Mussa Kisoma
Mussa Kisoma
  • 430
  • 543 691

Відео

SOMO MAALUM KWA VIONGOZI WA KANISA NA IDARA ZAKE- SEMINA YA IRINGA JULY 2023 ; MWL MUSSA KISOMA
Переглядів 573Рік тому
LENGO LA SOMO HILI NI KULETA HAMASA, KUAMSHA ARI YA KUMTUMIKIA MUNGU KWA BIDII NA KUJENGA KANISA LENYE NGUVU. MWL MUSSA KISOMA ALIFUNDISHA KATIKA KANISA LA HOFAN MAFINGA. MAWASILIANO: 0753469525
SOMO LA MAHUSIANO KATIKA SEMINA YA IRINGA JULY 2023 BY MWL MUSSA KISOMA
Переглядів 41Рік тому
Mwl Mussa Kisoma akifundisha somo la Tofauti za wanaume na wanawake katika kufikiri, kutenda na kuitikia mambo! Ilikuwa baraka mno! Mawasiliano ya mwalimu: 0753469525
MAOMBI MAALUM KWA VIONGOZI WA KANISA/ HUDUMA BAADA YA SOMO LA UONGOZI IRINGA JULY 2023; MUSSA KISOMA
Переглядів 19Рік тому
Neema ya Mungu bado ipo kwa ajili ya kutengeneza kanisa. Roho Mtakatifu anaendelea kutukumbusha na kuhuisha ili kazi ya Mungu isonge mbele na mwili wa Kristo ujengwe. Kwa mawasiliano 0753469525
SEMINA IRINGA JULY 2023 DAY 1 SOMO: KUBOMOA MADHABAHU KWA MTAZAMO WA AGANO JIPYA.
Переглядів 44Рік тому
Mtumishi wa Mungu Mwl Mussa Kisoma alikuwa akifundisha semina ya Neno la Mungu Mafinga-Iringa katika kanisa la HOFAN , na hili ndio somo lake la siku ya kwanza. Tunaamini utabarikiwa! Kwa msaada wa kiroho, au kihuduma au kwa kuchangia huduma tafadhali wasiliana na Mwl moja kwa moja kwa namba hii: 0753 469525
15 September 2022
Переглядів 13Рік тому
15 September 2022
MUYO TV | NDOTO ZA UCHAWI
Переглядів 31Рік тому
Karibu sana katika chaneli yako nzuri ya Muyo TV. Muyo TV ni chaneli yako ambayo inakupa ulingo wa kuelimika, kuburudika na kuhamasika. Katika chaneli hii pia utapata taarifa za matukio mbalimbali kitaifa na kimataifa. Ili uweze kufaidika na mambo yote hayo usisahau ku-subscribe katika chaneli yetu. Kwa Mawasiliano : Contact: 255753469525 Email: muyomedia@gmail.com
MUYO TV | NDOTO NA MAANA ZAKE

