Ofisi ya Rais-UTUMISHI
Ofisi ya Rais-UTUMISHI
  • 812
  • 308 533

Відео

BODI MPYA YA WAKURUGENZI WA TAASISI YA UONGOZI YAZINDULIWA
Переглядів 17Місяць тому
BODI MPYA YA WAKURUGENZI WA TAASISI YA UONGOZI YAZINDULIWA
TUMIENI KWA UFASAHA VITENDEA KAZI VILIVYOTOLEWA NA SERIKALI
Переглядів 212 місяці тому
TUMIENI KWA UFASAHA VITENDEA KAZI VILIVYOTOLEWA NA SERIKALI KUTEKELEZA JUKUMU LA KUPAMBANA NA RUSHWA-Mhe. Simbachawene
MAMENEJA RASILIMALIWATU KATIKA SEKRA YA UMMA BARANI AFRIKA KUKUTANA NCHINI TANZANIA
Переглядів 382 місяці тому
MAMENEJA RASILIMALIWATU KATIKA SEKRA YA UMMA BARANI AFRIKA KUKUTANA NCHINI TANZANIA KUJADILI MIKAKATI ITAKAYOJENGA RASILIMALIWATU YENYE TIJA
MAMENEJA RASILIMALIWATU KATIKA SEKRA YA UMMA BARANI AFRIKA KUKUTANA NCHINI TANZANIA
Переглядів 272 місяці тому
MAMENEJA RASILIMALIWATU KATIKA SEKRA YA UMMA BARANI AFRIKA KUKUTANA NCHINI TANZANIA KUJADILI MIKAKATI ITAKAYOJENGA RASILIMALIWATU YENYE TIJA
MHE. SIMBACHAWENE AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI MKOANI MARA
Переглядів 313 місяці тому
MHE. SIMBACHAWENE AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI MKOANI MARA
RAIS DKT. SAMIA AMENIELEKEZA KUJA MKOANI MARA KUKAGUA, KUZINDUA NA KUWEKA MAWE YA MSINGI
Переглядів 643 місяці тому
RAIS DKT. SAMIA AMENIELEKEZA KUJA MKOANI MARA KUKAGUA, KUZINDUA NA KUWEKA MAWE YA MSINGI
MSICHEZEE FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO-Mhe. Simbachawene
Переглядів 223 місяці тому
MSICHEZEE FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO-Mhe. Simbachawene
Mhe. Simbachawene asisitiza utekelezaji wa miradi kwa usahihi
Переглядів 123 місяці тому
Mhe. Simbachawene asisitiza utekelezaji wa miradi kwa usahihi
HAYATI SOKOINE AMEACHA URITHI WA THAMANI KWA VIZAZI NA VIZAZI
Переглядів 153 місяці тому
HAYATI SOKOINE AMEACHA URITHI WA THAMANI KWA VIZAZI NA VIZAZI
UZINDUZI WA KITABU CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE
Переглядів 663 місяці тому
UZINDUZI WA KITABU CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE MAISHA NA UONGOZI WAKE
KUFUATIA KASI YA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI SERIKALI KUENDELEA KUTOA VIBALI VYA AJIRA
Переглядів 123 місяці тому
KUFUATIA KASI YA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI SERIKALI KUENDELEA KUTOA VIBALI VYA AJIRA ILI KUONDOKANA NA ADHA YA UHABA WA WATUMIAHI-Mhe. Simbachawene
Wasimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini acheni kuwa sababu ya Magonjwa Sugu Yasiyoambukizwa
Переглядів 963 місяці тому
Wasimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini acheni kuwa sababu ya Magonjwa Sugu Yasiyoambukizwa
eGA mmewezesha Serikali yetu kuwa ya Kidijitali
Переглядів 373 місяці тому
eGA mmewezesha Serikali yetu kuwa ya Kidijitali
Maslahi na Mazingira ya Kazi kwa Walimu kuboreshwa
Переглядів 363 місяці тому
Maslahi na Mazingira ya Kazi kwa Walimu kuboreshwa
UJUMUISHWAJI WA MASUALA YA JINSIA KATIKA SERA, SHERIA, MIPANGO NA PROGRAMMU MBALIMBALI
