Bukelebe TV
Bukelebe TV
  • 2 634
  • 301 657

Відео

NINGUMU KUMPENDA MUNGU KAMA SISI MARAFIKI HATUPENDANI || PR. SHILE KEPHA
Переглядів 15 годин тому
NINGUMU KUMPENDA MUNGU KAMA SISI MARAFIKI HATUPENDANI || PR. SHILE KEPHA
HAYA NDIYO ANAYOTAKA MUNGU || MWINJILISTI LUCY NGERINGAO
5 годин тому
HAYA NDIYO ANAYOTAKA MUNGU || MWINJILISTI LUCY NGERINGAO
DINI YA MAZOEA - MWINJILISTI LUCY NGERINGAO
Переглядів 15 годин тому
DINI YA MAZOEA - MWINJILISTI LUCY NGERINGAO
MWINJILISTI LUCY NGERINGAO || MBINGUNI HAKUNA DINI YA MAZOEA
Переглядів 25 годин тому
MWINJILISTI LUCY NGERINGAO || MBINGUNI HAKUNA DINI YA MAZOEA
MFAHAMU MTU WAKO WA KARIBU
Переглядів 113 годин тому
MFAHAMU MTU WAKO WA KARIBU
MWENYE PEPO GERASI || MARKO 5 || MATHAYO 8 || LUKA 8
Переглядів 614 годин тому
MWENYE PEPO GERASI || MARKO 5 || MATHAYO 8 || LUKA 8
MWAMBIE MAPEMA MWENZI WAKO KILE USICHOTAKA AKUFANYIE
Переглядів 42 години тому
MWAMBIE MAPEMA MWENZI WAKO KILE USICHOTAKA AKUFANYIE
YESU MTULIZA DHORUBA
Переглядів 62 години тому
YESU MTULIZA DHORUBA
HILI NDILO KUNDI LINALO RUDISHA NYUMA MAENDELEO YA WENGINE
Переглядів 92 години тому
HILI NDILO KUNDI LINALO RUDISHA NYUMA MAENDELEO YA WENGINE
THE BATTLE FOR WORLD DOMINION || VITA YA UTAWALA WA DUNIA || PART 1
Переглядів 44 години тому
THE BATTLE FOR WORLD DOMINION || VITA YA UTAWALA WA DUNIA || PART 1
THE BATTLE FOR WORLD DOMINION || VITA YA UTAWALA WA DUNIA || PART 1
Переглядів 54 години тому
THE BATTLE FOR WORLD DOMINION || VITA YA UTAWALA WA DUNIA || PART 1
NUMB AND DUMB Part 1
Переглядів 164 години тому
NUMB AND DUMB Part 1
GLOBAL NEW WORLD ORDER || PART 2
Переглядів 197 годин тому
GLOBAL NEW WORLD ORDER || PART 2
GLOBAL NEW WORLD ORDER || PART 1
Переглядів 277 годин тому
GLOBAL NEW WORLD ORDER || PART 1
KUFANIKIWA KATIKA SHIDA || GETTING SUCCESS THROUGH DIFFICULTY
Переглядів 239 годин тому
KUFANIKIWA KATIKA SHIDA || GETTING SUCCESS THROUGH DIFFICULTY
MBINU KUU YA KUTIMIZA MALENGO YAKO || HUSNA MKUPETE
Переглядів 609 годин тому
MBINU KUU YA KUTIMIZA MALENGO YAKO || HUSNA MKUPETE
USHUHUDA || MATENDO MAKUU YA MUNGU || FAMILIA YA MZEE E. BIGAMBO
Переглядів 99 годин тому
USHUHUDA || MATENDO MAKUU YA MUNGU || FAMILIA YA MZEE E. BIGAMBO
IBAADA YA SADAKA YA SHUKRANI || MAJI YA CHAI SDA CHURCH
Переглядів 1012 годин тому
