Father Famillies
Father Famillies
  • 21
  • 13 947

Відео

MAAJABU KIJANA ALIYEANGUKA GHAFLA ASHINDWA KWENDA HAJA,MIGUU Na MGONGO KUOZA
Переглядів 91016 годин тому
KIJANA ALIEANGUKA CHINI GHAFLA AAMKA NA KUPOOZA MWILI NA UVIMBE MGONGONI UNAWEZA MSAIDIA HERMAN KUPITIA NAMBA 0628121515 Jina Sheila Hamis jumbe #extraordinarystories #harmonize #news #funny #habesha #love #duet #africa #ayotv #automobile
DEREVA BAJAJI ASIE NA MGUU HATA MMOJA AFUNGUKA MAKUBWA YALIOPELEKEA TATIZO LAKE
Переглядів 4914 днів тому
#extraordinarystories #news #love #habesha #harmonize #duet #funny #zuchu #rip #comedy #sports
SIMANZI AVUNJIKA MIGUU YOTE MIWILI NA MIKONO BAADA YA AJALI YA GARI
Переглядів 70014 днів тому
MAISHA NI HADITHI NDEFU NA KESHO YAKO HAUJUI MZEE ALLY MZALIWA WA KONDOA ANAPITIA KIPINDI KIGUMU SANA KWA SASA MZEE ALLY AMEZALIWA AKIWA VIZURI KIAFYA NA KIMWILI LAKINI AJALI IKAMFANYA KUWA KILEMA HAKIKA AJALI HAINA KINGA. MZEE ALLY ALIEPATA AJALI WAKATI AKIENDA MSIBANI AJALI AMBAYO IMEMFANYA KWASASA MIKONO PAMOJA NA MIGUUU YAKE KUKAKAMAA NA KUWA MIGUMU. HAKIKA HUJAFA HUJAUMBIKA HAPA ANATUSIMUL...
MTOTO ALIYEKAUKA BAADA YA KUCHOMWA SINDANO | MAAJABU ALIVYOPATA TATIZO LA DEGEDEGE
Переглядів 1 тис.21 день тому
SHUHUDIA KISA CHA MTOTO ALIEZIMIA SIKU 5 |NA KUPATWA NA DEGEDEGE Mama nuhu mkazi wa Morogoro Chamwino ambae kwasasa anachangamoto ya mtoto wake ambae alizimia siku Tano na kupatwa na Ugonjwa wa Degedege. Mtoto Huyo mwenye umri wa miaka 3 na nusu mpaka sasa alizimia siku tano wakati akipatiwa matibabu katika hospital ya Taifa muhimbilu. Kwa sasa mtoto huyo Nuhu anahitaji kufanyiwa matibabu lakin...
MZEE WA MIAKA 51 ATEMBEA KWA KUSOTA NA MATAKO ASIMULIA SHIDA ILIYO MKUTA
Переглядів 614Місяць тому
MZEE WA MIAKA 51 ATEMBEA KWA KUSOTA NA MATAKO ASIMULIA SHIDA ILIYO MKUTA #news #extraordinarystories #love #harmonize #automobile #habesha #zuchu #duet #funny #rip #kusagatv #ayotv #mbengotv
SIMANZI JOHN KIJANA MWENYE ULEMAVU WA MGUU ASIMULIA CHANZO CHA TATIZO LAKE
Переглядів 163Місяць тому
SIMANZI JOHN KIJANA MWENYE ULEMAVU WA MGUU ASIMULIA CHANZO CHA TATIZO LAKE JOHN MZALIWA WA KILOSA AMBAE KWA SASA NI MKAZI WA GAIRO SEHEMU AMBAYO ANAFANYIA BIASHARA ZAKE LENGO IKIWA NIKUPATA KIPATO KWAAJILI YA KUSUKUMA MAISHA HAPA ANAZUNGUMZA NA FATHER FAMILIES AKITUJUZA KUWA CHANGAMOTO HIYO YA ULEMAVU WA MGUU NICHANGAMOTO YA KUZALIWA. AIDHA KWA SASA JOHN ANAISHI WILAYANI GAIRO MKOANI MOROGORO A...
SHUHUDIA KIJANA WA KIDATO CHA NNE AGEUKA KICHWA CHA FAMILIA
Переглядів 6 тис.Місяць тому
HUYU NI JAFARI KIJANA MWENYE USHUHUDA MZITO NA WAKUSISIMUA,UKIMUANGALIA UMRI WAKE PAMOJA NA UMBO LAKE UNAWEZA MUHURUMIA KWA MKASA MZITO ANAOPITIA,JAFARI KIJANA ANAEPATIKANA JIJI DAR ES SALAAM MAENEO YA GOBA AMEKUWA KIJANA MPAMBANAJI AMBAE ANAHANGAIKA HUKU NA KULE YOTE KWA YOTE NIKUHAKIKISHA MKONO WAKE NA WA FAMILIA YAKE UNAENDA KINYWANI. MBALI ZA CHANGAMOTO NYINGI ZA KIHARAKATI NDANI YA JIJI LA...
SIMANZI MAMA ALIEKIMBIWA NA MUMEWE KISA ULEMAVU WA MWANAE ASIMULIA KWA UCHUNGU ILIVYO KUWA