Переглядів 164 місяці тому
UJUMUISHWAJI WA MASUALA YA JINSIA KATIKA SERA, SHERIA, MIPANGO NA PROGRAMMU MBALIMBALI
KATIBU MKUU KIONGOZI DKT. KUSILUKA AELEKEZA TAASISI ZA UMMA KUWA NA PROGRAMU MAALUM YA MICHEZO
Переглядів 365 місяців тому
KATIBU MKUU KIONGOZI DKT. KUSILUKA AELEKEZA TAASISI ZA UMMA KUWA NA PROGRAMU MAALUM YA MICHEZO
NAIBU WAZIRI SANGU AIPONGEZA OFISI YA RAIS-UTUMISHI KWA UTENDAJI KAZI MZURI
Переглядів 1535 місяців тому
NAIBU WAZIRI SANGU AIPONGEZA OFISI YA RAIS-UTUMISHI KWA UTENDAJI KAZI MZURI
WAAMBIENI WANANCHI MADHARA YA KUCHAGUA VIONGOZI WANAOTOA RUSHWA
Переглядів 447 місяців тому
WAAMBIENI WANANCHI MADHARA YA KUCHAGUA VIONGOZI WANAOTOA RUSHWA
SIMBACHAWENE AWATAKA WATUMISHI WENYE DHAMANA YA KUINGIA KWENYE MIFUMO YA KIUTUMISHI KUTENDA HAKI
Переглядів 3988 місяців тому
SIMBACHAWENE AWATAKA WATUMISHI WENYE DHAMANA YA KUINGIA KWENYE MIFUMO YA KIUTUMISHI KUTENDA HAKI
Kumbukizi ya Miaka 40 ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Sokoine
Переглядів 768 місяців тому
Kumbukizi ya Miaka 40 ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Sokoine
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE APONGEZA KAZI NZURI YA TAKUKURU IRINGA
Переглядів 16610 місяців тому
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE APONGEZA KAZI NZURI YA TAKUKURU IRINGA
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE AWASHUKIA WAAJIRI WANAOENDESHA TAASISI KWA MATAKWA BINAFSI
Переглядів 49610 місяців тому
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE AWASHUKIA WAAJIRI WANAOENDESHA TAASISI KWA MATAKWA BINAFSI
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE AELEKEZA KUSIMAMISHA MISHAHARA YA VIONGOZI
Переглядів 95310 місяців тому
WAZIRI MHE. SIMBACHAWENE AELEKEZA KUSIMAMISHA MISHAHARA YA VIONGOZI
KATIBU MKUU UTUMISHI AWATAKA MAAFISA RASILIMALIWATU KUWEKA KUMBUKUMBU SAHIHI ZA WATUMISHI
Переглядів 42310 місяців тому
KATIBU MKUU UTUMISHI AWATAKA MAAFISA RASILIMALIWATU KUWEKA KUMBUKUMBU SAHIHI ZA WATUMISHI
WANANCHI SASA KUWASILISHA MALALAMIKO NA PONGEZI KWA SERIKALI KUPITIA E-MREJESHO
Переглядів 4510 місяців тому
WANANCHI SASA KUWASILISHA MALALAMIKO NA PONGEZI KWA SERIKALI KUPITIA E-MREJESHO
MFUMO WA KIELETRONI WA E-MREJESHO UNAKUWEZESHA KUTUMA MALALAMIKO, MAPENDEKEZO, MAULIZO NA TAARIFA
Переглядів 5310 місяців тому
MFUMO WA KIELETRONI WA E-MREJESHO UNAKUWEZESHA KUTUMA MALALAMIKO, MAPENDEKEZO, MAULIZO NA TAARIFA
Naibu Waziri Mhe. Kikwete akijibu maswali mbalimbali Bungeni
Переглядів 12911 місяців тому
Naibu Waziri Mhe. Kikwete akijibu maswali mbalimbali Bungeni
MHE. RIDHIWANI ATOA UFAFANUZI KUHUSU MIFUMO YA PEPMIS, PIPMIS NA HR ASSESSMENT
Переглядів 2,3 тис.Рік тому
MHE. RIDHIWANI ATOA UFAFANUZI KUHUSU MIFUMO YA PEPMIS, PIPMIS NA HR ASSESSMENT
WARATIBU NA WAELIMISHA RIKA WAPATIWA MAFUNZO YA KUTEKELEZA AFUA ZA KUDHIBITI VVU NA UKIMWI
Переглядів 55Рік тому
WARATIBU NA WAELIMISHA RIKA WAPATIWA MAFUNZO YA KUTEKELEZA AFUA ZA KUDHIBITI VVU NA UKIMWI

