Alphayo omwega mogunde kutoka jamuhuri international show ground Ngong Rd Nairobi Kenya,Huu wimbo mzuri kweli kweli.! Mmie bado wapenda waimbaji wa Tanzenga. Mbarikiwe sana. 2024.
Bwana YESU asifiwe sana. Najulikana kama Wanjau kutokea Kenya. Naomba video/mp3 ya wimbo wa zama unaojulikana kama YESU ANAKUITA WEWE MWENYE DHAMBI UKO SHIMONI by Tanzengwa kwaya. Wanaohusika , nimeutafuta sana huu wimbo bila mafanikio. Nisaindie naomba.
Jamani hizi kwaya zimenitoa mbali sana Mimi Rose muhando, msione ninaimba hivi nimetoka kwenye wingu la Hawa waimbaji wa wakati huo! Machozi yananitoka ninakumbuka safari yangu ya muziki ilivvyokuwa ngumu ,hizi kwaya za Tabora zilinifariji sana na kunifundisha mengi mno
Jameni tuekee kanda zote za Tazengwa nzega choir nazipenda sana Mungu awabariki
Waliongozua na roho mtakatifum.. Mungu awabariki sana
Kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya, nabarikiwa sana.
can i get this song ya "watu wawili" without the extended part, iishie tu apo kwa dakika nne
Mungu wetu awape nguvu na awarinde.
Mimi P. Konakuze nawaombea sana. Uimbaji huu unanivutia sana. Wimbo ni mtamu sana. Mungu atukuzwe sana.
Kwa kweli mzee umenikumbusha mbali sana na umemtumikia Mungu ujana wako wote,Mungu akubariki sana baba yetu mzee Steven wanakwaya wote mbarikiwe sana
A blessing song
Tazengwa hiyo miaka ya 86 tukiwa vijana machachari.
Asante kwa nyimbo hizi tamu kabisa
Mtu ameweka kanda hii mungu ambaliki sana ni moyo penda sana
Wow, this song. Nilikuwa naskizia kwa radio station ya Biblia Husema by Pastor Kimuyu.
i like pastor kimuyu so much, he does an amazing job every sunday pale BHB
Tazengwa ya Nzega au
Utukufu kwa Mungu wetu
A song as per the Bible
Asanteni jamani nyimbo nzuri
Inspiring song
❤❤❤❤❤❤ wamependeza San mung awabarik
Alphayo omwega mogunde kutoka jamuhuri international show ground Ngong Rd Nairobi Kenya,Huu wimbo mzuri kweli kweli.! Mmie bado wapenda waimbaji wa Tanzenga. Mbarikiwe sana. 2024.
Pongezi Wana tazengwa the word of God is new every day,yrs pst Wellington musau kenya
Tafakari njia zenu....na bwana atawasidisia
Mungu ibariki Tanzengwa Kwaya 🎉
Roho wa Mungu aliimba nao, siku hizi pesa zinaimba na watu.
Nimekumbuka mbali sana mzee Peter alikua anatupenda sana mimi ester john isack
Amen Amen
Mungu akubariki sana Baba yetu Mzee Peter hakika umefanya kazi kubwa sana katika mziki wa Injili
Old is gold. So sweet song full of blesses. God bless this choir.
Nawapenda Sana Wana Tazengwa Mungu azidi kuwabariki mno
Amen
Amen
Mama sesa
Hongera sana baba mzee john
Bwana YESU asifiwe sana. Najulikana kama Wanjau kutokea Kenya. Naomba video/mp3 ya wimbo wa zama unaojulikana kama YESU ANAKUITA WEWE MWENYE DHAMBI UKO SHIMONI by Tanzengwa kwaya. Wanaohusika , nimeutafuta sana huu wimbo bila mafanikio. Nisaindie naomba.
Lovely song
Mbarikiwe Sana.
Good memories indeed. Mungu awabariki sana
Nyimbo nzuri sana, kutoka ndani ya bible kabisa
Wimbo wa upako. Naupenda saana. Ubarikwe
Jamani hizi kwaya zimenitoa mbali sana Mimi Rose muhando, msione ninaimba hivi nimetoka kwenye wingu la Hawa waimbaji wa wakati huo! Machozi yananitoka ninakumbuka safari yangu ya muziki ilivvyokuwa ngumu ,hizi kwaya za Tabora zilinifariji sana na kunifundisha mengi mno
Babaangu ndiyo alikua mwalim wakwaya hii
Yaani napenda hii kwaya kuliko maelezo Babako Alikuwa ANAITWA nani?
Mpe mauwa yake
Mungu n mwingi wa wema
Amen happy to hear that from a contemporary musician
namuona mzeee hakika dady kazi yako njemaa sanaa tunaifata
Kwa kweli tunaishi kwa neema yake yesu...MUNGU awatie nguvu. Mwendelee kueneza ujumbe huu mkuu kweli...wanadami.
Reminds me Christmas days 1980s to 1990s
NYIMBO NZURI SANA
Wimbo tamu, Mungu awabariki sana 👍
I like
Great song. Melody za Ukweli
What a blessing a nice song
This is the most inspiring song I haven't come across.Barikiweni sana
These are the songs that motivated me to play guitar
Wimbo mzuri