KAJA TV
KAJA TV
  • 153
  • 28 047

Відео

WIMBO: HESHIMA YA BABA KUTOKA KWA REBECCA MAGESA
Переглядів 2899 годин тому
WIMBO: HESHIMA YA BABA KUTOKA KWA REBECCA MAGESA
'BABA HARUSI' ALIYEJITEKA DAR, APATIKANA KWA MGANGA WA KIENYEJI CHAKECHAKE, ZANZIBAR
Переглядів 4821 годину тому
'BABA HARUSI' ALIYEJITEKA DAR, APATIKANA KWA MGANGA WA KIENYEJI CHAKECHAKE, ZANZIBAR
TAG WAZO HILL LAONDOKEWA NA SHUJAA WA IMANI, MAASKOFU, WACHUNGAJI WAZUNGUMZIA UTUMISHI WAKE
Переглядів 72014 днів тому
TAG WAZO HILL LAONDOKEWA NA SHUJAA WA IMANI, MAASKOFU, WACHUNGAJI WAZUNGUMZIA UTUMISHI WAKE
KWA HERI MCHUNGAJI NATHAN NTUNGU
Переглядів 14514 днів тому
KWA HERI MCHUNGAJI NATHAN NTUNGU
KWANINI TAKURAWA INAMUOMBEA RAIS NA WASAIDIZI WAKE?
Переглядів 6414 днів тому
KWANINI TAKURAWA INAMUOMBEA RAIS NA WASAIDIZI WAKE?
Hali ni mbaya mabasi yamekwama:Rev.Joseph Marwa
Переглядів 2014 днів тому
Hali ni mbaya mabasi yamekwama:Rev.Joseph Marwa
IJUE TAASISI YA MAOMBI TAKURAWA NA KAZI ZAKE. JE, ILIANZISHWA LINI?
Переглядів 5921 день тому
IJUE TAASISI YA MAOMBI TAKURAWA NA KAZI ZAKE. JE, ILIANZISHWA LINI?
MATEMBEZI YA MSITUNI KUONGEZA IDADI YA WATALII LUSHOTO, TANGA.
Переглядів 921 день тому
MATEMBEZI YA MSITUNI KUONGEZA IDADI YA WATALII LUSHOTO, TANGA.
VIJANA WANOLEWA KUJIWEKA SAWA KWA CHAGUZI ZIJAZO
Переглядів 421 день тому
VIJANA WANOLEWA KUJIWEKA SAWA KWA CHAGUZI ZIJAZO
WANAWAKE WAPEWA MBINU 'KUKAMATA' FURSA
Переглядів 1521 день тому
WANAWAKE WAPEWA MBINU 'KUKAMATA' FURSA
#DAR: FPCT KUNDUCHI LAIGUSA JAMII KWA DAMU SALAMA, MCH.MPWEHUKA ATOA WITO
Переглядів 921 день тому
#DAR: FPCT KUNDUCHI LAIGUSA JAMII KWA DAMU SALAMA, MCH.MPWEHUKA ATOA WITO
AMANI DAYCARE CENTRE: KITUO BORA KWA MALEZI YA WATOTO
Переглядів 2728 днів тому
AMANI DAYCARE CENTRE: KITUO BORA KWA MALEZI YA WATOTO
TAZAMA ILIVYOKUWA IBADA YA KUSIFU NA KUABUDI, 24.11.2024, KANISA HALISI, TEGETA NAMANGA
Переглядів 233Місяць тому
TAZAMA ILIVYOKUWA IBADA YA KUSIFU NA KUABUDI, 24.11.2024, KANISA HALISI, TEGETA NAMANGA
UJUMBE WA WATOTO KWA WATANZANIA
Переглядів 8Місяць тому
UJUMBE WA WATOTO KWA WATANZANIA
#DAR ES SALAAM: WALIMU WA WATOTO TAG MASHARIKI KASKAZINI, 'WAPIGWA MSASA'
Переглядів 103Місяць тому
#DAR ES SALAAM: WALIMU WA WATOTO TAG MASHARIKI KASKAZINI, 'WAPIGWA MSASA'
#MBEYA: MAHAFALI YA 59, CHUO CHA SOUTHERN BIBLE COLLEGE, ITENDE - MBEYA, 2024
Переглядів 52Місяць тому
