Mbeyainfo TV
Mbeyainfo TV
  • 59
  • 35 394
BENKI YA PBZ YAANZA KAZI RASMI MBEYA
Leo imeakuwa siku ya kihistoria ambapo Benki ya watu wa Zanzibar imeanza rasmi baada ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufungua Rasmi .
PBZ ni Benki inayomilikiwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ni Benki ya saba kwa ukubwa Nchini ikiwa na mtaji wa zaidi Trilioni mbili . Viongozi wa Serikali, Dini na Mila walihudhuria na kuunga mkono kwa kufungua akaunti papo hapo.
Benki ya watu wa Zanzibar, ilianzishwa mnamo tarehe 30.06.1966 kwa mujibu wa Sheria za Makampuni ya Zanzibar kifungu 153 ambayo mmiliki wake asilimia mia moja (100%) ni Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Переглядів: 184

Відео

MANENO YA MRISHO MPOTO: UTIAJI SAINI MIKATABA YA UJENZI STENDI MPYA YA MABASI YA MKOA WA MBEYA
Переглядів 3676 місяців тому
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mhe.Dkt.Tulia Ackson na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Mohamed Mchengerwa wakishuhudia utiaji saini ujenzi wa miradi ya barabara kupitia Mradi wa uboreshaji Miji Tanzania(TACTIC) katika Jiji la Mbeya, Standi Kuu ya mabasi ya Mkoa na ujenzi wa Soko la Sokomatola ambayo yote kwa pamoja ina th...
MKOA WA MBEYA WAADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA (2024)
Переглядів 1366 місяців тому
Asante mama Kwa uwanja wa mashujaaa uliotujengea ,Tunakuahidi tutawaenzi .... Lakini mdomo wangu unakosa vya Kusimulia, sikuwepo wakati wanalipambania Taifa... Na Huku Mtaani Wala siwasikii wakiimbwa kama akina Diamond platinum na Alli mtoto wa kina.. Wameamua kutupa kauli ngumu tu, eti waoga husimama mbele ya makaburi ya mashujaa, kwasababu ya uoga wao. Mnarani Leo tulisimama kuwaenzi,Nilichoa...
VIONGOZI WA DINI MBEYA WAINGILIA KATI WALIMU WASIKAE MBALI NA WENZA WAO
Переглядів 1126 місяців тому
"Ili kuongeza chachu walimu kufundisha vizuri ni muhimu Walimu kuwa karibu na wenza wao kwa afya ya akili lakini pia ukizingatia na hali ya baridi Mbeya wapate joto"
MAJERUHI WAZUNGUMZA JINSI AJALI ILIVYOTOKEA PALE MBEMBELA MBEYA
Переглядів 4417 місяців тому
Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali ya barabarani iliyotokea jana Juni 5,2024 eneo Mbembela Jijini Mbeya imeongezeka kutoka watu 13 na kufikia 15. Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Dkt.Godlove Mbwanji akizungumza na waandishi wa habari amesema jana walipokea jumla ya wahanga 34 , kati ya hao waliofariki walikuwa 13 na majeruhi 21 kati ya hao majeruhi 21 wawili...
13 WAFARIKI AJALI MBEYA
Переглядів 3,7 тис.7 місяців тому
Watu 13 wafariki kwa ajali na 18 kujeruhiwa baada ya Lori lililokuwa likielekea Tunduma kugonga gari aina ya Costa iliyokuwa ikitokea Tunduma kuelekea Mbeya Mjini eneo la Mbembele leo tarehe 5 Juni, 2024.
NDOTO YA IRENE UWOYA KUIGUSA MBEYA YATIMIA
Переглядів 2069 місяців тому
NDOTO YA IRENE UWOYA KUIGUSA MBEYA YATIMIA
WALIOPOROMOKEWA NA MLIMA KATA YA ITEZI WAPOKEA MSAADA WA LITA 100 ZA MAFUTA YA KUPIKIA
Переглядів 729 місяців тому
Siku kadhaa mara baada ya kutokea kwa maporomoko ya tope mlima kawetere uliopo Kata ya itezi jijini mbeya wadau mbalimbali wameendelea kujitokeza kuwapa pole wahanga wa maporomoko hayo ambapo mkurugenzi wa shule ya mchepuo wa kingereza Mary’s ametoa lita 100 za mafuta ya kupikia yenye thamani ya shilini 500,000 kama pole kwa wahanga hao. Akithibitisha kupokea lita 100 Diwani wa kata ya itezi Sa...
