Sheikh Munir Al masruri
Sheikh Munir Al masruri
  • 929
  • 186 404

Відео

0928-MWANAMKE ANAEZAA KWA OPERATION JE DAMU YAKE HAIWI NIFASI KAMA MWANAMKE ANAE ZAA KAWAIDA?
Переглядів 1312 роки тому
0928-MWANAMKE ANAEZAA KWA OPERATION JE DAMU YAKE HAIWI NIFASI KAMA MWANAMKE ANAE ZAA KAWAIDA?
0927-MANII SIO NAJISI JE YAKINITOKA NIJISAFISHE MIMI NA NGUO AU NGUO HAITOHARISHWI NA JE NINAWEZA KU
Переглядів 2082 роки тому
0927-MANII SIO NAJISI JE YAKINITOKA NIJISAFISHE MIMI NA NGUO AU NGUO HAITOHARISHWI NA JE NINAWEZA KU
0926-NINI HUKMU YA MWANAMKE KUTOBOA SIKIO ZAIDI YA MARA MOJA AU MARA MBILI?
Переглядів 4922 роки тому
0926-NINI HUKMU YA MWANAMKE KUTOBOA SIKIO ZAIDI YA MARA MOJA AU MARA MBILI?
0925-NIMEMUACHA MKE WANGU BAADA YA KUTOFAHAMIANA BAINA YETU LAKINI MAMA YANGU MZAZI HAJARIDHIKA NA H
Переглядів 1932 роки тому
0925-NIMEMUACHA MKE WANGU BAADA YA KUTOFAHAMIANA BAINA YETU LAKINI MAMA YANGU MZAZI HAJARIDHIKA NA H
0924 MWANAMKE ANASEMA MUMEWAKE ANAKULA MIRUNGI NA MARA NYINGI KABLA YA KUKUTANA NAE NA YEYE ANAUDHIK
Переглядів 1002 роки тому
0924 MWANAMKE ANASEMA MUMEWAKE ANAKULA MIRUNGI NA MARA NYINGI KABLA YA KUKUTANA NAE NA YEYE ANAUDHIK
0923-JE NI HAKI MUME KUMWITA MKEWE MAJINA YA WANAWAKE ZAKE NA KUMSIFIA KWA SIFA ZAO?
Переглядів 872 роки тому
0923-JE NI HAKI MUME KUMWITA MKEWE MAJINA YA WANAWAKE ZAKE NA KUMSIFIA KWA SIFA ZAO?
0922-MWANAMKE ANASEMA YEYE ANAFANYA KAZI KWENYE COMPANY NA KILA MWEZI WANAFANYA MKUTANO AMBAMO WANAK
Переглядів 662 роки тому
0922-MWANAMKE ANASEMA YEYE ANAFANYA KAZI KWENYE COMPANY NA KILA MWEZI WANAFANYA MKUTANO AMBAMO WANAK
0921-NDUGU YANGU MUISLAMU ANAKWENDA KANISANI KUOMBEWA DUA, JE ATAKUA AMESHATOKA KATIKA UISLAM?
Переглядів 592 роки тому
0921-NDUGU YANGU MUISLAMU ANAKWENDA KANISANI KUOMBEWA DUA, JE ATAKUA AMESHATOKA KATIKA UISLAM?
0920-MTU AKIWA AMESHAPIGWA JICHO BAYA LA HUSDA NINI AFANYE APATE KUONDOKANA NA HIO HUSDA?
Переглядів 2302 роки тому
0920-MTU AKIWA AMESHAPIGWA JICHO BAYA LA HUSDA NINI AFANYE APATE KUONDOKANA NA HIO HUSDA?
0918-JE INAFAA KUSALI JAMAA MBILI WAKATI MMOJA MSIKITI MMOJA LAKINI SALA TAFAUTI?
Переглядів 1282 роки тому
0918-JE INAFAA KUSALI JAMAA MBILI WAKATI MMOJA MSIKITI MMOJA LAKINI SALA TAFAUTI?