Переглядів 878Місяць тому
SIMANZI MAMA ALIEKIMBIWA NA MUMEWE KISA ULEMAVU WA MWANAE ASIMULIA KWA UCHUNGU ILIVYO KUWA Mama Samweli mkazi wa Mbagala Jijini Dar es salaam ambae amekimbiwa na mume wake kisa ulemavu wa mtoto wake Samweli Akizungumza na Father families media mama huyo amesema mumewake ambae ni Baba wa Samweli alimtoroka baada ya kuona mwanae ana matatizo ya ulemavu Baada ya changamoto hiyo mama Samweli kwasas...
PART 2:MAMA MENDE AFICHUA MAZITO KUHUSU KINYESI CHA MENDE / KAMA CHAI
Переглядів 679Місяць тому
#news #automobile #extraordinarystories #love #habesha #duet #harmonize #africa #live #zuchu #ayotv #mbengotv #kusagatv #jambotv
MAAJABU MAMA ANAEKULA MENDE ASIMULIA UTAMU ULIOPO KWENYE MENDE ATAJA FAIDA ZA MENDE
Переглядів 9092 місяці тому
#africa #duet #extraordinarystories #news #bongo #habesha #harmonize #live #parenting #kusagatv #ayotv #azamtv #mbengotv
Huzuni MTOTO asiye na MGUU ataka kuwa MWALIMU mama aelezea BABA kukimbia Familia
Переглядів 4222 місяці тому
#duet #news #extraordinarystories #automobile #habesha #love #harmonize #bongo #parenting #africa #ayotv #matukioonlinetv #kusagatv #jambotv
HUZUNI SINDANO ILIYO VUNJIKIA KWENYE MAKALIO YAMPA KILEMA IDDI BOMA
Переглядів 1332 місяці тому
HUZUNI SINDANO ILIYO VUNJIKIA KWENYE MAKALIO YAMPA KILEMA IDDI BOMA #duet #automobile #extraordinarystories #habesha #news #love #africa #bongo #parenting #live #mbengo tv #kusaga tv
TAHARUKI WANANCHI MKUNDI MOROGORO WAFUNGA BARABARA CHANZO IKIWA NI AJALI/POLIS WAINGILIA KATI
Переглядів 672 місяці тому
#africa #duet #extraordinarystories #harmonize #live #love #news #bongo #habesha #music
EXCLUSIVE:SHUHUDIA MAAJABU MAZITO YA MTOTO MWENYE KICHWA KIKUBWA
Переглядів 523 місяці тому
EXCLUSIVE:SHUHUDIA MAAJABU MAZITO YA MTOTO MWENYE KICHWA KIKUBWA #duet #love #extraordinarystories #habesha #harmonize #africa #news #live #music #newborn
SHUHUDIA BABU ASIEONA ASIMULIA MAZITO
Переглядів 3733 місяці тому
SHUHUDIA BABU ASIEONA ASIMULIA MAZITO
MAMA Aliejifungua MTOTO asiyekuwa na TUNDU la Haja KUBWA aelezea kwa uchungu MATESO ya Kutelekezwa
Переглядів 754 місяці тому
MAMA Aliejifungua MTOTO asiyekuwa na TUNDU la Haja KUBWA aelezea kwa uchungu MATESO ya Kutelekezwa
BIBI SHUJAA alie fiwa na mwanae MPENDWA asimulia KIZA KIZITO kilicho mtokea baada KIFO
Переглядів 594 місяці тому
BIBI SHUJAA alie fiwa na mwanae MPENDWA asimulia KIZA KIZITO kilicho mtokea baada KIFO
MAAJABU kijana asieona afanya MAKUBWA ashangaza umati asoma Bila Kuangalia MANENO
Переглядів 305 місяців тому
MAAJABU kijana asieona afanya MAKUBWA ashangaza umati asoma Bila Kuangalia MANENO
mume AKIMBIA mtoto baada ya kuona mtoto ana ugonjwa Huu wa KUTISHA jionee MAAJABU
Переглядів 1405 місяців тому
mume AKIMBIA mtoto baada ya kuona mtoto ana ugonjwa Huu wa KUTISHA jionee MAAJABU
Mama ALIEFIWA na mumewe aleza MAAJABU MAKUBWA kwenye familia yake kushindwa kumpeleka mtoto shule
Переглядів 1105 місяців тому
Mama ALIEFIWA na mumewe aleza MAAJABU MAKUBWA kwenye familia yake kushindwa kumpeleka mtoto shule