TUMIENI BARAZA LA USHINDAANI (FCT) KUSTAWISHA USHINDANI WA HAKI NA KUMLINDA MLAJI KATIKA SOKO
Переглядів 449 місяців тому
Tumieni Baraza la Ushindani (FCT) kustawisha ushindani wa haki na kumlinda mlaji katika Soko. Katibu Tawala Msaidizi wa Idara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mkoa wa Mbeya Bi. Anna Mwambene amewaasa wafanyabiashara wa Mkoa huo na Watanzania kwa ujumla kutumia Baraza la Ushindani (FCT) katika kutatua changamoto za kibiashara zinazotolewa maamuzi na Mamlaka za Udhibiti au Tume ya Ushindani zili...
MAKONDA HAJI KUISAHAU HII
Переглядів 18411 місяців тому
Hii ni Historia ................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
MAKONDA AMWEKA HADHARANI ADUI MKUBWA WA CCM MTUMISHI WA UMMA
Переглядів 3,9 тис.11 місяців тому
Katibu wa NEC itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda akielezea moja ya sababu inayofanya Wananchi kupoteza imani na Chama Cha Mapinduzi(CCM) akiwa katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani Mbeya kabla ya kuanza kusikiliza kero za wananchi wa Jiji la Mbeya.
KITOMWA SHORT FILM | AFRICAN MOVIES | TRENDS
Переглядів 92311 місяців тому
Siri isiyofichika ni maradhi sio fumanizi. Karibu utizame Filamu hii fupi Asante.
KERO YA TAKA YAPATIWA UFUMBUZI HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YASHUSHA MAGARI 11 YA UZOAJI TAKA
Переглядів 5511 місяців тому
KERO YA TAKA YAPATIWA UFUMBUZI HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YASHUSHA MAGARI 11 YA UZOAJI TAKA
SERIKALI IMETENGA ZAIDI YA HEKARI 50,000 KWAJILI YA KILIMO VIJANA CHANGAMKIENI FURSA
Переглядів 41Рік тому
RC. HOMERA amewataka wananchi wanaotaka kulima wajiorozeshe majina yao Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mbeya. Amezungumza hayo Katika Mkutano wa hadhara wa CCM Mkoa wa Mbeya uliolenga kusikiliza kero na kutatua malalamiko na shida za wananchi baada ya Ndg. ELIAKIMU NGULO kuuliza hatima au mkakati wa Serikali juu ya kuwapatia vijana wanaomaliza Elimu ya Msingi na Sekondari ardhi kwajili ya kujiendeleza ki...
TUSIWE WATU WAKUPAMBA TU MANENO KWENYE MAJUKWAA PATRIC MWALUNENGE MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MBEYA
Переглядів 1,2 тис.Рік тому
Mnamo tarehe 01 Januari 2024 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Patric Mwalunenge alikutana na Viongozi wa Mkoa,Wakurugenzi wa Halmashauri na Watumishi wa Serikali kujadili namna bora ya kuendelea kusimamia Ilani ya Chama cha Mapinduzi ili kumuunga mkono Mh Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo kwa Watanzania. Aidha aliwataka Viongozi kujitolea na kuhakikisha wanafanya jambo la maendele...
