Pesa360
Pesa360
  • 8
  • 134 831
Ujuzi Unaohitaji Ili Kufanikiwa Kiuchumi
Katika Video hii utajifunza Ujuzi muhimu ili kufanikiwa katika uchumi binafsi.
Karibu sana katika chaneli yetu; Pesa360. Tunakuletea video mpya kila wiki juu ya Uchumi binafsi na mafaniki. Hivyo kama ni mara yako ya kwanza kutembelea chaneli hii, usisahau ku'subscribe.
Vilevile unaweza kutufuatili kupitia Mtandao wa Twitter: @pesa360 ili kupata tweets zitakazokupa hamasa ya kufanikiwa zaidi kiuchumi.
Kwa maoni na mapendekezo Tuandikie kwenye eneo la comment.
Usisahau Kulike, Kushare na Ku'subscribe. Asante
Переглядів: 1 890

Відео

Mambo ya Kufanya Kiuchumi Kabla Ya Kufikisha Umri Wa Miaka 30
Переглядів 12 тис.4 роки тому
Katika Video hii utajifunza mambo ya Kufanya kiuchumi kabla ya kufikisha umri wa miaka 30. Karibu sana katika chaneli yetu; Pesa360. Tunakuletea video mpya kila wiki juu ya Uchumi binafsi na mafaniki. Hivyo kama ni mara yako ya kwanza kutembelea chaneli hii, usisahau ku'subscribe. Vilevile unaweza kutufuatili kupitia Mtandao wa Twitter: @pesa360 ili kupata tweets zitakazokupa hamasa ya kufaniki...
Aina 7 Za Vyanzo Vya Mapato
Переглядів 4 тис.4 роки тому
Katika Video hii utajifunza aina saba za vyanzo vya mapato ili kufanikiwa kiuchumi. Tuandikie kwenye eneo la comment “Chanzo cha mapato unachotaka kukifahamu zaidi. Tufuatilie katika Mtandao wa Twitter: @pesa360 Ukiipenda video hii, tafadhali like na uwashikishe wengi. Lakini pia usisahau Ku’subscribe. Asante
Siri (8) za Kufanikiwa Kiuchumi Na Reginald Mengi
Переглядів 70 тис.4 роки тому
Video hii ni muendelezo wa Video ya Jinsi ya Kuwa Tajiri Katika Nchi Maskini. Dr Reginald Mengii anaeleza ni kwa jinsi unaweza kufanikiwa katika mahali popote, huku akitoa mifano kutoka katika maisha yake binafsi. Tufuatilie katika mitandao ya Kijamii Twitter: @pesa360 Usisahau ku'like, ku'subscribe na kutuandikia ujumbe, maoni au ushauri wako katika ebeo la comment. Asante sana #Kufanikiwa #Pe...
Jinsi Ya Kuwa Tajiri Katika Nchi Maskini
Переглядів 13 тис.4 роки тому
Mara nyingi watu wengi hudhani kwamba umaskini wao umesababishwa na vitu wasivyoweza kuvibadilisha. Hivyo wengi wameridhika kuwa maskini, na kuishi maisha ya kupungukiwa kwa sababu wamezaliwa na kukua katika nchi zenye uchumi mdoogo. Leo tuna kukumbusha kuwa Utajiri au Umaskini wa nchi haumfanyi mtu kuwa Tajiri au Maskini. Bali kuwa tajiri au maskini ni Uchaguzi wa mtu. Katika video hii tutakuo...
Ushauri wa MO kwa Watu Wasio Na Mtaji | Mohammed Dewji
Переглядів 31 тис.4 роки тому
Katika Video Hii #MohammedDewji anatoa ushauri kwa wasio na #Mtaji. Je, unafikiri hatua hizi zinaweza kuwa msaada kwako? Tuandikie mawazo yako. Kwa Video nyingine nyingi kama hizi endelea kufuatilia channel hii #Pesa360 . Kila wiki tunakuletea Video mpya juu ya mafunzo ya jinsi ya kupata, kutumia na kukuza pesa. Karibu sana
Unataka kuwa tajiri? Zingatia Haya
Переглядів 2,6 тис.4 роки тому
Utajiri ni matokeo ya tabia. Jifunze kutoka katika video hii jinsi ya kufanikiwa kiuchumi. Video animated by using Animiz Soundtrack by: Superfunnysheet (Link: ua-cam.com/video/kz0ye2KJqEI/v-deo.html ) Kwa Video nyingine juu ya pesa na mafanikioFuatalia Chaneli.
Fuata hatua hizi Kufanikiwa - 2020
Переглядів 5244 роки тому
Ni shauku yetu kukuletea Picha mjongeo kila mara zitakazobadili mtazamo na fikra zako. Katika Video hii utajifunza dondoo tano zitakazokuletea matokeo chanya ndani ya mwaka huu. Tazama | Penda | Washirikishe Wengine vilevile usisahau Ku’subscribe. #Success #Motivation #Mafanikio Asante na Karibu sana.