nchi za Maziwa Makuu (Pays des Grands Lacs "Great Lakes Countries"). Baraza hili linafahamika kwa sifa ya kuwa ni Madrasa ya Dini. Kazi kuu ni kuuzagaza uislam kwa waislam wote wakutoka Nchi za Maziwa Makuu wanao eshi nchini Uholanzi khaswa na ulimwenguni kwa ujumla. Ujumbe wa Baraza la ma Sheikh Holland ni: Elimu kabla ya kauli na matendo.
10a - Allah Taala ni Mzuri ( إن الله تعالى طيبٌ لا يقبل إلا طيا ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
بيان (حديث) إن الله تعالى طيبٌ لا يقبل إلا طيباً... من الأربعين للإمام النووي
Ufafanuzi wa Hadith ( Allah Taala ni Mzuri, hakubali ispokuwa matendo mazuri.... )
Ndani ya kitabu cha "Hadith 40 za Imam Nawawi"
Ufafanuzi wa Hadith ( Allah Taala ni Mzuri, hakubali ispokuwa matendo mazuri.... )
Ndani ya kitabu cha "Hadith 40 za Imam Nawawi"
Переглядів: 90
Відео
09 - Jambo nilokukatazeni liacheni ( ...ما نهيتُكم عنه فاجتنبوه ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 46Рік тому
09 - Jambo nilokukatazeni liacheni ( ...ما نهيتُكم عنه فاجتنبوه ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
08 - Kuwapiga watu vita... ( ...أُمرتُ أنْ أقاتلَ الناسَ حتى يَشهدوا ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 34Рік тому
08 - Kuwapiga watu vita... ( ...أُمرتُ أنْ أقاتلَ الناسَ حتى يَشهدوا ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
07 - Dini ni kunasihiyana ( الدين النصيحة ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 60Рік тому
07 - Dini ni kunasihiyana ( الدين النصيحة ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
06 - Halali iko wazi na Haram iko wazi ( الحلال بيِّن و الحرام بيِّن ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 44Рік тому
06 - Halali iko wazi na Haram iko wazi ( الحلال بيِّن و الحرام بيِّن ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
05 - Mambo ya uzushi katika dini yetu ( ...من أحدث في أمرنا هذا ما ليس ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 40Рік тому
05 - Mambo ya uzushi katika dini yetu ( ...من أحدث في أمرنا هذا ما ليس ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
04 - Hatua za kuumbwa kwa mwanadam ( أطوار خلق الإنسان ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 1022 роки тому
04 - Hatua za kuumbwa kwa mwanadam ( أطوار خلق الإنسان ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
03 - Uislam umejengwa kwenye vitu vitano ( بني الإسلام على خمس ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 252 роки тому
03 - Uislam umejengwa kwenye vitu vitano ( بني الإسلام على خمس ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
02b - Hadith ya Jibril 2/2 ( حديث جبريل ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 742 роки тому
02b - Hadith ya Jibril 2/2 ( حديث جبريل ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
02a - Hadith ya Jibril ( حديث جبريل ) 1/2 // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 642 роки тому
02a - Hadith ya Jibril ( حديث جبريل ) 1/2 // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
01 - Vitendo hulipwa kutokana na niya (الأعمال بالنيات) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 1052 роки тому