#MBEYA: MAHAFALI YA 59, CHUO CHA SOUTHERN BIBLE COLLEGE, ITENDE - MBEYA, 2024
#TABORA: MAHAFALI YA 6, CHUO CHA BIBLIA CHA WBC - TABORA, NOVEMBA 7, 2024
Переглядів 79Місяць тому
#TABORA: MAHAFALI YA 6, CHUO CHA BIBLIA CHA WBC - TABORA, NOVEMBA 7, 2024
HII HAPA IDADI YA KUKU NA NDEGE WAFUGWAO NCHINI TANZANIA
Переглядів 26Місяць тому
HII HAPA IDADI YA KUKU NA NDEGE WAFUGWAO NCHINI TANZANIA
TAZAMA ASKOFU ALIVYOONGOZA KUIMBA WIMBO HUU
Переглядів 11Місяць тому
TAZAMA ASKOFU ALIVYOONGOZA KUIMBA WIMBO HUU
"MWANAUME HABEMBELEZWI" - ASKOFU DUSTAN MABOYA
Переглядів 23Місяць тому
"MWANAUME HABEMBELEZWI" - ASKOFU DUSTAN MABOYA
WAZIRI MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA MWAKA CHA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Переглядів 13Місяць тому
WAZIRI MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA MWAKA CHA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024
Переглядів 9Місяць тому
MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024
#DAR: NDEGE WA MAPAMBAZUKONI WAZINDUA 'FIMBO YA MUSA'
Переглядів 117Місяць тому
#DAR: NDEGE WA MAPAMBAZUKONI WAZINDUA 'FIMBO YA MUSA'
#DAR: KIBALI NA TUNU 'WAKUBALI KUTOKA KWAO' SASA RASMI NI FAMILIA MOJA
Переглядів 527Місяць тому
#DAR: KIBALI NA TUNU 'WAKUBALI KUTOKA KWAO' SASA RASMI NI FAMILIA MOJA
#KIBAHA: MAFUNZO YA WANAWAKE VIONGOZI
Переглядів 112 місяці тому
#KIBAHA: MAFUNZO YA WANAWAKE VIONGOZI
#PWANI:CHINA YAINGIA MAKUBALIANO NA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU NYERERE, KUFANYA UTAFITI NA MAFUNZO.
Переглядів 182 місяці тому
#PWANI:CHINA YAINGIA MAKUBALIANO NA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU NYERERE, KUFANYA UTAFITI NA MAFUNZO.
#DAR: WAIMBAJI WA SAUTI MOJA HALISI, WALIVYONOGESHA SHEREHE YA KUPOKEA MWAKA HALISI
Переглядів 2342 місяці тому
#DAR: WAIMBAJI WA SAUTI MOJA HALISI, WALIVYONOGESHA SHEREHE YA KUPOKEA MWAKA HALISI
WITO WA MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE KWA WATANZANIA, RIDHIWAN KIKWETE, KUPATA MATIBABU YA MACHO.
Переглядів 172 місяці тому
WITO WA MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE KWA WATANZANIA, RIDHIWAN KIKWETE, KUPATA MATIBABU YA MACHO.
#DAR: WALICHOSEMA WAGENI WAALIKWA, WAKATI WA IBADA YA KUPOKEA MWAKA HALISI, 9.10.2024
Переглядів 1152 місяці тому
#DAR: WALICHOSEMA WAGENI WAALIKWA, WAKATI WA IBADA YA KUPOKEA MWAKA HALISI, 9.10.2024

