- 116
- 106 185
CGM4 ONLINE TV
Bolivia
Приєднався 30 чер 2016
CHRIST GOSPEL MESSENGER
CHANEL MAALUM KWAAJILI YA KUTANGAZA INJILI HAI YA YESU KRISTO ::CGM4 ONLINE TV SISI NI INJILI INJILI NI SISI UNAWEZA KUTUPA KUPITIA CHANEL ZETU FACEBOOK UA-cam TIKTOK KWA JINA LA CGM4 ONLINE TV: WhatsApp/Call::+255752786142
Email: barakas733@gmail.com
CHANEL MAALUM KWAAJILI YA KUTANGAZA INJILI HAI YA YESU KRISTO ::CGM4 ONLINE TV SISI NI INJILI INJILI NI SISI UNAWEZA KUTUPA KUPITIA CHANEL ZETU FACEBOOK UA-cam TIKTOK KWA JINA LA CGM4 ONLINE TV: WhatsApp/Call::+255752786142
Email: barakas733@gmail.com
MCHUNGAJI MOSES MAGEMBE "NATAKA ILE YA ASKOFU DR MOSES KULOLA MAKANISA NA WACHUNGAJI WAMEKOSA UPAKO"
MCHUNGAJI MOSES MAGEMBE .MAKANISA NA WAHUBIRI WA LEO WAMEKOSA UPAKO MII NAYO TAKA MIILE YA MOSES KULOLA
Переглядів: 4 612
Відео
MCH MOSES MAGEMBE NI MSEMA KWELI,MNAO PIGA MUSIC KANISANI KWA KULIPWA SADAKA SIKILIZENI HI YA VIJANA
Переглядів 32614 днів тому
Shalom Kwaya wathibitisha ile kauli ya mch Moses magembe kuhusu wanaopiga vyombo vya music makanisani kwa malipo nibaadhi ya vijana wa shalom kwaya wakizungumza na cgm4 online tv #revmosesmagembe #pastiryohanamagembe #pcctanzania
MCH MOSES MAGEMBE BAADA YA KUONDOKA T.A.G HII HAPA RATIBA YA IBADA ZA KANISA LAKE JIPYA UAMSHO NA MA
Переглядів 4,5 тис.21 день тому
Hii hapa ratiba ya ibada za ibada za kanisa jipya la MCH Moses magembe hii ni baada yakuondoka kwenye kanisa lake la awali T.a g Alilo litumikia kwa zaidi ya liaka 50
MCH MOSES MAGEMBE TAALIFA KUHUSU KUJIONDOA T.A.G HOTUBA ALIYO ITOA BAADA YA KUONDOKA LEO J,TANO
Переглядів 56528 днів тому
Tazama hapa full video ya MCH Moses magembe kilicho mfanya atoke TAG Rev moses magembe
Basi Enendeni by shalom kwaya (official video music) singers shalom kwaya.
Переглядів 153Місяць тому
BASI ENENDENI BY SHALOM KWAYA OFFICIAL VIDEO MUSIC LYRICS Shalom Kwaya mjimwema kigoma Whatsapp 255676592804 youtube.com/@cgm4onlinetv745?si=6tsx3RwPBtaIzx_X baraka.leonard.967?mibextid=ZbWKwL NB usiache ku subscribe kwenye chanel yetu hii #mkiongozwanaroho #kushindalazima
Maandalio ya moyo by shalom kwaya (official lyric video music) singers shalom choir #gospelmusic
Переглядів 284Місяць тому
Maandalio ya moyo by shalom kwaya (official video music : Mithali 16:1 Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana. Full video video rasimi ya shalom kwaya . Endelea kubarikiwa na nyimbo zao nyingi kwenye chanel Yako pendwa ya injili CGM4 ONLINE TV kupata full album NB USIACHE KU SUBSCRIBE KWENYE CHANEL YETU HII
