AFRICA ONE TV
AFRICA ONE TV
  • 304
  • 457 449

Відео

DR.SULLE AWATAMBIA WANAOJIITA MANABII MIMI NI ZAIDI YAO
Переглядів 76День тому
#africa
DR.SULLE AFICHUA BILA KIFICHO P DIDY AMEKULA MPAKA VIONGOZI//AWATAJA
Переглядів 66 тис.21 день тому
DR.SULLE AFICHUA BILA KIFICHO P DIDY AMEKULA MPAKA VIONGOZI//AWATAJA
DIDA ANAZIKWA LEO HII HAPAHISTORIA YA KUSISIMUA YA DIDA WA WASAFI MEDIA KABLA NA BAADA YA KIFO
Переглядів 20321 день тому
DIDA ANAZIKWA LEO HII HAPAHISTORIA YA KUSISIMUA YA DIDA WA WASAFI MEDIA KABLA NA BAADA YA KIFO
Alikiba alivyo mkataa mtanzania mwenzake Amèrica uko
Переглядів 51 тис.Місяць тому
Alikiba alivyo mkataa mtanzania mwenzake Amèrica uko
Vilio vya tawala Basi la kampuni ya AN COACH laua watu 12 /Ajali mbaya yaleta majonzi 44 maututi
Переглядів 60Місяць тому
Vilio vya tawala Basi la kampuni ya AN COACH laua watu 12 /Ajali mbaya yaleta majonzi 44 maututi
VUNJA BEI AMCHANA MWIJAKU "nakuonya mara ya mwisho koma!! " acha kuharibu brand za watu
Переглядів 84Місяць тому
VUNJA BEI AMCHANA MWIJAKU "nakuonya mara ya mwisho koma!! " acha kuharibu brand za watu
Mjengo Wa Nandy na Bilnass ni komesha bovu tazama hapa
Переглядів 15Місяць тому
Mjengo Wa Nandy na Bilnass ni komesha bovu tazama hapa
MAKUBWA! WANAUME MNAO NUKA MDOMONI MNATUKATA SITIM WAKATI WA KUFANYA.........!
Переглядів 61Місяць тому
MAKUBWA! WANAUME MNAO NUKA MDOMONI MNATUKATA SITIM WAKATI WA KUFANYA.........!
DR.SULLE ALIVYO WAKA MOTO KWA WANAO MSEMA RAIS SAMIA//NAKUFA NAYE
Переглядів 8Місяць тому
DR.SULLE ALIVYO WAKA MOTO KWA WANAO MSEMA RAIS SAMIA//NAKUFA NAYE
EXCLUSIVE:MREMBO HUYU AFUNGUKA MAZITO//MKOJANI ALINITAKA ILA SIKUA TAYARI//TABIA SI NZURI
Переглядів 912 місяці тому
EXCLUSIVE:MREMBO HUYU AFUNGUKA MAZITO//MKOJANI ALINITAKA ILA SIKUA TAYARI//TABIA SI NZURI
MWL.NDACHA AKATAA UTUME WA MTUME MUHAMMAD S.A MBELE ZA WAISLAMU
Переглядів 702 місяці тому
MWL.NDACHA AKATAA UTUME WA MTUME MUHAMMAD S.A MBELE ZA WAISLAMU
YESU HANA NAFASI YOYOTE KWA M/MUNGU
Переглядів 82 місяці тому
YESU HANA NAFASI YOYOTE KWA M/MUNGU
