- 60
- 214 997
Tamaduni TV
Tanzania
Приєднався 29 тра 2013
Tamaduni TV 》 Ni online channel, yenye maudhui ya #Ngoma, #Nyimbo, #Burudani na mambo ya #Kitamaduni za #Tanzania na #Afrika kiujumla.
Maudhui haya yanalenga kukuza, kuendeleza, kufundisha na kuhifadhi tamaduni zetu, hasa upande wa burudani zetu kama vile ngoma na nyimbo mbalimbali.
MAWASILIANO
Phone: 0624909907
Email:
Maudhui haya yanalenga kukuza, kuendeleza, kufundisha na kuhifadhi tamaduni zetu, hasa upande wa burudani zetu kama vile ngoma na nyimbo mbalimbali.
MAWASILIANO
Phone: 0624909907
Email:
Відео
#UTAMADUNI NGOMA YA KINYAKYUSA - KENDINGO #Kyela #Mbeya
Переглядів 1,4 тис.3 місяці тому
#UTAMADUNI wa #Mwafrika #Mtanzania #Mnyakyusa
NGOMA ya #WANYAKUSA Ing'oma - KEIFO Wakicheza BHESI
Переглядів 2,6 тис.3 місяці тому
#UTAMADUNI wa #Mtanzania #Mwafrika
NGOMA ya #WANYAKYUSA Ing'oma - KEIFO
Переглядів 1,4 тис.4 місяці тому
#UTAMADUNI wa #MNYAKYUSA #MTANZANIA #Mwafrika
LIVE Ndani ya DAR Ngoma ya LUGOMBO kutoka KYELA
Переглядів 2,8 тис.4 місяці тому
#UTAMADUNI wa #MNYAKYUSA #MTANZANIA #Afrika
#NGOMA ya #WANYAKYUSA, Katule - Kibhundugulu
Переглядів 2,4 тис.4 місяці тому
#UTAMADUNI wa #MNYAKYUSA #MTANZANIA #Mwafrika
#NGOMA ya #WANYAKYUSA, Katule - Kibhundugulu BUSOKELO
Переглядів 1,7 тис.4 місяці тому
#UTAMADUNI wa #MTANZANIA #MNYAKYUSA #Mwafrika
IKAMA #NGOMA YA KINYAKYUSA KUTOKA #KYELA
Переглядів 1,8 тис.4 місяці тому
#UTAMADUNI wa #mtanzania #mwafrika
KEIFO #NGOMA YA KYELA IKITUMBUIZA - Keta Endondwa - BOMA LA MBAMILA
Переглядів 5234 місяці тому
#UTAMADUNI wetu #Watannzania na #AFRIKA
#WANYAKYUSA WAKIINJOI STEP ZA NGOMA ZAO YA #LUGOMBO Kutoka #Kyela wakiwa DAR ES SALAAM
Переглядів 6374 місяці тому
#UTAMADUNI wa #Mtanzania #Mwafrika
#NYAKYUSA TRADITIONAL DANCE - ISESELO #Rungwe WAKIWA DAR ESS SALAAM
Переглядів 1,4 тис.4 місяці тому
#UTAMADUNI wa #Mtanzania #Mwafrika
#NYAKYUSA TRADITIONAL DANCE - ISESELO #Rungwe WAKIWA DAR ESS SALAAM
Переглядів 4,3 тис.4 місяці тому
#WANYAKYUSA #mbeya #Rungwe
#WANYAKYUSA WAKIINJOI KATIKA TAMASHA LA JAMII ZA KINYAKYUSA DAR ESS SALAAM
Переглядів 1,1 тис.4 місяці тому
#WANYAKYUSA WAKIINJOI KATIKA TAMASHA LA JAMII ZA KINYAKYUSA DAR ESS SALAAM
#NYAKYUSA TRADITIONAL DANCE - LUGOMBO #Kyela WAKIWA DAR ESS SALAAM
Переглядів 41 тис.4 місяці тому
#NYAKYUSA TRADITIONAL DANCE - LUGOMBO #Kyela WAKIWA DAR ESS SALAAM
#Mang'oma Ngoma ya NDOBO - Busokelo
Переглядів 1,9 тис.5 місяців тому
#Mang'oma Ngoma ya NDOBO - Busokelo
#NYAKYUSA TRADITIONAL DANCE - #KEIFO #Kyela (intro)
Переглядів 1696 місяців тому
#NYAKYUSA TRADITIONAL DANCE - #KEIFO #Kyela (intro)
#NYAKYUSA DANCE #MANG'OMA - KIBUNDUGULU #BUSOKELO #MBEYA (Intro)
Переглядів 6906 місяців тому
#NYAKYUSA DANCE #MANG'OMA - KIBUNDUGULU #BUSOKELO #MBEYA (Intro)
