- 438
- 593 522
Magereza Tanzania
Приєднався 13 січ 2022
Hii ni Akaunti rasmi ya Jeshi la Magereza Tanzania Bara. Karibu ufuatilie Habari na Matukio mbalimbali yanayo lihusu Jeshi na Taifa kwa ujumla.
Відео
WATUMISHI WA MAGEREZA WAPATIWA MAFUNZO YA ULINZI WA MTOTO MAGEREZANI
Переглядів 4742 години тому
Watoto ni taifa la kesho
MKUU WA GEREZA ISANGA, ACP. NELIGWA, APOKEA MSAADA WA MAHITAJI YA WAFUNGWA KUTOKA JESHI LA UHAMIAJI
Переглядів 1,7 тис.4 години тому
MKUU WA GEREZA ISANGA, ACP. NELIGWA, APOKEA MSAADA WA MAHITAJI YA WAFUNGWA KUTOKA JESHI LA UHAMIAJI
ELIMU YA FEDHA YATOLEWA KWA MAAFISA MIPANGO WA JESHI LA MAGEREZA
Переглядів 994 години тому
Fedha ni sehemu ya maendeleo
CP. TENGA, AZINDUA JENGO LA KLINIKI YA BABA, MAMA NA MTOTO GEREZA LA WILAYA YA KONGWA JIJINI DODOMA
Переглядів 3337 годин тому
CP. TENGA, AZINDUA JENGO LA KLINIKI YA BABA, MAMA NA MTOTO GEREZA LA WILAYA YA KONGWA JIJINI DODOMA
KAMISHNA WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA MHE. AMINA TALIB, ATEMBELEA GEREZA KONGWA
Переглядів 3889 годин тому
KAMISHNA WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA MHE. AMINA TALIB, ATEMBELEA GEREZA KONGWA
MAAFISA MIPANGO WA JESHI LA MAGEREZA WAPATIWA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO
Переглядів 5689 годин тому
Mafunzo ni nguzo ya maarifa
Tazama waombolezaji wakiaga Mwili wa Marehemu SACP. Moshy, vilio vyatawala.
Переглядів 751День тому
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Dkt. Maduhu Kazi, leo Desemba 01, 2024 amewaongoza Mamia ya waombolezaji kuuaga Mwili wa Marehemu SACP Leonard Martin Moshy, katika Viwanja vya Makao Makuu ya Magereza Msalato jijini Dodoma.
PUMZIKA KWA AMANI X-SACP. LEONARD MARTIN MOSHY, JESHI LITAENDELEA KUKUKUMBUKA
Переглядів 4,7 тис.День тому
Hakika kifo ni fumbo
WANASHERIA NA WANADAWATI LA JINSIA WAJADILI KANUNI ZA ULINZI WA MTOTO
Переглядів 68День тому
Watoto walindwe
JESHI LA MAGEREZA LINAVYOENDELEZA NGOMA ZA ASILI
Переглядів 19114 днів тому
Utamaduni ni kitu cha thamani
JESHI LA MAGEREZA LINAVYODUMISHA MCHEZO WA SARAKASI
Переглядів 25214 днів тому
Mchezo wa sarakasi ni ajira
LE DIRECTEUR DE LA PRISON DU DISTRICT DE KONGWA A E'TE' ENVOYE' EN AFRIQUE DU SUD
Переглядів 11721 день тому
LE DIRECTEUR DE LA PRISON DU DISTRICT DE KONGWA A E'TE' ENVOYE' EN AFRIQUE DU SUD
WANAFUNZI WA SHAHADA YA UZAMILI TCTA UKONGA WAAHIDI KULISAIDIA JESHI LA MAGEREZA
Переглядів 55621 день тому
Taaluma ilete matokeo chanya
CGP MSTAAFU NYAMKA AAGWA KWA KISHINDO
Переглядів 8 тис.21 день тому
CGP MSTAAFU NYAMKA AAGWA KWA KISHINDO
MAHAFALI YA KUHITIMU STASHAHADA YA UREKEBISHAJI TCTA 2024 YAFANA.
Переглядів 68021 день тому
MAHAFALI YA KUHITIMU STASHAHADA YA UREKEBISHAJI TCTA 2024 YAFANA.