01 - Vitendo hulipwa kutokana na niya (الأعمال بالنيات) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Historiya ya Imamu Nawawi (ترجمة الإمام النووي) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 1162 роки тому
Historiya ya Imamu Nawawi (ترجمة الإمام النووي) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Ruqyah ( رقية شرعية ) // Sheikh Bizimana ZUBERI
Переглядів 1062 роки тому
Ruqyah ( رقية شرعية ) // Sheikh Bizimana ZUBERI
Aina ya vichinjwa // Sheikh JAMAL Swaleh
Переглядів 773 роки тому
Aina ya vichinjwa // Sheikh JAMAL Swaleh
Faida za siku 10 za mwanzo za Dhul-Hijjah // Sheikh ZUBERI Bizimana
Переглядів 643 роки тому
Faida za siku 10 za mwanzo za Dhul-Hijjah // Sheikh ZUBERI Bizimana
Gisi Ya Kutowa Zaka // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 343 роки тому
Gisi Ya Kutowa Zaka // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Faida za siku 10 za mwisho za Ramadhan // Sheikh KARORERO Khalid
Переглядів 893 роки тому
Faida za siku 10 za mwisho za Ramadhan // Sheikh KARORERO Khalid
Maulizo Matatu Kuhusu Swaumu // Sheikh Dr. NASSER Hakizimana
Переглядів 973 роки тому
Maulizo Matatu Kuhusu Swaumu // Sheikh Dr. NASSER Hakizimana
Ramadhan, Mgeni Wetu! // Sheikh AHMAD Mugwiza
Переглядів 923 роки тому
Ramadhan, Mgeni Wetu! // Sheikh AHMAD Mugwiza
Vipi Tuipokeye Ramadhan // Sheikh Bizimana ZUBERI
Переглядів 823 роки тому
Vipi Tuipokeye Ramadhan // Sheikh Bizimana ZUBERI
Aibu katika ndowa ( عيوب في النكاح ) // Sheikh ZUBERI Bizimana
Переглядів 3233 роки тому
Aibu katika ndowa ( عيوب في النكاح ) // Sheikh ZUBERI Bizimana
Zaka ya mali ( زكاة المال ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 4333 роки тому
Zaka ya mali ( زكاة المال ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Zaka ya biashara ( زكاة عروض التجارة ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Переглядів 1563 роки тому
Zaka ya biashara ( زكاة عروض التجارة ) // Sheikh ABDULHAMID Yussuf
Historia ya Uislamu Burundi // Sheikh Dr. MAJUTO Sefu
Переглядів 1,2 тис.4 роки тому
Historia ya Uislamu Burundi // Sheikh Dr. MAJUTO Sefu
Kundi la Qadiyani // Sheikh Dr. Hakizimana NASSER
Переглядів 2374 роки тому
Kundi la Qadiyani // Sheikh Dr. Hakizimana NASSER
Wanawake na Wanaume // Sheikh Bizimana ZUBERI
Переглядів 3694 роки тому
Wanawake na Wanaume // Sheikh Bizimana ZUBERI
Allah awalipeni masheikh zetu wapendwa, tunashkuru sanaa kwa kujitolea mda wenu na kutuelimisha, Allah awalipeni duniani na akhera jazackumullahu khairan jamian ❤❤❤
Subhanallah, darsa hili linahitaji kuandikwa kwa wino wadhahabu, darsa adwimun jiddah...Allah awalipeni duniani na akhera kwakweli tumefaidika saanaa, tunamuomba Allah tuwe wema kwa Allah na kwa mambo yoote tunaamiliyana nayoo...Allah akulipe na akuhifadhi yaa sheikhanal habib❤❤❤
Maa shaa Allah, barackallahu fiikum jamian, Allah awalipeni duniani na akhera kwa kutufanyia madarsa haya, usiku na mcana....Allah yahfadhuka yaa Aba Sudais❤, Allah akulipe sheikh wetu, akupe afya njema na umri mrefu wenye manufaa❤❤❤
