- 8
- 6 906
SHALOM KWAYA TEGETA
Приєднався 10 сер 2022
Shalom kwaya ni kikundi cha waimbaji kinachomtukuza Mungu kwa njia ya nyimbo za injili
Відео
MSALABANI by Shalom Kwaya #Shalom#msalabani#gospelmusic #tanzania
Переглядів 9382 роки тому
MSALABANI by Shalom Kwaya #Shalom#msalabani#gospelmusic #tanzania
MWIBA: Shalom Kwaya Tegeta Shalom Kwaya #Tegeta#Dar es salaam #Tanzania#gospelmusic #gospeltanzania
Переглядів 1,2 тис.2 роки тому
MWIBA: Shalom Kwaya Tegeta Shalom Kwaya #Tegeta#Dar es salaam #Tanzania#gospelmusic #gospeltanzania
CHOCHEA KARAMA: Shalom Kwaya #shalom#Dar#choir #AICT#
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
Wapo watu wamepewa karama wamezificha,wao wanadhani ni za kwao kumbe ni za Bwana.Chochea karama.
😊kweri
Nyimbo nzuri Sana nazipenda Sana kwaya shalom tegeta Mubarikiwe sana
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
Ameee
Mbarikiwe
Mbarikiwe sana
Kwakweli wimbo huu, umenigusa sana. Unanifanya nitafakari kazi ya msalaba. Mungu awabariki sana waimbaji.
Naupenda sana huu wimbo🙏🙏
Mungu awabariki sana Watumishi wa Mungu
Ameen
Hongereni sana Shaloom choir kweli tunaishi kwa Neema ya Mungu tuu
Amina Barikiwa
Mko vzr kwa kwel Mungu Awainuee mpande viwango vingne tena
Hongereni sana kwa nyimbo nzuri, Mungu awatumie kwa viwango na utukufu wake.
Mbarikiwe kwa nyimbo nzuri binafsi imegusa moyo wangu
Mungu awainue zaidi,kweli miba ni mbaya
Kazi nzuri. Mungu awabariki WATUMISHI
Hongeren sana kwaya ya shalom ,Mungu awabariki
Hongereni sana kazi nzuri sana kabisa
Shalom
Kazi nzuri nmebarikiwa
Swafiiii