IBAADA YA SADAKA YA SHUKRANI || MAJI YA CHAI SDA CHURCH
IFAHAMU HUDUMA YA IDARA YA VIJANA (SDA) || PASTOR FRANK LAMECK || MAJI YA CHAI SDA CHURCH
Переглядів 5212 годин тому
IFAHAMU HUDUMA YA IDARA YA VIJANA (SDA) || PASTOR FRANK LAMECK || MAJI YA CHAI SDA CHURCH
SIKU YA UZINDUZI WA MADARASA || IDARA YA VIJANA || MAJI YA CHAI SDA CHURCH 2025
Переглядів 3712 годин тому
SIKU YA UZINDUZI WA MADARASA || IDARA YA VIJANA || MAJI YA CHAI SDA CHURCH 2025
ANITHA BINAGI MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ALIVYO HOJIWA WASAFI MEDIA
Переглядів 5412 годин тому
ANITHA BINAGI MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ALIVYO HOJIWA WASAFI MEDIA
MAIGU, AREA CORDINATOR KANDA YA SIMANJIRO AKIKABIDHIWA WANACHAMA || MAJI YA CHAI SDA || 2025
Переглядів 1814 годин тому
MAIGU, AREA CORDINATOR KANDA YA SIMANJIRO AKIKABIDHIWA WANACHAMA || MAJI YA CHAI SDA || 2025
HIZI NDIZO SHERIA ZA WAVUMBUZI
Переглядів 1114 годин тому
HIZI NDIZO SHERIA ZA WAVUMBUZI
KIMBOTITO WOOU || THE LIVE PERFORMANCE || HITIMISHO SIKU 10 ZA MAOMBI 2025 || NGONGONGARE SDA
Переглядів 314 годин тому
KIMBOTITO WOOU || THE LIVE PERFORMANCE || HITIMISHO SIKU 10 ZA MAOMBI 2025 || NGONGONGARE SDA
KIMBOTITO WOOU || THE LIVE PERFORMANCE || HITIMISHO SIKU 10 ZA MAOMBI 2025 || NGONGONGARE SDA
Переглядів 11414 годин тому
KIMBOTITO WOOU || THE LIVE PERFORMANCE || HITIMISHO SIKU 10 ZA MAOMBI 2025 || NGONGONGARE SDA
UZINDUZI WA MADARASA || IDARA YA VIJANA || MAJI YA CHAI SDA CHURCH 2025 || PASTOR ISACK
Переглядів 614 годин тому
UZINDUZI WA MADARASA || IDARA YA VIJANA || MAJI YA CHAI SDA CHURCH 2025 || PASTOR ISACK
MZEE WA KANISA WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO MAJI YA CHAI AKITOA SHUKRANI || IDUCTION DAY 2025
Переглядів 814 годин тому
MZEE WA KANISA WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO MAJI YA CHAI AKITOA SHUKRANI || IDUCTION DAY 2025
SHEREHE || HITIMISHO SIKU 10 ZA MAOMBI 2025 || NGONGONGARE SDA CHURCH
Переглядів 2214 годин тому
SHEREHE || HITIMISHO SIKU 10 ZA MAOMBI 2025 || NGONGONGARE SDA CHURCH
MAJI YA CHAI SDA CHOIR || SABATO 11.01.2015 || THE LIVE PERFORMANCE || MAJI YA CHAI SDA CHURCH
Переглядів 1416 годин тому
MAJI YA CHAI SDA CHOIR || SABATO 11.01.2015 || THE LIVE PERFORMANCE || MAJI YA CHAI SDA CHURCH

