MUZIKI HALISI
MUZIKI HALISI
  • 6
  • 54 736
KWAHERI DOKTA SAID MUSA MABERA - LIVE VIDEO
Moja ya video alizoshiriki Dokta Saidi Mabera enzi za uhai wake akiwa na Wana Msondo Ngoma bendi aliyoitumikia kwa miaka 47 mfululizo bila kuhama hadi alipofikwa na umauti Septemba 2020. RIP. Wimbo huu unaitwa Mwana acha wizi akiwa pamoja na mkongwe mwenziwe marehemu Muhidini Maalim Gurumo.Mungu amlaze mahali pema. AMIN
Переглядів: 29 915

Відео

Live: Wimbo mpya "JIULIZE" Msondo Ngoma Music Band
Переглядів 5 тис.4 роки тому
Wimbo mpya mwingine wa wana Msondo Ngoma Music Band tangu kufariki kwa muimbaji mkongwe marehemu Shaaban Dede ikiwa ni baada ya albamu ya mwisho iliyoitwa SULUHU. Hapa ni onesho la live katika Ukumbi wa Equator Grill Mtoni kwa Azizi Ali. Wimbo huu ni utunzi wa muimbaji chipukizi Rijo Voice anakwambia JIULIZE UMEKOSEA WAPI? Pata utamu.
Wimbo mpya "ZUHURA" Msondo Ngoma: Live Video
Переглядів 7 тис.4 роки тому
Wimbo mpya wa Wana Msondo Ngoma Music Band "MAMBO HADHARANI" utunzi wake muimbaji Eddo Sanga. Wanakwambia "raha ya penzi upate akupendae kwa dhati". Naye si mwingine bali ni kimwana Zuhura. Pata chuma hiki live kabisa!!
SHABANI YOHANA "WANTED" VS DEKULA KAHANGA "VUMBI" JUKWAA MOJA (LIVE VIDEO)
Переглядів 9 тис.4 роки тому
Ulizoea kuona magitaa 7 kwa mpigo jukwaani enzi zile za T.P. O.K Jazz na Luambo Makiadi (Franco)? Basi hapa ilikua kivumbi na jasho!! Moja ya tukio adimu sana kukutanisha mafahari wawili wa gitaa ongozi katika jukwaa moja, mmoja kutoka Tanzania na mwingine kutoka Congo. Wacongoman wanasema "Ezali likambo!!", wabongo nao wanakwambia "Ni hatari na nusu!!". Pichani wanaonekana Shabani Wanted, Deku...
Exclusive: PHANTOM MUSICA INTERNATIONAL (LIVE VIDEO)
Переглядів 744 роки тому
Mwanamuziki mkongwe nchini Tanzania Juma Kakere akiongoza wanamuziki wa kundi la Muziki la Zing Zong linalokuja juu - Phantom Musica International - katika mazoezi ya kushiriki Tamasha la Wasanii mbalimbali wa muziki nchini Tanzania lililofanyika tarehe 15 Agosti, 2020 uwanja wa Taifa Dar es Salaam. (Video kwa hisani ya Abdulfareed Hussein Mdau wa Muziki na kiongozi wa Phantom ).
Bimansha (Video and Lyrics) - T.P O.K Jazz
Переглядів 3,4 тис.4 роки тому
Umeshawahi kusikia binadamu akipatwa na uchizi kwa sababu ya mapenzi? Basi msikilize Joseph Londa Kiambukuta ((Josky) at his best. The song is about a lady called Bimansha who disappointed his lover to the extent he becomes crazy. The lover is frustrated and left disappointed. "Bolingo ekati ngai moto nakoma kiwelewele (Love has disappointed me, I turn into a mental case) In this live show in t...

КОМЕНТАРІ

  • @Ambagaye
    @Ambagaye Місяць тому

    Huyo jamaa anayetangaza nimesahahu jina lake lakini waki naishi pale Vatican City Hotel Sinza mwaka ya 1993, yeye alikuwa ni meneja wa matamasha yote ya muziki hotelini hapo. Sijafika tena Sinza kwa muda mrefu sana sasa, nadhani hoteli hiyo ilishakufa

  • @paulwanyama1851
    @paulwanyama1851 2 місяці тому

    I thought this song was done by the late jabali wa muziki marjan Rajab

  • @fadhililihinda6491
    @fadhililihinda6491 2 місяці тому

    Mwaka gani hi? Kasalo Kyanga si kafariki miaka mingi nyuma?