MAANDALIZI YA KUMUAGA CGP MSTAAFU MZEE RAMADHANI NYAMKA YAENDELEA VIZURI
Переглядів 2 тис.21 день тому
MAANDALIZI YA KUMUAGA CGP MSTAAFU MZEE RAMADHANI NYAMKA YAENDELEA VIZURI
DEPO NAMBA 12 WALIVYOAZIMISHA MIAKA 30 YA UTUMISHI NDANI YA JESHI LA MAGEREZA
Переглядів 45928 днів тому
DEPO NAMBA 12 WALIVYOAZIMISHA MIAKA 30 YA UTUMISHI NDANI YA JESHI LA MAGEREZA
WATAALAMU WATUMIKE KULETA MATOKEO CHANYA NDANI YA JESHI LA MAGEREZA
Переглядів 903Місяць тому
WATAALAMU WATUMIKE KULETA MATOKEO CHANYA NDANI YA JESHI LA MAGEREZA
AFISA HABARI WA TANZANIA PRISONS SPORTS CLUB APEWE USHIRIKIANO WA KUTOSHA
Переглядів 159Місяць тому
AFISA HABARI WA TANZANIA PRISONS SPORTS CLUB APEWE USHIRIKIANO WA KUTOSHA
JESHI LA MAGEREZA LIMEJIPANGA KWA MATUMIZI YA TAKWIMU NA UTAFITI
Переглядів 343Місяць тому
JESHI LA MAGEREZA LIMEJIPANGA KWA MATUMIZI YA TAKWIMU NA UTAFITI
JESHI LA MAGEREZA LIMESEMA LIMEJIPANGA KUENDELEZA MICHEZO
Переглядів 269Місяць тому
JESHI LA MAGEREZA LIMESEMA LIMEJIPANGA KUENDELEZA MICHEZO
MSEMAJI WA TIMU YA TANZANIA PRISONS AWATAKA MASHABIKI KUJITOKEZA KILA MCHEZO
Переглядів 104Місяць тому
MSEMAJI WA TIMU YA TANZANIA PRISONS AWATAKA MASHABIKI KUJITOKEZA KILA MCHEZO
WATUMISHI WA JESHI LA MAGEREZA WASHAURIWA KUTUMIA KIPATO KWA UANGALIFU
Переглядів 767Місяць тому
WATUMISHI WA JESHI LA MAGEREZA WASHAURIWA KUTUMIA KIPATO KWA UANGALIFU
CGP ALIVYOFUNGA MKUTANO MKUU WA MAAFISA WAANDAMIZI WA MAGEREZA
Переглядів 611Місяць тому
CGP ALIVYOFUNGA MKUTANO MKUU WA MAAFISA WAANDAMIZI WA MAGEREZA
KAMISHNA JENERAL WA JESHI LA MAGEREZA AWAPONGEZA MAAFISA NA ASKARI MAGEREZA MKOA WA MWANZA.
Переглядів 539Місяць тому
KAMISHNA JENERAL WA JESHI LA MAGEREZA AWAPONGEZA MAAFISA NA ASKARI MAGEREZA MKOA WA MWANZA.
KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA BARA AWAPONGEZA MAAFISA NA ASKARI MKOA WA MWANZA.
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA BARA AWAPONGEZA MAAFISA NA ASKARI MKOA WA MWANZA.
JESHI LA MAGEREZA LIMEJIPANGA MATUMIZI YA TEHAMA.
Переглядів 926Місяць тому
JESHI LA MAGEREZA LIMEJIPANGA MATUMIZI YA TEHAMA.
WAFUNGWA 103 KUNUFAIKA NA MPANGO WA PAROLE
Переглядів 52Місяць тому
WAFUNGWA 103 KUNUFAIKA NA MPANGO WA PAROLE
Safi sana jeshi la uhamiaji.kwa kuwa kumbuka wafungwa na mahabusu
Nimeumia vilivyo alikuwa ngome yangu na kimbilio langu 2005 alikuwa mtetezi wangu na gome yangu kuisaka haki yangu iliyotaka kupotea nitamwombea daima apumzike kwa amani amina 😢😢
😂
Poleni sana wafiwa na jeshi kwa ujumla
Safari yetu ni moja amemaliza safari yake tuliobaki tujiandae Mwanga wa milele umuangazie Eee Bwana
Rip afande moshy😢😢😢
Pole Sana ndg zetu WA jeshi la Magereza,familia yake, Apumzike Kwa Amani afande
Pumzika kwa Aman Afande wetu ila MWENYEZI MUNGU kakupenda zaidi .