Mhubiri by Shalom choir (official music video) singers shalom kwaya gospel music
Переглядів 239Місяць тому
MHUBIRI BY SHALOM KWAYA MJIMWEMA KIGOMA FULL VIDEO OFFICIAL VIDEO FOLLOW AND SUBSCRIBE @cgm4onlinetv745
MALAIKA BY SHALOM KWAYA OFFICIAL VIDEO (GOSPEL MUSIC) AUDIO & VIDEO SUBSCRIBE SHARE & COMMENT
Переглядів 235Місяць тому
Malaika by Shalom Kwaya official video & audio Subscribe & share #Shalom #shalomchoir #shalomkwayamjimwemakigoma Shalom Kwaya mjimwema kigoma Tanzania # 255676592804
REV ZACHARIA ANDREA ATOA NENO WAKATI WA KUWEKWA WAKFU MCH TITUS RUBUNDI WA KANISA LA FPCT MJIMWEMA
Переглядів 178Місяць тому
REV. ZACHARIA ANDREA ATOA NENO WAKATI UFUNGUZI WA JENGO LA KANISA LA FPCT MJIMWEMA KIGOMA NA AKIMUWEKA WAKFU MCHUNGAJI KIONGO MCH TITUS RUBUNDI IBADA ILIYO FANYIKA KANISA LA FPCT MJIMWEMA KIGOMA.#mwalimutitusrubundi #mchtitusrubundi #fpct #revzachariaandrea
UKITAKA KUIHUBIRI INJILI VIZURI UWAOKOE WATU MJUE SHETANI VIZURI ASKOFU DR MOSES KULOLA AKIHUBIRI
Переглядів 8082 місяці тому
Sikiliza injili ya Dr Moses kulola akihubiri injili ya kuwa na mamlaka juu ya waku wagiza
UJUMBE NILIO ACHIWA NA ASKOFU DR.MOSES KULOLA KWA DUNIA NZIMA KUHUSU MWISHO WA DUNIA "MCH/DR MGUNDA
Переглядів 4472 місяці тому
MHUTASALI WA UJUMBE NILIO ACHIWA NA ASKOFU MOSES KULOLA DR MOSES KULOLA KUHUSU MWISHO WA DUNIA NA UJIO WA YESU KRISTO"DR MGUNDA ALEXANDER #mchalexandermgunda #drmoseskulola #ushuhudawakweli #africa
MAMA MCHUNGAJI UNATEKENYWA NA MSHIRIKA UNACHEKA HAKIKA MAADILI YAMEPOLOMOKA REV/DR ROBERT NGAI
Переглядів 2472 місяці тому
MAMA MCHUNGAJI UNACHEZA NA WASHIRIKA MAADILI YANAZIDI KUPOLOMOKA" DR ROBERT NGAI WAKATI WASEMINA YA VIONGOZI WA MAKISA YA AGGCI TANZANIA ENDELEA KUFUATILIA CHANEL YETU PENDWA YA INJILI YA CGM4 ONLINE TV KWA SEMINA , MIKUTANO, MAKONGAMANO YA NENO LA MUNGU NK. USIACHE KU SUBSCRIBE KWENYE CHANEL YETU HII.UBARIKIWE #gospelmusic #music #moseskulola
MKUU WA WILAYA YA KIGOMA DR.RASHID CHUACHUA ALIAGIZA KANISA LA AGGCI TANZANIA KUJIEPUSHA NA MIGOGORO
Переглядів 4743 місяці тому
Mkuu wa wilaya ya kigoma Dr Rashid Chuachua aliaguza kanisa la AGGCI TANZANIA kujiepusha na migogolo na mivutano nikatika hotuba aliyo itoa kwenye Semina ya Viongozi wa makanisa ya AGGCI TANZANIA kigoma semina inayo simamiwa na makamu asikofu mkuu wa AGGCI TANZANIA Ask Paul Busungu na katibu mkuu wa AGGCI TANZANIA Dr Robert Ngai.... Fuatilia matukio yote kwenye chanel yetu ya UA-cam CGM4 ONLINE...