КОМЕНТАРІ

  • @MaryHosea-kp2oo
    @MaryHosea-kp2oo 5 місяців тому

    jamani viongozi wetu tusaidieni hv nssf na pssf vimewashinda kabisa tunaibiwa sn jamani.

  • @AlickSiwakwi-i1t
    @AlickSiwakwi-i1t Рік тому

    Mkuu wa shule anahusika na uhamisho huu?au unafanyika kuanzia makao makuu ya halmashauri yake

  • @paulmisokalya9871
    @paulmisokalya9871 Рік тому

    Sawa tunaomba msaada Kwa tunaobadilishana namnagani ya kupakia taarifa nyingine

  • @EmanuelLauwo-u9y
    @EmanuelLauwo-u9y Рік тому

    Email inagoma

    • @mataroamos7501
      @mataroamos7501 Рік тому

      Afisa utumishi wako ndiye atakusaidia kuingiza kweny mfumo wa ess utumishi

  • @andulile2089
    @andulile2089 Рік тому

    Email inagoma

  • @wanderenyeura9011
    @wanderenyeura9011 Рік тому

    Bado unaleta changamoto kama mkurugenzi ndo mwamzi

  • @godfreymarema2372
    @godfreymarema2372 2 роки тому

    Huku kakonko Kuna maafsa utumishi wanaokieuka maadili ya kazi zao, mfano wanaweza kumwondoa mtumishi wa serikali aliyekopa katika taasis Fulani bila kuwashirikisha na bila kulipwa hela ,VIP hii imekaaje

  • @godfreyalex4166
    @godfreyalex4166 2 роки тому

    Kazi iendelee

  • @hansonlz
    @hansonlz 3 роки тому

    Link ya kupata app!!

  • @ekiliamkwai1075
    @ekiliamkwai1075 3 роки тому

    Asante mama rais wetu mwema

  • @christophangaida1224
    @christophangaida1224 3 роки тому

    Anaejua namna ya kuomba uhamisho online tuelekezane

  • @dannymichael6101
    @dannymichael6101 3 роки тому

    Hadi Raha mungu ni mwema mirere

  • @janethasheri837
    @janethasheri837 3 роки тому

    Kmbe chuo chng kizr ivi naakiloop kwa moy wng wte

  • @andrewstuart7501
    @andrewstuart7501 3 роки тому

    Waheshmiwa Wakurugenzi ndio wanakwamisha sana uhamisho. Sababu mtu amekidhi vigezo lakini utakuta Mwajiri hataki kupitisha barua kiukweli inatesa sana

  • @katyalengajua6716
    @katyalengajua6716 3 роки тому

    Rip bib

  • @victorianickson743
    @victorianickson743 3 роки тому

    Teknolojia

  • @jumaabdallah557
    @jumaabdallah557 4 роки тому

    Kwa kweli jamani maafisa utumishi ni wasumbufu kiasi ambacho utachukia kazi kwa majibu yao mpaka wakati mwengine unaamua kufanya maamuzi ya kupanda ngazi ya juu

  • @cheyowilliam1387
    @cheyowilliam1387 4 роки тому

    Naitwa bahati w, cheyo naomba mkopo kwenu PTF nipo geita nina karakana ya mbao nipo tial kwa makubaliano nahitaji sana huo mkopo.

