REV.GABRIEL SULLE
REV.GABRIEL SULLE
  • 230
  • 58 573
UPONYAJI TAGPRC KUPITIA MAOMBI NA MAOMBEZI
UPONYAJI TAGPRC KUPITIA MAOMBI NA MAOMBEZI
Переглядів: 49

Відео

WEWE NI ALPHA NA OMEGA
Переглядів 3912 годин тому
WEWE NI ALPHA NA OMEGA
KWANINI YESU ALIZALIWA
Переглядів 5612 годин тому
KWANINI YESU ALIZALIWA
SALAMU ZA WAGENI TAGPRC
Переглядів 2112 годин тому
SALAMU ZA WAGENI TAGPRC
KWAYA YA VIJANA TAGPRC
Переглядів 4012 годин тому
KWAYA YA VIJANA TAGPRC
REVIVAL KWAYA WAKIIMBA TAGPRC
Переглядів 4812 годин тому
REVIVAL KWAYA WAKIIMBA TAGPRC
NIMEZIKA WATOTO 11 ILA BAADA YA MAOMBEZI NIMEMPAKATA MTOTO SASA
Переглядів 124День тому
Nilipitia mapito magumu sana nlipoolewa kilanikibeba mimba ikifikisha miezi saba hutoka mara nikijifungua mtoto hufariki nilizika watoto 11 mume akanifukuza akakataa kuzika maiti ya 11 wazazi wakanikata manesi na madaktari wakanikata Mungu amenisaidia sasa delivarenceprayers #thechurchofsalvationandgrace #gospelmusic #thechurchofsalvationandpeace #miracle#holyspirit #powerofgod
VITA VYA KIROHO part2 JINSI YA KUSHINDA MAPEPO
Переглядів 55День тому
VITA VYA KIROHO part2 JINSI YA KUSHINDA MAPEPO
MAOMBI NA UPONYAJI
Переглядів 76День тому
MAOMBI NA UPONYAJI
23 December 2024
Переглядів 26День тому
23 December 2024
SHUHUDA NA SALAMU KUTOKA TAGPRC
Переглядів 32День тому
SHUHUDA NA SALAMU KUTOKA TAGPRC
WATOTO WA WACHUNGAJI WALIVYO SHUSHA SIFA YA NGUVU CBC DODOMA
Переглядів 1,3 тис.14 днів тому
WATOTO WA WACHUNGAJI WALIVYO SHUSHA SIFA YA NGUVU CBC DODOMA
WANA PCF WALIVYOMSHUKURU JOHN SUZER KWA UFADHILI WA KAMBI LA PCF TAIFA LILILOFANYIKA DODOMA
Переглядів 6214 днів тому
WANA PCF WALIVYOMSHUKURU JOHN SUZER KWA UFADHILI WA KAMBI LA PCF TAIFA LILILOFANYIKA DODOMA
PCF YAFANA DODOMA
Переглядів 16814 днів тому
KAMBI LA PCF TAIFA LILILOANZA TAREHE 16-20 JIJINI DODOMA LIMEITIKA NA WATOTO WENGI WA WACHUNGAJI WAMEKUSANYIKA KWA AJILI YA KUMTUKIZA BWANA
NGUVU YA MUNGU YA PONYA WENGI TAG PRC BABATI MJINI
Переглядів 12514 днів тому
Mungu amewaponya na kuwafungua watu kutoka vifungo vya Giza hakika Mungu anaweza Leo tumemwona Yesu mtenda miujiza#delivarenceprayers #gospelmusic #holyspirit #love #hilling #miracleseveryday
UWEPONI MWA BWANA NI RAHA
Переглядів 5414 днів тому
UWEPONI MWA BWANA NI RAHA
VITA VYA KIROHO
Переглядів 4614 днів тому
VITA VYA KIROHO
SHUHUDA ZA WAGENI TAGPRC
Переглядів 6414 днів тому
SHUHUDA ZA WAGENI TAGPRC
AMERUDISHIWA SHAMBA LAKE HEKARI 5 BAADA YA MAOMBEZI
Переглядів 2714 днів тому
AMERUDISHIWA SHAMBA LAKE HEKARI 5 BAADA YA MAOMBEZI
YESU ANAFANYA MAMBO MAKUBWA
Переглядів 3021 день тому
YESU ANAFANYA MAMBO MAKUBWA
SHETANI ALINITESA
Переглядів 1221 день тому
SHETANI ALINITESA
SIRI KATIKA IMANI
Переглядів 71Місяць тому
SIRI KATIKA IMANI
NMEFURAHI KUFIKA KATIKA KANISA HILI
Переглядів 41Місяць тому
NMEFURAHI KUFIKA KATIKA KANISA HILI
MAOMBI NA MAOMBEZI
Переглядів 37Місяць тому
MAOMBI NA MAOMBEZI
KUKUA KIROHO Paschal Mhagama akihubiri
Переглядів 215Місяць тому
KUKUA KIROHO Paschal Mhagama akihubiri
UPONYAJI KUPITIA MAOMBI
Переглядів 111Місяць тому
UPONYAJI KUPITIA MAOMBI
ONA ALICHOKISEMA MAMA HUYU😭
Переглядів 3 тис.Місяць тому
ONA ALICHOKISEMA MAMA HUYU😭
WAGENI WAKISHUHUDIA TAGPRC
Переглядів 101Місяць тому
WAGENI WAKISHUHUDIA TAGPRC
USHUHUDA WA NEEMAYUSTO
Переглядів 43Місяць тому
USHUHUDA WA NEEMAYUSTO
MAOMBEZI TAG PRC BABATI MJINI WENGI WAFUNGULIWA NA YESU
Переглядів 140Місяць тому
MAOMBEZI TAG PRC BABATI MJINI WENGI WAFUNGULIWA NA YESU

