- 187
- 79 011
WANAWAKE TV
Tanzania
Приєднався 17 лют 2018
We showcase the best of women's initiatives in diverse fields.
MKURUGENZI LULU KUONDOKANA NA DHANA YA KUCHAGUA KAZI NA HATA KUMILIKI KIWANDA CHA MBAO
LULU Mwanamke aliyeondokana na mtazamo wa kuabagua aina ya kazi na kusema hizi ni kazi za wanaume siwezi fanya hatimae kumiliki kampuni ya utengenezaji sanifu za ndani na maofisini.
Переглядів: 52
Відео
MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE WAKANDARASI TANZANIA TWCA
Переглядів 4328 днів тому
Mgeni rasmi akitoa hotuba kupitia jukwaa la Wanawake Wakandarasi Tanzania (TWCA)
LIVE MAHOJIANO NA WAKANDARASI WAPYA WALIOPATA MAFUNZO YA LABOUR BASE TECKNOLOGY
Переглядів 6428 днів тому
Wahitimu wapya kupitia mafunzo yaliyoendeshwa na chama cha Wanawake Mkandarasi Tanzania waelezea umuhimu wa mafunzo waliyoyapata na kuwatoa hofu watoa mafunzo kuwa wameiva na sasa wako tayari kupokea tenda.
LIVE (TWCA)JK. NYERERE INTERNATIONAL CONVETION CENTRE
Переглядів 3528 днів тому
RAIS WA CHAMA CHA WANAWAKE MAKANDARASI TANZANIA BI JUDITH ODUNGA #WOMEN CONTRACTORS CONFERENCE # "Empowering Women contractors: Building Local Strength, Creating Grobal Impact"
LIVE (TWCA) JK. NYERERE INTERNATIONAL CONVETION CENTRE
Переглядів 13928 днів тому
WOMEN CONTRACTORS CONFERENCE #Mapema leo Chama cha makandarasi wanawake tanzania wamefanya kilele cha kongamano katika ukumbi wa mwalimu JK Nyerere
EQUITY BANK YANZINDUA MWANAMKE PLUS/ MIKOPO, BIMA, ELIMU YA BIASHARA
Переглядів 1256 місяців тому
samiasuluhuhassan #wanawake Takwimu zimeonesha kuwa Tanzania ni miongoni mwa Nchi yenye idadi ndogo ya wanawake wanaotumia teknolojia katika sekta ya fedha huku serikali ikichukua hatua mbalimbali ili kukabiliana na changamoto hiyo ikiwemo kuhamasisha matumizi ya pesa kidigitali. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam na Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makund...
WANAWAKE WAJASIRIMALI 675 WAWEZESHWA MASHINE NA VYEREHANI KUTOKA CHINA/WAZIRI GWAJIMA AZUNGUMZA.
Переглядів 446 місяців тому
#samiasuluhuhassan #wanawake Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amepokea msaada wa Vyerehani 425 na mashine za kutotolesha vifaranga 250 kwa ajili ya wanawake wajasiriamali nchini. Msaada huo uliotolewa na Serikali ya China, wenye thamani ya Tsh. Mil. 79 umekabidhiwa na Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingian katika hafla fupi il...
MITUNGI 400 YA GESI YAGAIWA KWA WANAWAKE MKURANGA, BALOZI WA HESHIMA AZUNGUMZA.
Переглядів 257 місяців тому
#wanawake #samiasuluhuhassan Katika kuunga juhudi za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha wanawake wanatumia nishati safi ya kupikia ili kuweza kutunza mazingira. Akizungumza mapema leo Aprili, 4 ,2024 Mwanzilishi wabTaasisi ya Reflection Foundation na Balozi wa heshima Toka Visiwa vya Shelisheli, Mary Vonne Pool amesema kuwa wameona kuja kugawa m...
TANZANIA NA DENMARK KUONGEZA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA ZA KIMAENDELEO, WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZA
Переглядів 387 місяців тому
#samiasuluhuhassan #wanawake ... Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb) amekutana na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Mabadiliko ya Tabianchi wa Denmark, Mhe. Dan Jørgensen ambapo nchi hizi mbili zimeangazia maeneo ya ushirikiano na kukubaliana kuongeza ushirikiano kwenye sekta za kimaendeleo. Tanzania na Denmark zinaenda kuongeza ushirikiano k...
RAIS SAMIA AMEZINDUA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI/"HATUNA DENI, TUMEKAMILISHA".
Переглядів 797 місяців тому
RAIS SAMIA AMEZINDUA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI/"HATUNA DENI, TUMEKAMILISHA".
KONGAMANO LA BINTI MWENYE NDOTO, MKURUGENZI AFUNGUKA HAYA, KUELEKEA BINTI ROYAL TOUR.
Переглядів 228 місяців тому
KONGAMANO LA BINTI MWENYE NDOTO, MKURUGENZI AFUNGUKA HAYA, KUELEKEA BINTI ROYAL TOUR.