KATIBU MKUU WA AGGCI TANZANIA DR ROBERT NGAI ATOA SIRI KWA WACHUNGAJI JINSI YA KULICHUNGA KANISA KGM
Переглядів 1633 місяці тому
KATIBU MKUU WA AGGCI TANZANIA MCH ROBERT NGAI ATOA SIRI KWA WACHUNGAJI JINSI YA KUCHUNGA KANISA KIGOMA KWENYE SEMINA YA VIONGOZI ILIYO FANYIKA LEO KIGOMA AKIAMBATANA NA MAKUM ASIKOFU MKUU WA AGGCI
SHALOM KWAYA MJIMWEMA KIGOMA ~Song~MHUBIRI OFFICIAL VIDEO. LIVE KWENYE MKUTANO #LIVE PERFORMANCE
Переглядів 6723 місяці тому
Shalom kwaya kutoka kigoma wakiimba #live wimbo wa mhubiri kwenye mkutano wa injili kigoma .ukiwa niwimbo wao wa kwanza kwenye albam yao ya malaika wa Bwana #shalomchior #gospelmusic #africa #wwk #nyimbozainjili NB: subscribe na share kwa wengine waweze kubarikiwa na ujumbe huu
TAZAMA MWINJISTI JEKONIA LUSOGI ALIVYO CHANGAMSHA MKUTANO KIGOMA "NILIKUA NIMEKUFA NIMEFUFUKA#INJILI
Переглядів 1563 місяці тому
TAZAMA MWINJISTI JEKONIA LUSOGI ALIVYO CHANGAMSHA MKUTANO KIGOMA "NILIKUA NIMEKUFA NIMEFUFUKA#INJILI
#LIVE WWK TAG SAYUNI REVIVAL CENTER WAKIHUDUMU KWANJIA YA UIMBAJI KATIKA MKUTANO WA INJILI KIGOMA
Переглядів 2693 місяці тому
#LIVE WWK TAG SAYUNI REVIVAL CENTER WAKIHUDUMU KWANJIA YA UIMBAJI KATIKA MKUTANO WA INJILI KIGOMA
REV EV LILIAN ZAGWI IBADA SOMO ROHO MTAKATIFU REV Moses magembe ALITUFUNDISHA KUANAMOYO WAREHEMA
Переглядів 2294 місяці тому
REV EV LILIAN ZAGWI IBADA SOMO ROHO MTAKATIFU REV Moses magembe ALITUFUNDISHA KUANAMOYO WAREHEMA
USHUHUDA WA MCHAWI ALIE KAMATWA NA NGUVU ZA MUNGU KWENYE #MKUTANO WA MCH MOSES #MAGEMBE NARA #DODOMA
Переглядів 2,5 тис.4 місяці тому
USHUHUDA WA MCHAWI ALIE KAMATWA NA NGUVU ZA MUNGU KWENYE #MKUTANO WA MCH MOSES #MAGEMBE NARA #DODOMA
KIJANA ALIECHUKULIWA KICHAWI WAGANGA ZAIDI YA10 WASHINDWA KUMLEJESHA TAHARUKI YATOKEA KIBONDO MARCO
Переглядів 4274 місяці тому
KIJANA ALIECHUKULIWA KICHAWI WAGANGA ZAIDI YA10 WASHINDWA KUMLEJESHA TAHARUKI YATOKEA KIBONDO MARCO
MADHABAHU YA SHETANI YA TEKETEZWA KWAMOTO KIBONDO KIGOMA WAKAZI WAENEO HILI WAMKUBALI YESU KRISTO
Переглядів 3785 місяців тому
MADHABAHU YA SHETANI YA TEKETEZWA KWAMOTO KIBONDO KIGOMA WAKAZI WAENEO HILI WAMKUBALI YESU KRISTO
MKUTANO WA INJILI KIBONDO DAY5 MUNGU NIYEYE YULE MIUNGU YA ANGUSHWA KWENYE MKUTANO WAGONJWA WAPONYWA
Переглядів 1715 місяців тому
MKUTANO WA INJILI KIBONDO DAY5 MUNGU NIYEYE YULE MIUNGU YA ANGUSHWA KWENYE MKUTANO WAGONJWA WAPONYWA
MKUTANO WA INJILI MMPT ITABA KIBONDO DAY 4 MAAJABU MUNGU AZIDI KUYATENDA SHUHUDA NZITO #MCH.MGUNDA
Переглядів 1385 місяців тому
MKUTANO WA INJILI MMPT ITABA KIBONDO DAY 4 MAAJABU MUNGU AZIDI KUYATENDA SHUHUDA NZITO #MCH.MGUNDA
KIBONDO KUMEWAKA MOTO TAZAMA WATU WASHUHUDIA KIJANA ALIE POTEA MIAKA7 KWA MAOMBI AKAWA HAI TENA
Переглядів 2725 місяців тому
KIBONDO KUMEWAKA MOTO TAZAMA WATU WASHUHUDIA KIJANA ALIE POTEA MIAKA7 KWA MAOMBI AKAWA HAI TENA
MKUTANO #KIBONDO SIKU YA2 MIUJIZA YA YESU MTOTO AFUNGULIWA BAADA YA #MAOMBEZI WATU WANAZIDI KUPONA
Переглядів 2505 місяців тому
MKUTANO #KIBONDO SIKU YA2 MIUJIZA YA YESU MTOTO AFUNGULIWA BAADA YA #MAOMBEZI WATU WANAZIDI KUPONA
MKUTANO KIBONDO DAY1 VIPOFU WAMEONA WATU WAMEZIDI KUPONA vijana walioachwa na Dr moses kulola kazini
Переглядів 1225 місяців тому
MKUTANO KIBONDO DAY1 VIPOFU WAMEONA WATU WAMEZIDI KUPONA vijana walioachwa na Dr moses kulola kazini
SIKILIZA TANGAZO BY SHALOM CHOIR EAGT KILIMAHEWA KIGOMA TAZAMA WAKIIMBA LIVE KWENYE MKUTANO WA #CPCT
Переглядів 4045 місяців тому
SIKILIZA TANGAZO BY SHALOM CHOIR EAGT KILIMAHEWA KIGOMA TAZAMA WAKIIMBA LIVE KWENYE MKUTANO WA #CPCT
INJILI YA ASKOFU MOSES KULOLA ILIKUA NI MOTO.TUNATAKA UAMSHO HUU NI MFANO TOSHA UAMSHO INAWEZEKANA .