КОМЕНТАРІ

  • @ZainabuHamisi-z4e
    @ZainabuHamisi-z4e 2 дні тому

    IMEKUWA KUBWA

  • @ZainabuHamisi-z4e
    @ZainabuHamisi-z4e 2 дні тому

    Imekuwa kubwa

  • @LightnessMushi-d4k
    @LightnessMushi-d4k 2 дні тому

    Ubarikiwe mtunishi wa Mungu,naomba uitishe Toba Kwa kanisa na kuomba rehema mbele za mungu,tumeingizwa kanisa lote bila kujua,tulipoamua kumia kauli mbiu ya miaka 13 ya uamsho,wakati hiyo no Ina matumizi mabaya na yule mwovu,tumehatamiwa Kwa wingu la mwovu bila kujua,na ROHO MTAKATIFU alikuwepo wakati mnaamua kuitumia,hakusikilizwa Wala hakuhitajika kutoa mwoongozo hatimae kanisa limeingia usingizi wa KIROHO bila kujua ,ssiv watu wanaenda KIMWILI hofu ya Mungu imeondoka kanisa I,watu wanaenda KIMWILI sana watu hawatengwi Kwa zinaa labda awe wa Hali ya chin kusalitiana ni kwingi upendo wa kubahuana,wakristo wachangahawauoni upendo wanarudi nyuma baada yakushindwa kutofautisha kanisa I na alikotoka.amri kuku ni upendo haupo,upendo ni pamoja na kuitetea kweli ya neno la Mungu watumishi wanapindisha mambo mengi Kwa faida Yao,hakuna bubujiko ndani ya kundi, tumeingizwa Kwa mfumo mbaya pasipokujua'kwa sababu Yaa kutoitii sauti ya Mungu nalia sana juu ya hili

  • @MWAJABUMSANGI-q1m
    @MWAJABUMSANGI-q1m 3 дні тому

    Hoñgera mno

  • @esthermwashilindi4336
    @esthermwashilindi4336 3 дні тому

    Asante sana Baba Askofu Mkuu tumepokea .Mungu Akutunze .

  • @veronicatomeka8709
    @veronicatomeka8709 13 днів тому

    Powerful many of God. REST IN PEACE.❤ MAY THE GOOD GOD COMFORT THE FAMILY.

  • @rev.thobias2756
    @rev.thobias2756 19 днів тому

    DGF TAKURAWA OG BISHOP ABUBAKAL RASHID KOMANDO ALIEKUTANA NA YESU NA KUAMULIWA KUOKOKA LEO NI ASKOFU NA MWOMBAJI MIMI NAMKUBALI

  • @ChristinaObeid
    @ChristinaObeid 20 днів тому

    Umenena ukweli dada upewe maua yako

  • @ChristinaObeid
    @ChristinaObeid 20 днів тому

    Niko pamoja na kaja tv👍👍

  • @EmmanuelNganga-oc8hc
    @EmmanuelNganga-oc8hc 27 днів тому

    🔥🔥

  • @rahahalisi965
    @rahahalisi965 Місяць тому

    Imekuwaa hongera

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c Місяць тому

    Imekua

  • @amanimojahalisi3228
    @amanimojahalisi3228 Місяць тому

    Hii ndio majira tuliyoisubiria leo imetimia mimi nawewe tunaishuhudia

  • @EmmanuelNganga-oc8hc
    @EmmanuelNganga-oc8hc Місяць тому

    Hongereni mno 🎉

  • @annasimbiligosi6573
    @annasimbiligosi6573 Місяць тому

    Hongera mno

  • @marymgimwa
    @marymgimwa Місяць тому

    Hongeraaaaaa🎉

  • @UheriHalisi-b5j
    @UheriHalisi-b5j Місяць тому

    Tunamshukuru MUUMBA wetu kwa ajili ya agano moja halisi.Mfanikiwe umilele wote.

  • @daudimwashilindi5333
    @daudimwashilindi5333 Місяць тому

  • @NdeshiCaston
    @NdeshiCaston Місяць тому

    😂😂 daaa baba KAJA TV UMETISHA. YOTE KWA YOTE ASANTE KWA KAZI NZURI. MUNGU ABARIKI KWAYA YETU.

