- 21
- 90 444
BMMM Choir Mafinga
Tanzania
Приєднався 25 тра 2020
Kweli ni neno jema kumuimbia Bwana,tuungane na Malaika tumwimbie Mungu wetu
UWE KWANGU MWAMBA WA NGUVU, BY JD MKOMAGU
TUMWIMBIE BWANA KATIKA ROHO NA KWELI
Email: bmmmchoir@gmail.com
0754 768 286
MAFINGA ~ IRINGA
Email: bmmmchoir@gmail.com
0754 768 286
MAFINGA ~ IRINGA
Переглядів: 1 303
Відео
Ee Bwana Mungu wetu utuokoe by Alex Rwelamira, Kwaya ya BMMM, JIMBO KATOLIKI LA MAFINGA
Переглядів 1,1 тис.9 місяців тому
Wimbo wa mwanzo
Bwana Aliniambia_Kwaya Ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni Parokia Ya Mafinga-Jimbo Teule La Mafinga
Переглядів 7 тис.10 місяців тому
Kweli ni neno jema kumuimbia Bwana kwa kinanda,ngoma,Baragumu tumsifu Mungu wetu
Waumini Wote Waimba Kwa Shangwe Pamoja Na Kwaya Ya (BMMM) Parokia Ya Mafinga Kwenye Mkesha Wa Noeli
Переглядів 11 тис.10 місяців тому
Kwa Kinanda Ngoma na Baragumu Tumsifu Mungu wetu
Kwaya Ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni Mafinga Wakiimba TUIFUATE NYOTA YA MASHARIKI Mkesha Wa Noeli
Переглядів 3,9 тис.10 місяців тому
Kwaya Ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni Mafinga Wakiimba TUIFUATE NYOTA YA MASHARIKI Mkesha Wa Noeli
Tazama kwaya ya (BMMM)Jimbo la Mafinga wakiimba kwa shangwe (MTAKATIFU) Misa ya Mt.Anna
Переглядів 16 тис.10 місяців тому
Tazama kwaya ya (BMMM)Jimbo la Mafinga wakiimba kwa shangwe (MTAKATIFU) Misa ya Mt.Anna
BMMM Choir - MAFINGA - CHAGUO LANGU-( Official Video )-By Clelment L Mwinuka
Переглядів 9 тис.Рік тому
WIMBO HUU CHAGUO LANGU NI WIMBO ULIOTUNGWA NA MTUNZI ANAYEITWA CLEMENT L. MWINUKA NA WIMBO MAALUM KWA AJILI YA NDOA NA PIA NI WIMBO ULIOTUNGWA KWA AJILI YA MLEZI WA KWAYA YAO. WIMBO: PENDO LANGU MTUNZI: CLEME T L. MWINUKA WAIMBAJI: KWAYA YA BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI - MAFINGA AUDIO & VIDEO: PRO STUDIOS ORGANIST. MARCO MADUKA
BMMM Choir - Mafinga: Wimbo-TUPO HURU: Mtunzi-Mwl Marco Maduka
Переглядів 6 тис.Рік тому
Ndugu mtazamaji, karibu utazame video hii ya wimbo wa Pasaka ulioimbwa na Kwaya ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni - Mafinga (BMMM). Tafadhali usisahau ku-comment, ku-like, ku-subscribe na ku-share kwa ndugu na marafiki mbalimbali. Karibu sana.
BMMM Choir - Mafinga. Wimbo: Mbele ya Miungu: Mtunzi - Mwl Emmanuel Ndelwa
Переглядів 482Рік тому
Ndugu msikilizaji na mtazamaji, Karibu upate ujumbe katika video hii ya wimbo Mbele ya Miungu, ulioimbwa na kwaya ya Bikira Maria Mapalizwa Mbinguni - BMMM. Tafadhali usiache ku-subscribe, like, comment na ku-share kwa ndugu, Jamaa na marafiki ili kupata ujumbe huu wa kusisimua na kurudisha.
Harusi ya Emmanuel Shayo na Theresia Malamsha
Переглядів 292Рік тому
Misa ya Harusi ya Emmanuel Shayo na Theresia Malamsha iliyofanyika katika Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni - Mafinga tarehe 31/12/2022.
NAJIVUTA - Mtunzi B. Mukasa.
Переглядів 1 тис.Рік тому
Ndugu msikilizaji na mtazamaji, Karibu upate ujumbe katika video hii ya wimbo ulioimbwa na kwaya ya Bikira Maria Mapalizwa Mbinguni - BMMM. Tafadhali usiache ku-subscribe, like, comment na ku-share kwa ndugu, Jamaa na marafiki ili kupata ujumbe huu wa kusisimua na kurudisha.