КОМЕНТАРІ

  • @nalwendozubamunsaka9220
    @nalwendozubamunsaka9220 19 годин тому

    Lucy Lubula Mweetwa you're powerful may God bless you

  • @dianaferdinand7546
    @dianaferdinand7546 День тому

    Hamsikiki

    • @BukelebeTv
      @BukelebeTv 21 годину тому

      Ahsante sana kwa taarifa mpendwa. Tunsomba radhi kwa changamoto hiyo

  • @PauloMacha-q1v
    @PauloMacha-q1v День тому

    Ameni

  • @IsackMbwilo5
    @IsackMbwilo5 2 дні тому

    Hongereni sanaa

  • @IsackMbwilo5
    @IsackMbwilo5 2 дні тому

    Nice

  • @ThefinalwarningTv
    @ThefinalwarningTv 5 днів тому

    Huyu muimbaji analeta masiala, kwamba ukiwa peke yako ndio unaruhusiwa kufanya kinyume na maelekezo ya Mungu?

  • @dansonbussutimediaproduction
    @dansonbussutimediaproduction 6 днів тому

  • @EniahChimba
    @EniahChimba 8 днів тому

    ❤❤

  • @gloriamasaka7635
    @gloriamasaka7635 11 днів тому

    Asante sana naona umesahau kutaja jina la mume wake

  • @ElizabethKatundu-f2f
    @ElizabethKatundu-f2f 11 днів тому

    nitumie

    • @BukelebeTv
      @BukelebeTv 11 днів тому

      Sawa. Tutumie nambari yako ya Whatsapp kwa +255 673950509

  • @rarirover44
    @rarirover44 14 днів тому

    Wewe ni mnenajj mzuri sana una kipaji kaka ipo siku Mungu atakuona

    • @BukelebeTv
      @BukelebeTv 14 днів тому

      Oooh! Ahsante sana Tunashukuru (Kwa niaba)💕❤️

  • @dansonbussutimediaproduction
    @dansonbussutimediaproduction 15 днів тому

    Ubarikiwe sana kijana mwanzo mzuri sana Bukelebe

  • @mmcgraphics9307
    @mmcgraphics9307 16 днів тому

    Ubarikiwe sana By MUSSA MATONDO

    • @BukelebeTv
      @BukelebeTv 16 днів тому

      Amina. Ubarikiwe Musa Matondo || Gold of hope TV

    • @mmcgraphics9307
      @mmcgraphics9307 16 днів тому

      @@BukelebeTv ndio sisi wenyewe

  • @ZubedaSaidi-j1n
    @ZubedaSaidi-j1n 18 днів тому

    Nitumien ninashid naz

    • @BukelebeTv
      @BukelebeTv 18 днів тому

      Sawa. Tutumie Namba yako ya Whatsapp. Au unaweza kututumia Ujumbe kwa Whatsapp kupitia Namba +255 673950509

  • @AdamAkile
    @AdamAkile 19 днів тому

    🙏🙏🙏

  • @AdamAkile
    @AdamAkile 19 днів тому

    vizur

  • @nathanaelmbwambo5981
    @nathanaelmbwambo5981 20 днів тому

    Kama unaibeza kalenda ya Mzungu/ Ukristo - ukiulizwa una miaka mingapi huwa unajibuje ? Au huu ni mwaka gani unajibuje ! Iwapo unakubali huu ni mwaka 2025 maana yake unamkubali Kristo na unakubali kuwa tarehe / siku inabadikika usiku wa saa 00:01 ! Kukingania watu wenye akili timamu kunataka hekima . Hata uuchukie Ukristo na misimamo uiitayo ya kizungu bado huu ni mwaka 2025 na tarehe na siku zitabaki kubadilika usiku.

  • @ngerejaboniface2596
    @ngerejaboniface2596 20 днів тому

    Nimekuelewa sana hapo dr maana kuna watu mabwege wanajua siku inabadilika saa sita usiku!

    • @nathanaelmbwambo5981
      @nathanaelmbwambo5981 19 днів тому

      Hata kujua kuwa huu ni muda gani bado ni kalenda ya mzungu , huwa kuna mambo hayaepukiki.

  • @PauloMacha-q1v
    @PauloMacha-q1v 21 день тому

    Amen

  • @MwalimuAlamaTV
    @MwalimuAlamaTV 22 дні тому

    Inauma ila tujipe moyo maana lipo tumaini la ufufuo

  • @AmosiReuben
    @AmosiReuben 23 дні тому

    Pole washiriki wa Mwenge, familia na ndg wote

  • @delickmarco3945
    @delickmarco3945 23 дні тому

    Uko sawa doct sure

  • @jaspertito5343
    @jaspertito5343 24 дні тому

    Hata Biblia anayoifanyia rejea msingi wake ni mapokeo (mzungu). Hivyo maelezo yake hayajitoshelezi kushawishi vinginevyo.

