- 424
- 61 614
TPHPA HABARI TV
Tanzania
Приєднався 19 тра 2020
Chaneli Mahususi kwaajili ya kutoa Elimu na Habari kwa Wadau wa Afya ya Mimea, Viuatilifu na Wakulima kwa Ujumla.
Wataalamu wa Vinyunyizi wawataadharisha Wakulima -Mbinga//Wakulima watoa Heko kwa TPHPA
Wataalamu wa Vinyunyizi wawataadharisha Wakulima -Mbinga//Wakulima watoa Heko kwa TPHPA
Переглядів: 29
Відео
TPHPA yatembelea Viwanda vya wazalishaji wa Viuatilifu,Watoa onyo kwa Viwanda visivyofuata utaratibu
Переглядів 962 години тому
channeli mahususi kuhusu masuala ya afya ya mimea na viuatilifu Tanzania
TPHPA yawajengea uwezo wa Kudhibiti Panya waharibifu//Wataalamu kutoka PPD -Zanzibar
Переглядів 897 годин тому
channeli mahususi kuhusu masuala ya afya ya mimea na viuatilifu Tanzania
TPHPA yafanya ukaguzi Mkali Dar//Wafanyabiashara wafunga maduka na Wengine watelekeza maduka Wazi
Переглядів 2367 годин тому
channeli mahususi kuhusu masuala ya afya ya mimea na viuatilifu Tanzania
TPHPA yawajengea uwezo Wakulima wa Parachichi Siha//Wazungumzia Visumbufu vilivyopunguze Uzalishaji
Переглядів 15716 годин тому
channeli mahususi kuhusu masuala ya afya ya mimea na viuatilifu Tanzania
Udhibiti wa Baa la Panya Kisarawe wamwibua DC Magoti aimwagia Sifa TPHPA::Amtaja Prof Joseph Ndungu
Переглядів 14716 годин тому
channeli mahususi kuhusu masuala ya afya ya mimea na viuatilifu Tanzania
Hotuba ya Prof. Ndunguru wakati wa kukabidhi Vitendea Kazi Yasheheni makubwa yaliyofanywa na Mamlaka
Переглядів 148День тому
channeli mahususi kuhusu masuala ya afya ya mimea na viuatilifu Tanzania
Wadau wa Viuatilifu wakutana kujadili Rasim Ya Mwongozo Wa Vibandiko Vya Viuatilifu Utakaotumika EAC
Переглядів 12514 днів тому
channeli mahususi kuhusu masuala ya afya ya mimea na viuatilifu Tanzania
TPHPA Yaja na Zahanati ya Huduma za Afya ya Mimea Katika Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani!
Переглядів 12721 день тому
channeli mahususi kuhusu masuala ya afya ya mimea na viuatilifu Tanzania
Njia zà kugundua ubora wa viuatilifu na udhihiti visumbufu kibalojia- wataalam waeleza Gairo
Переглядів 10521 день тому
Njia zà kugundua ubora wa viuatilifu na udhihiti visumbufu kibalojia- wataalam waeleza Gairo
WAKULIMA NA WAFANYA BIASHARA WAELEZEA NAMNA WALIVO NUFAIKA NA MAFUNZO YA TPHPA
Переглядів 12928 днів тому
WAKULIMA NA WAFANYA BIASHARA WAELEZEA NAMNA WALIVO NUFAIKA NA MAFUNZO YA TPHPA
KAIMU MENEJA WA KANDA YA MASHARIKI TPHPA DKT.MAHAMUDU SASAMALO ,ASISITIZA HILI,WANANCHI WASHANGILIA
Переглядів 12128 днів тому
KAIMU MENEJA WA KANDA YA MASHARIKI TPHPA DKT.MAHAMUDU SASAMALO ,ASISITIZA HILI,WANANCHI WASHANGILIA
Wataalam Kitengo cha kudhibiti ubora,Kituo cha airport TPHPA wafunguka haya Katika maonesho Gairo
Переглядів 8628 днів тому
Wataalam Kitengo cha kudhibiti ubora,Kituo cha airport TPHPA wafunguka haya Katika maonesho Gairo
WATAALAM WAKIZUNGUMZIA UDHIBITI WA PANYA,UTARATIBU WA USAFIRISHAJI MAZAO NJE YA NCHI
Переглядів 11128 днів тому
WATAALAM WAKIZUNGUMZIA UDHIBITI WA PANYA,UTARATIBU WA USAFIRISHAJI MAZAO NJE YA NCHI
Mamlaka yaja na Dozi Maalumu kwaajili ya Wakazi wa Bukoba na Viunga vyake
Переглядів 37628 днів тому
Mamlaka yaja na Dozi Maalumu kwaajili ya Wakazi wa Bukoba na Viunga vyake