  • @georgealoo8833
    @georgealoo8833 Рік тому

  • @danielmbwambo2338
    @danielmbwambo2338 Рік тому

    Enzi hizo magitaa yanaheshimika

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 Рік тому

    Deo Kiduduye

  • @newnuraty-gw4fm
    @newnuraty-gw4fm Рік тому

    nyimbo nzuri sana

  • @justinMochama
    @justinMochama Рік тому

    Rest In Peace Mzee

  • @mnogwemwalimu-hx1tg
    @mnogwemwalimu-hx1tg Рік тому

    Mwimbo Mzuri Mbona Sauti Haitoki Vizuri

  • @winifiridaemanueljonhjonh1029

    Mungu ailaze mahari pema pepon Amin

  • @mwalimudotto844
    @mwalimudotto844 2 роки тому

    Nimekubali muziki wetu wa asilia

  • @halimaoman8900
    @halimaoman8900 2 роки тому

    Midomo inanuka sigara😁😁😁

  • @hassanshemdoe600
    @hassanshemdoe600 2 роки тому

    hii itakuwa kenya sbb nawaona wakina kasongo

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 2 роки тому

    R. I. P our Legendaries.

  • @hajiahmad2328
    @hajiahmad2328 2 роки тому

    HarakaharKa haina baraka

  • @mwisheheselemani3339
    @mwisheheselemani3339 2 роки тому

    Vipaji vinahisha duuuuu zamani waimbaji walikuwa wanaimba kiuhalisia

  • @sesiliamtambo8185
    @sesiliamtambo8185 2 роки тому

    Huu ndio muziki murua wenye hadhi ya kitanzania

  • @mbarakabungara2335
    @mbarakabungara2335 2 роки тому

    Hatari na nusu baba

  • @nicoachilles6658
    @nicoachilles6658 2 роки тому

    Safi mziki halishi mmetoka mbali

  • @charlesandrenniccargoltd.4671
    @charlesandrenniccargoltd.4671 2 роки тому

    Kazi safi wangwana Kazeni Moyo.

  • @balukualikiringabakwe9749
    @balukualikiringabakwe9749 2 роки тому

    Maombi yangu, mini tumiye nyimbo zote za album ei,najaribu kuzitafuta kama mwanzo hazipo 🤭

  • @theresiakabungo715
    @theresiakabungo715 2 роки тому

    mwee🙌🙌😍❤️

  • @klauskilamla1957
    @klauskilamla1957 3 роки тому

    Good ,music & performance rest in peace all of you

  • @agnesmuchira7941
    @agnesmuchira7941 3 роки тому

    God given talent and wisdom of giving advice to the youth in form of music. May their souls RIP. Gone but not forgotten.

  • @mudrickmbuyu3263
    @mudrickmbuyu3263 4 роки тому

    Nani kamuona ISSA NUNDU KAMA MIMI????

  • @papaj6795
    @papaj6795 4 роки тому

    Pumzikeni Kwa Amani Maestro Ngurumo na Maestro Mabera asante kwa Muziki uliojaa Hekima.

  • @colorizedenhanced-timeless5945
    @colorizedenhanced-timeless5945 4 роки тому

    Hi, MUZIKI HALISI. it is a particularly okay video. thanks. :)

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 4 роки тому

    Kuanzia 9:58 sauti inakata hadi mwisho. Halafu ndo Kanku Kelly anaimba daaah!

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 4 роки тому

    Aisee! Nime-enjoy vya kutosha. Sasa ningependa kufahamu, tukio hili lilifanyika wapi na mwaka gani? Je, ni kipi kilichopelekea manguli hawa wakaketi kiti kimoja na kupiga zing zong la hatari namna hii? Burudani kwa kwenda mbele!

  • @tulipotokazamani
    @tulipotokazamani 4 роки тому

    Hatua nzuri...

  • @jumabaraka8655
    @jumabaraka8655 4 роки тому

    Safi👏👏👏