ASIPIGWE MTU WALA KUNYANYASWA/SERIKALI INAWAPENDA SANA-DC KILAKALA MOROGORO
Переглядів 102 місяці тому
ASIPIGWE MTU WALA KUNYANYASWA/SERIKALI INAWAPENDA SANA-DC KILAKALA MOROGORO
UTAPENDA MWIJAKU NA BABA LEVO WALIVYO MBANANISHA UWOYA TUPE
Переглядів 112 місяці тому
UTAPENDA MWIJAKU NA BABA LEVO WALIVYO MBANANISHA UWOYA TUPE
MASHABIKI WAMNYEA MBOVU MSANII HARMONIZE ZUCHU KUMPA GARI ANJERA
Переглядів 92 місяці тому
MASHABIKI WAMNYEA MBOVU MSANII HARMONIZE ZUCHU KUMPA GARI ANJERA
SHEIKH SULLE ZUCHU ANAZALILISHA UISLAM KUVAA UCHI
Переглядів 152 місяці тому
SHEIKH SULLE ZUCHU ANAZALILISHA UISLAM KUVAA UCHI
IRENE UWOYA ATUBU HADHARANI SHUHUDIA//NILIKUA NATUMIA M 10 KUNUNUA POMBE
Переглядів 82 місяці тому
IRENE UWOYA ATUBU HADHARANI SHUHUDIA//NILIKUA NATUMIA M 10 KUNUNUA POMBE
K.MZIWANDA AWAWASHIA MOTO TFF//WANA MAKANDOKANDO SANA
Переглядів 52 місяці тому
K.MZIWANDA AWAWASHIA MOTO TFF//WANA MAKANDOKANDO SANA
MORISON AFURAHISHWA NA MANURA KUREJEA SIMBA ONA HAPA
Переглядів 632 місяці тому
MORISON AFURAHISHWA NA MANURA KUREJEA SIMBA ONA HAPA
DR.SULLE AMSILIMISHA MCUNGAJI
Переглядів 22 місяці тому
DR.SULLE AMSILIMISHA MCUNGAJI
DUA
Переглядів 132 місяці тому
DUA
DUA
Переглядів 232 місяці тому
DUA
HII DUA NI MJARABU SANA BORA KABISA KWA MATUMIZI
Переглядів 202 місяці тому
HII DUA NI MJARABU SANA BORA KABISA KWA MATUMIZI
HUSDA NDIYO HUPELEKEA MTU KUMROGA MWENZAKE
Переглядів 192 місяці тому
HUSDA NDIYO HUPELEKEA MTU KUMROGA MWENZAKE
MBINU ZA WACHAWI KUROGA WATU PART TWO
Переглядів 73 місяці тому
MBINU ZA WACHAWI KUROGA WATU PART TWO
MBINU ZA WACHAWI KUROGA WATU PART ONE
Переглядів 163 місяці тому
MBINU ZA WACHAWI KUROGA WATU PART ONE
LION FEMALE DRINKING WATER IN NGORONGORO PARK TANZANIA
Переглядів 173 місяці тому
LION FEMALE DRINKING WATER IN NGORONGORO PARK TANZANIA
DR.SULLE ALIPUKA NA SWALA LA USHOGA
Переглядів 114 місяці тому
DR.SULLE ALIPUKA NA SWALA LA USHOGA
DOTO MAGARI APATA MACHAWA ONA ANAVYO MWAGA PESA
Переглядів 104 місяці тому
DOTO MAGARI APATA MACHAWA ONA ANAVYO MWAGA PESA