0917-JE INAFAA KUSALI SALA YA MALIPO BAINA YA SALA YA ALAASIRI NA MAGHARIBI NA PIA BAADA YA WITRI?
Переглядів 672 роки тому
0917-JE INAFAA KUSALI SALA YA MALIPO BAINA YA SALA YA ALAASIRI NA MAGHARIBI NA PIA BAADA YA WITRI?
0916-
Переглядів 532 роки тому
0916-
0915-
Переглядів 472 роки тому
0915-
0914-
Переглядів 622 роки тому
0914-
0913-MWANAFUNZI WA KIKE MWENYE HEDHI ANAWEZA KUSOMA QUR-AN KWENYE MTIHANI AU ASISOME APATE SIFURI?
Переглядів 1632 роки тому
0913-MWANAFUNZI WA KIKE MWENYE HEDHI ANAWEZA KUSOMA QUR-AN KWENYE MTIHANI AU ASISOME APATE SIFURI?
0912-IWAPO MWANAMKE AMEOLEWA NA ANAMTOTO WA NJE YA NDOA MTOTO AKALELEWA NA BABA WA KAMBO SASAA AMESH
Переглядів 792 роки тому
0912-IWAPO MWANAMKE AMEOLEWA NA ANAMTOTO WA NJE YA NDOA MTOTO AKALELEWA NA BABA WA KAMBO SASAA AMESH
0911-BAADHI YA WANAWAKE WENYE MIMBA ZIKIKARIBIA SIKU ZAO ZA KUZAA HUWENDA HOSPITALI NA KUTAKA WAZAL
Переглядів 712 роки тому
0911-BAADHI YA WANAWAKE WENYE MIMBA ZIKIKARIBIA SIKU ZAO ZA KUZAA HUWENDA HOSPITALI NA KUTAKA WAZAL
0910-JE INAJUZU KUMWITA MAMA WA MKE WANGU MAMA?
Переглядів 822 роки тому
0910-JE INAJUZU KUMWITA MAMA WA MKE WANGU MAMA?
0909-KABURI LA MAMA YETU LIMETUPOTEA SASA TUNAOMBA KILA KABURI JE NISAWA NA JE KUNA ULAZIMA WA MAITI
Переглядів 822 роки тому
0909-KABURI LA MAMA YETU LIMETUPOTEA SASA TUNAOMBA KILA KABURI JE NISAWA NA JE KUNA ULAZIMA WA MAITI
0908-JE MWANAMME KUJIBADILISHA MAUMBILE NA KUA M.KE NA KUJIITAJINA LA KINASWARA ANAFAA KUSALIWA?
Переглядів 382 роки тому
0908-JE MWANAMME KUJIBADILISHA MAUMBILE NA KUA M.KE NA KUJIITAJINA LA KINASWARA ANAFAA KUSALIWA?
0907-TUMEONA BAADHI YA WATU BAADA YA KUZIKA HUSOMA QUR-AN NA DUA JUU YA MAKABURI.JE HII NI SAWA?
Переглядів 632 роки тому
0907-TUMEONA BAADHI YA WATU BAADA YA KUZIKA HUSOMA QUR-AN NA DUA JUU YA MAKABURI.JE HII NI SAWA?
0906-JE INAFAA KISHERIA KUNUNUA NYAMA KWENYE DUKA NA MUUZAJI ANAKULA KITIMOTO NGURUWE?
Переглядів 432 роки тому
0906-JE INAFAA KISHERIA KUNUNUA NYAMA KWENYE DUKA NA MUUZAJI ANAKULA KITIMOTO NGURUWE?
0905-
Переглядів 502 роки тому
0905-
0904-
Переглядів 442 роки тому
0904-
0903-
Переглядів 522 роки тому
0903-
0902-
Переглядів 442 роки тому
0902-
0901-
Переглядів 392 роки тому
0901-
0900-
Переглядів 532 роки тому
0900-
0899-
Переглядів 352 роки тому
0899-

