Yussuf B. Salim
Yussuf B. Salim
  • 9
  • 2 954
DOLPHIN TOURISM
Katika harakati za kukuza utalii wa ndani pamoja na kuwarahisishia wananchi kuangalia maliasili za bahari, tumeandaa mpango wa kwenda Kizimkazi kila siku ya Jumapili kwa ajili ya kuangalia pomboo na kuogelea nao pamoja na kuogelea katika matumbawe na kujionea samaki mbali mbali.
Tafadhali usisite kuwasiliana nami ili kuweza kushirikia nasi. +255772949486.
Asante.
Переглядів: 73

Відео

CORAL REEF MONITORING.
Переглядів 382 роки тому
Ufuatiliaji wa matumbawe pamoja na samaki wa matumbawe ili kujua hali halisiya matumbawe ikiwemo afya ya matumbawe pamoja na wingi wa samaki waliopo katika matumbawe hayo.
THE WORLD MANGROVE DAY
Переглядів 203 роки тому
THE WORLD MANGROVE DAY
UKULIMA WA MWANI ZANZIBAR/SEAWEED FARMING IN ZANZIBAR
Переглядів 4543 роки тому
UKULIMA WA MWANI ZANZIBAR/SEAWEED FARMING IN ZANZIBAR
KIZINGO BEACH CLEAN-UP
Переглядів 473 роки тому
Beach clean-up activity at Kizingo by Zanzibar Professional Ocean Network (ZAPONET).
UNATOFAUTISHAJE KATI YA KAA JIKE NA DUME/SEX IDENTIFICATION IN MUD CRAB #mudcrab #kaamkoko
Переглядів 983 роки тому
Katika ufugaji wa viumbe maji ni muhimu kuweza kufahamu jinsia ya viumbe ambao tunawafuga. Video hii imeonyesha jia rahisi ya kutambua jinsia ya kaa.
Maisha ya Pomboo na Utalii wa Pomboo/Sustainable Dolphin Tourism in Zanzibar.
Переглядів 1,9 тис.4 роки тому
Utalii wa pomboo hapa Kizamkazi umekuwa ni miongoni mwa shughuli ya kiuchumi kwa wakaazi wa eneo hili. Pomboo Ni wanyama wanaovuta hewa kavu kama binaadamu na hawana uwezo wa kuvuta hewa wawapo chini ya maji...... Fuatilia mengi kuhusu pomboo na utalii wa Pomboo katika video hii. Pia usisahau ku subscribe, like, comment, na ku share. Asante. Sustainable Dolphin Tourism in Kizimkazi is crucial f...
KASA(SEA TURTLES)|ANAPUMUA HEWA KAVU|MAAJABU YA UZAZI WAO.
Переглядів 1214 роки тому
KASA(SEA TURTLES)|ANAPUMUA HEWA KAVU|MAAJABU YA UZAZI WAO.
MFAHAMU YAVUYAVU(JELLYFISH)|KIVIPI ANAWEZA KUKUDHURU UKIWA BAHARINI.
Переглядів 2494 роки тому
Jellyfish ni miongoni mwa viumbe vya ajabu wanaoishi baharini. mwili wao umejengea kwa uteute na hawana damu,mifupa wala viungo vya ndani. Jellyfish wana chembe hai zenye uwezo wa kuchoma na kusababisha muwasho endapo wataguswa. Tafadhali hakikisha ume subscribe na kubonyeza alama ya kengele.

КОМЕНТАРІ