SIRI YA MOYO FULL MOVIE | NEW BONGO MOVIE | 2024 MOVIES | TRENDING MOVIES
Переглядів 590Рік тому
SIRI YA MOYO FULL MOVIE | NEW BONGO MOVIE | 2024 MOVIES | TRENDING MOVIES
DKT. TULIA ACKSON AIPONGEZA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA KWA UKUSANYAJI WA MAPATO
Переглядів 107Рік тому
DKT. TULIA ACKSON AIPONGEZA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA KWA UKUSANYAJI WA MAPATO
WATUHUMIWA 34 WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA IKIWEMO WAUWAJI NA WAPORAJI PIKIPIKI
Переглядів 71Рік тому
WATUHUMIWA 34 WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA IKIWEMO WAUWAJI NA WAPORAJI PIKIPIKI
DK. TULIA ACKSON AGUSWA NA MAISHA YA MLEMAVU WA MACHO AAHIDI KUMSAIDIA
Переглядів 24Рік тому
DK. TULIA ACKSON AGUSWA NA MAISHA YA MLEMAVU WA MACHO AAHIDI KUMSAIDIA
DK. TULIA ACKSON UMEIHESHIMISHA MBEYA, UMETUHESHIMISHA BALAZA LA MADIWANI WAJIJI LA MBEYA
Переглядів 11Рік тому
DK. TULIA ACKSON UMEIHESHIMISHA MBEYA, UMETUHESHIMISHA BALAZA LA MADIWANI WAJIJI LA MBEYA
RC HOMERA: ANAETUUNGANISHA MKOA WA MBEYA NI DK. TULIA ACKSON
Переглядів 18Рік тому
RC HOMERA: ANAETUUNGANISHA MKOA WA MBEYA NI DK. TULIA ACKSON
BARABARA NJIA NNE(4) KUJENGWA
Переглядів 35Рік тому
BARABARA NJIA NNE(4) KUJENGWA
WATENDAJI WA HALMASHAURI FANYENI KAZI KWA UAMINIFU NA UADILIFU KUMHESHIMISHA DK TULIA ACKSON
Переглядів 2Рік тому
WATENDAJI WA HALMASHAURI FANYENI KAZI KWA UAMINIFU NA UADILIFU KUMHESHIMISHA DK TULIA ACKSON
KIJIJI KILICHO SHINDIKANA KUONGOZA ZAIDI YA MIAKA MIWILI MBEYA
Переглядів 38Рік тому
KIJIJI KILICHO SHINDIKANA KUONGOZA ZAIDI YA MIAKA MIWILI MBEYA
MH HOMERA MKUU WA MKOA WA MBEYA ATOA ZAWADI YA KIWANJA KWENYE SHEREHE YA HARUSI JIJINI MBEYA
Переглядів 250Рік тому
MH HOMERA MKUU WA MKOA WA MBEYA ATOA ZAWADI YA KIWANJA KWENYE SHEREHE YA HARUSI JIJINI MBEYA
MHE. HOMERA ALIVYO WAFURAHISHA WAHITIMU CHUO CHA TIA MBEYA
Переглядів 9Рік тому
MHE. HOMERA ALIVYO WAFURAHISHA WAHITIMU CHUO CHA TIA MBEYA
MIGAMBO FEKI NA VISHOKA KUPIGWA CHINI MBEYA; DC BENO MALISA
Переглядів 36Рік тому
MIGAMBO FEKI NA VISHOKA KUPIGWA CHINI MBEYA; DC BENO MALISA
MTOTO ATUPWA KWENYE KORONGO MWAHALA KATA YA IDUDA MBEYA
Переглядів 134Рік тому
MTOTO ATUPWA KWENYE KORONGO MWAHALA KATA YA IDUDA MBEYA
TAZAMA MAPOKEZI YA DR TULIA ACKSON SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA NA RAIS WA MABUNGE DUNIANI AKIWASILI
Переглядів 264Рік тому
TAZAMA MAPOKEZI YA DR TULIA ACKSON SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA NA RAIS WA MABUNGE DUNIANI AKIWASILI
MWANAFUNZI ALIYEONGOZA KUFAULU MASOMO YOTE KIDATO CHA IV MBEYA 2023
Переглядів 249Рік тому
MWANAFUNZI ALIYEONGOZA KUFAULU MASOMO YOTE KIDATO CHA IV MBEYA 2023

КОМЕНТАРІ