Переглядів 8756 місяців тому
INJILI YA ASKOFU MOSES KULOLA ILIKUA NI MOTO.TUNATAKA UAMSHO HUU NI MFANO TOSHA UAMSHO INAWEZEKANA .
UMUHIMU WA UAMSHO NA MAKUSUDI YA UAMSHO KWA KANISA LINAPOENDA KUNYAKULIWA WINGU LA UAMSHO UNYAKUO
Переглядів 2386 місяців тому
UMUHIMU WA UAMSHO NA MAKUSUDI YA UAMSHO KWA KANISA LINAPOENDA KUNYAKULIWA WINGU LA UAMSHO UNYAKUO
USHUHUDA DR.MOSES KULOLA ALINIACHIA UJUMBE WA MWISHO WA DUNIA NIUTANGAZE MCHDR MGUNDA UNYAKUO
Переглядів 3,2 тис.6 місяців тому
USHUHUDA DR.MOSES KULOLA ALINIACHIA UJUMBE WA MWISHO WA DUNIA NIUTANGAZE MCHDR MGUNDA UNYAKUO
Amina baba ubarikiwe
Wakikupiga mawe (maneno mabaya au magumu) wewe angalulia juu mbinguni Kama stefano Stefano alikufa aki angalia mbinguni hakutazama mawe yao na wewe baba kufa kimwili kwamaana mtu aliyekufa hasikii haoni hanusi hahisi chochote maana Hana mawasiliano na dunia yaani na Vita vya kimwili yeye amehama renki ya kupigana na watu kimwili anapigana na Adui shetani mwenyewe kwa silaha ya NEENO LA MUNGU AKIONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU baba ume hamakwenye ulimemwengu wa kujivunia madhehebu maana HAYANA chochote bila YESU kuwepo ndani hatahilo nidhehebutu baba Kama mengine ila kama kipaumbele chake NI kujaa ROHOMTAKATIFU NAKUONNGOZWA NAE Litaheshimiwa nakutukuzwa pia limlindetu Yesu asiondoke maana imeandikwa tazama nimeumba jambojipya duniani kwamba mwana mke atamlinda mwana mume asiondoke nyumbani yaani kanisani na mwana Mume Ni Yesu mokozi na mwana ume huyu analindwa kwa utakatifu pekee hapo haondoki kamwe haleluyaa
Seema Baba tunakupenda saaana unasema kweli kukos upako ni ufarisayo na usadukayo upako unatoka kwa YESU PEKEE Tukimtafuta yeye atatupaka upako wake (Rohomtakatifu) na Rohomtakatifu huwahama watu wote wenye kutumainia elimu ya thiolojia maana imeandikwa Mungu huvitumia vitu vinavyo dharauliwa visivyo na elimu(thiolojia) Kama akina Petro hawakuwa na elimu ya thiolojia lakini walitembea na upako usio wakawaida viwete kutembea vivulivyao kuponya wagonjwa injili yao kuokoa watu elfu tatu kwa sikumoja maana Yesu aliwambia wakea Yerusalelemu hata mpokee nguvu akusha wajilia juu yenu Rohomtakatifu nanyi mtakuwa mashahidi wangu kuanzia Yerusalemu yuda Samaria Hata mwisho wa nchi sio nendeni vyuoni mkasome muwe madoctor ndipo muwe mashahidi wangu sisemi tusisome la Bali tusijivunie elimu Bali tujivunie kuwa na Yesu na mahali Yesu yupo Roho mtakatifu yupo mahali Roho mtakatifu yupo Mungu yupo na hapo hakuna Giza lolote la shetani yaani Uovu ukiwemo kiburi na unafiki maana vitu hivi nichukizo kwa Mungu hapo ndipo siasa za dunia zilipo na BAAABEELI MKUU MUngu atuepushe na hayo Baba songa mbeleeee wewe usi mchukie mtu yoyote wewe nyamaza kimya usijibu fungulia madirisha yambinguni kuomba Sana kaa uweponi mwa BAABA Aliye mbinguni akufunulie Siri zake katikajina la YEEEESU EIMEEN.
