- 64
- 44 354
MUTABUZI ONLINE TV
Приєднався 6 вер 2024
CHAUMA NA STAILI MPYA YA KUOMBA KURA KWA WANACHAMA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MKOANI MBEYA.
Chama cha ukombozi wa umma (chauma)mkoani mbeya kimeendelea na kampeini zake za kutangaza sera kwa wananchi ili kipate ridhaa ya kuongoza mitaa,vijiji na vitongoji katika uchanguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27 november 2024.
Переглядів: 55
Відео
UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA KAWE CCM HATUCHEKI NA MTU KWENYE KUSHIKA DOLA TUMEJPANGA,-CPA MAKALA-
Переглядів 4917 годин тому
CCM HATUCHEKI NA MTU KATIKA KUSHIKA DOLA,TUMEJIPANGA- CPA MAKALLA*. KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu wamejipanga kuhakikisha wanashinda kwa kishindo. CPA Makalla ameyasema hayo leo Movemba 23,2024 alipokuwa ...
WILAYA YA SAME KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KWENYE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA VIJIJI NA VITONGOJI
Переглядів 762 години тому
MKUU WA WILAYA YA SAME KILIMANJARO BI KASILDA MGENI AONGOZA WADAU WA MAZINGIRA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI SAMBAMBA NA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KWENYE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA VIJIJI NA VITONGOJI
UFUNGUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NA KUWA NADI WAGOMBEA MKOA WA PWANI -KIBAHA
Переглядів 1182 години тому
#kwamkapa #live #lupaso #inaumiza #yangaleo #mashabikiwasimba #simba #mashabikiwasimba #serikali #tanpol #mashabikisimbayanga
VYAMA VYA SIASA VYA ANZA KAMPEINI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA VIJIJI NA VITONGOJI
Переглядів 1224 години тому
#mashabikisimbayanga #kwamkapa #live #lupaso #serikali #tanpol #kwamkapa #tanpol #serikali #simba #
VYAMA VINGINE TLP, UNDP,UPDP NA ,CHAMA CHA MAKINI, NAVYO VYATOA KAULI UCHAGUZI SM
Переглядів 799 годин тому
#kwamkapa #live #lupaso #inaumiza #yangaleo #mashabikiwasimba #simba #mashabikiwasimba #serikali #tanpol #mashabikisimbayanga
VYAMA VYA SIASA BAADHI VYATINGA MANISPAA YA KINONDONI KUJUA HATMA YAO BAADA YA KUENGULIWA MAJINA
Переглядів 109 годин тому
mutabuzitvupdate#mashabikisimbayanga #kwamkapa #live #lupaso #yangaleo #tanpol #mashabikiwasimba #serikali #inaumiza #simba
WAZIRI MKUU AUNGANA NA WATANZANIA KUAGA MIILI YA WATU WALIO POTEZA UHAI KWENYE AJALI KARIAKOO
Переглядів 1012 годин тому
#mutabuzitvupdate#mashabikisimbayanga #kwamkapa #live #lupaso #yangaleo #tanpol #mashabikiwasimba #serikali #inaumiza #simba
WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AAGIZA NIFFER AKAMATWE ,AHOJIWE AELEZE NANI KAMUAGIZA ACHANGISHE
Переглядів 11312 годин тому
#mutabuzitvupdate#mashabikisimbayanga #kwamkapa #live #lupaso #yangaleo #tanpol #mashabikiwasimba #serikali #inaumiza #simba
THRDC WAUNGANA NA WATANZANIA NA WAHANGA WA AJALI YA GHOROFA NA KUTOA TAMKO ZITO