КОМЕНТАРІ

  • @godfreylusato
    @godfreylusato 2 дні тому

    Duh hatari

  • @FloraYakobo-rv7pj
    @FloraYakobo-rv7pj 3 дні тому

    Ameen

  • @onesmomelkiol813
    @onesmomelkiol813 6 днів тому

    Naona waume zenu wapo apo ngozi nyeupe ukoloni hauta kaa uishe never wanawafuta hadi vitoto vidogo to make sure no one will think out the box

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 6 днів тому

    Mke.wake wigi.za bei😢😢

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 6 днів тому

    Fuatilieni maisha yake. 1.Nyumba kubws. 2 Gari kiboko. 3 Watoto kuishi maisha ya kifahari. 4 safari za nje nk. 5 Mashamba na mifugo ki b ao 6 Michango kama kawaida Machawa kuongezeka 7 Je miradi itaendelea bila kuchangishwa sana au vipi😮

  • @sefaniambugi7742
    @sefaniambugi7742 6 днів тому

    Magembe amesema limekufa kabisa mmekataa uamsho mko kupigia hela kweli wajinga ndio waliwao

  • @AhadiGhumbo
    @AhadiGhumbo 6 днів тому

    Hivyo nivitimbi vya hao wachungaji na wazaz wako ndio waliokuloga nakukufanyia uchawi ili urudi kwenye ukristo hilo alifanyiwa hata mimi mkewangu ila kwakua mimi sikuwa muislama wakubahatisha nilishinda iyo vita nawakashindwa kabssa

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 6 днів тому

    Wajinga ndio waliwao😮

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 6 днів тому

    Mchungaji huyu hana tofauti na Lissu wa Chadema.Njaa tu hela ya masikini italiwa hiyo miradi yote itafifia polepole.😢

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 6 днів тому

    TAG imani haipo tena.Unafiki😢😢

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 6 днів тому

    Sadaka na michango nitatoa kwenye kanisa la Magembe.Hana Unafiki

  • @SinaiMwanda
    @SinaiMwanda 7 днів тому

    Baba piga kazi Mungu yupo nawewe askofu wetu

  • @EdwinMtokambali
    @EdwinMtokambali 7 днів тому

    Ameen baba wa UAMSHO. Vijana tumeitika wito

  • @jemcsamwely
    @jemcsamwely 9 днів тому

    Jose

  • @MasoudSultan-ks6kc
    @MasoudSultan-ks6kc 9 днів тому

    THIS IS ISRAEL STYLE

  • @PamelaGodfrey-q9b
    @PamelaGodfrey-q9b 9 днів тому

    Shauri menu nice wachunga kondoo sijui mnajua au hamjui saa zimefika mwisho

  • @barakamazigo4840
    @barakamazigo4840 11 днів тому

    Huyu mchungaj ameanza kwa uongo huu angalien tag

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 11 днів тому

    Siasa + dini = propaganda😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 11 днів тому

    Nimemkumbuka mwanzilishi wa hii dini bibi azuza wa marekani....