КОМЕНТАРІ

  • @zachariareuben504
    @zachariareuben504 15 годин тому

    Hatari sana

  • @danieljumapili1018
    @danieljumapili1018 День тому

    Shekhe Ubarikiwe Baba umeelimiaha vizuri sana

  • @moshimbwana8009
    @moshimbwana8009 3 дні тому

    Shukran shekhe kwa kuelimisha jamii

  • @corneliusmmbando
    @corneliusmmbando 3 дні тому

    Huyu mjinga anaongea nini kuhusu Papa? Mpumbavu mkubwa kweli. Tokea lini?

  • @uwezotv
    @uwezotv 3 дні тому

    MASHEHE NA WACHUNGAJI KWA SASA WAMESHAKUA WATU WA KWENDA NA KIKI KILA LITAKALOTOKEA WANALKVAMIA BADILIKENI

  • @omarimsasu8303
    @omarimsasu8303 4 дні тому

    waooh nimejifunza mengi hongera kiongozi

  • @JosephOnyiego-nw5jm
    @JosephOnyiego-nw5jm 5 днів тому

    Dunia iliaribika kitambo kweli

  • @HUSSENIHAMIS
    @HUSSENIHAMIS 5 днів тому

    daaa

  • @mariambihana8926
    @mariambihana8926 6 днів тому

    Godfrey wewe ni mjinga

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 7 днів тому

    Kengele nimeisikiaaa😂😂

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 7 днів тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @MohamedLimbuni
    @MohamedLimbuni 9 днів тому

    fala tu uyo

  • @albashakluninshaah3727
    @albashakluninshaah3727 9 днів тому

    Sasa Ushahidi wakuwa Piddy ni Ulliminate nani anaushahidi?. Why wengine uhitajike ushahidi?

  • @harrietajiambo229
    @harrietajiambo229 10 днів тому

    Na si uongo watu hujifanya wako na pesa ndio mashoga wwngi hashwa hawa hipata pesa mingi za ushetani wote ni mashoga

  • @RasuliKipunja
    @RasuliKipunja 10 днів тому

    Wa Africa shobo mshangazi kaja Kama ule ata mimi nakukataa

  • @JosephSongolo-lb9fr
    @JosephSongolo-lb9fr 11 днів тому

    na mondy atuonyeshe alivyokutana na ddy😂😂😂

  • @GeorgesKambale-mi4fd
    @GeorgesKambale-mi4fd 11 днів тому

    🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Tanzania nyinyi ni bado, Mwende mkalime miogo

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 11 днів тому

    Tuongelee maandeleo mengine nivitisho tuu

  • @ShengoOfficer
    @ShengoOfficer 13 днів тому

    😂Dk Sule unatuvuruga, umesema kiiman uamini, mwisho unatuaminisha unaamin "P Didy amechezea makalio ya vijana wengi!" Au na wew mfuasi Shekhe?! Unao huo ushahidi.....?!

  • @daudchola
    @daudchola 13 днів тому

    To bad

  • @SebastianSimbila
    @SebastianSimbila 13 днів тому

    Kenge wewe SULENYO, Kanisa Catholic haliruhusu ushoga , mbwa koko, mmoja.

    • @seifmpizi7602
      @seifmpizi7602 12 днів тому

      Hujui weweee, fungua akili yaako exposure yako inaonekana ni ndogo saana

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 12 днів тому

      Hili ndio tatizo la Akil mgando. Papa alitoa tangazo mwaka likapita vyombo vyote vyahabari ulimwengu mzima tuliskia sijui ww unaeshi cooni ama vip?

    • @Yassirhamad-s6n
      @Yassirhamad-s6n 13 годин тому

      ww unaishi wap choko ww wazir wa ulinzi wa marekani kaolewa na mtoto mdogo kwenye kanisa katoliki we unaishi wap au wa mkamba

  • @dominicjacob6634
    @dominicjacob6634 14 днів тому

    Mi nakuelewasana Dr Sule .. ulishaongeagasana mambohaya vijana wanapendasana Utajiri

  • @GodfreyJ.GMasunga
    @GodfreyJ.GMasunga 15 днів тому

    Kinachonishangaza Mimi ni kuwa, waislamu wapo mstari wa mbele Sana kupinga ushoga lakini Ina idadi kubwa ya wahumini ambao ni mashoga. Mtaani mashoga wengi ni waislamu kuliko Imani zingine.

    • @ShamteMohmed-ed2kk
      @ShamteMohmed-ed2kk 13 днів тому

      Unaropoka au unaandiko la tafiti kuhusu ushoga. Ulaya yote inashabikia ushoga je Kuna waislamu wangapi huko.

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 12 днів тому

      Kanisa imeruhusu ushoga tatizolako nini mbwa ww??