Huo mziki background mkubwa sana
😂😂🔥🔥🔥🔥
Background sauti ni kubwa, punguzeni tumsikilize baba
Huyu mzee kama una utimamu upaswi kumfuata,kwa nini anashindwa kutofautisha kuelewa kristo kuja ndani ya mtu ni binafsi au pekee hivyo yeye atuoneshe upako kuliko kukosoa wengine na huku kwake hatuoni huo upako kama wa moses kulola
Upo haujauzuria mikutano yake kwa kumtafuta Mungu na Kama ulienda basi kwa kumjaribu apo auwezi kuuona
Unajua maana ya neno upako au ww ndo hauna hizo timamu
Jichunguze pascal ,, na Kaa chini utafakari
Anayejuwa ukweli wa upako ni Mungu mwenyewe na hivyo binadamu huwezi kujisifia kuwa unao upako,Acha Mungu ajitukuze mwenyewe
Ubarikiwe Baba
Tunaomba huduma hii iletwe dodoma
sawa kabisa
Mzee anakuja kasi kanisa limeshajaa hata miez sita halijamaliz aisee Mungu ni mwema TAG watabakia kushangaa tu
Mbn miez sita mbali sana... Hata miezi miwili badoooo
Kinachojaza watu ni kazi sio dini huyu anafanya kazi ya Ufalme
Sawa kabisaa
SEMA baba tupone nawafatilia kutoka singida mkalama
Hongera Baba, kwa hakika umehama kwenye dini, uko rohoni Baba. Huo ndio mkondo wa mafanikio Baba
TUNAOMBA RADHI KWA CHANGANGAMOTO YA SAUTI TUNAAHIDI KUMALIZA TATIZO HILI HARAKA IWEZEKANAVYO. ASANTE SANA KWA KUA SEHEM YA FAMILIA YA INJILI #SISI NI INJILI, INJILI NI SISI.
Kiukweli Tag wamepoteza mtu muhimu sana
🎉🎉🎉🎉baba Magembe upo sawa milele
Amina
Amen 🙏🙏🙏
Tayal mambo Yanaendakukaa sawa MUNGU Yuko kazini
Tayal mambo Yanaendakukaa sawa MUNGU Yuko kazini
Kwa kasii hii lazima injili halisi iludi🎉❤
sisi ni nani hata tusikie neno la Mungu asante sana Mungu wetu utuleteaye watumishi❤❤❤❤
Amina sana . Dah huyu Mzee angekuaga mcheza kungfu angekuaga mshapu sana sikia ata sauti yake, shetani huyooooooo...fuuuuu....!
INJILI YA LEO IMESHABADILIKA ASILIMIA KUBWA
Amina baba Ubarikiwe sana baba angu
Hatuogopi na hatuna mashaka na haturudi nyuma sisi.🕎🔥🇮🇱⛪🛐🗝️
Amen 🙏🙏🙌🙏
Big up
Amina... Hallelujah!
Inatisha mch
Munguu wa ajabuu sanaaaa
🔥🔥🔥
I can't say anything you done it bro big up big up big up and be blessed
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲
Amina barikiwa vijana nyie ni 🎉🔥
Aminaaaaaa
Amainaaaaaa
Ubarikiwe baba
Wote walianza hivo bali tabia za watu zinawabadilishaga .watu wagumu sana hasa kizazi hiki kimeitwa cha nyoka
Ubarikiwe sana mchungaji Magembe hayo ndiyo tunayoyapenda tunaotazamia kwenda mbinguni
Amen amen amen
TAG Ilikufaa Sana mch.
Huyu ni mchungaji wa Rohoni kabisa.. sio mpigaji
Mahubiri yake yalikuwa na utisho mno,unaweza Dhani Yesu anarudi leo
Siwezi kumsahau huyu baba,ndiye mtu wa kwanza kuniongoza sala ya Toba pale viwanja vya NMC arusha miaka ya 1996
Mtangazaji mbn confidence ipo chini hivyo
Bwana akubariki Much Kristo Yesu azidi kukutumia nakuombea mafuta ya roho mtakatifu
MUNGU AZIDI KUWABARIKI MNAPOKUWA NA MIKUTANO YENYE NGUVU ZAKE
Kiukweli namkubali haswa amenifundisha mamb mengi