Ustadh Khatib Omar
Ustadh Khatib Omar
  • 516
  • 70 876
ARABIC KHUTBAH: SHARIF ZAIN | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024
DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY
FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات
UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
Переглядів: 17

Відео

MAANDARIZI YA MWEZI WA SHABANI | UST,KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
Переглядів 9114 годин тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
ISRAA NA MIIRAJ MASJID AL JUMAA KITUMBINI
Переглядів 2714 годин тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
ARABIC KHUTBAH: UST.KHATIB OMAR | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI 24/01/2025
Переглядів 34День тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
KUJIANDAA NA RAMADHAN | UST,KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
Переглядів 48День тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
FAIDA ZA ISTIGH-FAR | UST,KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
Переглядів 55День тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
MTU AMBAE HAJAFANYIWA TOHARA ANARUHUSIWA KUFANYA IBADA
Переглядів 107День тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
SWALI: INARUHUSIWA KUSWALIA MAITI YA SHOGA AU MTU ALIEJIUA MWENYEWE? USTADH KHATIB OMAR
Переглядів 9 тис.14 днів тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
IKIWA MTU ANAFANYA DHIKRI LAKINI HANA MAZINGZTIO KATIKA HIYO DHIKRI JE, INASWIHI | UST,KHATIB OMARY
Переглядів 5314 днів тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
ARABIC KHUTBAH: USTADH KHATIB OMAR | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI
Переглядів 2314 днів тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
FADHILA ZA ISTIGH-FAR | UST,KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
Переглядів 11914 днів тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
ITUMIE FURSA NDANI YA MWEZI WA RAJABU UST,KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
Переглядів 14521 день тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
ARABIC KHUTBAH: USTADH KHATIB OMAR | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI
Переглядів 6021 день тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
ARABIC KHUTBAH: SHARIF ZAIN | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI
Переглядів 93Місяць тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
FADHILA ZA MWEZI WA RAJABU | UST.KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
Переглядів 195Місяць тому
#mawaidha #darsa #masjidkitumbini #khutbah #quran #koran #islam #2024 DARSA BAADA YA ADHUHURI | MASJID KITUMBINI | IMAM KHATIB OMARY FIQH ATTAHAULULATI | فقه التحولات UTAMBUZI WA MABADILIKO YA NYAKATI
ARABIC KHUTBAH: IMAM JUMA | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI 20, 11
Переглядів 48Місяць тому
