- 42
- 72 130
Jifunze Lingala na Pauline
Kenya
Приєднався 8 жов 2020
Jambo! Mbote! Karibu kwa class ya "Jifunze Lingala na Pauline". Niko hapa kukufunza jinsi ya kuongea Lingala/Kiswahili na kuwa mwenyeji katika lugha.
Watu wengi wanapenda muziki ya Lingala lakini hawaelewi maneno yanayoimbwa. Rhumba ni tamu zaidi kama unaelewa maneno yake.
Tutajifunza kwa mwendo wa ustadi, na kama hauelewi, ucheze video mara na mara hadi ushike. Masomo yatakuwa mengi kwa hivyo nakuhimiza uweze ku-subcribe, like na ku-share ili usikose masomo yoyote.
Pauline atakufunza jinsi utakavyofanya kila siku mpaka uwe expert.
Karibu!! Bizu bizu...
Watu wengi wanapenda muziki ya Lingala lakini hawaelewi maneno yanayoimbwa. Rhumba ni tamu zaidi kama unaelewa maneno yake.
Tutajifunza kwa mwendo wa ustadi, na kama hauelewi, ucheze video mara na mara hadi ushike. Masomo yatakuwa mengi kwa hivyo nakuhimiza uweze ku-subcribe, like na ku-share ili usikose masomo yoyote.
Pauline atakufunza jinsi utakavyofanya kila siku mpaka uwe expert.
Karibu!! Bizu bizu...
LIKEBISI | MALAKO | ONYO/MAAGIZO - Somo La 41 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Mbote mwana-kelasi! (Jambo mwanafunzi!)
Welcome to "Jifunze Lingala na Pauline". The fast learning Lingala channel.
The lessons are a guide for beginners who wish to know the Lingala language, words and phrases.
In this Lesson No. 41 you shall learn, "MALAKO/ MAKEBISI" - "INSTRUCTIONS/ WARNINGS"
This is the place to start if you want to learn Lingala step by step.
Karibu sana - Boyei bolamu - Most welcome
Bizu bizuuuu
Welcome to "Jifunze Lingala na Pauline". The fast learning Lingala channel.
The lessons are a guide for beginners who wish to know the Lingala language, words and phrases.
In this Lesson No. 41 you shall learn, "MALAKO/ MAKEBISI" - "INSTRUCTIONS/ WARNINGS"
This is the place to start if you want to learn Lingala step by step.
Karibu sana - Boyei bolamu - Most welcome
Bizu bizuuuu
Переглядів: 1 747
Відео
MALAMU | VIZURI/ NJEMA/ POA/ MZURI - Somo La 40 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Переглядів 1,2 тис.Рік тому
Welcome to "Jifunze Lingala na Pauline". I'll teach you Lingala using Kiswahili language. The lessons are a guide for beginners who wish to know the Lingala language, words and phrases. In this Lesson No. 40 you shall learn how to use the word, "MALAMU" - "WELL / VIZURI" This is the place to start if you want to learn Lingala step by step. Karibu sana - Boyei malamu - Most welcome Bizu bizuuuu
OYO | HUYU/ HII/ HIZI - Kutaja mtu/ watu/ vitu vilivyo kati yetu kwa Lugha ya Lingala | Somo La 39
Переглядів 1,1 тис.Рік тому
Mbote mwana-kelasi! (Jambo mwanafunzi!) Welcome to "Jifunze Lingala na Pauline". The fast learning Lingala channel. The lessons are a guide for beginners who wish to know the Lingala language, words and phrases. In this Lesson No. 39 you shall learn how to use the word, "OYO" - "THIS/ THESE" This is the place to start if you want to learn Lingala step by step. Karibu sana - Boyei malamu - Most ...
SAA NGAPI? | NGONGA NINI? (What Time?) | Somo La 38 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Переглядів 936Рік тому
In this Lesson you shall learn about TIME - NGONGA ["SAA"] This is the place to start if you want to learn Lingala step by step. Karibu sana - Boyei malamu - Most welcome Bizu bizu
MANENO YA KAWAIDA KWA KILINGALA (Common words) | Somo La 37 | Jifunze Lingala na Pauline
Переглядів 2 тис.Рік тому
Mbote mwana-kelasi! (Jambo mwanafunzi!) Welcome to "Jifunze Lingala na Pauline". The fast learning Lingala channel. In this Lesson No. 37 you shall learn, "MANENO YA KAWAIDA KWA LUGHA YA LINGALA" - "COMMON WORDS IN LINGALA" (Maloba oyo bato ebele basalelaka na'ngo The lessons are a guide for beginners who wish to know the Lingala language, words and phrases. Karibu sana - Boyei bolamu
SEHEMU ZA MWILI | BITENI YA NZOTO (Parts of the Body) | Somo La 36 | Jifunze Lingala na Pauline
Переглядів 1,9 тис.2 роки тому
Mbote mwana-kelasi! (Jambo mwanafunzi!) Welcome to "Jifunze Lingala na Pauline". The fast learning Lingala channel. The lessons are a guide for beginners who wish to know the Lingala language, words and phrases. In this Lesson No. 36 you shall learn, "BITENI YA NZOTO" - "PARTS OF THE BODY" This is the place to start if you want to learn Lingala step by step. Karibu sana - Boyei bolamu - Most we...
