- 11
- 180 190
Springs of Life
Приєднався 24 січ 2023
A one stop point to find Life's meaning. Experience Adoration. Discussion. Outreach that Impact your Holistic Wellness.
Music is our language, We Love Music. We Do Gospel Music.
Music is our language, We Love Music. We Do Gospel Music.
Springs Of Life Season II | Featuring Barrett Mapunda (Official Promo)
Unaelewa nini kuhusu Rough Road?? Umewahi kupita katika Rough Road??
Hauko peke yako, wengi hupitia katika barabara hii, wakati fulani hufikiria kukata tamaa au wengine wanakata tamaa kabisa, kama ilivyo kwa safari yoyote, breakdown inaweza kutokea, tena ulipita kwenye rough road chochote kinaweza kutokea.
•
•
Tunakukaribisha Rasmi katika Tamasha la Springs of life Season 2, tukimshirikisha kwa mara nyingine tena our very own brother @barrettmapunda with his Thoughtful Soul stearing Compositions.
•
•
Usikose mbaraka huu wa Kipekee, jiunge nasi sasa kushiriki tamasha hili kwa kununua tiketi yako mapema kabisa,
VIP 50,000Tzs
Regular 20,000Tzs.
Mungu atakuhudumia kwa namna ya Ajabu, nakukumbusha ni Tar 06.09.2024, Mbezi Garden, Mbezi Makonde, Dar es Salaam, Usikose.
•
Hauko peke yako, wengi hupitia katika barabara hii, wakati fulani hufikiria kukata tamaa au wengine wanakata tamaa kabisa, kama ilivyo kwa safari yoyote, breakdown inaweza kutokea, tena ulipita kwenye rough road chochote kinaweza kutokea.
•
•
Tunakukaribisha Rasmi katika Tamasha la Springs of life Season 2, tukimshirikisha kwa mara nyingine tena our very own brother @barrettmapunda with his Thoughtful Soul stearing Compositions.
•
•
Usikose mbaraka huu wa Kipekee, jiunge nasi sasa kushiriki tamasha hili kwa kununua tiketi yako mapema kabisa,
VIP 50,000Tzs
Regular 20,000Tzs.
Mungu atakuhudumia kwa namna ya Ajabu, nakukumbusha ni Tar 06.09.2024, Mbezi Garden, Mbezi Makonde, Dar es Salaam, Usikose.
•
Переглядів: 378
Відео
Springs Of Life & Samwel Mwazini - God on the Mountain (Live Video)
Переглядів 2,6 тис.8 місяців тому
Ebr 13:8 SUV Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele. 𝗨𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗠𝗯𝗮𝗿𝗮𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗛𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝗛𝗶𝗶 𝘆𝗮 𝗦𝗽𝗿𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗢𝗳 𝗟𝗶𝗳𝗲 𝗸𝘄𝗮 𝗞𝘂𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗶𝗮 𝗦𝗮𝗱𝗮𝗸𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗨𝗽𝗲𝗻𝗱𝗼 𝗸𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝗠-𝗣𝗲𝘀𝗮 𝗟𝗶𝗽𝗮 𝗡𝗼. 𝟱𝟰𝟴𝟱𝟱𝟲𝟰 (𝘀𝗽𝗿𝗶𝗻𝗴 𝗼𝗳 𝗹𝗶𝗳𝗲[𝗬𝗦]) //Be a blessing to this Ministry of Springs of Life by donating through 𝗠-𝗣𝗲𝘀𝗮 𝗟𝗶𝗽𝗮 𝗡𝗼. 𝟱𝟰𝟴𝟱𝟱𝟲𝟰 (𝘀𝗽𝗿𝗶𝗻𝗴 𝗼𝗳 𝗹𝗶𝗳𝗲[𝗬𝗦]) A Calm Storm Project Team Audio Production (Recording, Mix & Masterin...