  • @mkanulamajid500
    @mkanulamajid500 4 роки тому

    Ni sawaaa

  • @eliabuedward3542
    @eliabuedward3542 5 років тому

    Mambo mengine mnakera Sana,kwa hiyo ninyi mlokaa na kupunga hewa ofisini huku magari ya kazini mmepewa,nyumba mnajilipia,na vikao vya hapa na pale mnajilipa ninyi ndo mnafanya kazi kubwa etiiiii.One day yes.

  • @abrahambalamba7108
    @abrahambalamba7108 5 років тому

    Maafisa Utumishi wengi hawafahamu kazi vizuri na inasikitisha sana

  • @jacksonkilasi858
    @jacksonkilasi858 5 років тому

    kama hawana vigezo wameingiaje kwenye mfumo

  • @zaharahaji1777
    @zaharahaji1777 5 років тому

    Chuo changu kizuri nakupenda kwa moyo wangu wore😍

  • @edithajonathan8905
    @edithajonathan8905 5 років тому

    mh mimi nimesoma BScN undergraduate,masters nikasoma Masters in Public Health je ninastahili kupata increment?

  • @wemamshani3646
    @wemamshani3646 5 років тому

    Elimu hiyo wapewe sana maafisa utumishi ambao huku wilayani wanajiona kama wao ndyo wanajua kila kitu

  • @rechoboniphace7218
    @rechoboniphace7218 5 років тому

    Mbona mnazuia uhamisho watumishi tunateseka sana

  • @felicianfrancis9895
    @felicianfrancis9895 5 років тому

    Huduma kwa wateja iende sambamba na ulipaji wa stahiki za watumishi kwa wakati. Watumishi hawapandi vyeo kwa wakati, hawapewi fedha za rikizo na malimbikizo ya mshahara yanachelewa kulipwa.. pia fedha za uhamisho nazo hazitolewi kwa wakati "Pande zote zitende haki, na kwa pamoja tuijenge Tanzania yetu". Viva Tanzania

  • @hadijamallya6552
    @hadijamallya6552 5 років тому

    .Mwenyekiti hai

  • @edithajonathan8905
    @edithajonathan8905 5 років тому

    thats why alove u mzee mkuchika kwa kuwa mkweli!

  • @shamimumsepwa4478
    @shamimumsepwa4478 5 років тому

    Munajidanganya tu bado kunavyeti hewa waliofeli mitihani na kukununua vyeti vya watoto wa nasikini waliofaulu na wakashindwa kuendelea na masomo na walio na pesa wakanunua majia na bado wapo makazini kwa hilo sidhani kama mutalimaliza leo.

  • @davidst8951
    @davidst8951 5 років тому

    HAMNA HURUMA,HAMNA AIBU....WAONGO WASANII.....NYUSO KAVU.....

  • @groungreen4013
    @groungreen4013 5 років тому

    Hata msipotupandisha poa tu

  • @awadiakilongola2514
    @awadiakilongola2514 6 років тому

    Endeleeni Na usanii tu,nyie mnajichotea mnavyotaka lakini wengine mnatoa ahadi tu,lakini kumbukeni nao ni binadamu Wana moyo, ingekuwaje kama ndo nyie, MUNGU yupo tu

  • @riwaladislaus3913
    @riwaladislaus3913 6 років тому

    Nina madai ya muda mrefu na ulishamwagiza afisa Utumishi akuambie jinsi anavyoshughulikia swala langu ili kuniondolea usumbufu na kumtaka akutumie viambatisho vilivyorejesha mishahara yangu tangu 2017 hajatekeleza mkuu, nikienda mahakama ya kazi sasa nitakuwa nimekosea? Mgogoro huu niliwahi kuupeleka CMA nikushauriwa niuondoe uushughulikiwe kiutumishi hadi sasa nyaraka hazionekani tu

  • @daudnoah5867
    @daudnoah5867 6 років тому

    Kweli wengi wanajisikia sana.