КОМЕНТАРІ

  • @TatoIssa-w3q
    @TatoIssa-w3q 3 дні тому

    Mashallah.mungu.atakusaidia.nivizuri.sana.mwanamgu

  • @MariamMagang
    @MariamMagang 5 днів тому

    Hujafa hujaumbika jaman duh, Mungu atusaidie

  • @MariamMagang
    @MariamMagang 5 днів тому

    Hujafa hujaumbika

  • @sikukuudena2929
    @sikukuudena2929 5 днів тому

    Pole sn mngu akure nguvu

  • @Sabimoviestv
    @Sabimoviestv 6 днів тому

    Pole sana hrman jaman hujafa hujaumbika tufanye ibada 😢

  • @celinamosha9420
    @celinamosha9420 7 днів тому

    Pole helman wangu mungu wetu Ni mwaminifu Sana atatenda mwanangu

  • @aminachoga9266
    @aminachoga9266 17 днів тому

    Pore mama

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 21 день тому

    Mhuuuu shikamoo mam

  • @Sabimoviestv
    @Sabimoviestv 25 днів тому

    Pole sana mama

  • @UmmiMahir
    @UmmiMahir 25 днів тому

    Pole sana Dada Allah atakufanyia wepesi

  • @MegaNasri-bv7tc
    @MegaNasri-bv7tc Місяць тому

    😢😢😢😢

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 Місяць тому

    Nimelia sana sana mmmh inauma inaumiza sana mungu ndo anajua

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Місяць тому

    Pole sana kaka😮Mungu yuko nawe🎉

  • @StellaMwasha
    @StellaMwasha Місяць тому

    Tuachane na kumsumbua samia chakufanya watu wote hawa tunaoingia humu totoe shlingi 2000 tuu uone kama hajapata hata milioni 10 tuanze sisi kwanza tukikwama tuombe support!

