umma bora خير امة
umma bora خير امة
  • 19
  • 909 688
+18. WASIA KWA BWANAHURUSI. SHK. MUHAMMAD YUNUS
+18. WASIA KWA BWANAHURUSI. SHK. MUHAMMAD YUNUS
Переглядів: 136

Відео

SUBRA YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) Shk. RISHARD RAJAB
Переглядів 130Рік тому
SUBRA YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) Shk. RISHARD RAJAB
WASIA KWA BWANA HARUSI.
Переглядів 299Рік тому
WASIA KWA BWANA HARUSI.
NASAHA KWA BWANA HARUSI NA BIBI HARUSI.
Переглядів 1,5 тис.2 роки тому
Nasaha za ndoa. Nasaha kwa wanandoa
WASIA KWA BWANA HARUSI... SHEIKH BISMET
Переглядів 7962 роки тому
WASIA KWA BWANA HARUSI... SHEIKH BISMET
Inauma nasheed afaizu luheta
Переглядів 300 тис.2 роки тому
nasheed ya afaizu luheta ... inauma. #inauna hii ni nasheed nzuri sana kutoka kwa ndugu yetu #afaizu #luheta
kisa.. kutawakal kwa Allah
Переглядів 1,1 тис.3 роки тому
hizi ni filamu fupi sana za kiswahili zilizobeba mafundisho mengi sana, tunajarubu sana kutangaza dini kwa kutumia nacting ama kwa kutumia uigizaji fulani ili kufikisha ujumbe. alhamdulillah tuanajaribu kadri tunavyoeza, na mahali tunapokosea Allah atausamehe. tunatarajia munapenda sana kazi zetu, shukraan sana
kisa DUNIA HADAA. islamic short movie with english subtittles
Переглядів 2,4 тис.3 роки тому
assalam aleikum warahmatullah wabaeakaatuh.. hii ni movie fupi ya kuonesha ubaya wa marafiki waovu na uovu wa kufanya shirki... movie hii umebeba mafunzo makubwa sana na kuonesha hatima ya mtu anapochagua marafiki wabaya ambao hawamuogipi Allah. kulingana na hii movie khalid angekua amepata rafiki mzuri na kumshauri mema asingepata maafa yote yaliomkuta. lakini rafiki yake mbaya ndio alimtumbuk...
kisa..Umuhimu wa kusamehe.... short islamic movie
Переглядів 1,3 тис.3 роки тому
hii ni movie fupi sana ya kuonesha umuhimu wa kusamehe na thawabu zake. kwani Allah (S.W.A) anamlipa pepo mwenye kuzuia hasira na mwenye kusamehe...وَسَارِعُوا إِلَىٰ مَغْفِرَةٍ مِنْ رَبِّكُمْ وَجَنَّةٍ عَرْضُهَا السَّمَاوَاتُ وَالْأَرْضُ أُعِدَّتْ لِلْمُتَّقِينَ ۝١٣٣ Na yakimbilieni maghfira ya Mola wenu Mlezi, na Pepo ambayo upana wake ni mbingu na ardhi, iliyo wekwa tayari kwa wachamngu, الّ...
kisa.. HUSNUL KHATIMAH. mwisho mwema islamic short movie, with english subtittles
Переглядів 8493 роки тому
hii ni movie fupi kutuonesha husnul khatima, tusichoke kufanya ibada wala tusione uvivu wa kufanya ibada huenda ikawa mwisho wetu wa kuondoka wka hii dunia tukapata husnul khatima. Allah atuujaalie tupate husnul khaatimah. Amin
kisa.. DHULMA . Islamic movie with english subtitles
Переглядів 3,8 тис.3 роки тому
movie ya kislamu nzuri sana iliobeba mafunzo mazuri sana kuonesha mwisho wa dhulma. hii movie iko na kisa cha ukweli kiliwahi kutokea. natarajia mutajifunza vitu muhimu sana kuhusu dhulma na mwisho wake. shukraan sana musisahau ku subscribe na ku share.
kisa.. HIKMA movie nzuri yenye mafundisho
Переглядів 2,5 тис.3 роки тому
islamic short movie... hii ni movie fuoi sana kuhusu kupeana amana na kutumia hikma. muhimu kupeana amana kuwe na shahidi ama kuandikishiana. na inaonesha umuhimu wa kutumia hikma wakati wa kuhukumu baina watu wawili. natarajia mutafurahia movie hii. shukraan jazakumullah kheir...
Nitajibu nini kwa mola wangu
Переглядів 9503 роки тому
nitajibu nini kwa Mola wangu... hii ni clip fupi sana iliobena mafunzo mengi sana. Allah atuhifadhi ana atuongoze katika njia ya Mitume na Manabii na waja wema. amin
kisa.. RIDHIKA.. islamic short film. movie yenye mafundisho #swahili #movie
Переглядів 2,3 тис.3 роки тому
ridhika na ulichonacho. kwani Allah amempa rizki kila binadamu. kuna wengine hawana kabisa. na kumbuka namna ulivyofungukiwa na rizki yako jua utaulizwa siku ya qiyama ulipata vipi na vipi ulitumia. hii ni movie fupi sana yenye mafundisho mengi sana. usisahau ku subscribe comment like na kushare. shukraan. #swahili #islamic #movie
kisa. UBAYA WA DHANA. movie yenye mafunzo mengi sana. islamic short film #swahili #movie
Переглядів 4,3 тис.3 роки тому
kisa. UBAYA WA DHANA. movie yenye mafunzo mengi sana. islamic short film #swahili #movie
Aina 7 za wanawake waovu.. Skh. JUMA AMIR
Переглядів 14 тис.4 роки тому
Aina 7 za wanawake waovu.. Skh. JUMA AMIR
OTHMAN MAALIM maisha ya ndoa #othmanmaalim #ndoa
Переглядів 99 тис.4 роки тому
OTHMAN MAALIM maisha ya ndoa #othmanmaalim #ndoa
INAUMA NASHEED by AFAAIZU LUHETA SAID
Переглядів 474 тис.4 роки тому
INAUMA NASHEED by AFAAIZU LUHETA SAID

КОМЕНТАРІ