- 191
- 2 247 075
Asha Yummy
Приєднався 4 лип 2020
mkate wa mayai mtamu sana /sponge cake
Ingredients:swahili
mkate wa mayai
mayai 10
sukari kikombe 1
unga kikombe 1
maziwa vijiko 3 vya chakula
mafuta vijiko 3 vya chakula
hiliki kijiko 1 cha chai
vanilla kijiko kidogo
zabibu kias
ingredients:English
How to make sponge cake
10 eggs
Sugar 1 cup
flour 1 cup
Milk 3 Tablespoon
Oil 3 Tablespoon
Cardamom powder 1 tea tablespoon
Vanilla extract 1 tea tablespoon
A bit Raisin
mkate wa mayai
mayai 10
sukari kikombe 1
unga kikombe 1
maziwa vijiko 3 vya chakula
mafuta vijiko 3 vya chakula
hiliki kijiko 1 cha chai
vanilla kijiko kidogo
zabibu kias
ingredients:English
How to make sponge cake
10 eggs
Sugar 1 cup
flour 1 cup
Milk 3 Tablespoon
Oil 3 Tablespoon
Cardamom powder 1 tea tablespoon
Vanilla extract 1 tea tablespoon
A bit Raisin
Переглядів: 5 684
Відео
ukiwa na kuku na viazi pika kababu tamu kama hizi /kababu
Переглядів 84710 місяців тому
ukiwa na kuku na viazi pika kababu tamu kama hizi /kababu
pilau simple pika kwa dk 10 tamu sana utapenda
Переглядів 925Рік тому
pilau simple pika kwa dk 10 tamu sana utapenda
jinsi ya kupika tambi za nyama / spaghetti tamu sanaa
Переглядів 615Рік тому
tambi mfuko 1 nyama nusu kilo nyanya mbili au tatu pilipili boga nyekundu kitunguu maji 1 chemsha nyama weka kula kitu
vileja vya mwezi vitamu sana halif moon cookies vinapikwa hivi
Переглядів 6 тис.Рік тому
siagi nus kilo sukari robo kikombe yai 1 vanilla kijiko kidogo cha chai rangi ya manjano kidogo kungu manga kijiko 1 cha chakula unga wa ngano vikombe 3 baking powder kijiko kidogo cha chai
pilau ya nyama inapikwa hivi tamu sana sana
Переглядів 3,1 тис.Рік тому
pilau ya nyama inapikwa hivi tamu sana sana
donas za skukuu ya Eid za kiswahili zina pikwa hivi tamu sana Eid DONUTS
Переглядів 6 тис.Рік тому
donas za skukuu ya Eid za kiswahili zina pikwa hivi tamu sana Eid DONUTS
visheti vya skukuu ya eid pika kwa dk 5 tu vitamu sana oika hivi
Переглядів 1,8 тис.Рік тому
visheti vya skukuu ya eid pika kwa dk 5 tu vitamu sana oika hivi
chapati bila ya kukanda unga za skukuu ya eid zinapikwa hivi tamu sana
Переглядів 2,4 тис.Рік тому
chapati bila ya kukanda unga za skukuu ya eid zinapikwa hivi tamu sana
pika hivi jicho la mke mwenza la samaki tamu sanaa kababu za samak /fish kabab
Переглядів 7 тис.Рік тому
nimetumia vikopo 2 vya samak karot 1 pilipili mbichi 2 pilipili ya unga nusu kijiko pilipili manga nusu kijiko spice ya samaki nusu kijiko chumvi kidogo kipande cha limao kitunguu maji 1 Mayai 2 Ingredients in English 2 cans of tuna 1 carrot green chili 2 pieces chili powder half spoon spicy fish powder half spoon A pinch of salt lemon half (squeeze) 1 onion 2 eggs
bajia za dengu zinapikwa hivi tamu sana /bajia Pakora
Переглядів 4,6 тис.Рік тому
bajia za dengu zinapikwa hivi tamu sana /bajia Pakora
pika kaimati nzuri na tamu sana za shira ramadhan kama hizi how to make crunchy kalimati
Переглядів 26 тис.Рік тому
unga wa ngano vikombe 2 cornflour vijiko 2 sukar kijiko 1 hamira kijiko 1 vaniila kijiko kidogo maziwa kikombe 1 maji nusu na robo kikombe z Ingredients cornflour 2 spoons sugar 1 spoons Yeast 1 spoon 1 cup of milk 1/4 cup of water
jinsi ya kupika maandazi malain na matamu sana /how to make maandazi
Переглядів 13 тис.Рік тому
jinsi ya kupika maandazi malain na matamu sana /how to make maandazi
miguu ya kuku ya kukaanga kama ya kfc inapikwa hivi ni mitamu sanaaa
Переглядів 2,8 тис.Рік тому
miguu ya kuku ya kukaanga kama ya kfc inapikwa hivi ni mitamu sanaaa
pika hivi bajia za kunde utapenda tamu sana wapenzi
Переглядів 2,4 тис.2 роки тому
pika hivi bajia za kunde utapenda tamu sana wapenzi
jinsi ya kupika cabbage na mayai tamu sana/ How to make breakfast egg cabbage
Переглядів 3,3 тис.2 роки тому
jinsi ya kupika cabbage na mayai tamu sana/ How to make breakfast egg cabbage
pika hivi kashata za karanga tamu sana utapenda
Переглядів 7 тис.2 роки тому
pika hivi kashata za karanga tamu sana utapenda
pika vitumbua vya kiini cha yai vizuri sana vilaini na vitamu sanaa
Переглядів 1,8 тис.2 роки тому
pika vitumbua vya kiini cha yai vizuri sana vilaini na vitamu sanaa
jinsi ya kupika biriani y kiswahili ya kuku simple /chiken biriani sinple
Переглядів 1,6 тис.2 роки тому
jinsi ya kupika biriani y kiswahili ya kuku simple /chiken biriani sinple
jinsi ya kupika kuku wa sauce matamu sana /how to cook chicken with sauce.