КОМЕНТАРІ

  • @zahranahmed4263
    @zahranahmed4263 16 днів тому

    Shukran sheikh munir

  • @FadhiliAhmed-z9v
    @FadhiliAhmed-z9v Місяць тому

    Shukran

  • @IptysamRashid
    @IptysamRashid 3 місяці тому

    Kafara gani

  • @TatuKatamba-c4s
    @TatuKatamba-c4s 3 місяці тому

    Jazakallah khair

  • @Aishasiri8
    @Aishasiri8 3 місяці тому

    Shukurani

  • @sadah-m2n
    @sadah-m2n 4 місяці тому

    Asa apo kweny kuka bil kuingililian nd mtihn shekh mke ukishajipmb mume anaeez kuingia hamasa

  • @ZakiaMahfudh
    @ZakiaMahfudh 4 місяці тому

    Je yafaa mume kuongeza mke wa pili ambaye anazini name mda mrefu ilhali mke wake hajampa mahari yake na masrufu ya nyumbani ni ya kishida shida na mume huyo anapenda kuoa kila aina ya wanawake na nimzinifu kwa juu mke wake akiyashudia manyanyaso kila kukicha vipi ndoa ya hao wazinifu wawili ni haki kwawalichokifanya

  • @FauziaFarah-h3i
    @FauziaFarah-h3i 4 місяці тому

    Asalam alykum mwalimu mie nipo eda lakin sikai nyumba alie niweka kwasababu pale ni nyumba ya kupanga na hakuna msaada nikachukuliwa ndugu yang he ni vibaya,.

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 4 місяці тому

    Asante Kwa kutujuza ukweli ❤

  • @mdurrani223
    @mdurrani223 5 місяців тому

    ua-cam.com/users/livec-cdkzQwFT0?si=l5dTYLKGScFVHbJ4

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs 6 місяців тому

    Musiseme zambi mulio Fanya we tubu yu

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs 6 місяців тому

    Allah tusamehe wajawake

  • @khadijaabdul5029
    @khadijaabdul5029 7 місяців тому

    Je anaruhusiwa kumuhudumia

  • @abdulazizal-mazroui3363
    @abdulazizal-mazroui3363 8 місяців тому

    Naaam sheikh wetu

  • @abdulazizal-mazroui3363
    @abdulazizal-mazroui3363 8 місяців тому

    Alhamdulillah

  • @abdulazizal-mazroui3363
    @abdulazizal-mazroui3363 8 місяців тому

    Naaam sheykh

  • @abdulazizal-mazroui3363
    @abdulazizal-mazroui3363 8 місяців тому

    Masha allah

  • @SUZANASUZANA-ku3jk
    @SUZANASUZANA-ku3jk 8 місяців тому

    Mashallah shukran ubarikiwe

  • @twahaally7251
    @twahaally7251 9 місяців тому

    Imepokewa pia kuwa Abuu Maalik Al-Ash'ariyy alisema: "Nilimuuliza baba yangu, 'Ee baba yangu, uliswali nyuma ya Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na nyuma ya Abuu Bakr, 'Umar, 'Uthmaan na 'Aliy (Radhwiya Allaahu 'anhum ajma'iyn). Je, walikuwa wakisoma Qunuwt katika Swalaah ya Alfajiri?' Akajibu, Ee mwanangu, hili ni jambo jipya lililozushwa,'" [Imesimuliwa na wapokezi wote (watano) isipokuwa Abu Daawuwd].

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl 10 місяців тому

    Maa shaa Allah ❤ ingelikuwa mawahabii washasema haifai kuswali nyuma ya maibadhii ,wallah maibadhi ni madhehebu yenye upendo na umoja wa waislamu hakuna madhehebu nyengine inayojenga waislamu kama maibadhi ❤

  • @AgnessMsacky
    @AgnessMsacky 10 місяців тому

    Saa ngapi saa kumi usiku tu au saa kumi na Moja y asubuhi

  • @MariamOmary-s9k
    @MariamOmary-s9k 11 місяців тому

    Jazakhaheir Khairan 🙏

  • @MariamOmary-s9k
    @MariamOmary-s9k 11 місяців тому

    Jazakhaheir Khairan 🙏

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 11 місяців тому

    Assalam aleikum warahmatullah wabarakat sheikh Munir tunaomba sira za MITUME PLEASE

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 11 місяців тому

    Jazakallah lkheiry shukran Sheikh munir tunakukubal sana ❤❤

  • @Moyoheart7
    @Moyoheart7 Рік тому

    MashAllah hikma kubwa na neema ya imani yetu unahisi kwenye moyo

  • @mbwanamwalimu402
    @mbwanamwalimu402 Рік тому

    Jee baba wakambo anaweza kuwa walii wake??

