- 953
- 6 051 060
WALTER NEWS
Tanzania
Приєднався 5 січ 2019
MBUNGE ASIA ATIKISA KAMPENI HANANG', ASISITIZA USHINDI KWA CCM.
#asiahalamga #hanang #ccm #kampeni #serikalizamitaa
Переглядів: 177
Відео
FOUNTAIN GATE WAAPA KUWAPA FURAHA MASHABIKI WAO.
Переглядів 7822 години тому
#fountaingatefc #muya #mbuzi
SERIKALI KUWAHUDUMIA BURE WAGONJWA WA HAEMOPHILIA NA SELIMUNDU.
Переглядів 8722 години тому
#selimundu #haemophilia #raissamia #afya
MISS TANZANITE MANYARA AITEMBELEA MANYARA GIRL'S
Переглядів 159День тому
#misstanzanitemanyara #urembo #manyaragirls #rosedickson
KIBAJAJI AZINDUA KAMPENI ZA CCM MANYARA.
Переглядів 1,8 тис.День тому
#ccm #kampeni #uchaguziserikalizamitaa #manyara
RAIS SAMIA ALVYOFIKA KARIAKOO KUTOA POLE.
Переглядів 335День тому
#raissamia #kariakoo #kariakoo #ghorofa
WYSE ANAPATA SHOW NYINGI DUBAI NA SAUDI ARABIA KULIKO BONGO.
Переглядів 97День тому
#wyse #msanii #bongofleva #dubai
RAIS DKT SAMIA AMWAGA MILIONI 700 KWA TAIFA STARS.
Переглядів 201День тому
#raissamia #taifastars #afcon #morocco
UNAAMBIWA FOUNTAIN PRINCES VS YANGA PRINCESS NI COUPLE TU!!!
Переглядів 90День тому
#tanzanitekwaraa #fountaingatefc #yangaprincess
WAZIRI MKUU AAGIZA MWENYE GHOROFA AKAMATWE.
Переглядів 263День тому
#wazirimkuu #akamatwe #ghorofa #kariakoo
RAIS DKT SAMIA ANAFUATILIA KWA KARIBU ZOEZI LA UOKOAJI KARIAKOO, 13 WAFARIKI
Переглядів 34День тому
#kariakoo #raissamia
FOUNTAIN GATE ROYAL FANS WAWALILIA WALIOFUKIWA NA UKUTA KARIAKOO.
Переглядів 103День тому
FOUNTAIN GATE ROYAL FANS WAWALILIA WALIOFUKIWA NA UKUTA KARIAKOO.
MWANAFUNZI WA IFM ACHUKUA TAJI LA MISS TANZANITE MANYARA 2024.
Переглядів 274День тому
MWANAFUNZI WA IFM ACHUKUA TAJI LA MISS TANZANITE MANYARA 2024.
MAMA AZUNGUMZA KWA UCHUNGU, HADI USIKU MUMEWE BADO YUPO CHINI.
Переглядів 394День тому
MAMA AZUNGUMZA KWA UCHUNGU, HADI USIKU MUMEWE BADO YUPO CHINI.
WAREMBO ZAIDI YA 10 KUSAKA TAJI LA MISS TANZANITE MANYARA LEO.
Переглядів 104День тому
WAREMBO ZAIDI YA 10 KUSAKA TAJI LA MISS TANZANITE MANYARA LEO.
TAZAMA KINACHOENDELEA KARIAKOO, RPC MULIRO NA RC CHALAMILA WAFIKA ENEO LA TUKIO.
Переглядів 1,4 тис.День тому
TAZAMA KINACHOENDELEA KARIAKOO, RPC MULIRO NA RC CHALAMILA WAFIKA ENEO LA TUKIO.
DWWT KUKOMESHA UKATILI WA KIJINSIA HANANG' MANYARA.
Переглядів 22День тому
DWWT KUKOMESHA UKATILI WA KIJINSIA HANANG' MANYARA.
CHADEMA YATOA TAHADHARI KWA WATAKAOJIENGUA KWENYE UCHAGUZI.
Переглядів 4162 дні тому
CHADEMA YATOA TAHADHARI KWA WATAKAOJIENGUA KWENYE UCHAGUZI.
GAVU ATAKA CHAMA KIIMARISHWE KUANZIA CHINI.
Переглядів 302 дні тому
GAVU ATAKA CHAMA KIIMARISHWE KUANZIA CHINI.
NDEJEMBI AAGIZA KUWEKWA WAZI TARATIBU ZA KUPATA HATI MILIKI OFISI ZOTE ZA ARDHI.
Переглядів 8914 днів тому
NDEJEMBI AAGIZA KUWEKWA WAZI TARATIBU ZA KUPATA HATI MILIKI OFISI ZOTE ZA ARDHI.
TAJIRI MULOKOZI KUNUNUA BOTI YA KISASA, BABATI MJIANDAE.
Переглядів 17214 днів тому
TAJIRI MULOKOZI KUNUNUA BOTI YA KISASA, BABATI MJIANDAE.