Переглядів 9802 роки тому
jinsi ya kupika kuku wa sauce matamu sana /how to cook chicken with sauce.
jinsi ya kupika urojo wa zanzibar mtamu sana umekolea vitu utaupenda
Переглядів 6 тис.2 роки тому
jinsi ya kupika urojo wa zanzibar mtamu sana umekolea vitu utaupenda
jinsi ya kupika roast ya kamba tamu sana /prawn roast
Переглядів 1,6 тис.2 роки тому
jinsi ya kupika roast ya kamba tamu sana /prawn roast
jinsi ya kupika figoza kuku tamu sana sanaa
Переглядів 8582 роки тому
jinsi ya kupika figoza kuku tamu sana sanaa
jinsi ya kupika mayai ya jicho la ngombe matamu sanaa
Переглядів 3,8 тис.2 роки тому
jinsi ya kupika mayai ya jicho la ngombe matamu sanaa
wali wa kuku mzima wa kiarabu mtamu sana/unaitwa wali wa kabsa
Переглядів 3 тис.2 роки тому
wali wa kuku mzima wa kiarabu mtamu sana/unaitwa wali wa kabsa
jinsi ya kupika kashata za maziwa tamu sana /BARFI
Переглядів 25 тис.2 роки тому
jinsi ya kupika kashata za maziwa tamu sana /BARFI
vileja vya tende rahisi kufanya na vitamu sana utapenda /date cookies
Переглядів 4,6 тис.2 роки тому
vileja vya tende rahisi kufanya na vitamu sana utapenda /date cookies
utapenda kupika chapati laini za hamira kama hizi /chapati
Переглядів 4 тис.2 роки тому
utapenda kupika chapati laini za hamira kama hizi /chapati
utapenda kupika viazi hivi kila siku vitamu sanaaa /potato crispy recipe
Переглядів 3,1 тис.2 роки тому
utapenda kupika viazi hivi kila siku vitamu sanaaa /potato crispy recipe
ajab
Yogurt niile ya kula mamy
Vipi nikitaka kuuwekea bakingpowder je?
Mashaallah
❤mashallah nmependa snaa
Juzi niliutengeneza ila haukuvimba labda tatizo ni nini?
Kwa io hutii kwenye oven unatia kwenye grill
Asante kwa ushauri naomba kuuliza mchele namtumia Ile chenga pia naweza kutumia unga wa mchele?🙏
Asante kwa ufasaha wa somo
Hongera kwa kuelimisha
Mashaallah ❤
Nataka nijaribu inshallah ❤
Nikitumia unga wangano mbadala
HELLO ASHA I JUST SAW YOUR VIDEO PLEASE TELL ME DID YOU USE BOILED RICE? OR DO I SOAK THE RICE AND THEN BOIL? - THANK YOU
Mashaallah nimependa sana mapeshi
Mungu Anitangulie Na me kesho nitajalibu❤❤❤😂
Maa shaa allah
Looks so yummy thanks for sharing this wonderful recipe 👌👍
Mashaallah Mashaallah
Nikuulize kama huna Nazi unaweza kutumia maziwa
Hizp rangi ni hatar Kwa afya
Nzuri
Tuna ni nini
Mimi nafkiri NYAMA zilitakiwa ziwekwe kwanza kabla ya mchele. Nyama zinatakiwa zizishe viungo. Namna hiyo inakua kama tu umechemsha nyama ukaziweka pembeni
Maa Shaa Allaah
Mashallah ❤
Kma kuku unafanya ivyoivyo
Hujaweka sukari
Masha allah🌹
Mashaah
Shukran
Yammy 😋
Yale maji ya uvuguvugu si ndio Asha coz nataka kuvipika inshaa Allah
Sasa mimi nataka kuuliza iyo nyama haito nuka man yana ya mbuzi inanuka
Asante mumy nimezipenda egg chop zako
Korianda ndio nini
Asalam alaykum warahmatulahi wabarakatuh aunty ukwapi isha fika mwezi tano 😭
Mashallh asnt dad
Asante
Napenda sana biryani Asante kwa somo
0:11 Mimi nayapenda Sanaa nyumbani mama si sana kuyapika nikitamani nakwenda kwa mama ntilie ya kwao si mazito sana kama hivi nadhani kwa ajili ya biashara wanatia maji kidogo zaidi. Lkn kwangu ndiyo navyopenda isiwe nzito sana. Nanunua na maandazi nakatiatia naweka ktk maharage ohhh nakuwa ktk Dunia nyingine kabisa. Ya kwako pia Yana mvuto mzuri. Ma Sha Allah Ahsante.
❤❤Masha,llah
Je karanga ziwe mbichi au zilizokaaangwa?????
Mmh
Kama unamtindi
Nimependa sana nitapika kesho
Masha allah
Mashaalah umetumia sufuria ya inch ngapi?
Mashallah 😍😍
Umepika kiusafi sana