RANGI KWA LUGHA YA LINGALA | LANGI (Kuler - Color) Somo La 35 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala
Переглядів 8822 роки тому
Welcome to "Jifunze Lingala na Pauline". The lessons are a guide for beginners who wish to know the Lingala language, words and phrases. In this Lesson No. 35 you shall learn the Colors, "LANGI" - RANGI This is the place to start if you want to learn Lingala step by step. Karibu sana - Boyei bolamu - Most welcome Bizu bizuuuu
BATO YA LIBOTA | WATU WA FAMILIA (Family Members) Somo La 34 | Yekola Lingala | Jifunze Lingala
Переглядів 1,6 тис.2 роки тому
In this Lesson you shall learn Vocabularies of "FAMILY MEMBERS" - Watu wa Familia (BATO YA LIBOTA), and also people connected to the Family. This is the place to start if you want to learn Lingala step by step. Karibu sana - Boyei malamu - Most welcome Bizu bizu
KO YEMBA | KUIMBA (To Sing) Katika WAKATI UJAO (FUTURE TENSE) Somo La 33 | Yekola Lingala
Переглядів 7432 роки тому
Welcome to "Jifunze Lingala na Pauline". I'll teach you Lingala using Kiswahili language. The lessons are a guide for beginners who wish to know the Lingala language, words and phrases. In this lesson you shall learn how to use the word, "KO YEMBA" - KUIMBA (TO SING), in Future Tense. Karibu sana - Boyei malamu Bizu bizu
KO YEMBA | KUIMBA (To Sing) Katika WAKATI ULIOPITA (PAST TENSE) Somo La 32 | Yekola Lingala
Переглядів 6942 роки тому
Welcome to "Jifunze Lingala na Pauline". I'll teach you Lingala using Kiswahili language. The lessons are a guide for beginners who wish to know the Lingala language, words and phrases. In Lesson No. 32 you shall learn how to use the word, "KO-YEMBA" - KUIMBA (TO SING), "Past/ Past participle" Tense. Karibu sana - Boyei bolamu Bizu bizu
KO YEMBA | KUIMBA (To Sing) Katika WAKATI ULIOPO (Present) | Somo La 31 | Jifunze/ Yekola Lingala
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
Welcome to "Jifunze Lingala na Pauline". The lessons are a guide for beginners who wish to know the Lingala language, words and phrases. In this Lesson No. 31 you shall learn how to use the word, "KO-YEMBA" - KUIMBA (TO SING), a verb word. We shall learn the verb in "Present/ Present Continuous". This is the place to start if you want to learn Lingala step by step. Karibu sana - Boyei bolamu - ...
VIHUSISHI | PREPOSITIONS ZA LINGALA | Somo La 30 | Learn Lingala
Переглядів 2 тис.2 роки тому
Welcome to "Jifunze Lingala na Pauline". I'll teach you Lingala using Kiswahili language. The lessons are a guide for beginners who wish to know the Lingala language, words and phrases. In this Lesson No. 30 you shall learn how to use the Lingala Prepositions e.g. On, Under, beside, In, Between, Behind, In front, etc... The lessons are friendly and fun! I’ll help you learn Lingala step by step…...
KO LINGA | KUPENDA | KUTAKA (To Love/ Like/ Want) | Somo La 29 | Jifunze Lingala na Pauline
Переглядів 1,5 тис.2 роки тому
Welcome to "Jifunze Lingala na Pauline". I'll teach you Lingala using Kiswahili language. The lessons are a guide for beginners who wish to know the Lingala language, words and phrases. In this Lesson No. 29 you shall learn how to use the word, "KO LINGA" - KUPENDA | KUTAKA" (To Love/ Want/ Need), a verb word. We shall learn the verb in "Present/ Simple past/ Present Continuous/ Past / Future T...