RIP Kaka
Raha ya Milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumnzike kwa amani, AMINA.
Pumzika kwa Amani Afande X- SACP MOSHY, Poleni Maafisa na Askari Makao Makuu ya Jeshi la Magereza na Jeshi zima kwa Ujumla, Raha ya Milele umpe ee Bwana, Na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani.. Amen
Sawa manzali nzur 😂 shida inakuja maisha yao yakoje
سلام بر خاندانمان
Tumekubari jesh lipo timamu
Jesh. LA Mangereza bado
Pongezi nyingi kwao, hakika jasiri haachi asili
Kwan hakuna mtangazaji mwinginee.?
❤❤❤
Hakuna kumbukumbu yoyote ulioiacha ndani ya magereza katika kipindi chako magereza bado tunamkumbuka Meja general Suleiman Mzee aliyetokaga Jwtz huyo ndiyo kaacha alama ndani ya magereza
Hili jeshi halinaga laana kama polisi
jiangalie bandle lako la 500 litaleta vilio kwenu
😂@@petermanyama-s9s
Fanyeni uhariri kabla hamjachapisha habari.
Baba Sarah umejitahidi sana kuelezea hongera
Mtangazaji upo vizur ila kila Siku ni sauti yako tu kwani wengine hamna Jaribuni kuiga kwa JKT
Kabisaa
Magereza Kwa kupiga Bendi waga nawakubali sana
Safiiiiiiiiiiiiii
Hiyo nzuri
Hiyo nzuri
Saaafisana
Nyumbani kumenoga
safi sana. Hongera sana afande CGP J.Y Katungu kwa maandalizi hayo ya sherehe hiyo. Hakika ni furaha ilioje kwa Afande huyu kuagwa kijeshi namna hii. Hongera sana Afande Mkuu wetu wa Jeshi.
Nyamka hakuna alichofanya ndani ya magereza.
Why your not in uniform?? Every one have his/her own shoes and Kofia
Hongereni sana kwa utumishi uliotukuka
Unapoelezea theories of causation of crimes lazima uelezee na globalization changes SEMA mmejitahidi
Ameeeeen
Afande mkuu wa Jeshi Ameanza vizuri sana . Hongeren sana kwa 4R anazitendea haki
Kazi iendelee
🎉🎉🎉🎉
Nimewaona wa depo
Swali langu Kwa Nini viongozi wa Magereza waliopo na wastaafu waga hawachaguliwi kushika nyadhifa ndani ya Serikali mfano Ukuu wa Wilaya, Ukuu. Wa Mkoa
Afande Kimolo cheo chake ni SACP sio ACP kama inavyosomeka kwenye taarifa hii.
huo mziki umezingua, kazi nzuri hii
Nimemuona wa depo
Mnisaidie jamani natamani sana na nilikuwa na ndoto ya kuwa asikari mtiifu sana wa magereza mzalendo wa kweri mnisaidie jamani sijakataamaa mm nipo vizuri pia mm ni scout mzoefu sana
Jela ni jela akuna kuvutia mtu
ni jambo jema hilo kamanda
Innah lillah wainna illah rajiuun
Daah Dunia yamoto...Brother Lugusha amelala 😢😢😢😢...Mungu Fundi Mungu amrehemu ❤❤❤
Uyo afande wa kike amefata nini makaburini jamani ilo jukumu hakuna afande wa kiume alifanye jamani😢😢
Daah Mungu Amrehemu Selemani 🎉🎉🎉🎉
Hongera afande nyoka wa depo no 17 mm xsgt remmy masasi nakupo hongera sana
Mungu mpoke Baba yangu .mimi Paulo Kulyamo namuombea sana