  • @a.856
    @a.856 Рік тому

    Jazakallah khayran

  • @sharonpaur9640
    @sharonpaur9640 Рік тому

    Bhas mbona haya hamfundishi hadharan misikitini nbhas hapa duniani hakuna ndoa maana uzinifu umekua mwingi sana

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw Рік тому

    Shukran shekh

  • @zushymohaa
    @zushymohaa Рік тому

    Mashallah

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Рік тому

    SHEIKH MUNIR NAOMBA NO YAKO PLEASE

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Рік тому

    JAZAKALLAH LKHEIRY SHUKRAN ❤

  • @ummyayman9449
    @ummyayman9449 Рік тому

    Na nini hukmu ya mimi muuza keki za birthday japo mimi mwenyewe sifanyi?

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 Рік тому

    Kiufupi tumwazinie tu kwavile si mbayaa kusikia neno la Mungu

  • @shemsamasroor480
    @shemsamasroor480 Рік тому

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Jazak Llah khair Sheikh nimepata majibu yamenihusu kwa hali yangu.

  • @fatumaally2068
    @fatumaally2068 Рік тому

    Maasha Allah sheikh. Shukran jaziilan

  • @radjabundikumana5689
    @radjabundikumana5689 Рік тому

    Vipi kuusu uliyo zaa naye mtoto afu ukamuowa?

  • @tasmiahasani2699
    @tasmiahasani2699 Рік тому

    Asalam ghalaikum mm nina siku ya 11 bado damu inatoka kidogo na maumivu kama ya hedhi na siku zangu kawaidani 5 nini hukumu yake je naweza kuswali au nijanyaje

  • @أمطارقالبحرية

    بارك الله فيك يا شيخنا

  • @mohamedamini4268
    @mohamedamini4268 Рік тому

    Mmh ,wavurugaji nyie

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 Рік тому

      .hawa nao kweli ni mtihani mtu Bado mkewe VIPI uwe umezini tena

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 Рік тому

    Shukran ❤

  • @atkaali-mz5st
    @atkaali-mz5st Рік тому

    Je sheikh Inafaa kutumia mafuta eg perfume yenye alcohol au Moja kati ya branch za alcohol ?

  • @omarkhamis2320
    @omarkhamis2320 Рік тому

    Sual je imethibit kutok kwa mtume jamb hilo ? usitupe rai yako

  • @sundrusjuma3470
    @sundrusjuma3470 2 роки тому

    Je ukiwa na laki Moja ikamaliza mwaka unaweza kutoka zaka nayenyewe unagawa kwa arobaini?

  • @mammpiko9801
    @mammpiko9801 2 роки тому

    Naomba unijibu shekhe Niko njia panda je kumuacha make na ukiwa umelewa talaka inaswikhi au ata bangi ni miongon mwa kilevi piy talaka inasihi

  • @khatibujuma4933
    @khatibujuma4933 2 роки тому

    hadithi 298 ktjk sahihi musili ukatafute badae uilete hiyo iliyofutwa

  • @khatibujuma4933
    @khatibujuma4933 2 роки тому

    fatwa umeripua

  • @khadijaaliomar3376
    @khadijaaliomar3376 2 роки тому

    Jee! Sheikh inafaa mwanamke alietoka eda kuolewa na kaka yake marehemu? Iwapo watakubaliana? Sheikh tafadhal

  • @amoole7saaas960
    @amoole7saaas960 2 роки тому

    kama upo mbali umepigia simu baba yako ukamwambia unataka kuolewa akampa idhini bos wako inafa