ARABIC KHUTBAH: IMAM JUMA | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI 20, 11
ARABIC KHUTBAH: SHARIF ZAIN | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI 13/12
Переглядів 112Місяць тому
ARABIC KHUTBAH: SHARIF ZAIN | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI 13/12
KABLA YA MTUME KUGEWA {NGUZO TANO ZA SWALA} JE, WAISLAMU WALIKUA WANA ABUDU NINI | UST, KHATIB OMARY
Переглядів 89Місяць тому
KABLA YA MTUME KUGEWA {NGUZO TANO ZA SWALA} JE, WAISLAMU WALIKUA WANA ABUDU NINI | UST, KHATIB OMARY
JE, SWALA YA DHUHA INA RAKAA NGAPI | UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
Переглядів 187Місяць тому
JE, SWALA YA DHUHA INA RAKAA NGAPI | UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
JE, HAQIQA INAFAA KUTEKELEZWA MDA GANI | UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
Переглядів 21Місяць тому
JE, HAQIQA INAFAA KUTEKELEZWA MDA GANI | UST, KHATIB OMARY | AL MASJID KITUMBINI
IKIWA MZAZI HAKUM FANYIA MTOTO WAKE HAQIQA KWA SABABU YA KIPATO} JE, YE MWENYEWE ANAWEZA KUJIFANYIA
Переглядів 709Місяць тому
IKIWA MZAZI HAKUM FANYIA MTOTO WAKE HAQIQA KWA SABABU YA KIPATO} JE, YE MWENYEWE ANAWEZA KUJIFANYIA
IMAMU ANAPO SOMA DUA YA KUNUTI KATIKA SWALA YA ASUBUHI JE, MA,AMUMA WANYAMAZE AU WAITIKIE AMEEN
Переглядів 713Місяць тому
IMAMU ANAPO SOMA DUA YA KUNUTI KATIKA SWALA YA ASUBUHI JE, MA,AMUMA WANYAMAZE AU WAITIKIE AMEEN
JE, UCHUMBA KWA SHERIA YA KIISLAMU UNA MDA GANI KABLA YA KUOA | UST, KHATIB OMARY |
Переглядів 459Місяць тому
JE, UCHUMBA KWA SHERIA YA KIISLAMU UNA MDA GANI KABLA YA KUOA | UST, KHATIB OMARY |
JE, MUME ANA HAKI YA KUMUULIZA MKE ANA KAZI GANI KWA AJILI YA NDOA | UST, KHATIB OMARY |
Переглядів 90Місяць тому
JE, MUME ANA HAKI YA KUMUULIZA MKE ANA KAZI GANI KWA AJILI YA NDOA | UST, KHATIB OMARY |
ARABIC KHUTBAH: HABIB TWAHA BIN ABDALLAH HADDAR | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI
Переглядів 52Місяць тому
ARABIC KHUTBAH: HABIB TWAHA BIN ABDALLAH HADDAR | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI
ADABU YA BIASHARA KATIKA UISLAAM | UST,KHATIB OMARY | MASJID KITUMBINI
Переглядів 582 місяці тому
ADABU YA BIASHARA KATIKA UISLAAM | UST,KHATIB OMARY | MASJID KITUMBINI
ARABIC KHUTBAH: UST.KHATIB OMAR | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI
Переглядів 662 місяці тому
ARABIC KHUTBAH: UST.KHATIB OMAR | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI
IJUE HUKMU YA SAFARI | UST,KHATIB OMARY AL MASJID KITUMBINI
Переглядів 562 місяці тому
IJUE HUKMU YA SAFARI | UST,KHATIB OMARY AL MASJID KITUMBINI
JE SWALA YA ISHRAQI NA SWALA YA DHUHA ZINA SWALIWA MDA GANI | UST,KHATIB OMARY
Переглядів 3992 місяці тому
JE SWALA YA ISHRAQI NA SWALA YA DHUHA ZINA SWALIWA MDA GANI | UST,KHATIB OMARY
JE IKIWA UMEREJEA KUTOKA SAFARINI UNARUHUSIWA KUKUSANYA SWALA | UST,KHATIB OMARY
Переглядів 392 місяці тому
JE IKIWA UMEREJEA KUTOKA SAFARINI UNARUHUSIWA KUKUSANYA SWALA | UST,KHATIB OMARY

