- 41
- 96 040
Rajabu Kiungiza
Приєднався 19 тра 2013
Darsa ya leo jumatatu mwezi 7 Ramadhani 1440 , ya Jalalein Surat ya 10 ya At Tawbah aya 53 hadi 60
Darsa ya baada salat Subhi ya Tafsiri ya Jalalein Aya ya 30 na 31 Sura ya 24 ya An Noor .
Darsa ya baada salat Subhi ya Tafsiri ya Jalalein Aya ya 30 na 31 Sura ya 24 ya An Noor .
Переглядів: 72
Відео
Sheikh Rajabu Hassan Kiungiza akitoa Darsa ya Jalalein katika Masjid Taqwaa Sanawari jijini Arusha.
Переглядів 27Рік тому
Sheikh Rajabu Hassan Kiungiza akitoa Darsa ya Jalalein katika Masjid Taqwaa Sanawari jijini Arusha.
MWANZO WA DUA YA KISIMAMO CHA ARAFAH MWAKA 1443 ILIYOOMBWA NA SHEIKH KIUNGIZA KTK HEMA LA BAKWATA
Переглядів 452 роки тому
MWANZO WA DUA YA KISIMAMO CHA ARAFAH MWAKA 1443 ILIYOOMBWA NA SHEIKH KIUNGIZA KTK HEMA LA BAKWATA
SEHEMU YA PILI YA DUA YA KISIMAMO CHA ARAFAH YA MWAKA 1443 HIJRIYYAH IKIONGOZWA NA SHEIKH KIUNGIZA
Переглядів 342 роки тому
SEHEMU YA PILI YA DUA YA KISIMAMO CHA ARAFAH YA MWAKA 1443 HIJRIYYAH IKIONGOZWA NA SHEIKH KIUNGIZA
Mudir wa Azhar Arusha Dr Mahmuod Abdulaziz Omar Khidr , akiwa na Mahujaji wa BAKWATA amshukuru MUFTI
Переглядів 152 роки тому
Mudir wa Azhar Arusha Dr Mahmuod Abdulaziz Omar Khidr , akiwa na Mahujaji wa BAKWATA amshukuru MUFTI
Darsa ya Jalalein Surat An Namli iliotolewa jumatano ya tarehe 04/Ramadhani/1443 - 06/04/2022
Переглядів 382 роки тому
Darsa ya Jalalein Surat An Namli iliotolewa jumatano ya tarehe 04/Ramadhani/1443 - 06/04/2022
MAHUJAJI WA BAKWATA GROUP HAJJ & UMRAH WAKIWA KATIKA JUU YA JABAL RUMAAT ENEO LA UHUD HIJJAH - 2020
Переглядів 1964 роки тому
MAHUJAJI WA BAKWATA GROUP HAJJ & UMRAH WAKIWA KATIKA JUU YA JABAL RUMAAT ENEO LA UHUD HIJJAH - 2020
MUDIR sheikh Sameer saddick akipambanua vyema kabisa taarifa za mwezi na kukidhimisha chombo chenye
Переглядів 4094 роки тому
MUDIR sheikh Sameer saddick akipambanua vyema kabisa taarifa za mwezi na kukidhimisha chombo chenye
Tafsiri Surat Tawbah aya ya 64 hadi 68 .
Переглядів 1135 років тому
Tafsiri Surat Tawbah aya ya 64 hadi 68 .
Darsa ya Tafsiri ( Jalalein ) Surat Tawbah aya ya 61 - 63 .
Переглядів 1105 років тому
Darsa ya Tafsiri ( Jalalein ) Surat Tawbah aya ya 61 - 63 .