#KYELA MANG'OMA - KIBUNDUGULU #BUSOKELO (INTRO)
Переглядів 856 місяців тому
#KYELA MANG'OMA - KIBUNDUGULU #BUSOKELO (INTRO)
#NYAKYUSA TRADITIONAL DANCE: SAMBA - MBANAKATUNGILA
Переглядів 1,4 тис.6 місяців тому
#NYAKYUSA TRADITIONAL DANCE: SAMBA - MBANAKATUNGILA
#NYAKYUSA TRADITIONAL DANCE: SAMBA - MBANIJANDE
Переглядів 7356 місяців тому
#NYAKYUSA TRADITIONAL DANCE: SAMBA - MBANIJANDE
UBHUTUNGULU BHUSOMANI KANGE BHUGHOGI
Переглядів 3287 місяців тому
UBHUTUNGULU BHUSOMANI KANGE BHUGHOGI
Mbwembwe za Ngoma ya Kinyakyusa #Makwale
Переглядів 23410 місяців тому
Mbwembwe za Ngoma ya Kinyakyusa #Makwale
HABARI WANYAKYUSA NA WADAU WA WANYAKYUSA*( MUGONILE MWESA)!
Переглядів 11010 місяців тому
HABARI WANYAKYUSA NA WADAU WA WANYAKYUSA*( MUGONILE MWESA)!
AFRICAN TRADITIONAL DANCE #SAMBA MISUKULE "Mpunguti" #TANZANIA
Переглядів 9 тис.Рік тому
AFRICAN TRADITIONAL DANCE #SAMBA MISUKULE "Mpunguti" #TANZANIA
#MAGHOSI Mpandapanda "Nyakyusa Tradition Dance"
Переглядів 15 тис.Рік тому
#MAGHOSI Mpandapanda "Nyakyusa Tradition Dance"
#MANG'OMA Nyakyusa Traditional Dance "NGOMA YA TAIFA''
Переглядів 1,4 тис.Рік тому
#MANG'OMA Nyakyusa Traditional Dance "NGOMA YA TAIFA''
Wawaooooo mweeeee kukajaaaa kkkkkkk
Embomboooooo
Ngoma haisikiki
Huwa inasikika vizuri ukitumia earphones ama ukitumia subwoofer
Himbombo
Mbombo ngafu
Upuuzi mtupu
Mpuuzi ni wewe usiyethamini ya kwetu, yaelekea wewe zeruzeru huna kwenu!Nahisi huna mbele wala nyuma!
Wanyakyusa oyeeeee!!!! Tunacheza kama hatutaki
Oyeeeee
It can't be traditional with suits, nyakyusa have no suits as their tradition
They show how smart they're.
@TamaduniTV they can be smart without foreign clothes
Safi sana
Sana
Nzuri
Mnooooooo
Kiukweli hakuna ngoma yenye muziki mtamu na uchezaji mzuri na wa kistaarabu kama ngoma ya kinyakyusa
Mno.
Kulikua Kuna njisi ningu.njisi mwakalago.ndhobo.ndandalo.msenyenye kutoka ibungu.lugombo.nk wewe kyela enzi hizo wewe acha tu
Ilikuwa ni balaa mno
Dash nimekumbuka nyumban kyela ngonga
Ndagha ndaghaa
Nyumbani kizuriiii
Mweeh! Moghonile bhakukanja Bhaghweto mongombwiswe kotali fiijo heee mmaloli bhapyolile bhakukanja bhobhikotyonga olo
Aghwiseko ughwanane.
Hongera sana Kwa aliyeandaa unyakyusa wetu .turudushe unyakyusa wa undugu kabila letu kimejengwa katika misingi ya kimungu .kusaidiaba kusaidia wengine . Kumbuka unyakyusa ule hapa mbeya .ukipanda daladala mkikutana aliyembele ndio analipa nauli. Mmoja wetu akiwa na nafasi serikali lazima madogo Kijiji na wasomi wengine walikuwa wanapata kazi. Hiyo Roho irudi. Idara zote kumbuka nyumbani ndiyo wana israeli wanafanya Leo .mwisraeli mmoja akidhurika na madui madui mia watakufa. Tuipende mbeya Rungwe busokelo kyela na jirani zetu waandali.