Springs Of Life & Samwel Mwazini - Hebu Tutafakari (Live Video)
Переглядів 7 тис.8 місяців тому
Zaburi 27:4 Niutazame uzuri wa BWANA, Na kutafakari hekaluni mwake. =1𝗨𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗠𝗯𝗮𝗿𝗮𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗛𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝗛𝗶𝗶 𝘆𝗮 𝗦𝗽𝗿𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗢𝗳 𝗟𝗶𝗳𝗲 𝗸𝘄𝗮 𝗞𝘂𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗶𝗮 𝗦𝗮𝗱𝗮𝗸𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗨𝗽𝗲𝗻𝗱𝗼 𝗸𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝗠-𝗣𝗲𝘀𝗮 𝗟𝗶𝗽𝗮 𝗡𝗼. 𝟱𝟰𝟴𝟱𝟱𝟲𝟰 (𝘀𝗽𝗿𝗶𝗻𝗴 𝗼𝗳 𝗹𝗶𝗳𝗲[𝗬𝗦]) //Be a blessing to this Ministry of Springs of Life by donating through 𝗠-𝗣𝗲𝘀𝗮 𝗟𝗶𝗽𝗮 𝗡𝗼. 𝟱𝟰𝟴𝟱𝟱𝟲𝟰 (𝘀𝗽𝗿𝗶𝗻𝗴 𝗼𝗳 𝗹𝗶𝗳𝗲[𝗬𝗦]) A Calm Storm Project Team Audio Production (Recording, Mix & Maste...
Springs of Life & Barrett Mapunda - Nitajenga (Live Music Video)
Переглядів 19 тис.Рік тому
“Kwa hiyo, kila mtu anayeyasikia maneno yangu na kuyazingatia, anafanana na mtu mwenye busara, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba. Mvua ikanyesha, mito ikafurika, pepo kali zikavuma na kuipiga nyumba hiyo. Lakini haikuanguka kwa sababu ilikuwa imejengwa juu ya mwamba." 𝗨𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗠𝗯𝗮𝗿𝗮𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗛𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝗛𝗶𝗶 𝘆𝗮 𝗦𝗽𝗿𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗢𝗳 𝗟𝗶𝗳𝗲 𝗸𝘄𝗮 𝗞𝘂𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗶𝗮 𝗦𝗮𝗱𝗮𝗸𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗨𝗽𝗲𝗻𝗱𝗼 𝗸𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝗠-𝗣𝗲𝘀𝗮 𝗟𝗶𝗽𝗮 𝗡𝗼. 𝟱𝟰𝟴𝟱𝟱𝟲𝟰 (𝘀...
Springs of Life - Yahwe (Live Music Video)
Переглядів 15 тис.Рік тому
YAHWE ni jina la Mungu ambalo lina uhusiano wa karibu zaidi na matendo ya Mungu ya ukombozi katika historia ya watu wake waliochaguliwa. Tunamjua Mungu kwa sababu ya matendo yake. Unapo omba kwa YAHWE, kumbuka kwamba yeye ndiye Mungu yuleyule anaye kukuokoa kutoka kwa udhalimu wa dhambi kama vile alivyowaokoa watu wake kutoka katika utumwa dhalimu huko Misri. YAHWE ndie wokovu wetu 𝗨𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮...
Muite Bwana- Springs of Life FT. Oreppa Feruz (Live Music Video)
Переглядів 32 тис.Рік тому
Akiniita, mimi nitamwitikia; akiwa taabuni nitakuwa naye; nitamwokoa na kumpa heshima. Zaburi 91:15 BHN // He shall call upon me, and I will answer him: I will be with him in trouble; I will deliver him, and honour him. Psalm 91:15 KJV 𝗨𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗠𝗯𝗮𝗿𝗮𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗛𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝗛𝗶𝗶 𝘆𝗮 𝗦𝗽𝗿𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗢𝗳 𝗟𝗶𝗳𝗲 𝗸𝘄𝗮 𝗞𝘂𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗶𝗮 𝗦𝗮𝗱𝗮𝗸𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗨𝗽𝗲𝗻𝗱𝗼 𝗸𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝗠-𝗣𝗲𝘀𝗮 𝗟𝗶𝗽𝗮 𝗡𝗼. 𝟱𝟰𝟴𝟱𝟱𝟲𝟰 (𝘀𝗽𝗿𝗶𝗻𝗴 𝗼𝗳 𝗹𝗶𝗳𝗲[𝗬𝗦]) //Be a blessing t...