KIPINDI MAALUMU: TPHPA YAANZA MATUMIZI YA AKILI BANDIA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MIGOMBA
Переглядів 288Місяць тому
KIPINDI MAALUMU: TPHPA YAANZA MATUMIZI YA AKILI BANDIA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MIGOMBA
ZAIDI YA EKARI 700 ZA MPUNGA WILAYANI MOSHI ZAOKOLEWA DHIDI YA KWELEAKWELEA
Переглядів 133Місяць тому
ZAIDI YA EKARI 700 ZA MPUNGA WILAYANI MOSHI ZAOKOLEWA DHIDI YA KWELEAKWELEA
Huu hapa ndio Mradi wa kuimarisha Huduma za Afya ya Mimea na Usalama wa Chakula (STREPHIT)
Переглядів 46Місяць тому
Huu hapa ndio Mradi wa kuimarisha Huduma za Afya ya Mimea na Usalama wa Chakula (STREPHIT)
Naibu Waziri Silinde Azindua Mchakato wa Kufungua Masoko Mapya kwa Mazao ya Kipaumbele Tanzania
Переглядів 128Місяць тому
Naibu Waziri Silinde Azindua Mchakato wa Kufungua Masoko Mapya kwa Mazao ya Kipaumbele Tanzania
Tanzania yaanza Mchakato wa Ufunguzi wa Masoko ya Mazao 8 katika nchi 14
Переглядів 212Місяць тому
Tanzania yaanza Mchakato wa Ufunguzi wa Masoko ya Mazao 8 katika nchi 14
WAKULIMA MKOANI NJOMBE WAPATIWA MBINU BORA ZA UZALISHAJI WA ZAO LA PARACHICHI.
Переглядів 50Місяць тому
WAKULIMA MKOANI NJOMBE WAPATIWA MBINU BORA ZA UZALISHAJI WA ZAO LA PARACHICHI.
HUU HAPA UTARATIBU WA USAJILI WA VINYUNYIZI
Переглядів 3252 місяці тому
HUU HAPA UTARATIBU WA USAJILI WA VINYUNYIZI
WASHIRIKI WA MAFUNZO YA MATUMIZI SAHIHI NA SALAMA YA VIUATILIFU KANDA YA ZIWA WAIPONGEZA TPHPA
Переглядів 1632 місяці тому
WASHIRIKI WA MAFUNZO YA MATUMIZI SAHIHI NA SALAMA YA VIUATILIFU KANDA YA ZIWA WAIPONGEZA TPHPA
MRATIBU WA MAFUNZO TPHPA AFUNGUKA ,MKULIMA AELEZA MAKOSA ALIYOYAFANYA ,
Переглядів 1832 місяці тому
MRATIBU WA MAFUNZO TPHPA AFUNGUKA ,MKULIMA AELEZA MAKOSA ALIYOYAFANYA ,
Tuzo ya Mhe. Dkt. Samia kwa Mamlaka yawaibua wakulima wa Mpunga Wilaya ya Mvomero
Переглядів 2302 місяці тому
Tuzo ya Mhe. Dkt. Samia kwa Mamlaka yawaibua wakulima wa Mpunga Wilaya ya Mvomero
Umahiri wa TPHPA katika kudhibiti visumbufu vya Mimea wamfanya Mhe. Dkt. Samia Hassan kuipa tuzo
Переглядів 4832 місяці тому
Umahiri wa TPHPA katika kudhibiti visumbufu vya Mimea wamfanya Mhe. Dkt. Samia Hassan kuipa tuzo
TPHPA Mfano wa Mamlka ya umma ya mfano iliyounganishwa na kufanya mabadiliko makubwa kwa muda mfupi
Переглядів 2442 місяці тому
TPHPA Mfano wa Mamlka ya umma ya mfano iliyounganishwa na kufanya mabadiliko makubwa kwa muda mfupi
“Hakikisheni mnazuia Mianya ya Upotevu wa Mapato” Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Mhe. David Silinde
Переглядів 742 місяці тому
“Hakikisheni mnazuia Mianya ya Upotevu wa Mapato” Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Mhe. David Silinde
Prof. Joseph Ndunguru azidi kupiga hatua kueleza mchango wa Mamlaka katika ukuwaji wa Uchumi
Переглядів 652 місяці тому
Prof. Joseph Ndunguru azidi kupiga hatua kueleza mchango wa Mamlaka katika ukuwaji wa Uchumi
Wadau wakutana Arusha Kuweka Mikakati ya Kudhibiti Matumizi ya Viuatilifu kama Njia ya Kujitoa Uhai
Переглядів 1242 місяці тому
Wadau wakutana Arusha Kuweka Mikakati ya Kudhibiti Matumizi ya Viuatilifu kama Njia ya Kujitoa Uhai
Tunawashukuru sana walezi wetu TPHPA kwa ziara hii Kazi Iendelee
safii
Hongereni sana TPHPA ni hatua kubwa sana mungu afanye wepesi zaidi
Hongereni Sana Tphpa..