Переглядів 1314 годин тому
#mutabuzitvupdate#mashabikisimbayanga #kwamkapa #live #lupaso #yangaleo #tanpol #mashabikiwasimba #serikali #inaumiza #simba
RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WANANCHI KUFUTIA KUPOROMOKA KWA GHOROFA KARIAKOO
Переглядів 12014 годин тому
#mutabuzitvupdate#mashabikisimbayanga #kwamkapa #live #lupaso #yangaleo #tanpol #mashabikiwasimba #serikali #inaumiza #simba
MGOMBEA MISENYI ALALAMIKA KUENGULIWA KWA MADAI KUWA NA UMRI MDOGO WA MIEZI SITA TUU
Переглядів 11714 годин тому
#mutabuzonlinetv#mashabikisimbayanga #kwamkapa #live #lupaso #serikali #mashabikiwasimba #yangaleo #yangaleo #inaumiza #simba
HALI ILIVYO KARIAKOO MUDA HUU ,HARAKATI ZA UOKOAJI ZIKIENDELEA
Переглядів 33316 годин тому
#sheikhkiski#MUTABUZ #film#muhammadﷺ #bachuuu #sheikhhamdan #africa #injiliyakristo #injiliyakristo @sheikhahmadullahofficial @Muhammad_Nassor_Bachu_. @KishkiOnlineTV #sheikhhamdan #sheikhhamdan
WAZIRI MKUU AFIKA KARIAKOO KUSHUHUDIA JITIHADA ZA UOKOJI NAKUTOA POLE KWA HANGA WA AJALI YA GHOROFA
Переглядів 18116 годин тому
#kariakoo#mashabikisimbayanga #kwamkapa #live #lupaso #tanpol #inaumiza #serikali #mashabikiwasimba
VILIO NA HUZUNI KARIAKOO CHEKI JINSI HUYU MAMA ALIVYO OKOLEWA KUTOKA KWENYE GHOROFA
Переглядів 1,1 тис.19 годин тому
#mashabikisimbayanga #kwamkapa #live #inaumiza #lupaso #yangaleo #serikali #simba #mashabikiwasimba #tanpol
HALMASHAURI YA MKURANGA YATOA UFAFANUZI WA MAPINGAMIZI NA RUFAA KUELEKEA UCHAGUZI SM
Переглядів 10319 годин тому
HALMASHAURI YA MKURANGA YATOA UFAFANUZI WA MAPINGAMIZI NA RUFAA KUELEKEA UCHAGUZI SM
#MUHIMBILI-MLOGANZILA YAPANUA WIGO WA MATIBABU YA UGONJWA YA KISUKARI
Переглядів 10921 годину тому
#MUHIMBILI-MLOGANZILA YAPANUA WIGO WA MATIBABU YA UGONJWA YA KISUKARI
BAADA YA WARAKA WA WAZIRI MWENYE DHAMANA YA TAMISEMI CHADEMA KINONDONI WAWEKA YAO HADHARANI
Переглядів 488День тому
BAADA YA WARAKA WA WAZIRI MWENYE DHAMANA YA TAMISEMI CHADEMA KINONDONI WAWEKA YAO HADHARANI
MAAJABUYA CCM YAITAKA TAMISEMI KUPUUZA MAPINGAMIZI YALIYOWEKWA KWA WAPINZANI ILI WAGOMBEA WAWE WENGI
Переглядів 298День тому
MAAJABUYA CCM YAITAKA TAMISEMI KUPUUZA MAPINGAMIZI YALIYOWEKWA KWA WAPINZANI ILI WAGOMBEA WAWE WENGI
MKUU WA WILAYA YA ILALA AZINDUA KONGAMANO LA MAFUNZO, YA MIKOPO YA 10%KWA WAJASIRIAMALI DSM
Переглядів 16День тому
MKUU WA WILAYA YA ILALA AZINDUA KONGAMANO LA MAFUNZO, YA MIKOPO YA 10%KWA WAJASIRIAMALI DSM
WAZIRI MKUU AAGIZA WIZARA KUPUNGUZA CHANGAMOTO ZA KUCHELEWA KWA TAARIFA KWA KUSOMANA MIFUMO
Переглядів 174День тому
WAZIRI MKUU AAGIZA WIZARA KUPUNGUZA CHANGAMOTO ZA KUCHELEWA KWA TAARIFA KWA KUSOMANA MIFUMO
#MWAROBAINI WANAOHUJUMU MIUNDOMBINU YA RELI YA KISASA YA SGR,MHE SELEMANI KAKOSO.
Переглядів 39414 днів тому
#MWAROBAINI WANAOHUJUMU MIUNDOMBINU YA RELI YA KISASA YA SGR,MHE SELEMANI KAKOSO.