PONA NINI? | PONA NANI? | Kwa nini? | Kwa sababu ya nani? | Somo la 28 | Jifunze Lingala na Pauline
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
In this lesson No. 28 you shall learn how to ask questions using the words "PONA NINI? & PONA NANI?" meaning KWA NINI? & KWA SABABU YA NANI? (WHY? & BECAUSE OF WHO? and start speaking Lingala right away! Please watch to learn more This is the place to start if you want to learn Lingala step by step. Karibu sana - Boyei bolamu Bisu bisu
NANI? | KUULIZA MASWALI NA LUGHA YA LINGALA | Somo la 27 |Jifunze Lingala |Yekola Lingala na Pauline
Переглядів 1,3 тис.2 роки тому
Welcome to "Jifunze Lingala na Pauline". I'll teach you Lingala using Kiswahili language. The lessons are a guide for beginners who wish to know the Lingala language, words and phrases. In this lesson No. 27 you shall learn how to ask questions using the word "NANI?", which has the same meaning in Kiswahili - used to refer/ inquire about someone. Please watch to learn more This is the place to ...
NDENGE NINI? | VIPI? | Kuuliza maswali kwa Lingala | Somo La 26 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala
Переглядів 1,3 тис.3 роки тому
NDENGE NINI? | VIPI? | Kuuliza maswali kwa Lingala | Somo La 26 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala
BONI? | AJE?/ NGAPI? | Kuuliza maswali kwa Lingala | Somo La 25 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala
Переглядів 1,1 тис.3 роки тому
BONI? | AJE?/ NGAPI? | Kuuliza maswali kwa Lingala | Somo La 25 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala
WAPI? | KUULIZA MASWALI NA LUGHA YA LINGALA | Somo la 24 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala
Переглядів 2 тис.3 роки тому
WAPI? | KUULIZA MASWALI NA LUGHA YA LINGALA | Somo la 24 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala
NINI? | TANGO NINI?/ LINI? | (What?/ When?) | Kuuliza maswali kwa lugha ya Lingala Somo La 23
Переглядів 7573 роки тому
NINI? | TANGO NINI?/ LINI? | (What?/ When?) | Kuuliza maswali kwa lugha ya Lingala Somo La 23
KO YA | KUKUJA (To Come) | Somo La 22 | Jifunze Lingala | Learn Lingala | Yekola Lingala
Переглядів 1,4 тис.3 роки тому
KO YA | KUKUJA (To Come) | Somo La 22 | Jifunze Lingala | Learn Lingala | Yekola Lingala
KO KENDE | KUENDA | Somo la 21 | Jifunze Lingala |Jifunze Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Переглядів 1,1 тис.3 роки тому
KO KENDE | KUENDA | Somo la 21 | Jifunze Lingala |Jifunze Lingala | Yekola Lingala na Pauline
KO ZALA NA | KUWA NA | (To Have) | Somo La 20 | Jifunze Lingala | Learn Lingala | Yekola Lingala
Переглядів 1,3 тис.3 роки тому
KO ZALA NA | KUWA NA | (To Have) | Somo La 20 | Jifunze Lingala | Learn Lingala | Yekola Lingala
KO ZALA | KUWA | (To be) | Somo La 19 | Jifunze Lingala | Learn Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Переглядів 1,2 тис.3 роки тому
KO ZALA | KUWA | (To be) | Somo La 19 | Jifunze Lingala | Learn Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Kusalimia Watu Wengi/ Umati | Somo La 18 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Переглядів 1,2 тис.3 роки тому
Kusalimia Watu Wengi/ Umati | Somo La 18 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Jinsi ya Kujijulisha kwa mgeni | Self Introduction | Somo La 17 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala
Переглядів 1,1 тис.3 роки тому
Jinsi ya Kujijulisha kwa mgeni | Self Introduction | Somo La 17 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala
SALAMU KWA LUGHA YA LINGALA | GREETINGS | Somo la 16 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Переглядів 1,7 тис.3 роки тому
SALAMU KWA LUGHA YA LINGALA | GREETINGS | Somo la 16 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala na Pauline
EZALI | IKO | IT IS | Somo la 15 | Jifunze Lingala | Learn Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Переглядів 1,2 тис.3 роки тому
EZALI | IKO | IT IS | Somo la 15 | Jifunze Lingala | Learn Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Kuuliza Swali ukitumia neno "TE" | Somo la 14 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Переглядів 8163 роки тому
Kuuliza Swali ukitumia neno "TE" | Somo la 14 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala na Pauline
"TE" | KUKANUSHA/ KUKANA | Somo la 13 | Jifunze Lingala | Learn Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Переглядів 1,1 тис.3 роки тому
"TE" | KUKANUSHA/ KUKANA | Somo la 13 | Jifunze Lingala | Learn Lingala | Yekola Lingala na Pauline
BANGO | WAO | Somo La 12 | Jifunze Lingala | Learn Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Переглядів 1,7 тис.3 роки тому
BANGO | WAO | Somo La 12 | Jifunze Lingala | Learn Lingala | Yekola Lingala na Pauline
Ahsante sana madam Pauline I wish nijue jamani me nasoma uandishi wa habari
I like that
ongezamasomo menginezaidi
Asante kwa hii somo. Niko Kinshasa siku chache tu, leo nimefuata audio yako hii ya liboso. Na amini ntaongea kilingala
Mo mesana na ngai te Komeka na ngai te Ko loba na ngai te Ko sala na masla nayo te Mo ndimi yo te Ko lingi ye te Ko kaninsi mingi te
Swahili lingala to the world
Maasna ya mozemba nini?