Parachichi, ndizi, nanasi, soya, pilipili, tumbaku, Mashudu ya alizeti kwa soko la China, India na Africa kusini.
👏👏👏👏👏 kazi nzuri kwa Tphpa
Photographer with such a posture!😂😅😂
Best agriculture Minister
Good bro
Kazi nzuri
Good brain Sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Shukrani kwa elimu nzuri
Ni vitu Gani havitakiwi kuwekwa kwenye viuatilifu
Asante TPHPA
Asanteni kwa kutukaribisha, na kusikilizana. Zaidi hongereni kwa fikra pana, kuanzisha kongamano la namna hii na wadau
Hakika wewe ni brain
Congratulations team
Watu watakujua tu msimu huu!
The brain mungu akupe nguvu zaidi
Bravo
Mabadiliko, Mageuzi,Mapinduzi,Miujiza. Mnastahili pongezi nyingii.. kwa muujiza huu maana hii taasisi haiko maskioni na vinywani mwa watz. wengi kama taasisi nyingnezo mfano hiyo no 2 Utt.
Hongera TPHPA,tuendelee kuchapa kazi
Kazi iendelee
Hongera Sana mzeey wety Wana ruvuma tuna haki ya kujivunia
Safii
Mimi ni Mwanafunzi wa chuo Nipo Mkoa wa Mbeya nina shida na mafunzo, Kila ninapotaka kulipia gharama ya mwanafunzi nazuiliwa naambiwa hayajaandaliwa kwaajili ya wanafunzi natakiwa nilipie laki nne kama wanufaika wengine nakwamia apo naomba mnisaidie Nina kile kiwango Cha wanafunzi nataka kujifunza
Kofi moja kwa Mwl jumanne
Hongereni sana kwa elimu mnayoitoaa TPHPA,, ( Tanzani plant heath pestcide authorities
Respect research technician
Baadae mtawatafuta kwa tochi mfano saivi mkoa mara nyangenyange, rikong'ai, rimelanchoka hakuna hii kutokana na kuwateketeza, wenzatu wanawatunza lkn tunapewa tuwamaliza
So bliriant
Hao ndege hawana sumu ukiwala?
Jaman leo nkula kujigalagaza
This approach, according to ecosystem services or balance , is prohibited. You need to think the right solution to run away that birds but not to apply birdcides . We depending to each other so, even the birds have the right to survive according to wildlife policy. Tutakosa hata viteweo kwa mfumo huo. There are lot of methods of disturbing birds not to kill them.
Mpaka hapo tu inaonesha wewe si mkulima na huna machungu na athari tunazozipata, ebu tupe hiyo mbinu
Eco system imeharibia kidogo tukifanya ESIA itakuwaje ?
Kwanini! Munge wafukuza hapana kuwauwa wanakazi wakura vidudu Musirudi tena
Inasikitisha sana kwa uamuz huu wa kuteketeza viumbe hawa , haukuwa njia sahihi . Kuna kitu kimoja hapo wanaohusika hawajakifahamu.. na inasikitisha sana kuuwa viumbe ambao ni sehemu ya pato la taifa 😢. Wizara ya Kilimo ikae na wizara ya Maliasili wajadili njia ya kufanya
Halafu Mkoa wa Mbeya kwa uzuri wake wote huo, kwa nini hauja fanyiwa “MASTER PLAN” mpaka leo? TATIZO NINI?
Hawa kwelea kwelea, hamkupaswa kuwaua kwa sumu. Mlipaswa mfanye utaratibu wa kuwanasa. Ili wawe vitoweo kwa wananchi. Napia hata kuwauza kwa wanao wahitaji.
Kweli kabisa 👏🏾🙌🏾🙏🏾👍🏾
Kofi moja 😂😂😂
Kofi moja kwenu mungu awabariki sana
Wao, imeenda hiyo,
Hongereni sana TPHPA mnafanya kazi nzuri. Wakulima wa Dodoma pia tunawasubiri
Mungu azidi kuwaongoza TPHPA Mzidi kuwapa watu Elimu wapate tija katika maisha yao kupitia Kilimo
Hongera sana Prof Ndunguru! Mungu anaona kazi unayoifanya katika taifa lako
Asante #TPHPA
❤❤
Ujumbe mzuri kwa taifa ahsante sana
Great
Safi sana TPHPA