VYUO VYA AFYA NA TIBA VYA EXCELENT VYAENDESHA KONGAMANO LA UCHAGIAJI DAMU SALAMA
Переглядів 31714 днів тому
VYUO VYA AFYA NA TIBA VYA EXCELENT VYAENDESHA KONGAMANO LA UCHAGIAJI DAMU SALAMA
MANISPAA YA KIGAMBONI INAENDA KUBADILIKA INAKUA KAMA ULAYA UJENZI WA HOSTELI UNAENDELEA
Переглядів 5814 днів тому
MANISPAA YA KIGAMBONI INAENDA KUBADILIKA INAKUA KAMA ULAYA UJENZI WA HOSTELI UNAENDELEA
SERIKALI YAELEZA JITIHADA INAZOCHUKUA KUWEZESHA MATUMIZI YA GESI KWENYE MAGARI
Переглядів 7514 днів тому
SERIKALI YAELEZA JITIHADA INAZOCHUKUA KUWEZESHA MATUMIZI YA GESI KWENYE MAGARI
FAMILIA YA BIBI WAMUANGUKIA RAIS SAMIA NA MKUU WA MAJESHI KUINGILIA KATI UTATA WA KUBOMOLEWA NYUMBA
Переглядів 37814 днів тому
FAMILIA YA BIBI WAMUANGUKIA RAIS SAMIA NA MKUU WA MAJESHI KUINGILIA KATI UTATA WA KUBOMOLEWA NYUMBA
WANANCHI WATISHIA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI DHIDI YA WACHIMBA MICHANGA
Переглядів 17921 день тому
WANANCHI WATISHIA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI DHIDI YA WACHIMBA MICHANGA
WAZIRI MKENDA AZINDUA BARAZA LA UONGOZI NACTVATE AKISISTIZA MAPINDUZI ELIMU YA UFUNDI
Переглядів 9121 день тому
WAZIRI MKENDA AZINDUA BARAZA LA UONGOZI NACTVATE AKISISTIZA MAPINDUZI ELIMU YA UFUNDI
MAJI HAYANA MBADALA, TUNAFANYA KILA TUWEZALO KUWAPA HUDUMA" AWESO
Переглядів 8621 день тому
MAJI HAYANA MBADALA, TUNAFANYA KILA TUWEZALO KUWAPA HUDUMA" AWESO
KIMEUMANA! WALIOKATWA KUGOMBEA CCM WAKIWASHA OFISI NDOGO LUMUMBA, WATAKA WARUDISHWE!
Переглядів 2,3 тис.21 день тому
KIMEUMANA! WALIOKATWA KUGOMBEA CCM WAKIWASHA OFISI NDOGO LUMUMBA, WATAKA WARUDISHWE!
Pole sn my daer
Acha upuuzi huo Nchimbi mungu anakuona mbona ccm ndo wengine wasio jua kusoma na kuandika Tena mmeweka.mizee
Acheni uongo,hao ni wanachama halalinwa ccm,usidanganye watu,hiyo ndo kazi yenu ya kuiba kura sas mnaibiana wenyewe,mnajifanya hao sio ccm?😊
Inauma kumbe kuibiwa kuraeee
Karibu chadema
Ubaya ubwela ndio huo sasa
Uchawa mama samia ndiyo nini sasa
Bado hujasema,na bado
Mwandishi nakujua
CCM n kubwa zaid ya wewe unaejiita mzee kutoka Nzasa A. Katibu wa Wazazi Wilaya ebu msaidieni huyo Mzee wenu. Mkumbushen CCM ni kubwa zaidi ya yeye. Pia mwambien akitaka aende huko upinzani akawasaidie ili wapate kura. LENGO LA KILA CHAMA CHA SIASA NI KISHIKA DOLA, SASA KAMA WAO/YEYE YUPO CCM NA WANA/ANAMPANGO WAKUTUKWAMISHA TUSISHIKE DOLA HAFAI KUWA NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI, WAENDE/AENDE HUKO UPINZANI akawasaidie kushinda uchaguzi
Polen sana Viongozi wa Wilaya ya Temeke kwa kuwa na wanachama wa ovyo kama huyo wa Nzasa A. Kwanza hafai kuwa mwananchama wa Chama chenu. Pili chukueni kadi yenu ya Chama mapema sana kwa huyo jamaa alieamua kusimama mbele ya media kukichafua chama kwa kujificha kwenye kichaka cha M/kiti wa CCM Taifa.
