![Criss_kulvet](/img/default-banner.jpg)
- 11
- 20 529
Criss_kulvet
Приєднався 20 тра 2021
Відео
BONGO STAR SEARCH S2KYS ALIVO FIKA KAMBINI KWA WASHIRIKI
Переглядів 1,8 тис.3 дні тому
WASHIRIKI WA BONGO STAR SEARCH WALIVYO INGIA STUDIO ZA PLUTO STUDIO ZA ZOMBII S2KYS
Переглядів 2,1 тис.3 дні тому
BONGO STAR SEARCH CRISS KULVET ALIVOIMBA NAIROBI YA MARIO FT BIEN
Переглядів 16 тис.4 дні тому
RAYLON COVER BY CRISS KULVET KIJANA FUND KWENYE GUITAR
Переглядів 847 днів тому
Melanin Official Lyrics By Criss_kulvet
Переглядів 29623 дні тому
COVER BY CRISS_KULVET.......NAME SONG BARUAA BY SAUTISOL......
Переглядів 20626 днів тому
Long time Criss_kulvet ft manuva
Переглядів 1729 місяців тому
9miles vibration LIVE ON STAGE (@Twiga beer) Gita tatu mziki MZURI
Переглядів 82Рік тому
9miles vibration LIVE ON STAGE (Mkeka na kanga)Festival..... Hatari sana
Переглядів 169Рік тому
Back up bana iko mbovu, Do something about it next time pia mimi nashiriki😂😂😂😂
jamaa anajua sanaaaaaaaaa
Good performance
Noma sana
hapa master J amegundua kitu, issue siyo key mkuu ni vocal range ndogo however kwa some part of the song the vocal matched ila hapo kwenye watangoja saaana vocal range was somehow not fiting ila Master J jifunze mziki unaabisha Taifa
song iko sawa ...key ndio mbovu ...
yooh broh here we go💥 next time wacha tuuwe na RNB
Imba verse ya marioo wewe achana na ya bien wetu
Best songs
Kapowasn leo
Out of Q ila good performance
NAAMINI KATIKA KIPAJI CHAKO ILA SIAMINI KATIKA WIMBO ULIYOCHAGUA LEO
Amehalibu sana hii nyimbo 😢😊
we ungeweza aloo 🤬🤐🤐
Tulia fatuma unaelewa nn👺
Msije mukawa waongo huyu naye ameunguza bet 😅
Kaimba vzr lkn ..wapigaji instrumental hawajamfanyia vizuri
Umezingua wimbo umekushinda kwa asilimiazote
Wimbo mzuri kuna sehemu sehemu umezurula but haikufanyi kuwa hauna kipaji
Chris mm shabki yako tena kenya nakupenda snaa umetisha kinoma, 🔥
@@AbigaelTende ❤️❤️❤️
Wrong choice of songs
Wrong choice
Wapi leo ujauwa ata
Leo haujakazaa mastaa
Yap kunaa sababu......na mtu kama sioo musicing awezi elewa.......kua key nilio pigiwa haikua......key yangu 😊
Hukufanya mazoez?? Unakipaji chahua nyimbo za key yako@Crisskulvert9734
All the best 🔥🔥
Easy😮
Umetisha Sana ❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🙌
Chagua hit song Kuimba unaweza san
Wa kwanz kukomment Jitahid top 5 bss upo mkuu
Perfect 🎉❤
Damn this is a hit🔥🔥..meen...From KE🇰🇪... I need to work with you brother 🇹🇿 X 🇰🇪
Love from Kenya
nyimbo nzuri sana hongeraa kwa kaz nzuri
Kazi ni nzuri sanaaa 🎉🎉🎉
Vitu vimepigwa vizuri mno, 🔥🔥🔥🔥🔥
🙌🙌🔥🔥
On fire 🔥 🎉🎉🎉
Manager Niko hapa lazima tufike mbaliiii🔥🔥
Chriss my star🎉🎉🎉🎉❤
Pamoja sanaa
fire 🎉🎉🎉🎉🎉
nakukubal San mwamba
Pamoj sana
Kali Sanaaaaa 🎉🎉
Booooom 💥
Kali🔥🔥🔥🔥
U Guys Are my Favorite Keep Going Buddahz❤
Ka boom fire
🔥 nice xan
🥹✊🏼🔥🔥
✌🏾
✌🏾
😂❤