Surat Al Tawbah sehemu ya 3 :- Sheikh Kiungiza Arusha
Переглядів 665 років тому
Surat Al Tawbah sehemu ya 3 :- Sheikh Kiungiza Arusha
Darsa ya Jalalein iliotolewa tarehe 5 RAMADHAN Masjid Taqwa Sanawari Surat Tawbah kuanzia aya ya 43
Переглядів 1115 років тому
Darsa ya Jalalein iliotolewa tarehe 5 RAMADHAN Masjid Taqwa Sanawari Surat Tawbah kuanzia aya ya 43
Sheikh Mohammad bin Abubakri Al Burhani akidarasisha darasa ya Jalalein Surat Al Israa
Переглядів 5595 років тому
Sheikh Mohammad bin Abubakri Al Burhani akidarasisha darasa ya Jalalein Surat Al Israa
Mahujaji wa Waliohiji mwaka jana kupitia Bakwata ziarani ktk viwanja vya Arafah kabla ya kuanza Hija
Переглядів 3126 років тому
Mahujaji wa Waliohiji mwaka jana kupitia Bakwata ziarani ktk viwanja vya Arafah kabla ya kuanza Hija
04 NAFASI YA BAYTUL AL MUQADAS KTK UISLAAM
Переглядів 807 років тому
04 NAFASI YA BAYTUL AL MUQADAS KTK UISLAAM
SHEIKH YUSSUF KIDAGO : NAFASI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W. KATIKA ILIMU
Переглядів 1,5 тис.7 років тому
SHEIKH YUSSUF KIDAGO : NAFASI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W. KATIKA ILIMU
SHEIKH KIUNGIZA : Wosia wa Qur'ani katika kujenga Miji na Jamii / MUHADHARA TANGA
Переглядів 3597 років тому
SHEIKH KIUNGIZA : Wosia wa Qur'ani katika kujenga Miji na Jamii / MUHADHARA TANGA
WAISLAM WANAVYOTAKIWA KUISHI BAADA YA RAMADHANI
Переглядів 988 років тому
WAISLAM WANAVYOTAKIWA KUISHI BAADA YA RAMADHANI
SHEIKH RAJAB KIUNGIZA UBORA WAKUTAFUTA ELIMU NA ADABU ZAKE
Переглядів 4208 років тому
SHEIKH RAJAB KIUNGIZA UBORA WAKUTAFUTA ELIMU NA ADABU ZAKE
Sheikh Rajab Kiungiza Hukumu ya kutofautiana miezi miandamo
Переглядів 7798 років тому
Sheikh Rajab Kiungiza Hukumu ya kutofautiana miezi miandamo
MAZISHI YA SHEIKH MUHAMMAD ABUBAKARI AL BURHANI & KIUNGIZA ISLAMIC PRODUCTION
Переглядів 86 тис.8 років тому
MAZISHI YA SHEIKH MUHAMMAD ABUBAKARI AL BURHANI & KIUNGIZA ISLAMIC PRODUCTION
SHEIKH KIUNGIZA & AMANA NA MAFHUM YAKE KATIKA QUR'AN NA SUNNA
Переглядів 3118 років тому
SHEIKH KIUNGIZA & AMANA NA MAFHUM YAKE KATIKA QUR'AN NA SUNNA
SHEIKH KIUNGIZA & UHAKIKA KUHUSU MAUTI NO 01
Переглядів 4158 років тому
SHEIKH KIUNGIZA & UHAKIKA KUHUSU MAUTI NO 01
Allah awafanyie wepesi masheikh zetu❤❤❤
Masha Allah ❤❤❤
Maasha Allahu historia ya masheikh walio someshana Masha Allahu
allhamdulillah mungu akupe afya na umri mrefu sheikh kiungiza
Mola Amrahamu amlaze pema pamoja na wema.
unakosea , unapokua na msiba usiongee sana utakufuru
kweli we ni muhogo
Allah amuepushe na adhabu ya qabri mudiri wetu alimpea elim ustadh wng na ustadh katugea sie na sasa kafarik pia ustadh wng nae allah amrehem huko alipo amina yarabi🤲 yaan kila nikitizam maulid Shamsull-maarif namkumbuka mudir wetu
mungu amrahamu shekh wetu
Kwa sanad hiyo Sasa Mambo ya kujengea kaburi mmetoa wapi kwa hiyo sanadi mliyoitaja
acha ushabiki kaaachini usome
Ndug mm Ni mtu watanga ila nipo dar es sallam sheikh Yusuf anafaa wap
Mashaallah
ما شاءااله
Hawa ndio walioongoza watu katika njia iliyo nyooka. Wewe unaepinga haya kufa tuone kama unaweza kuleta UMMA kama huu hata ukatoa
hata ukatoa na PESA na kupeleka usafiri hupati hata robo ya Umma huu. Wenu ni WIVU
Tafsiri ya Qurani Takatifu Surat Hud aya ya 07 hadi aya ya 16 , Darsa ya Jalalein alasiri kila siku msikiti mkuu wa Arusha , iliotolewa na Sheikh Rajabu Hassan Kiungiza ; Darsa ya mwezi 21 Ramadhani 1441 HIJRIYYAH sawa na tarehe 15 May 2020 .