  • @sahamagongo5955
    @sahamagongo5955 15 днів тому

    U😊 l bb😊😮

  • @aminkasim7731
    @aminkasim7731 16 днів тому

    Hiii no content jmaa😂😂😂😂

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 16 днів тому

    Tundu au

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 16 днів тому

    Mungu akuinue zaidi kuelimisha jamii ya Leo ,Asante kwa kuelimisha jamii na syo uislamu TU, mi mkristo na nimekuelewa sana.

  • @ShabanMtupa-nh8hb
    @ShabanMtupa-nh8hb 16 днів тому

    kaka ameliwa huyo usizungushe

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 16 днів тому

    hapo nilisikia kauli kwamba tusiwaaribu watoto wetu mkamatane ni kwa ninyi wenye mibavu hapo vipi aliyekuwa anakemea haya mambo ni mmoja tu anko JPM alikuwa anasema waziwazi

  • @joycejackson2320
    @joycejackson2320 16 днів тому

    hukumuelewa papa wewe!! acha uchonganishi kwani nyie hamuungi mkono?? mbona watu wenu wapo wengi tu

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 12 днів тому

      Kanisa catholic linaruhusu ushoga sasa tuambie ww papa hajatangaza hivyo hadharani?

  • @joycejackson2320
    @joycejackson2320 16 днів тому

    Aliongea kuwa mfanyane wenyewe wakubwa muache watt wadogo

  • @shillachiumbo4241
    @shillachiumbo4241 16 днів тому

    Ni maneno matupu ya kufikirika yasiyo na ushahidi wowote.

    • @huyu1993
      @huyu1993 16 днів тому

      Maneno ya kufikirika na wewe unaona yanayofanyika tuseme hujaona zile video au macho yako umeyafyatika kwenye kishundu

    • @shillachiumbo4241
      @shillachiumbo4241 16 днів тому

      @@huyu1993 Video zipi?

    • @khamisijuma272
      @khamisijuma272 16 днів тому

      pengini ni mmoja wapi wa kufanyiwa ndo anasema hivyo

  • @hemedkagodah1436
    @hemedkagodah1436 17 днів тому

    Kama n kibaka jee

  • @JacobGbeimys-on4nn
    @JacobGbeimys-on4nn 17 днів тому

    Daimonde hajafanya kitendo ico ( sababu anafanya ngumvu kazi zake ira gawamushike kama wa Naigeria

  • @gonasaidjuma2700
    @gonasaidjuma2700 17 днів тому

    Dr sule uko sahihi kabisa mbona SS kama waislam tusitafute mawakili na msada wa kihela hatakama ni kola muislam mmoja achangie shilingi Mia itakua saidia kotini mukilianzisha sababu wanapesa hawa mashoga

  • @AmiriMtei
    @AmiriMtei 18 днів тому

    Kumbe kiongozi wa chadema ana kataa kulaani ushoga sasa akipata fursa ya kua kiongozi wetu wa nchi itakuaje ? tuweni makini na hawa chadema.

  • @HalimaKajembe
    @HalimaKajembe 18 днів тому

    Unajishaua unatudhalilisha

    • @hemedkagodah1436
      @hemedkagodah1436 17 днів тому

      Kiusalama zaid utamwani vp mtu binadamu haminik ndugu

  • @SanguyaKeiya-q4t
    @SanguyaKeiya-q4t 18 днів тому

    Fyuuuuuuu😂

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 18 днів тому

    Pdidy anaongelewa Bongo kuzidi nchi yoyote duniani, mko obsessed sana na ushoga.

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 17 днів тому

      Na wewe shoga au

    • @lawmaina78
      @lawmaina78 17 днів тому

      @@abuubilal2646 Yaani ushoga mnaushobokea kama machizi, sijui nini kimewaingia

    • @leahmedard1849
      @leahmedard1849 16 днів тому

      Kwa hiyo wewe unaona ushoga ni sawa? Watanzania wanajitambua hawataki upumbavu na uchafu kama huo, BIG UP WATANZANIA

    • @lawmaina78
      @lawmaina78 16 днів тому

      @@leahmedard1849 kila channel za Bongo ni Pdidy Pdidy, hata kajamba wa Buza asiyejua chochote ila leo ukimhoji anakusimulia kila kitu kuhusu Pdidy. Mashoga mnao wengi huko mitaani, sasa mbona mshobokee Pdidy kiasi hiki, amejadiliwa Bongo kuzidi nchi nyingine yoyote duniani.