Mozemba nini
Nina miezi mitatu hapa Kinshasa na sikua najua kuongea Lingala ila kwa sasa ninafuatilia vyema video zako asante sana.🎉
🎉
Cool
Fantastic
@@DavidAdhoch Most welcome
Translate to kiswahili elezangali Kwanza.
Wow thanks!!
Mercii
Asante Sana unafunfisha vzur sana
@@Annamartin-of4tl Nashukuru sana kwa comment yako. Inanihimiza sana. Asante sana
Safiii
But malamu molakisi na ngai.
(Butu) Merci mingi muanakelasi Zac. Zala na mokolo malamu yo pe
Weee Dada Mungu akubariki sana
Nikitaka kusema kujipenda nasemaje?
Thank you molakisi
Mwalim Mimi umeniacha kidogo hapo kwenye Neno nyumba, inaitwaje naona umeandika (ndaku) hapo bado unielekeze
Sawa mwalim nakupata vizuri sana
Tunaka somo la 2024
Apo sawa molakisi
Asante sana Zam Zam
Utuongezeye yengine yamupya ya 2024
❤❤❤
kendi malamu ngai nalingi solola lingala
Mersi mingi Mica. Oko solola Lingala malamu noki
Asante kwakutufunza lingala tuleteye ingine mupya
Sawa nitaleta nyingine
Merci mingi. Mei batu ya kinshasa ama Congo ba selalaka na french Kati ya ma saa
Matondi mingi
Asante sana mwalimu nakushukuru molakisi na Ngai mimi niko Tanzania mji wa Morogoro tikala malamu
Karibu sana mwanakeladi na ngai. Nimefika mpaka Dar-es-salaam. TZ ni kubwa sana. Merci mingi .Yope tikala malamu
Napenda nijifunze kwa kuongea nawe live kuliko kwenye vedio nifanyeje?
Ni sawa, nitafute kwa Facebook na jina langu, acha message nitakutafuta
@@jifunzelingalanapauline2570 ,
NH
Trebiee
Trés bien 👍
Nice one lolo tokos
Endawa kawe Yahweh maana yake nini?
Hiyo si lugha ya Lingala. Kuna nyimbo zingine za gospel zimechanganywa na lugha ya kinyumbani.
Wee Dada Mungu akutunze mnooo
Natondi mingi ndeko mwasi 🙏🙏
Pauline mobulu insmainisha nini
Kokende liboso eza kokoma te! Kwenda mbele sio.....!??
Kwenda mbele sio kufika
Ko koma - Ku fika Pia kokoma inamaanisha "Kuandika". Italingana na sentensi yako kuleta maana
@@jifunzelingalanapauline2570 thanks
Kwa Kiswahili sanifu, "Kutangulia sio kufika"
nasepeli koyekola mateya nayo ezali malamu nalingi koyeba eteni oyo sehemu ya kukunia
Ozali molakisi malamu nalingí liteya nayo merci
How to we say pika makoti
Madam unajua kufundisha saana 🔥🔥🔥🔥
Asante sana kwa kutazama. Endelea kujifunza Lingala 🙏
Alakini iyo maneno munayatowa mbiyombiyo ku eclat hatuyamaliza gusoma
Niaje asante sana kwa kudufundisha lingala
❤❤❤❤❤
Nzambe apambola yo makasi molakisi nanga
Merci mingi muanakelasi na ngai 🙏
Je Kuna neno "Akome" katika Lugha ya kilingala? Na maana yake ni Nini?
Sijasikia neno Akome, labda ni jina la mtu. Ama ulisikia "Akoma" kumaanisha "Awe" au "Aandike"
Asante kwa somo hili
Karibu sana, endelea kutazama