    • @selinamatemu7391
      @selinamatemu7391 5 років тому

      kusemakweli eanssems eyi makosa yalifanyika nyuma kwa hiyo hawawezi kutoa hayo malimbikixo umeoona hayo tusaidie ndugu zangu

  • @daudnoah5867
    @daudnoah5867 6 років тому

    Kweli wengi wanajisikia sana.

  • @felicianfrancis9895
    @felicianfrancis9895 6 років тому

    Huku kwetu shida kweli kweli. Maafisa utumishi, maafisa utumishi, maafisa utumishi wanatutesa. Wanaonyanyasa watumishi kweli wachukuliwe hatua, nimeyaonja na nimeyaona. Recategorization huku kwetu taabu sana. Kila mwezi tunaambiwa tusubiri mwezi unaofuata. tutasubiri hadi lini? Wanatuzingua sana, fyekelea mbali maafisa utumishi wasiotenda haki.

  • @imanimtumbi9670
    @imanimtumbi9670 6 років тому

    Maafisa Utumishi, Maafisa Utumishi, Maafisa Utumishi

  • @colinsmwanjwango7236
    @colinsmwanjwango7236 6 років тому

    Hongera kwa kuchapa kazi

  • @felicianfrancis9895
    @felicianfrancis9895 6 років тому

    Tanzania ni yetu sote, ni jambo jema suala la utumishi na utawala bora kuzingatiwa kama ilivyo na si utawala unaokandamiza haki na maslahi ya watumishi. mama karibu sana

  • @felicianfrancis9895
    @felicianfrancis9895 6 років тому

    duh, hii hatari sana. serikali itazame upya upandishaji madaraja kwani manyanyaso ni makubwa kazini. kwetu huku hawajapandisha kabisa

  • @rockyandrea4392
    @rockyandrea4392 6 років тому

    Mbona mnakua wasanii hivyo?

  • @nekaagripa3993
    @nekaagripa3993 6 років тому

    usanii tupu

  • @imanimtumbi9670
    @imanimtumbi9670 6 років тому

    Hongera Kiongozi na mwalimu wetu Dr. Ndumbaro kwa muongozo huo. Lazima tuwe na succession plan.

  • @omarisukari7760
    @omarisukari7760 6 років тому

    Mmefanya vyema kuwakumbusha maafisa utumishi maana kuna wengine wamekuwa miungu watu lugha za kejeli na vitisho kwa watumishi, kwa hili wakibadilika kazi zitakwenda kwa kasi

  • @peterkitambo2411
    @peterkitambo2411 6 років тому

    Kwaya ya sauti yajangwani shinyanga sda

  • @jackieaugustino9351
    @jackieaugustino9351 6 років тому

    hongera sna Mfuko wa rais am so proud of ths..

  • @kenedyochieng155
    @kenedyochieng155 6 років тому

    Big up

  • @jacksenwaziri3615
    @jacksenwaziri3615 6 років тому

    mbona tunatuma kero kwenye tovuti hazichukuliwi maanani ,maana ya tekinolojia nn

  • @imanimtumbi9670
    @imanimtumbi9670 6 років тому

    Hongera kwake kama Kiongozi. We as HR tumejifunza kitu. na naomba hata hao wanaokaa hapo mapokezi siku zote waone utofauti kati yao na yake wakati wa utoaji wa huduma hiyo. #Wiki ya Utumiahi wa Umma.