UMETUHESHIMISHA WAZAZI WAKO.BY MADUKA .BMMM CHOIR MAFINGA
Переглядів 4,9 тис.Рік тому
UMETUHESHIMISHA WAZAZI WAKO.BY MADUKA .BMMM CHOIR MAFINGA
Wewe ni Mungu Kwaya ya BMMM (Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni) Mafinga - Mkesha wa Mwaka mpya
Переглядів 5 тис.3 роки тому
Wewe ni Mungu Kwaya ya BMMM (Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni) Mafinga - Mkesha wa Mwaka mpya
MAMA MARIA HONGERA - BMMM MAFINGA NOELI 2020
Переглядів 4 тис.3 роки тому
MAMA MARIA HONGERA - BMMM MAFINGA NOELI 2020
KWAYA YA BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI (BMMM) MAFINGA ~ MAONYO MBALIMBALI
Переглядів 5 тис.4 роки тому
KWAYA YA BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI (BMMM) MAFINGA ~ MAONYO MBALIMBALI
KWAYA YA BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI (BMMM} YESU YULE YULE
Переглядів 1,4 тис.4 роки тому
KWAYA YA BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI (BMMM} YESU YULE YULE
Yesu Yule Yule_BMMM Choir. Mafinga -Iringa
Переглядів 6 тис.4 роки тому
Yesu Yule Yule_BMMM Choir. Mafinga -Iringa
MAANGAIKO...Kwaya ya BMMM(Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni) PAROKIANI MAFINGA
Переглядів 4494 роки тому
MAANGAIKO...Kwaya ya BMMM(Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni) PAROKIANI MAFINGA
Wow,mmependeza sana ❤🎉🎉🎉 congrats kwa uinjilishaji
Always a pleasure and joy watching this choir perform. Mubarikiwe.
Kwan audio hamna
❤❤❤❤❤nice sanaaa
Kristo, Hongera kwa utume, naomba wimbo wa Tuwasifu wazee, Please
Ujumbe mzur ,, mungu awabariki sana kwa utume wenu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤hakika wimbo mzuri
Nipo DSM nawapenda sana karibuni DAR ES SALAAM
Hongera kwa kazi nzuri Wana wa maria.
I’m oo
Hakika mnaupiga mwingi, hongereni sana na mzidi kubarikiwa
Hongereni sana kwa uimbaji mzuri. Nimebarikiwa sana na huu wimbo
Amina sana
BMMM hakika mnaupiga mwingi, hongereni na mzidi kubarikiwa.
hongereni wana BMMM
Amina
Hongereni sana
Mlwale 🤜
BMMM mnazidi kuwa bora zaidi. Hongereni. Maneno ya nyimbo yanayoambatana na video yanatufanya tuunganike nanyi katika kumsifu Mungu.
Great song, keep up the spirit
Yaani mmenoga sana!!! Kamwene!!!!
Kweli mungu ni mwema hongereni sana mmeimba vizuri pokea maua yenu🙏🙏🙏🙏
Hongera sana
Asante sana
hongereni kwa kazi
Asante sana...
Barikiwa watumishi wa Mungu
Ahsante Mungu ... Tunaomba utuongoze zaidi tukuimbie katika Roho na kweli.
❤
Kila kitu kimepangiliwa vizuri hongereni
🎉❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
Tuseme ukweli kiibada hizi ngoma ni za hazitufai kwenye ibada tumezidisha sasa
Hongeleni kwa uimbaji 2:43 2:46 2:50
❤hongerani sana .kuimba vizuri.
Asante sana ❤
❤
❤
hongera kaka Clemence kwa song zuri na mcheza kinanda Maduka haka kangoma kikingoni maua yake❤❤❤❤❤
Hongereni mmechangamka,Happy new year 2024 💕
Najisikia faraja kuwaona hata kama nipo mbali na nyumbani najiona nipo Mafinga hongereni sana
Hongereni sana wana maria
Amen🙏, hongereni sana💃🕺
Waaooooo hongereni sanaa mliimba vizuri
Asante sana kuongozi
❤
Kweli kusifu kwapendeza daima.Mungu awabariki kwa uimbaji wa kupendeza kweli mmeimba vizuri mbaka vizuri
Hongera kwa mpiga kinanda....naomba namba yake nko Kenya...
+255769640934
🙏🙏🙏
Big. UP Choir Imetulia
Asante
🎉
Heko kwenu wanakwaya. Muziki umeimbika. Hongereni kwa utume.
Mlwale ndo huyu wa ngoma au pedal!?,Aiseee hongeren sana BMMM
wa pedal
Maduka na Mlwale heshima kweni mmeliheshimisha Jimbo teule la Mafinga
Ahsante Mama Maria Mpalizwa Mbinguni