КОМЕНТАРІ

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 5 днів тому

    Mbona mabasha huwa hawaongelewi nnn hukumu yao

  • @alimau7939
    @alimau7939 7 днів тому

    Sheikh apo uliposema saiv hakuna tena mashahidi wa kuuliwa kwenye vita naomba ukapaangalie tena vizur zaid

    • @ahmadSeif860
      @ahmadSeif860 4 дні тому

      Kwani ww unaona wapo? Au uneskia lini na wapi kua Kuna vta ya jihad?

    • @ahmadSeif860
      @ahmadSeif860 4 дні тому

      Kwa sasa hakna vta ya jihadi

  • @MussaAmaniUdoudo
    @MussaAmaniUdoudo 7 днів тому

    Mussa udoudo

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 10 днів тому

    Sasa muulize sheikh wako ni maiti zipi zilolaaniwa????

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 10 днів тому

    Mimi hata siwezi kuuliza swali hilo nasikia kichefuchefu shoga haswaliwi Utaswaliaje maiti iliyolaaniwa????

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 10 днів тому

    Umeuliza maswali mawili mazuri sana ushoga na kijiuwa. Swali wapili niaibu hata kuliuliza ati kwenye kuowa utoe shariti yako twaambiwa kwenye dini ni wa inne

  • @kondomohamed3150
    @kondomohamed3150 11 днів тому

    بارك الله فيك وجزاك الله خير

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 12 днів тому

    Shukran sana sheik 😊

  • @kondomohamed3150
    @kondomohamed3150 14 днів тому

    Shukran sana Sheikh wa jazaka Allah khayra

  • @rashidiramadhani4342
    @rashidiramadhani4342 14 днів тому

    MTIHAN TULIANAO LEO WATU HATUULIZ MSWAL KWA KUTAKA KUJUA MAMBO ILA WATU WANAULIZA ILI WAJUE KAMA UNAJUA

    • @Mubarak-e6p
      @Mubarak-e6p 11 днів тому

      صدقت أخي

    • @hemedhamdan
      @hemedhamdan 8 днів тому

      Wengine wanauliza sio kwamba hawajui, bali wanauliza kwa faida ya wengine waliohudhuria... Tuweni ni dhana njema kwa wenzetu. Maana Allah pekee ndiye anayejua yaliyomo vifuani mwetu.

    • @ShabaniMamba-r2e
      @ShabaniMamba-r2e 8 днів тому

      Kweri

    • @ShabaniMamba-r2e
      @ShabaniMamba-r2e 8 днів тому

      Dhana nzuri

    • @ShabaniMamba-r2e
      @ShabaniMamba-r2e 8 днів тому

      ​dhana nzuri

  • @kondomohamed3150
    @kondomohamed3150 24 дні тому

    بارك الله فيك أستاذ خطيب

  • @MaulanaSufi-j4h
    @MaulanaSufi-j4h Місяць тому

    Masha Allah jazakallahu khaira h نستفدنا منك يدفاءدة كثيرة

  • @kondomohamed3150
    @kondomohamed3150 Місяць тому

    بارك الله فيك شيخ

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s Місяць тому

    Shukuran ahsant... Jazzaka llahu khayra 🤲

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s Місяць тому

    Wa'alaykum salam warahmatullah wabarakatul 🤲🤲

  • @KasalamaAlly
    @KasalamaAlly Місяць тому

    Story nyingi jibu hakuna mmmm majanga

  • @SharifaA-y4t
    @SharifaA-y4t Місяць тому

    Asante shehe

  • @ABUUSHURAIM
    @ABUUSHURAIM Місяць тому

    Sheikh au sheikheena umeongea bila elim

    • @ZaynWalad
      @ZaynWalad Місяць тому

      Tujibu wewe basi ndugu yetu mwenye elimu

    • @ABUUSHURAIM
      @ABUUSHURAIM Місяць тому

      @ZaynWalad ukiona mtu hapend kukosolewa ujue ilo ni tatzo Haina dalili hapo rud ukasoma acha kujivisha kot la ushehe

  • @ashasaidi-my9lx
    @ashasaidi-my9lx Місяць тому

    ASSALAAM ALAYKUM USTAZI NAOMBA KUULIZA KUHUSU HUKMU YA MSAFIRI VIPI MADEREVA AMBAO KILA SIKU ANATOKA DAR ES SALAAM KWENDA MTWARA NA KURUDI VIPI UYU DEREVA ANAWEZA KUPUNGUZA SWALA ZAKE KILA SIKU AU INAKUWAJE,?

  • @JabiriSeguzo
    @JabiriSeguzo Місяць тому

    Dhua ina rakaa nne uswaliwa rakaa mbili unatoa salaam baadae tena mbili toa salaam utaomba Dua

  • @shehugakwaya71
    @shehugakwaya71 Місяць тому

    Sio lazima

  • @RobertHall-f2l
    @RobertHall-f2l 2 місяці тому

    Terima kasih untuk analisisnya! Saya butuh saran: Dompet OKX saya berisi USDT, dan saya memiliki frasa pemulihan. (alarm fetch churn bridge exercise tape speak race clerk couch crater letter). Bisakah Anda menjelaskan bagaimana cara memindahkannya ke Binance?