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c Місяць тому

    Umeongea kweli kabisa ibada ni moja tu ya muumba wa vyote yote na wote

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c Місяць тому

    Ubarikiwe tunu,ubarikiwe kibali

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c Місяць тому

    Mmependeza sana

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c Місяць тому

    Imekua kubwa hongera zao

  • @JescaJoasBamanyisa
    @JescaJoasBamanyisa 2 місяці тому

    Imekuwa

  • @JaneMonya
    @JaneMonya 2 місяці тому

    Tunafurahishwa sana na taarifa zenu, hongereni sana

  • @Rany-uJesus
    @Rany-uJesus 2 місяці тому

    😴

  • @EmmanuelNganga-oc8hc
    @EmmanuelNganga-oc8hc 2 місяці тому

    🙌🙌

  • @EmmanuelNganga-oc8hc
    @EmmanuelNganga-oc8hc 2 місяці тому

    🙏🙏

  • @felix-tk6rx
    @felix-tk6rx 2 місяці тому

    Sasa mbona walikkua na usaidizi Pembeni waki filming tu

  • @ChristinageorgeMkinga
    @ChristinageorgeMkinga 2 місяці тому

    Ni zaidi ya fire vijana wa wazo hill sifa na utukufu ni kwa Mungu🎉🎉

  • @NdeshiCaston
    @NdeshiCaston 2 місяці тому

    Mungu abariki kazi yako KAJA TV

  • @NdeshiCaston
    @NdeshiCaston 2 місяці тому

    Mungu abariki kazi yako KAJA TV

  • @NdeshiCaston
    @NdeshiCaston 2 місяці тому

    Mungu abariki kazi yako KAJA TV

  • @bonisinkolongo3642
    @bonisinkolongo3642 2 місяці тому

    Nmeipenda mno hii

  • @YustinaMkumbwa
    @YustinaMkumbwa 2 місяці тому

    Hongeraa

  • @innocentgabriel4933
    @innocentgabriel4933 2 місяці тому

    Hongera sana Engineer Stephano

  • @FetyChina-c6k
    @FetyChina-c6k 2 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @kichekoamanfrah3730
    @kichekoamanfrah3730 2 місяці тому

    Tunamtukuza aliyeumba

  • @ImeldaMwenda-f4m
    @ImeldaMwenda-f4m 3 місяці тому

    Alietuumba kaja juu ya nchi ametupa msamaawabure utukufu nasifa ni zake

  • @LisaBeatus
    @LisaBeatus 3 місяці тому

    Tutamsifu kwa viwango vya NAZAIDI

  • @LisaBeatus
    @LisaBeatus 3 місяці тому

    Tutamsifu kwa viwango vya NAZAIDI

  • @LisaBeatus
    @LisaBeatus 3 місяці тому

    CHANZO HALISI ATASIFIWA MPAKA KIELEWEKE TENA HAPO BADO😊

  • @ThamawiMahela
    @ThamawiMahela 3 місяці тому

    Sifa ni za chanzo Halisi wala hachagii na yeyote

  • @ShukuruMassawe-z4t
    @ShukuruMassawe-z4t 3 місяці тому

    Utukufu kwa CHANZO HALISI

  • @daudimwashilindi5333
    @daudimwashilindi5333 3 місяці тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana.. ❤🎉 Endelea kubarikiwa kwa kazi njema unazozifanya

  • @EmmanuelNganga-oc8hc
    @EmmanuelNganga-oc8hc 3 місяці тому

    🔥

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c 3 місяці тому

    Chanzo halisi anasifiwa juu ya nchi

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c 3 місяці тому

    Safi sana

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c 3 місяці тому

    Wahoo imekuwa kubwa

  • @innocentgabriel4933
    @innocentgabriel4933 3 місяці тому

    Kazi yako ni njema sana Kaka zina ubora wa hali ya juu✨