WOMAN JUCTION: MJADALA JUU YA HALI YA DOWN SYNDROME
Переглядів 1228 місяців тому
WOMAN JUCTION: MJADALA JUU YA HALI YA DOWN SYNDROME
WAZIRI MCHENGERWA: TAARIFA MUHIMU KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE, (COMBINATION 49)
Переглядів 1168 місяців тому
WAZIRI MCHENGERWA: TAARIFA MUHIMU KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE, (COMBINATION 49)
WANAWAKE WAJASIRIMALI WAPEWA MFUNZO YA USIMAMIZI WA BIASHARA, UJUZI NA MAARIFA/UDSM
Переглядів 438 місяців тому
WANAWAKE WAJASIRIMALI WAPEWA MFUNZO YA USIMAMIZI WA BIASHARA, UJUZI NA MAARIFA/UDSM
DEO SUKAMB: UKIMDEKEZA , UKINYANYASA MTOTO/TATIZO LA AFYA YA AKILI.
Переглядів 528 місяців тому
DEO SUKAMB: UKIMDEKEZA , UKINYANYASA MTOTO/TATIZO LA AFYA YA AKILI.
SIMU YA RAIS SAMIA KWA WANAWAKE KWENYE MKUTANO WA KUMPONGEZA KUWA KINARA WA MPANGO WA NISHATI SAFI.
Переглядів 828 місяців тому
SIMU YA RAIS SAMIA KWA WANAWAKE KWENYE MKUTANO WA KUMPONGEZA KUWA KINARA WA MPANGO WA NISHATI SAFI.
WAZIRI MKUU AONGOZA HARAMBEE WANAWAKE KUCHANGA MIL 120 KUMCHUKULIA FOMU RAIS SAMIA.
Переглядів 1458 місяців тому
WAZIRI MKUU AONGOZA HARAMBEE WANAWAKE KUCHANGA MIL 120 KUMCHUKULIA FOMU RAIS SAMIA.
PROF. CHIJORIGA: WAZAZI WEKEZENI KATIKA KUWASOMESHA WATOTO WAKIKE/WIMA.
Переглядів 508 місяців тому
PROF. CHIJORIGA: WAZAZI WEKEZENI KATIKA KUWASOMESHA WATOTO WAKIKE/WIMA.
TAWEN YAKUTANISHA WANAWAKE NA VIJANA, ELIMU NA FURSA KATIKA SOKU KUU LA BIASHARA AFRIKA.
Переглядів 388 місяців тому
TAWEN YAKUTANISHA WANAWAKE NA VIJANA, ELIMU NA FURSA KATIKA SOKU KUU LA BIASHARA AFRIKA.
WAHANDISI WAASWA KUACHA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA "KUWENI WABUNIFU"
Переглядів 178 місяців тому
WAHANDISI WAASWA KUACHA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA "KUWENI WABUNIFU"
JESHI LA POLISI LAWASAKA BODABODA WALIOCHOMA MOTO BASI LA ABIRIA/ ACHENI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI
Переглядів 498 місяців тому
JESHI LA POLISI LAWASAKA BODABODA WALIOCHOMA MOTO BASI LA ABIRIA/ ACHENI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI
DKT MAPANGO :TAFUTENI NJIA ZA ZITAKAZOSAIDIA KUONGEZA PATO LA SERIKALI BILA KUMIZA WAFANYABIASHARA
Переглядів 279 місяців тому
DKT MAPANGO :TAFUTENI NJIA ZA ZITAKAZOSAIDIA KUONGEZA PATO LA SERIKALI BILA KUMIZA WAFANYABIASHARA
WAFANYABIASHARA 84 WA SUKARI MBARONI KUPELEKWA MAHAKAMANI/ BEI ELEKEZI YA SUKARI...
Переглядів 679 місяців тому
WAFANYABIASHARA 84 WA SUKARI MBARONI KUPELEKWA MAHAKAMANI/ BEI ELEKEZI YA SUKARI...
WATU 16 WA FAMILIA MOJA WAPEWA SUMU NA MGANGA WA JADI, ASAKWA NA JESHI LA POLISI.
Переглядів 719 місяців тому
WATU 16 WA FAMILIA MOJA WAPEWA SUMU NA MGANGA WA JADI, ASAKWA NA JESHI LA POLISI.
TANZANIA NA MISRI KUELENDELEZA UHUSIANO WAO KWA KUIMARISHA SEKTA YA BANDARI
Переглядів 249 місяців тому
TANZANIA NA MISRI KUELENDELEZA UHUSIANO WAO KWA KUIMARISHA SEKTA YA BANDARI
MGAO WA UMEME KUMALIZIKA MACHI, NAIBU WAZIRI AFUNGUKA HAYA.
Переглядів 279 місяців тому
MGAO WA UMEME KUMALIZIKA MACHI, NAIBU WAZIRI AFUNGUKA HAYA.
