RUTACH TV
RUTACH TV
  • 32
  • 5 897
Nikumbuke official Gospel music Video. By Bish. Living Mwambapa, Pentekoste maombi na maombezi.
Wimbo Huu wa NIKUMBUKE una ujumbe wenye kutia Moyo. Mungu akukumbuke katika shida zako, akumbuke uzao wako, akukumbuke katika kazi yako, ayakumbuke maombi yako.
Unaweza kuwa umeomba mda mrefu hadi umekata tamaa, kupitia wimbo huu nakutia Moyo, usikate tamaa zidi kuomba Mungu hakika ipo siku moja atakukumbuka.
Unaweza kusoma Zaburi 25:7, Zaburi 106:4,
Mungu ni mwaminifu siku zote. Amen.
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii kwa jina la.
Facebook. Rutach tv
TikTok. Rutach.tv
Instagram. Rutach_tv
You tube. RUTACH TV
#gospel #gospelmusic
Переглядів: 258

Відео

UMEACHA NINI KWA AJILI YA KRISTO?, Bishop Living Mwambapa. (Pentekoste Maombezi Ibada) kuu 3NOV 2024
Переглядів 43Місяць тому
Marko 10:28 Petro akaanza kumwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe. Je wewe mpendwa katika Bwana umeacha nini kwa ajili ya Kristo?. Endelea kufuatilia Channel hii ili ujifunze zaidi Neno la Mungu. Ubalikiwe. Kwa maombi na ushauri mawasiliano 255 718 172 044 Pia tufuatilie Zaidi Hapa chini TikTok (Rutach Tv) Instagram (Rutach Tv) Facebook (Rutach Tv)
UPONYAJI NA KUFUNGULIWA. WATU WANAPONYWA NA KUFUNGULIWA. TAZAMA MIUJIZA ILIYOTENDEKA.
Переглядів 152 місяці тому
Yesu anaponya ukimuamini
UNAWEZAJE KUUSHINDA MWILI?. ENENDENI KATIKA ROHO MAANA YAKE NINI?📌....
Переглядів 262 місяці тому
Mwili umekuwa kikwazo kikubwa katika kumtumikia Mungu. Mwili unakusukuma ufanye unavyotaka. Mwili unajisikia Mchovu sana katika mambo ya kufunga, kuomba, kusoma Biblia, na mambo mengine yanayohusiana na Roho. Ukiweza kuushinda Mwili basi unakuwa karibu na Mungu zaidi. Basi tujitahidi kuenenda katika Roho ili tufanikiwe kuona Baraka za Mungu.
SAFARI YA IMANI INA VITA‼️. UNAWEZAJE KUUSHINDA MWILI?. JE UTAKUWAJE KIUNGO CHA KRISTO?. SIKILIZA‼️
Переглядів 452 місяці тому
Kuishi katika imani lazima utakutana na vita mbalimbali, Mwili unaweza kuwa kikwazo kikubwa katika safari ya imani. Sikiliza ujumbe huu utakusaidia.
WAISRAELI WALITOKA MISRI KWENDA KANAANI KWA MIAKA 40‼️ Kwa nini? SIKILIZA UJUMBE HUU UTAKUSAIDIA 📌
Переглядів 342 місяці тому
Ulishawai Kujiuliza kwa Nini wana wa Israel walipita Jangwani kutoka Misri wakielekea KANAANI kwa miaka 40?. Wakati kutoka Misiri kwenda KANAANI ni mwendo wa siku chache‼️. Sikiliza kwa makini ujumbe Huu utakusaidia katika maisha yako ya Ukristo.‼️‼️ Na ": Mch Gwalugano Mwalusamba
KANUNI, UWEZO WA KUSIKIA SAUTI YA MUNGU.
Переглядів 202 місяці тому
Kanuni, uwezo wa kusikia Sauti ya Mungu. Pastor Gwalugano Mwalusamba from Mbeya.
NGUVU YA ROHO MTAKATIFU. SEMINA YA NENO LA MUNGU.
Переглядів 1032 місяці тому
Tazama Video hîi hakika utajifunza mambo mengi sana. Nawe utabalikiwa. Usikose kusubscribe, like, share na comment.
ONDOA MAMBO YASIOFAA UTUKUFU WA MUNGU USHUKE. SEMINA SIKU YA PILI.
Переглядів 182 місяці тому
Ondoa mambo yasiofaa ili utukufu wa Mungu uweze kushuka. Semina ya neno la Mungu katika kanisa la pentecoste Maombi na Maombezi. -Dodoma
SEMINA DAY 1. KUSHIRIKISHWA KATIKA MAMLAKA NA UTUKUFU WA MUNGU. NA MCH. GWALUKANO MWALUSAMBA.
Переглядів 262 місяці тому
SEMINA DAY 1. KUSHIRIKISHWA KATIKA MAMLAKA NA UTUKUFU WA MUNGU. NA MCH. GWALUKANO MWALUSAMBA.
USIJIVUNIE USHINDI WA LEO. Don't proud because of Today's victory.
Переглядів 42 місяці тому
USIJIVUNIE USHINDI WA LEO. Don't proud because of Today's victory.
NI YA MUDA. Official Gospel video_music. By Bishop Living Mwambapa. #gospel #gospelmusic
Переглядів 1683 місяці тому
NI YA MUDA. Official Gospel video_music. By Bishop Living Mwambapa. #gospel #gospelmusic
ASANTE YESU, LUGANO CHOIR. REACHING UNREACHED TANZANIAN CHURCH (RUTACH)
Переглядів 5794 місяці тому
ASANTE YESU, LUGANO CHOIR. REACHING UNREACHED TANZANIAN CHURCH (RUTACH)
UBHOMBILE #BISHOP LIVING MWAMBAPA
Переглядів 4665 місяців тому
UBHOMBILE #BISHOP LIVING MWAMBAPA
MIMI NI MGENI, DUNIANI TUNAPITA. #BISHOP LIVING MWAMBAPA PENTEKOSTE MAOMBI NA MAOMBEZI
Переглядів 1455 місяців тому
MIMI NI MGENI, DUNIANI TUNAPITA. #BISHOP LIVING MWAMBAPA PENTEKOSTE MAOMBI NA MAOMBEZI

КОМЕНТАРІ