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 Місяць тому

    mdogo wangu naomba namba yako au kama huna cm nipe ya mamako

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 Місяць тому

    watoto ni mali pole yao wanaotoa mimba ona huyu mtoto hajaweza kuvumilia kuona mamake mgonjwa akaamua kuacha kwenda shule cku 3 akaenda tafuta pesa ili ampeleke mamake HOSPITAL

  • @HarsonKisanga
    @HarsonKisanga Місяць тому

    Mama Samia. Mpe uyo mtoto ela ya goli moja tu ya milion tano. Itamsaidia sana.

  • @AnnaMsofe-y3k
    @AnnaMsofe-y3k Місяць тому

    Mwombe mungu mwanangu mungu akakupitia Kuna msemo usemao baada ya dhiki faraja

  • @ZinabAlzinab
    @ZinabAlzinab Місяць тому

    😱 inatowa machozi

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Місяць тому

    Hongera sana mwanangu Mungu akuzidishie ridhiki🙏🙏

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga Місяць тому

    Kumsaidia mtu sio Raisi tu, hata wewe ukimtumia elf 2 itamsaidia na mwingine elf 5 zinaongezeka . Swala la kusaidia ni Baraka na kujitoa kwa chochote. Hakuna mtu asiyeweza kumsaidia mtu. Ila tunajidharau tu. Swala la kujitoa kwa mwingine ni la kila mtu.

  • @aminachoga9266
    @aminachoga9266 Місяць тому

    Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 Місяць тому

    Nyota njema huonekana asubui

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c Місяць тому

    Mashaallah mashaallah Allah atasimama na ww mtt wetu ww ni bopar wa baade Inshaallah

  • @UmmuWarda-sv3yt
    @UmmuWarda-sv3yt Місяць тому

    Mwenyezi mungu atakufanyia wepesi in shaallah

  • @UmmuWarda-sv3yt
    @UmmuWarda-sv3yt Місяць тому

    Mama samiha msaidie huyu mtoto aweze kutimiza ndoto zake

  • @UmmuWarda-sv3yt
    @UmmuWarda-sv3yt Місяць тому

    Maashallah maashaallah

  • @Gracemagoma-mi9ub
    @Gracemagoma-mi9ub Місяць тому

    atafika mbali

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 Місяць тому

    Mungu akutetee mwanangu. Serikali imekusikia .serikali inaweza kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ,mfano lend Rover festival na kusaidia Hawa wanafunzi wanaojituma kama Hawa na wengine wengi tu wanaotuzunguka. Hongera sana mwanangu utafika mbali

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Місяць тому

    Baadae atatoboa huyo sababu anajituma Mungu abariki kazi za mikono yako kijana

  • @gililwise
    @gililwise Місяць тому

    Naomba Raisi wangu mama Samia umsaidie huyu mtoto.asome na pia hiyo familia ipate.matibabu bure.

  • @jumafadhili-ft7pc
    @jumafadhili-ft7pc Місяць тому

    Mungu atakusaidia usijar dada yang

  • @silverring3434
    @silverring3434 Місяць тому

    Mungu akusaidie mwanangu

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 Місяць тому

    MUNGU azidi kumuinua zaidi

  • @ZenaZena-vx2ee
    @ZenaZena-vx2ee Місяць тому

    ❤❤❤❤

  • @ZenaZena-vx2ee
    @ZenaZena-vx2ee Місяць тому

    Mungu akupe moyo huu huu

  • @EstaEsta-w8e
    @EstaEsta-w8e Місяць тому

    Nahi.ni.maajabu😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂

  • @kelvinsauveur6264
    @kelvinsauveur6264 Місяць тому

    We mama mbona shule Nîmesoma Mende numubebaji wa virus wa typhoïde?

  • @KhadijaMohamedy
    @KhadijaMohamedy 2 місяці тому

    Toba

  • @Sabimoviestv
    @Sabimoviestv 2 місяці тому

    Ni hatari sana aisee mama huyu anashangaza😂

  • @ThomasShirima-c2n
    @ThomasShirima-c2n 4 місяці тому

    Sabitina nakubal piga kaz mama🎉