Barackallahu fiikum jamian..Allah awalipeni ma sheikh.zetu wapendwa kwakutufkishiaa mawaidhaa nyeti kabisaa, kilicobaki, nikumuombaa Allah kuyatekelezaa mlotufkishiia na kuyaweka kwenye vitendo❤❤❤ tunakupenda sana na tunamuomba Allah awapende na awaridhie❤❤❤
Maa shaa Allah...shukran wa barackallahu fiikum jamian...Allah awalipeni kwa kutuelimisha❤ tunashkuru sanaa❤
Asalam aleykum warahmatulah
Shukran sana sheikh wetu salimu vijeje Kwa kutulimisha ukafiri wa mashia
Allah akulinde sheikh
Maa shaa Allah..shukran wa barackallahu fickum jamian..tumefaidika sana. Allah awalipeni kwa maswali mloulizaa..Tunamuombaa Allah awahifadhi masheikh zetu ❤
Kwakweli haya madarasa yana ilmu kem kem....tunamuomba Allah atuhifathie ma sheikh wetu wa sunnah na nyie mnatuwekea kwenye youtube Allah awalipeni kwa juhudi zanu..tunashku sana natunawapenda sana kwa ajili ya Allah ❤
Shukran wa Barackallahu fikum jamian.. Shukran doktor❤
Barackallahu fickum jamian❤...Allah awalipeni nyie woote na sheikh wetu Dr Nassor Allah akulipe afya njema na umri mrefu wenye manufaa....tunashkuru sanaa kwa mdaa wako na ilmu unayo tufunzaa❤
Asalam aleykum warahmatulah wabarakatuh
Mashallah
Jazaka'allahu khair sheikh
Allah akujaze khair my beloved cheikh Shukran
Shukran sheikh wetu
Sahihi
Baarakallah fiikum ALLAH Akuhifadhy Dr Habiby
Shukran sheikh
السلام عليكم ورحمه وبركاته اين يا علي؟سلم علي اخواننا الذىن تخرجوا من لجامعة المنورة معنا أو بعدنا
Ally sompwe Hongera bwana,wasalimie Sana akina Dessou na Yassin
Allah Akbar
Mungu awabariki raki ni uwislam ni ugeni ndio ila mashekh kumbukeni huw arundi wengi kiswahiri ni giza kabisa kosa riko hapo naomba mashekh ongea kirundi
Masha Allah shukrani
Allah azidi kuwaifadhi
Shukrani shehe kwa rukya Allah akupe afya insha Allah
Mainshallah mainshallah mainshallah tabarakhallah Shukran tabarakhallah Shukran
Shukran sana sheikh salumu bijeje kwa kuilimisha umma
Masha Allah Allah atakulipa iyo nikweli kabis
Shukran sana sheikh wetu Inahitajika kufikisha darsa za Aqidah misikiti
MAASHALLAH Nusuruni mali ya waislamu Inshaallah
Mashallah ♡
Kwanini Masheikh wa Burundi awazungumziyagi Aqidah?
MAASHALLAH sheikh wetu Shukran sana Allah akuifadhi
Allah akup maisha marefu my skheik
Aamiin ya Rab! Na wewe pia Allah akupe umri mrefu mzuri wenye manufaa.
Allah Akujaze kheri
Aamiin ya Rab! Na wewe piya akujaze kheri zaidi.
Amiiyn thumma Amiiyn. Jazzaka Allahu kheir
Jazzaka Allahu kheir
Aamiin ya Rab! Wa iyyaki.
MAASHALLAH sheikh majuto Allah akuifadhi
Shukrani
Masha Allah sheikh darsa zuri
sasa sheikh tukiuliziya kwahuyu jama ambaye jogo hayiwiki wanavyo sema waswahili atamu kidhi muke wake aje kitandani wati huku inajulikana kuwa jogo hayiki kweli
Masha’allah
اللهم احفظ شيخنا علي سوبوى وارفع درجته فى الدنيا والآخرة وانفع به الإسلام والمسلمين 🤲
Allah awalipe kheri ma sheikh wetu nakuwakitu kimoja nakufanya kazi ya allah
Aamiin ya Rab!.. Shukran dada yetu...
Shukran masha allah
Afuan dada yetu!
Dhuuuuuhhhh MaashaAllah
Mansha Allah sheikh darsa nzuri kabisa, allahumma amiin kwa sote, Allah atuongoze
Aamiin ya Rab!
Shukran allah awalipe kheri
Aamiin ya Rab! Allah akulipe wewe kheri zaidi.
Allah awalipe kheri
Aamiin ya Rab! Allah akulipe na wewe kheri zaidi.