  • @MaulanaSufi-j4h
    @MaulanaSufi-j4h 2 місяці тому

    Jazakallahu khairah

  • @asilasaidsalim6138
    @asilasaidsalim6138 2 місяці тому

    Jib ya suali ulilo ul zwa sijakufaham bado maelezo ya jib ulilotoa na suala ulilo ulizwa liko mbali kidogo Twaomba clip nyengine ya jawab la suali lilo point mojw kwa moja Ni kwanini baadh ya swala tunatoa saut na nyengine hazitilewi saut na nn hekm yake?

  • @SalhaKaburushi
    @SalhaKaburushi 3 місяці тому

    Asalam aleykum shekh mie swali langu ni mwanamume kumuhudumia mwanamke hawajaowana ni sawa??

  • @MaulanaSufi-j4h
    @MaulanaSufi-j4h 3 місяці тому

    جزك الله خيرة

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 3 місяці тому

    mmmhhhh majanga sheikh jibu swali

  • @SAYMOEKARIM
    @SAYMOEKARIM 3 місяці тому

    naam❤

  • @DramourkatoMustafa
    @DramourkatoMustafa 3 місяці тому

    😂😂😂😂

  • @hamzaminangu1053
    @hamzaminangu1053 3 місяці тому

    mashallah

  • @AbdulazizMshamu
    @AbdulazizMshamu 3 місяці тому

  • @SAYMOEKARIM
    @SAYMOEKARIM 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 3 місяці тому

    Sasa nimeelewa mwanzo ilikuw maongez ni mengi

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 3 місяці тому

    Maalum

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 3 місяці тому

    Au hakuna Dua maalim au adhkar maalim

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 3 місяці тому

    Shekhe mie nataka mfumo mzima wa hio sala unatia Nia vipi na unasali vip Dua zake ni zipo au adhkar

  • @BarutiMohammed
    @BarutiMohammed 4 місяці тому

    Mashallaah swali zuri. Na majibu sahihi.

  • @MaulanaSufi-j4h
    @MaulanaSufi-j4h 4 місяці тому

    Jazkallahu khaira wa baarakallahu khaira

  • @LucasNicoraus-xi5ux
    @LucasNicoraus-xi5ux 4 місяці тому

    jibu lishajibiwa nyie kueni na akili waislaam... kumuoa mkristo inajuzu

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 3 місяці тому

      Haijuzu. Allah amekataza kuoa au kuolewa na washirikina Quran 2:221

  • @MaulanaSufi-j4h
    @MaulanaSufi-j4h 4 місяці тому

    ماساالله جزاك الله خيرة

  • @ahmedshilingi7088
    @ahmedshilingi7088 4 місяці тому

    Maelezo ya dhaahir kabisa.

  • @hodaneymujib6621
    @hodaneymujib6621 4 місяці тому

    Maashaalah jazaakalaah ustadh

  • @AbdallahShamte-mp1iu
    @AbdallahShamte-mp1iu 5 місяців тому

    Punguzeni ujahili huyu mtu ni mwanachuoni.

  • @khamissulaiman1937
    @khamissulaiman1937 5 місяців тому

    Shekh tumbo

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 5 місяців тому

    Je Muislam anaruhusiwa kumuoa Mkristo..?....Jibu swali

    • @ustadhkhatibomar9848
      @ustadhkhatibomar9848 4 місяці тому

      Swali

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 3 місяці тому

      Hawezi wasikubabaisheni. Aya ipo wazi ya kukataza kuoa/kuolewa na washirikina Qur-an 2:221

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 3 місяці тому

      Na hata Al Maida inasema miongoni mwa w’ke wema waliopewa vitabu. Ssa wakiristo/washirikina wana wema upi? Na kila mmoja anajua km mkiristo makaazi yake motoni hana hesabu

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 5 місяців тому

    Masha allah kwa mafunzoo yakoo

  • @kadhwibakari6387
    @kadhwibakari6387 5 місяців тому

    Shekh jibu swali

  • @barwani890
    @barwani890 5 місяців тому

    Mashaallah mwanangu 😊

  • @barwani890
    @barwani890 5 місяців тому

    Shukraan ustaadh khatib jazakallahu lkheir

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 5 місяців тому

    Umezunguka bure kwa kifupi ni haram