    • @khalidmyaule6187
      @khalidmyaule6187 23 дні тому

      Off course imechakachuliwa , Lakini anayoyanena ni sahihi, tumegeuziwa sana hii Dunia na ndio maana maisha yamekuwa magumu!!! Kamali,pombe mipira, riba ndio inatuongoza

    • @nathanaelmbwambo5981
      @nathanaelmbwambo5981 19 днів тому

      Hadi umri nilionao sijawahi kuona / kusikia mlinganiaji Muislamu akiwalingania ummat kwa kutumia Quran pekee bila kutumia rejea ya Biblia. Ifikie mahali kama kweli Quran inajiyosheleza mtulinganie kupitia hiyo pekee ili tuujue uzuri wa Uislamu na Muhammad SAW na kama kuna ahadi ya peponi kupitia mumo. Kwa sisi ambao kila uchao ni Wanafunzi tunapata mkanganyiko mkubwa sana - vipi misamiati iliyopo huko haijitoshelezi kufikisha ujumbe ? Kama mtu yeyote anaotumia Biblia kwa namna yoyote basi asiubeze ukristo, uzungu na kalenda ya dunia, ndiyo maana ikasemwa mambo ya kiimani yafasiriwe kiimani kwani ikiingizwa jiografia au sayansi hatuwezi kufika salama tuendapo.

  • @methodrweyendera6814
    @methodrweyendera6814 24 дні тому

    Wewe ngombe tu

  • @lameckmkama-hu7ko
    @lameckmkama-hu7ko 24 дні тому

    Ukosahii

  • @OdenialoniNgusi
    @OdenialoniNgusi 24 дні тому

    Ww ndomwege zaidi kuliko wote Dunia

    • @lameckmkama-hu7ko
      @lameckmkama-hu7ko 24 дні тому

      Wewe soma kwanza na ukosoe yeye kasoma wewe umesoma wapi au unakalilishwa mapokeo

  • @TatuKisebe
    @TatuKisebe 24 дні тому

    Kilichokufanya uachame nini ndomo kama shimo la choo😊

    • @lameckmkama-hu7ko
      @lameckmkama-hu7ko 24 дні тому

      Hata elim ulonayo ya kusoma hainafaida yeye kasoma mwanzo1:1wewe unaye Pinga unasoma wapi ACHA lugha ya kejeli unajidhalilisha bule unaonekana hufai hata kutoa maoni

  • @PastorBukelebe
    @PastorBukelebe 26 днів тому

    Amina

  • @MwalimuAlamaTV
    @MwalimuAlamaTV 26 днів тому

    Habari za amnoni na Tamari zimeelezewa katika 2samweli 13:1-22

  • @MwalimuAlamaTV
    @MwalimuAlamaTV 26 днів тому

    Mungu awalinde na muwe na amani, furaha na maelewano

  • @Jellyvein1
    @Jellyvein1 26 днів тому

    God is good

  • @emmanueljiguwi8779
    @emmanueljiguwi8779 27 днів тому

    ❤❤❤

  • @AmosiReuben
    @AmosiReuben Місяць тому

    Hongera sana Idrack na Magreth

  • @JescaDaud-j4s
    @JescaDaud-j4s Місяць тому

    Ubarikiwe sana Idrack na Magreth

  • @MwalimuAlamaTV
    @MwalimuAlamaTV Місяць тому

    Niujumbe mzuri mno nimeupenda barikiwa sana

  • @Bukelebengelela
    @Bukelebengelela Місяць тому

    Ubarikiwe sana Idrack na Magreth

  • @happynghulunge8211
    @happynghulunge8211 Місяць тому

    Umejitahidi sana umebakiza kuonganisha maneno , unatamka Moja Moja jitahidi kuonganisha 👏👏👏

  • @MwalimuAlamaTV
    @MwalimuAlamaTV Місяць тому

    Umepiga hatua pambana ujue lugha nyingi ili ufikishe ujumbe kwa mataifa

  • @BrianMwigamba
    @BrianMwigamba Місяць тому

    Yes 🙏

  • @MwalimuAlamaTV
    @MwalimuAlamaTV Місяць тому

    Inapendeza sana

  • @MwalimuAlamaTV
    @MwalimuAlamaTV Місяць тому

    Inapendeza sana

  • @MwalimuAlamaTV
    @MwalimuAlamaTV Місяць тому

    Inapendeza sana

  • @MwalimuAlamaTV
    @MwalimuAlamaTV Місяць тому

    Inapendeza sana

  • @SalomeGeophray
    @SalomeGeophray Місяць тому

    hongeraa Officially Mr &Mrs Kutemile Mungu awatunze ikawe mbingu ndogo nawapendaaa❤❤❤