MashaAllah
Jazaqu llwahu kheeiiiiirrrry''BY KISATU DAR PRINCE" Sheikh Muhammad Abuubakari Alburhani
Allah awape kilalakheri mashakhe zetu
allah akbar
Masha'allah........
Sheikh kiungiza
Mashaallaah
Mungu amlipe saaaaaaana
Sanawari ya chini......mashaallah sheikh wng
Mashaallah al habib KIUNGIZA nakumiss sheikh wng Allah Akbar Niko mbali ila nipo nawe kupitia swadaka hii
Masha'allah sheikh KIUNGIZA Allah akufanyie wepesi,nakumiss sheikh inshaallah nikirejea arusha nitakuja sanawar inshaallah
In shaa Allaah , ila kwa sasa niko Madinatul Munawwarah nilikuja Hijjah nitakuwepo Arusha wiki moja na nusu ijayo kutoka sasa In shaa Allaah .
@@rkiungiza Allah akufanyie wepesi sheikh wng inshaallah amiyn kiongoz wangu
Mashaallaah
Huyu mzungumzaji hana kekma za kuongea
Mwnyz mungu amlipe kheiri nyingi saaaaaaana
Welcome to Gboard clipboard, any text you copy will be saved wewe ramadhani mzamillo eleza tatizo lake Nini?
Mwenyezi mungu amlaze pema peponi amiyn inshaAllah
Inna lilah wainna ilah rajiuun
Maaliki kakaanga wewe hujitambui we ni mpuuzi mkuuu
huyu alikuwa buku la elimu . tanga imeondokewa na mtu
yaallaah
allah tupe elim kwa barak za mashekhe zetu insha allah
allah awarehem mashekhe zetu na tunafakhar kua na meshekh wenye silsla
Amina yarabi allamina Mungu amrahamu sheikh wetu alimfundisha ustadhi wangu pia nae kwa sasa ni marehem amefariki mwaka juzi
yaallaah
Sheikh SAmir
Jazak.Llah.sheikh.wetu.mwenyeezimungu.akujaalie.afyanjema.naumri.mrefu.duniani.nakesho.aghera.Aamin
Husseni Omary Àaameen Àaameen Àaameen
itabakia inshallah
usijitukuze inawezekana kua bora kuliko wao
umepotea ndugu ludi kwa mwalimu wako ukasome
Hujielewi ww
kwan hawa so masheikh nyinyi mnaharib dini mungu ndo mjuzi innah akramakum indallah atikkakum
ALiy HAMAD MUSSA una matatizo ya akili ww
ALiy HAMAD MUSSA unaelewa maana ya sanad?
Kwani na mahawabi huko saudia hukmu za kuwapiga waislamu wenzao huko Yemen sanad ya Hilo wametoa wapi?
MSHENZI Wewe Nani alipinga ان اكرمكم عند الله اتقاكم
NIMEKUJIBU WEWE ULOSEMA KAULI YA SHEIKH SAMIR KANAKWAMBA HAINA MASHIKO ,SHEIKH SAMIR ALLAH AKUTUHIFADHIE NA MFANO WAKO .
Allah awape kilalakheri mashekhe zetu inshaallah
جزاكم الله خيرا وطيب الله أنفاسكم
Unaye jarbu kuwa kosoa mashekhe huna elim yeyote ungekuwa unaelimu usinge wakosoa kwenye vyobo vyahabar huna elim wwww
Tatizo uelewa tuu hapo lkn hakuna kibaya
Atakumbwa daima
MashaaAll Mola amrehem Shekh wetu
rahimaka llaahu ya sheikh
المرجو الاتصال بي عبر الواتساب جزاكم الله خيرا واعلموا ان الله لا يضيع أجر من أحسن عملا
السلام عليكم يا شيوخ ويا علماء جزر القمر المسلمين كلكم المرجو الاتصال بهذا الرقم وشكرا من أجل فتوى إسلامية حول شخص من أغنى رجال دولة القمر وتخلى عن عائلته في المغرب منذ 32 سنة ماديا ومعنويا دون رحمة أو شفقة أو خوف من عقاب الله لا حول ولا قوة إلا بالله العلي العظيم حسبنا الله ونعم الوكيل نعم المولى ونعم النصير هذا هو رقم هاتفي : 00212 673 171 000 Mme Rocher (Maroc )
Greatest Scholar of our time, May Allah grant him Jannah.
mbele yake nyuma yetu