maalim allah akuhifadhi ila umebadilisha style ya kutoa mawaidha kipindi kile upo mdogo ulikuwa unatoa mawaidha kwa hisia mpaka machozi yanatutoka bila kutaka kama ile mada yako ya usihuzunike tabasamu la maisha ilikua ijitimai pemba ilitugusa sana lakini sasaivi unatoa mawaidha vizuri ila hatukupati vizuri kama kipindi kile cha zamani 😭
Dr muhamedy pia allah akuweke ujuitu ninavy tafutaga mawaidh yahuyu ust muhamedy lakini ngumu kuyapata tuwekee yote Kama ya nususaa au saa zima nusunusu atufaid vzur
Uwa natafuta Sana mawaidh yake ila siyapati allah azidi kumuweka Inshallah 🙏🙏, nampenda sanaaaa kwajili ya Allah, naomba uwe unapost mawaidha yake malefu usiweke vidogodogo
Mashaallah kheri nshaallah shekhi wetu Mungu akulipe ujira fidunia waliakhera atujaalie Na ss atupe mwisho mwema pamoja nasheikhi wetu nakupenda Sana kwaajili ya Allah
Mashaallah shukuran sheikh wetu allah akuzidishie akulinde na husda za watu na akujaalie umr mrefu na mwisho mwema na sisi pia tunakupenda San kwa lillah
Mungu akupee umrii mlefu ustanz wetu
MashaaAllah
Mwenyezi mngu akuhifadhi na kila mabaya na akupe umri mrefu uzidi kutuepusha na ku2elimisha ktika dini yetu inshallah
Mashallah
Masha Allah Allah akulipe majazo mema shekh🇹🇿
Mashallah
Wakati mwengine andika kichwa ya Badaa ndugu, Assalamualaikum
mashaallah
maa shaa ila dah imekuwa fupi
maalim allah akuhifadhi ila umebadilisha style ya kutoa mawaidha kipindi kile upo mdogo ulikuwa unatoa mawaidha kwa hisia mpaka machozi yanatutoka bila kutaka kama ile mada yako ya usihuzunike tabasamu la maisha ilikua ijitimai pemba ilitugusa sana lakini sasaivi unatoa mawaidha vizuri ila hatukupati vizuri kama kipindi kile cha zamani 😭
shukran rafki yangu muhammad
Dr muhamedy pia allah akuweke ujuitu ninavy tafutaga mawaidh yahuyu ust muhamedy lakini ngumu kuyapata tuwekee yote Kama ya nususaa au saa zima nusunusu atufaid vzur
Plz tuwekee marefu naumuweke yeye yeye nampenda Sana kwajili ya mola naishallah allah atamjalia kanibadilisha tabia Sana nampenda 🙌🙌🙌🙌🙌
Uwa natafuta Sana mawaidh yake ila siyapati allah azidi kumuweka Inshallah 🙏🙏, nampenda sanaaaa kwajili ya Allah, naomba uwe unapost mawaidha yake malefu usiweke vidogodogo
Tunaomba ututolee sauti za anasheed hatuskii inavyostahk
Masha Allah
Masha Allah
Subhana ALLAH.. Allah Atusamehe Ya Rabb. Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin
Jmn huyu sheikh namtafuta Sana 😭😭😭Nampenda sana kwa ajili ya Allah
Mashaallah
Umepotea sana sheikh....nmekutafta skuoni lwa mda mrefu
Allah akubariki mwisho uliomwema , binafsi najifunza mengi sana kupitia wewe.
Allah akubariki alhabib
😭😭😭😭😭😭😭😭
Mashaa Allah Mungu akupe umrimrefu sheikhi wetu nakupenda kwaajili ya Allah
Mashaallah kheri nshaallah shekhi wetu Mungu akulipe ujira fidunia waliakhera atujaalie Na ss atupe mwisho mwema pamoja nasheikhi wetu nakupenda Sana kwaajili ya Allah
Allah atuongoze , Mashaallah allah akupe jazaan Na Malipo mema kwa khairat kubwa
Mashallh Hakika mm nakupendasana Shekhe kwaajili ya Allha kwani huwa narudia Mara kwamara kuangalia mawaizayako
Mashaallah shukuran sheikh wetu allah akuzidishie akulinde na husda za watu na akujaalie umr mrefu na mwisho mwema na sisi pia tunakupenda San kwa lillah
WELCOME BACK MY ALL TIME SHEIKH
Subhanallah mashaallah , allah atuongoze atusaidia madhubuti metulingania alhabiiby janat .
Maa sha Allah
nakupenda san sheikh muhammad
mashaallah habib
Ongeasana. Sheh
Mashaallah sheikh Muhammad nakupenda lillah
Shukran jazaka llahu khairi maryam Allah akupende kama ulivo nipenda
Mawaidha ya Allah na vinanda nimbigu na ardhi poleni
Plz zitoweni hizo mziki kwenye mawaidha
Mashallah jitahid kutusaidia kuzitoa hizo music jazaka llahu khairi
Mashallah Allah akulipe khery
Mashallah huyu muhammd Yuko wapi dar au unguja
Mashaallah Mashaallah Mashaallah
tuko pamoja
Baarakallah fiik
shuqran sheikh Allah akuzidishie kheri daima...ameen
Mimi ningekuwa na uwezi wa kukuita uje kwetu wiraya ya kisarawe kijiji cha chore samvula mkowa wa Pwani kiegea
Allah akulipe Abadan abadan
Mashaallah
MashaAllah
Assalam alykum sheikh, Zanzibar tunakuhitajii
Shekh Muhammad wallah azidi kukupa afya njema siku zote ktka maisha yko ila jitahd kuweka mawaiza yote
Assalam areykum mawaidha mazuri mashaallah ila mupost mpaka mwisho