    • @salimmussa9719
      @salimmussa9719 15 днів тому

      Kukikataa kitu sio kukiongelea muda wote, watanzania mada ya ushoga tumeipa ukubwa sana, hii haipunguzi bali inaongeza.... mfano Diamond platnumz ni mtu maarufu sana na ana mashabiki wengi watoto​, leo inatumika nguvu kubwa kuiambia jamii kuwa kafanywa nyuma, vijana wadogo wataona kufanywa nyuma ni kawaida maana mpaka star kama Diamond kafanywa... Diamondmwenyewe hakuna sehemu kasema kafanywa nyuma ila jamii inalazimisha iwe hivyo na inasambaza habari hiyo kwa kasi... wabongo tunapenda sana kuupa promo ushoga, tuache hiyo tabia, tukiendelea baada ya miaka kidogo tutakuwa na mashoga wengi sana... @@leahmedard1849

  • @mohsenaljahwary5730
    @mohsenaljahwary5730 18 днів тому

    Dr. Sulle huyo kiongozi wa chama cha upinzani aliyekubali USHOGA ndie aliyesema hatoingilia FARAGHA ZA WATU IKO WAZI ni TUNDU LISSU WA CHADEMA ndie anae SUPPORT USHOGA DUNIANI ni mzee wa Kusuport Upinde. HAYA VIJANA WA CHADEMA MNAE MSUPPORT HUYU TUNDU LISSU NDIE HIVYO TENA MJITAYARISHE KUUNGA MKONO USHOGA.NI KULIWA TUUU KWA KWENDA MBELE.

  • @angle3600
    @angle3600 18 днів тому

    Familia tuombee vizaz vyetui,tukae na watoto wetu majumbani,angalau mara 2 kwa mwezi,kuwaelimisha na kuwakataza maasi,tulee watoto kwenye madili yalio mema,natujaribu kuchunguza watoto wetu, kile wanaendeleza kule mitaani,anatembea na kundi la aina gani.,familia ndio zinaweza kukomesha haya majanga kwa kuajibika zaidi juu ya watoto wao.

  • @godfreynkhangaa1986
    @godfreynkhangaa1986 18 днів тому

    Wewe Dr sule, unapotosha na kudanganya kuhusu kanisa katoliki. Kansa haliungi ndoa za jinsia moja, fanya utafiti

  • @Balkis-k4j
    @Balkis-k4j 19 днів тому

    Kajua p ddy bola.alivyomkataa

  • @MagrethMisso
    @MagrethMisso 19 днів тому

    simba washindwe tu kufuzu make ilo group la simba nyepesi sana

  • @CharlesChristian-c9j
    @CharlesChristian-c9j 19 днів тому

    ❤❤❤❤

  • @HamadyOmary-lm2nu
    @HamadyOmary-lm2nu 19 днів тому

    🎉🎉🎉

  • @HamadyOmary-lm2nu
    @HamadyOmary-lm2nu 19 днів тому

    Wananchi

  • @EgonMwakisole
    @EgonMwakisole 19 днів тому

    Heee

  • @خليفهالرحبي-ف4م
    @خليفهالرحبي-ف4م 19 днів тому

    ❤Sheikh Dr. Sule Maneno mazuri saana❤

  • @خليفهالرحبي-ف4م
    @خليفهالرحبي-ف4م 19 днів тому

    ماشاء الله تبارك الرحمن ❤ Sheikh Dr. Sule asanteee saana kwa kujitolea kutuelimisha.. Allah akulipe ujira mkubwa usiokuwa na hesabu, Amiin Amiin Amiin..