MAKAMU WA RAIS AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA HAYATI EDWARD LOWASSA/ "ALIJITOLEA KULITUMIKIA TAIFA"
Переглядів 279 місяців тому
MAKAMU WA RAIS AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA HAYATI EDWARD LOWASSA/ "ALIJITOLEA KULITUMIKIA TAIFA"
WAHITIMU WA MAFUNZO YA ELIMU YA NGUVU KAZI, "FANYENI KAZI KWA BIDII" FURSA ZA KAZI ZA BARABARA.
Переглядів 3739 місяців тому
WAHITIMU WA MAFUNZO YA ELIMU YA NGUVU KAZI, "FANYENI KAZI KWA BIDII" FURSA ZA KAZI ZA BARABARA.
TFRA YAFUNGIA MAGHALA YA MBOLEA YA KAMPUNI YARA, KUFUNGASHA MBOLEA ILIYOKWISHA MUDA WAKE.
Переглядів 999 місяців тому
TFRA YAFUNGIA MAGHALA YA MBOLEA YA KAMPUNI YARA, KUFUNGASHA MBOLEA ILIYOKWISHA MUDA WAKE.
RAIS SAMIA : DHAMBI NI AIBU KWA JAMII, KATENDENI HAKI.
Переглядів 249 місяців тому
RAIS SAMIA : DHAMBI NI AIBU KWA JAMII, KATENDENI HAKI.
Nami nikitaka kutengneza izo shanga je? Material nayapata wapiiii
Naptkn wp contact plz
Anachoongea masanja ni kweli kama ww c mwaminifu nani atakae kuamini jiaminishe Kwa watu,by prophet chandaro dar esalama Tanzania
Nice doctor
Umeacha comedy masanja
Kweli kwa mfano mimi nipo Mpakani mwa Kenya na Tanzania Namanga ntajua ni lini?
Wacha kujitamba asingelikuwa gumbo usingetoka kihivyooo alafu unadharau sana hata bagamoyo ulilala kwenye mkeka pale baobab studio wakati tukiandaa filamu ya itunyama,,,,,
Hii ni hatari sana But God please heal them
Pharaoh kafika Tanzania.
Mimi naitaji samli napataje
Great Presentation
Mangaka sekindari
Umebadilisha maisha yangu sanaaa broo more thanks
Mbarari riversede
Shule ya sekondari kakobe
Kigoma mjini
Hakka
I feel proud kuwa sehemu ya mafunzo haya.
Hii video imebadili maisha yangu.
ua-cam.com/video/6cXLz79DMu0/v-deo.htmlsi=l-QL1GGhmskFWGrY
Subscripo kwaya viwawa Parokia ya BASHNET
Nihakika tulikutana mbeya mwanjerwa hakika muumBA aliyetuu 7:08 mba aabuniwe umilele wote
Safi sana dada Maida Waziri
Mm nikua bosi kupitia elimu Ii nimejifuza kitu apa du kumbe ss atupendi kujishulisha tuna kua na tama sana kuliko kuwa na usubutu wa kulipa galama ya Kile tunacho kitamani
Namba zenu
Asante kwa elimu bro
Malkia Mercy❤
Hongera boss hanipha
Hongera sana Da happy
Well spoken Mariam mapunda, the inspiration lady, keep moving sweetheart
Hongera sana mamii
🤗🤗🤗
Hongera sana Mke Mwee kwa hatua unayoendelea kupiga....Mwanamke Jasiri haachi asili💪🌷🌷
Hongera sana dia, Mwenyezi MUNGU aendelee kukusimamia
You are the best my dear... hongera sana sana...tutakuja dear utusafirishie mizigo...
Kuna watu wanatumia jina la msanja na sura yake kutaperi watu Naomba namba ya masanj
Masanja kunawatu wanatumia jina na sura kutaperi watu, Naomba namba ya masanja
hongera sana teacher
Hongera sana dear hapo ulipofika unastahiri Mwenyezi Mungu akufungulie zaidi na zaidi,uzidi kusaidia wengi zaidi. hanipha tarimo
👌🏽👌🏽👌🏽my cstaaa mpambanaji
Ni kweli Uaminifu ni mtaji mkubwa unaosahaulika
Hongera kipenzi allah ajaalie iwe kheri ,nikweli hii nachangamoto sana katika mustakabali wawatoto wetu
Mnapatikana wapi?
Sauti iko chini
Nachowakumbusha vijana WAANZE NA WALICHONACHO ,KAMA NI NGUVU ,KIPAJI , MAARIFA ,SH 1000 nk hakuna siri nyingine ni KUAMUA KWA UJASIRI
Kweli hayo mafungu unayasikia mifuko zaidi ya 30 ya uwekezaji ila kuupata ni kimbembeee
GREAT KAKA MASANJA
unyama mwingi
Powerful
Nahitaji plz
Kuaminiwa ni mtaji