Yesu Kwetu ni Rafiki - Springs of Life (Live Music Video)
Переглядів 98 тис.Рік тому
Ni baraka iliyoje kuweza kwenda mbele Mungu kila siku na kukabidhi wasiwasi na hofu zetu. Pamoja na rafiki yetu, Yesu, mizigo yetu inaweza kuinuliwa na nafsi zetu kutakaswa. Ninyi siwaiti tena watumishi, maana mtumishi hajui anachofanya bwana wake. Lakini mimi nimewaita ninyi rafiki, kwa sababu nimewajulisha yote ambayo nimeyasikia kutoka kwa Baba yangu. (YOHANA 15:15) // What a blessing to be ...
Springs Of Life | Worship Session 04.Nov, 2022.
Переглядів 3,5 тис.Рік тому
Welcome to Our Official UA-cam Channel, We are Springs Of Life. Kindly Subscribe to our UA-cam Account For More Contents that are going to soothe your Heart, and Feel the presence of the Lord.Channel Administered by Huru Digital Instagram: hurudigital
God on the mountain is still God in the valley HE IS STILL GOD❤❤❤
I'm blessed by this song
Woooow♥️🔥🔥🙌🏾
Yoh heard this from the Aeolians of Oakwood University. Nice translation
May God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Nabarikiwa
Allen Robert Perez William Johnson Elizabeth
Bwana n mwema. Sana katika maisha yetu never leave us alone
Put some English subtitles you nvr knw who will listen to wat you are saying
Music director deserves. All instruments play smooth,calm&high creativity. Generation must learn tips from you when it comes to worship. MUNGU amewabariki sana
Muongoza mziki wa huu wimbo na mtunzi.This is more than perfection.. Unajua kuna ile kuituliza dhoruba ukaisi kama vile huu wimbo ni wa kawaida. ila i streamed 30 times na bado unaendelea kunihudumia mpaka sasa
Just heard this song from hope fm Kenya and had to look for it. ❤❤❤
Mbarikiwe sana Ninawapenda kwakweli Mungu awatunze mfike mbali zaidi ❤❤❤❤❤
Beautiful ❤
Promo>SM 🌟
🥰😘😘😘😘imana ibahe 🥰
Remarkable work
Thank you guys for the good music🎉
Thanks, be blessed
OMG...🙌🙌🙌 HALLELUJAH
God's always good for us,no matter what you pass through he's still on our side. We don't need to loose hope
Powerful 🙏🏽
Amen stay blessed 🙌
What a Blessing!
Where was I ??!!! Doooh 😢 God bless you guys this is amazing
💥💥💥Highest levels 🙌🙌... God bless you
muziki mtamuuuuuu Mungu awabariki wapendwa
🙏🙏🙏
🙏🙏
God of the mountains he still God of the valley 🙏🙏🙏 when things go wrong he’ll make them right 😊 God of the good time he still God in bad time 🤗
Amen Amen
Great job guys keep it up
Impressive🎉🎉🎉
❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥
We aree waitinggg😊
Hakuna kitupacho uhaii ni yeye Mungu pekee❤
Lakini Bwana ni mwema kwetu
Wooooh❤️❤️❤️ Wimbo wenye ujumbe mkubwa kwa maisha yangu barikiweni sanaaaa
Chords progression + well played instrumentalist/instruments + well aranged vocals = perfect songs 🔥🔥🔥🔥🔥
BWANA NI MWEMA KWETU ~ HAWEZI TUACHA
Oh! It's very wonderful
🫡twapasaa kushukuru
Amen amen
Beautiful! I wish it was longer
Mungu azidi kukuinua kwa kazi yake, kazi nzuri
Go on for Jesus Mapunda
Uplifting 💪🏼
More blessings 🙌 #Always Mungu ni mwema🙏🙏
Good job Dogo langu
Amen
Nice 👍