CCM YAWAWASHIA MOTO WANAOMNYOOSHEA KIDOLE RC SENDIGA,NI WAVIVU KWENYE MAJIMBO YAO.
Переглядів 62514 днів тому
CCM YAWAWASHIA MOTO WANAOMNYOOSHEA KIDOLE RC SENDIGA,NI WAVIVU KWENYE MAJIMBO YAO.
"MAMA SAMIA NI MAMA WA NGUVU, ANASTAHILI KUTUTAWALA WANAUME WOTE"
Переглядів 14414 днів тому
"MAMA SAMIA NI MAMA WA NGUVU, ANASTAHILI KUTUTAWALA WANAUME WOTE"
AJALI YA GARI YAUA NA KUJERUHI MKOANI NJOMBE
Переглядів 4814 днів тому
AJALI YA GARI YAUA NA KUJERUHI MKOANI NJOMBE
WACHEZAJI WA TANZANIA AMBAO NI NDUGU WA DAMU.
Переглядів 52614 днів тому
WACHEZAJI WA TANZANIA AMBAO NI NDUGU WA DAMU.
Nouma Sana
Brother john big up sana kwa kazi yako kubwa ya kuelimisha jamii hongera sana
Karibu karne.
Jamani ajionyesha tumbo lake limeja ujizi na dhuluma mbwa hii ni tosha kujua viongiozi wa CCm wanatetea matumbo Yao yasinywee
❤
🔥💥
Poleni sana Jamani
❤❤❤
We baba huna mpinzani kwa maana gani kwasababu mmewaengua?utakosaje mpinzani?
Uchaguzi Mwema Tanzania
Hongereni sana chadema mnajielewe
Wanasumbua sana hawa waliopewa kazi hiyo na ndio wanasababisha serikali ikose mapato tatizo wanafanya siasa kwenye mambo ya msingi.
Sawa kabisa
Katibu wa ccm mkoa anajipendekeza kwa mkuu wa mkoa mama Samia analeta maendeleo makubwa sana ndani ya mkoa wetu lakin wazaidizi wake wanataka kutuchoganisha na rais
Noma sana aisee
Hii selikali ya kipuuzi Sana mnamaliza pesa zetu Kodi Kwa uchaguziupi mnao usimamia ujinga mtupu mnafanya mnakata wagombea wa upizani mnasema mnafanya uchaguzi uchaguzigani uwalibifu wa Hela nyinyi wekaneni ni siyo kupoteza muda na Hela za watanzania
Nipo Tarakea hapa, walter news ni habari ya mjini
Nipo live rama bodaboda kutoka babati mkoani manyara
Noma sana
Mmmmmmmh!!! Huyu mbona ni mwalimu wanguuu kabisa imekuwaje tena ni dereva bajaji???
Live changes 😢
Usikariri
Sawa kazeni buti babat yetu ipendeze alaaaa
Hongera sana walter na teacher pia safi sana
Safi hii
Umetsha mjomba
😂😂😂
Kaka umetisha
Unataka msaada TU huna jipya
How 😅😢
Mlembo anajua boli hadi anachambua
Warembo wamekuja na tumefungwa kwel
❤❤❤
Jamaaa anatafuta Sana contents, hongera Sana Mr John Walter
Safi sana John walter kwa kuamshaamsha safi
Anajua jamaa, MASWALI yamenyooka
Over Kamandaa
Makamanda
Hongereni sanaa
Mungu awapumzishe salama watoto wetu
so sad
Yani hats niwani haoni dhamani yenu hata mbunge hauni dhamani yenu kabisa..mmh kweli Tanzania yetu vipofu wakuonamambo..Cjui wamezaliwa hapahapa au ulaya huko America..hawaelewi maisha yatanzania yalivo.minaona hivyo jmn..?hivi kunamtu anazaliwakijijini kwao amesomashule asant kayumba..mtuwahivyo nirahisikusahau maisha aliyopitiya kweli..?duuuh nihatari sana viongozi.. Mwamba alikuwa mweshimiwa MAKOFULI TU..hakusahao aliyokuwa amenyeshewanaovuwa..kijini mpk mjini
Inalilah wainaillah rajion 😢poleni ndugu zangu majirani
Mungu naomba ulinde watoto wetu
Hilo ziwa kila mwaka linameza watu Vijana wapewe vifaa wawasaidie wananchi au mpaka na wao wafe ndo mtawapa
Hao vijana kwa maelezo yao tu wasaidiwe sana kwa vifaa pia wawezeshwe
Pole nyingi ziende kwa wazazi ndugu jamaa na marafiki wapumzike kwa amani😢
RIP
Kaka tunashukur Kwa kututangaza Kwan lengo letu ni Moja kufikia malengo yetu #inshallah
🙏🙏
Sawa Walter kwa habari
Nitafutiwe bondia npande nae ulingoni
Wala chips kmc😢😂😂😂
Mko vizuri
🤣🤣👆
Uchawa ni hatari
Ila kazi wamefanya Sana, wengine watarejea, wengine byebye