- 4
- 27 124
DTY CHOIR
Приєднався 23 тра 2022
Damu Takatifu ya Yesu Choir (The Precious Blood of Jesus Choir):
.....a vibrant and mostly joyful music makers and ministers who have passion to serve God, but also to send some beautiful and lives-transforming music into the world.
We are based in Tegeta Town, Dar es Salaam City, in Tanzania, at a newly established Catholic Parish, St. John the Evangelist. It is mainly composed of two categories of members; the daily routine singers and the non-routine members making a Board of Trustees committed to serve the God and His Church
We minister during mass, every other Sunday, but we also reach people through concerts/festivals and other similar events. We are focused to make music a therapy saving lives of the people through Audio and Visual Music products. We make talents of the members a reality for the benefit of individual members, choir, church and the entire society.
Reach us through our UA-cam page DTY CHOIR and kindly subscribe.

Mungu Ngao yetu by Damu Takatifu ya Yesu, Choir (Tegeta, Dar es Salaam, Tanzania)
Enjoy the SHOW
Переглядів: 3 397
Відео
Bwana Nitakutukuza by Damu Takatifu ya Yesu Choir (Tegeta, Dar es Salaam, Tanzania)
Переглядів 2,6 тис.2 роки тому
Yes, here we are again presenting to you a nice video, Bwana Nitakutukuza, for your enjoyment
Mlinde Mtoto Wako, Damu Takatifu ya Yesu Choir, Tegeta (Audio)
Переглядів 5 тис.2 роки тому
Wimbo maalum kwa ajili ya kumpa heshima Mt. Yosefu. Ni wa kusikiliza (Audio), kutafakari, na kuomba ulinzi wa Mt. Yosefu. Furahia kazi ya sanaa kutoka kwa Wanakwaya wa Kwaya ya Damu Takatifu ya Yesu, Tegeta, Dar es Salaam, Tanzania.
Twakusifu Mungu Mkuu by Damu Takatifu ya Yesu Choir (Tegeta, Dar es Salaam Tanzania)
Переглядів 16 тис.2 роки тому
Just take your time to listen and watch this video. You will never regret. Kindly subscribe, put comments and share to your friends
Dah hii nyimbo 😭😭❤❤❤
Aise nimekumbuka kwaya yangu Hakika Mungu aendelee kuwa nanyi ktk kuinjilisha na tuzidi kuombeana mema
Sauti zimetulia huu ndio uimbaji halisia
Wimbo mzr sn
Wimbo mzuri sana. Karibuni Tanga
❤❤
Nina LA bwana liimidiwe-amina
Hongereni sanaaaaa. Karibuni Tanga
Hongereni sana
Mwimbie kerubini, msifuni serafini
Ni kweli ukuwafuhisha .adui zetu .Hongeran. tuendelee kumuombea mwenyekiti wetu pumziko la milele .
Yeeee yeeeee ASANTENI SANA WANA DAMU WOOTEEEE🎉🎉🎉
Hongera mwl ndibalema
Wimbo ni mzuri sana unanikumbush aa mbali mno hongera sana wanadamu takatifu . ❤❤
Wimbo mzuri sana na mmeuimba vema sana
Touching
Dah poleni sana wanakwaya kwa kufiwa na baba, mr, eng. wenu
Hongereni sana
Aisee kwaya ya mfano wa kuigwa mungu awabariki
Mpiga kinada shikamooooooooooooooo
huu wimbo najisikia raha Mungu mwema🎉🎉🎉🎉🎉❤
Sauti kama Ave Maria by Bach safi saaaanaaaa nitafanya ziara niwaone live
Karibu sanaaaa
❤❤❤❤
Kwa kweli wimbo ni mtamu sana. Unasikia KIU ya kwenda mbinguni. Hongereni sana DTY.
Hongereni
Heavenly
Kusifu ni kuzuri😍😍
Dah hadi machozi yamenitoka hongereni sana Mungu awabariki
Yaani wimbo ni Bomba sana unasikia kama unapaa kwenda mbinguni. Hongereni Damu Takatifu ya Yesu.
nawapenda sana
Mungu atulinde, tuendelee kulisifu jina lake 🙏
Hakika mnafurahia kuimba... Maana nyuso zenu zimejaa furaha ... Mzidi kutuunganisha na Mungu
Hongereni wanakwaya wa Damu, Nimefurahia sana kuusikia huu wimbo wenu sana kwa sababu bass imeimba vizuri sana, Hongereni, Hongereni tena
Amaizing message from the song
Eeh Mungu tuongoze wanakwaya wa Damu tuendelee kulitangaza jina lako, Amina
Kweli Damu Takatifu ya Yesu iko pamoja nanyi, kwa maana mmeinjilisha vyema.
🔥🔥🔥🔥
Hakika ujumbe umetufikia wanakwaya 🙏🙏
Amina, Mungu yu Ngao yetu
God bless my choir 🙏🙏
Hii nyimbo imenigusa sana, Hongereni kwa utumishi
Kazi nzuri sana ya Mungu mnayofanya, Mungu awabariki
Nyimbo nzuri sana
Mungu awazidishie nguvu mzidi kutuinjilishia
Jamani nyimbo hii imenigusa sana.. Asanteni wana damu
Asanteni kwa kuendelea kutuinjilisha wanakwaya wa Damu
Sauti za Malaika siku zote 🔥🔥🔥
I Love this song dearly . Am feeling blessed and lifted higher. Let’s all praise God through singing. 🙏🙏🙏
Ninyi watu mmenikumbusha mbali mnooo! Bibi yangu kila leo aliimba huu wimbo miaka ya 1979 huko.. hamjawahi kushindwa DTY.. lyrics 100% uchaji 100% vocal 100%
Kazi nzuri CD zenu zinapatikanaje?naitaji