Ww unatetea hicho kilichotokea haki kwako mwiko ulitaka asimame wapi aseme amenyimwa haki yake acha uchawa
@MssamiMsuya kila chama kina ya taratibu zake za kusikiliza malalamiko n.k. Hakuna chama kinachosolve mamalamiko kwakuwa ww umeita waandishi wa habari nje ya ofisi na kuanza kulalamika, tena sio kulalamika ila nikiwatisha kuwa wasipofanya hivyo ww mwanachama mmoja au kikindi cha watu fulan hauta/hamtakisaidia chama chenu kusaka ushindi. Pia mimi sio chawa na sijaandika kwa mihemko kama wewe. Kama unahoja ilete hapa nikupe darasa acha kudandia comment
AKili kubwa siku zote huongoza akili ndogo ccm haindeshwi kwa mihemko!!!
Ni lini ugozi utakuwa mali ya wanainchi sawa sawa na katiba? ili wawe na haki ya kumpa yule wanayemtaka.
Jmn muache unafiki mh mbwerwa apewe aki yake wananchi tunampenda ccm oyeeeee
Hahahah kumekucha
Mungu,unabaki kuwa Mungu 😭🙏🏽
Mungu Ndie anaejua kesho yetu wapendwa leo ndo ya kwetu😢😢
Tafakuri ni muhimu
Ila pamoja na haya majonzi kanisa tumrudieni Mungu tufanye ibada ya maombolezo hali ikiendelea hivi tutaendelea Julia kila siku yapasa tumuombe Mungu aturehemu ,Kwa wiki moja hii jpili tumepoteza ndugu zetu darajani Moshi ,Jana asubuhi basi 2 zimegongana Mwanza ,na hili hapa ndani ni misiba mizito mnoo ,Kanisa tumwangukie Mungu
Mungu awefaraja kwa kanisa na wanafamilia.
Mungu na akatamalaki ktk tukio hili. Amina
Poleni sana usharika wa wazo hill pamoja na kanisa la KKKT
Jamani poleni Mungu awatie nguvu 😢😭😭🙆😊
Polen sana
R. I.P
Poleni sana wote walio guswa na msiba huu mzito, Mungu awape faraja 🙏
😭😭😭😱🙆 poleni sana jamanii inaumaa
Poleni sana usharika wa wazo hili
Poleni kwa msiba wazo Hill 😢😢😢😢
Poleni sana😢😢😢😢😢😢😢
Poleni sana wote mlioguswa na msiba huu, Mungu awe faraja kwa kipindi hiki kigumu
Congratulations MUTABUZI TV
Poleni sana jamani kazi ya mungu aina makosa
Poleni kwa msiba
Poleni sana Watumishi wa Bwana kwa msiba mkubwa huu. Mungu Awe Mfariji kwenu 🙏🏽
Duu poleni saaana
Ni majonzi sana jamani. Mungu awapumzishe kwa amani. Mungu awe mfariji mkuu. So sad
Good mama huko vizuri
Mmmm! Leo kaotea mwamba.😂😂
Habari nzuri na ujumbe muruhaa
Haaaah jamani
Hongereni sana ,,na hongera pia Mutabuzi online tv kwa KAZI njema ,,tuko pamoja
Safii👏🏾👏🏾👏🏾,Mwenyezi Mungu akawazidishie mara dufu🤲🏾
Mungu awabariki sana
🤔🤔🤔
SERIKALI YATOA UFAFANUZI WA ALIYETAJWA KUWA SAMAKI MKUBWA KUWA NI MNYAMA WA BAHARINI KAMA ALIVYO NYANGUMI WANAZAA KWA UCHUNGU NA KULEA KUTUNZA WATOTO WAO NAKUELEZA NIA YA KUHIFADHI VIUNGO VYAKE WA MAFUNZO NA UTAFITI Mkurugenzi wa makumbusho na mambo ya kale anaeleza mnyama huyu dolphin kiswahili pomboo atahifadhiwa makumbusho ya taifa la Tanzania kwa ajili ya 1. Kutoa elimu kwa jamii kuhusu uhifadhi wa viumbe hawa 2. Tafiti mbalimbali kwa wataalamu
Good❤
Mandonga Unahitajika Hapa😂😂💃💃💃💃
Hongera my brother MUTA. Tupo tayari kupata Good News.
🎉🎉