  • @HamadMahenya
    @HamadMahenya 12 днів тому

    Huyu askofu ni msanii anajifanya kulia eti hanamjua mungu na malaika

  • @FloraYakobo-rv7pj
    @FloraYakobo-rv7pj 15 днів тому

    Mbarikiwe sana

  • @PaulMwenda-w9v
    @PaulMwenda-w9v 16 днів тому

    Yeap it's Pastor's children fellowship

  • @victorychoirbabati
    @victorychoirbabati 16 днів тому

    Amen

  • @TAGBABATI.
    @TAGBABATI. 19 днів тому

    Amina

  • @FloraYakobo-rv7pj
    @FloraYakobo-rv7pj 19 днів тому

    Amina Mungu awainuwe

  • @PaulMwenda-w9v
    @PaulMwenda-w9v 20 днів тому

    Ushuhuda mzito lakini pia Good looking

  • @drmahwa8166
    @drmahwa8166 22 дні тому

    Huyo nikahaba kafiri kama wewe

  • @elisharuben7681
    @elisharuben7681 22 дні тому

    Qwalasa Dorakawa ❤❤❤

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 24 дні тому

    Mnafki mkubwa

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 26 днів тому

    Ww sio Muislam Muongo mkubwa!Mmmmmmm!

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 26 днів тому

    Kumbe ukusilimu kwaajili ya الله , ulisilimu kwa ajili ya mume. Na ndomaana uko hapo.

  • @FASSALEHALIB
    @FASSALEHALIB 26 днів тому

    Mponyaji aende mahospitalini akaponye.

  • @FASSALEHALIB
    @FASSALEHALIB 26 днів тому

    Urongo. Wacheni drama. Mnalipa watu waje kuwatangazia biashara zenu.

  • @saida5091
    @saida5091 26 днів тому

    Na atarudi imara, na hatayumba tena

  • @saida5091
    @saida5091 26 днів тому

    Amesema amefuata ndoa, alikuwa mkristo..Yesu atamrudisha sehemu sahihi kwa sasa.

  • @saida5091
    @saida5091 26 днів тому

    Mponyaji ni Yesu Kristo sio mchungaji...au mtu yeyote. Anapopona mtu ina maana ni Yesu amemponya. HALLELUJAH

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 27 днів тому

    Nisaidie ni no

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 28 днів тому

    Waisla m karibuni Katika dini yakweli Mungu wa kweli Amekuponya na familia yako nzima mbarikiwe

  • @hamidanatu2834
    @hamidanatu2834 28 днів тому

    Sio Mwislam haujui Wislam wala hajausoma

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 5 днів тому

      We kama uliusoma uislamu njoo tukosoe Quran uone ,mi ni mkristo ila Uislamu nimesoma hunifichi

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 29 днів тому

    Sijamsikia Kwenda Ocean Road ,Muhimbili Amana Temeke Mwananyamala Agakhan Hindu Mandal Wala Hata Zahanati Ama Nyie Mazuzu Mnaokwenda Kwa Mwamposa

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 28 днів тому

      Serikali haiwezi kuluhusu aende hospital maana serikali yetu Haina dini

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 29 днів тому

    Jamani Hy Mwamposa Kama Kweli Yy Anaponya Wagonjwa Mbona Hata Siku Moja Sijamsikia Amekwenda Hosp Kuwaombea Wagonjwa Jamani Hv Nyie Mnao Kwenda Kwa Mwamposa Hili Hamlitafakar

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 29 днів тому

    Wewe Sio Mwislam Wacha Uwongo Hapo Upo Kwenye Biashara Hapo Unalipwa Usituongopee Ss Tunajua Kl Kitu Kwamba Hy Mwamposa Ni Chuma Ulete

  • @HabibaNgonyani-d2g
    @HabibaNgonyani-d2g Місяць тому

    Liongo ilo wala.sio muislam......ni biashara tyuuuu

  • @BakaryOmally
    @BakaryOmally Місяць тому

    Wewe ni muisilamu usio na imani na dini yako mungu akutoe huko ulipoenda au kama danganya toto mungu ndie anaejua

  • @ChristianFrancis-w2s
    @ChristianFrancis-w2s Місяць тому

    Baba tunaomba uwe unarusha kila kipindi you tube ili tulio nje ya babati tupate kufikiwa asante.

  • @stephanoedward5763
    @stephanoedward5763 Місяць тому

    Mungu akubariki

  • @FloraYakobo-rv7pj
    @FloraYakobo-rv7pj Місяць тому

    Ubarikiwe Baba

  • @PaulMwenda-w9v
    @PaulMwenda-w9v Місяць тому

    Was so good❤🎉

  • @PendaeliDomu-li7dw
    @PendaeliDomu-li7dw Місяць тому

    ❤❤❤

  • @GloryMkwavi
    @GloryMkwavi 2 місяці тому

    Keep it up ❤❤❤ nawapenda sana