Amina amina mtu wa Mungu. Mwakani usipange kukosa hata kidogo.
aliyesikika ing'oma lya taifa...nina zawadi yake
Jouneeeeeee......
Ndagha fijo bha nkamu,wanyakyusa tudumu milele👏👏👏
Ndagha ndagha kekolo.
Wapi akina mwakamogo, mwakaleja, kajaja wapiga ngoma maarufu enzi hizo na walikuwa bora sana, kusikiliza mdundo wenyewe unafurahi moyoni
Wote wapo, ila hawakupata tu nafasi ya kujumuika. Bilashaka watakapoona hii watajumuika mwakani.
Itunge,Ipyana,Ndandalo,Mwambusye,Mpeghele,Kikusya,Matema n.k.Akalulu bha kalumbu na bha mama!❤🎉
Ndagha ndagha. Pabhunge utengisa kobhujagha, aujepo nungwe.
Lughombo Aka Wakoloni wanalia kuililia TANZANIA 🎉
#Lughombo, Ngoma ya #Taifa
Nyumbani raha xn
Sana sana aisee. Nyumbani kunanoga.
Noma kweli
Ni balaa zito
hii inakuwaga lini
Kila mwaka itapangwa tarehe kuanzia nwezi wa saba hadi wa tisa.
Nyakyusa tribe traditional dance well known as Ling'oma is a well played dance in which dancers wore white shirt,shorts,socks and black shoes.Thanks for the government for promoting this dance🎉🎉
Absolutely
Hakuna suti unyakyusani,vaeni nguo zenu
Mughonile ba kukaja.
Ndagha ndagha, ughonile kekolo
Sweet home.
Kumenogaaaa
Mm natamani sn kukiunga nanyi ndugu zangu nasikia mnakikundi kinaitwa Ibasa naombeni nipeni namna unavyoweza kujiunga kwenye hicho kikundi. Mm kwetu.mwaya Ndola. Naomba mawasiliano yenu tafadhali bakamu bangu nawatamani ana.
Okay, karibu sana. Wasiliana na 0715808598
Naona kazikazi Wanyakyusa
Naaaam
Embomboo
Ejoooooohhhh
Bakukaja
Usweeeeee
Daàh kitambo mwandesile
Tembelea home kipindi cha ngoma
Tenende,, lugoje , kapamisya ,ilondo, mbegele , mota,lughombo, ndola,,lupando, mbasi,kiputa,njisi,pia tuko juu jamani au!!
Vijbaya mnoooo
Daaa mko ju sana Hongela sana.
Apha pale kanunu fijo
Fijooooo
Ndagha fijooo mweee👏👏👏
Ndagha ndaghaaa
Efinyamana
Fyofifyooooooo.......
Twebhakukaja....
Embombooooo
Momumooooo
Ngumilwa amesi nyambilila. Abhalugombo Mmwaja kwa sumbi.
Kyala abhasajege bhamyetu❤
Ndagha fijoh kekolo. Karibu ekyenja eke kikwisa.
Woyooooooo🔥🔥najivunia kua mnyakyusa
Woyoooooooo...... Ni jambo jema na la kumshukuru Mungu
Hii Mpunguti ipi ya Katumba Songwe nikitaka kuwakodi nawataje 😊😊😊
Hahahaaaaa.... ukitaka kuwapata wasiliana na sisi tu kupitia 0624909907 utawapata.
Ngoma ya nyumban mwakaleli kwetu kasanga
Nyumbani kumenoga au sioooooo
dahaaa nimekumbuka sana izingoma nazielewa kinoma 🥰
Hapa ndio mahalapa pake sasa. Utazipata nyingi kupitia hapahapa.
😂😂😂😂😂magosi
Ghoghagho
Daa,napenda sana hiyo midundo,,saluut kwao🙌🙌
Sasa wewe endelea kutembelea hapa utakutana nayo mingi sana. Na ukitaka uipatie sasa, isikilizie kwenye sabufa.
Ebwana weeee, kupelile mwee kulughombo
Kukaja kuhnoghile
Ebwana weeee, kupelile mwee kulughombo
Keta bhakabhika aghangi amang'oma. Ngeleka moto luli jhope Ndandalo kanyamana
Mbombo ngafu.
Keta bhakabhika aghangi amang'oma. Ngeleka moto luli jhope Ndandalo kanyamana
Efuujo jingile nyumba ku nongwa ja simu!♥️☑️
Heheheheheeeeee.... mbombo ngafu naloli.
Nitawatafuta hawa jamaa nikija likizo...nimewakubali sana!
Ni balaa na nusu