MUYO TV |
Переглядів 6Рік тому

UKWELI KUHUSU HISIA ZA MWANAUME | MUYO TV
Переглядів 1822 роки тому
Karibu sana katika chaneli yako nzuri ya Muyo TV. Welcome friend, we are ready to help you! Our services are based on: Relationship, Marriage, Parenting and Psychology Dreams interpretation Health Entrepreneurship etc Download Muyo App on Google Playstore gusa link hii play.google.com/store/apps/details?id=com.muyo_app More Contacts: Email: info@muyo.co.tz Website: www.muyo.co.tz Twitter, Insta...
MUYO APP | USIKAE KIMYA NJOO TUZUNGUMZE
Переглядів 382 роки тому
Karibu sana katika chaneli yako nzuri ya Muyo TV. Muyo TV ni chaneli yako ambayo inakupa ulingo wa kuelimika, kuburudika na kuhamasika. Katika chaneli hii pia utapata taarifa za matukio mbalimbali kitaifa na kimataifa. Ili uweze kufaidika na mambo yote hayo usisahau ku-subscribe katika chaneli yetu. Kwa Mawasiliano : Contact: 255753469525 Email: muyomedia@gmail.com
MJUE MWANAUME SERIES ON MUYO TV | MFUMO WA UTENDAJI KAZI WA UBONGO WA MWANAUME TOFAUTI NA WANAWAKE
Переглядів 712 роки тому
Download Muyo App kwenye playstore Kwa msaada wa mambo ya kisaikolojia, mahusiano, malezi na mengineyo! contact info@muyo.co.tz www.muyo.co.tz 0753469525
MJUE MWANAUME | MTAZAMO WA MWANAUME KUHUSU KUJALI UKOJE?
Переглядів 852 роки тому
Mussa Kisoma ni mtaalam wa mawasiliano, mshauri na mtafiti wa mambo ya kijamii hususan mahusiano.. Kwa Mawasiliano : Contact: 255753469525 Download Muyo App
DOWNLOAD MUYO APP UPATE USAIDIZI WA NDOTO ZAKO
Переглядів 132 роки тому
DOWNLOAD MUYO APP UPATE USAIDIZI WA NDOTO ZAKO
WOULD YOU WANT TO MAKE A SIMPLE AD LIKE THIS? MUYO APP
Переглядів 52 роки тому
WOULD YOU WANT TO MAKE A SIMPLE AD LIKE THIS? MUYO APP
MUYO APP | SAIDIKA KIDIGITALI ( MAHUSIANO, NDOA, AFYA, BIASHARA)
Переглядів 272 роки тому
MUYO APP | SAIDIKA KIDIGITALI ( MAHUSIANO, NDOA, AFYA, BIASHARA)
HII NI MPYA KUTOKA MUYO APP. SAIDIKA KIDIGITALI, KOMBOA WAKATI , MAJIBU KIGANJANI MWAKO
Переглядів 102 роки тому
HII NI MPYA KUTOKA MUYO APP. SAIDIKA KIDIGITALI, KOMBOA WAKATI , MAJIBU KIGANJANI MWAKO
MUYO APP IKO PLAYSTORE, JIUNGE SASA! SAIDIKA KIDIGITALI
Переглядів 172 роки тому
MUYO APP IKO PLAYSTORE, JIUNGE SASA! SAIDIKA KIDIGITALI
MAANA ZA TATTOO KTK ULIMWENGU WA ROHO NA MADHARA YAKE KWA WANAOCHORA
Переглядів 412 роки тому
MAANA ZA TATTOO KTK ULIMWENGU WA ROHO NA MADHARA YAKE KWA WANAOCHORA
MUYO TV | MCH SHAFURI ANAFUNDISHA KWA KINA KUHUSU KAZI YA ROHO MTAKATIFU NDANI YA MWAMINI
Переглядів 182 роки тому
MUYO TV | MCH SHAFURI ANAFUNDISHA KWA KINA KUHUSU KAZI YA ROHO MTAKATIFU NDANI YA MWAMINI
MUYO TV | MWENDELEZO WA MJUE MWANAUME SERIES.
Переглядів 852 роки тому
MUYO TV | MWENDELEZO WA MJUE MWANAUME SERIES.
MUYO TV | SERIES YA KUKUSAIDIA KUIJUA SAIKOLOJIA YA MWANAUME
Переглядів 462 роки тому
MUYO TV | SERIES YA KUKUSAIDIA KUIJUA SAIKOLOJIA YA MWANAUME
NDOTO HATARI ZINAZOHUSIANA NA NDOA: MUYO TV
Переглядів 352 роки тому
NDOTO HATARI ZINAZOHUSIANA NA NDOA: MUYO TV
SAIDIKA KIDIGITALI DOWNLOAD MUYO APP : TAFSIRI ZA NDOTO, MAHUSIANO, MSAADA WA KIAFYA, UJASIRIAMALI
Переглядів 312 роки тому
SAIDIKA KIDIGITALI DOWNLOAD MUYO APP : TAFSIRI ZA NDOTO, MAHUSIANO, MSAADA WA KIAFYA, UJASIRIAMALI
Maombi ya Mch Richard Hananja. It's powerful and funny😃😃😃
Переглядів 3,6 тис.2 роки тому
Maombi ya Mch Richard Hananja. It's powerful and funny😃😃😃
Cheki hii talent amazing ya huyu dogo! Toa maoni anafaa kuwa DJ au Actor??
Переглядів 1582 роки тому
Cheki hii talent amazing ya huyu dogo! Toa maoni anafaa kuwa DJ au Actor??
HATIMAYE SHEIKH MAZINGE ASALIM AMRI NA KUKUBALI KUBATIZWA KUWA MKRISTO, AKIRI YESU NI MUNGU
Переглядів 4272 роки тому
HATIMAYE SHEIKH MAZINGE ASALIM AMRI NA KUKUBALI KUBATIZWA KUWA MKRISTO, AKIRI YESU NI MUNGU
Mch Mbaga: Wasabato na Walokole ujumbe wenu huu kuhusu kiburi cha kiroho? Weka maoni yako!
Переглядів 6272 роки тому
Mch Mbaga: Wasabato na Walokole ujumbe wenu huu kuhusu kiburi cha kiroho? Weka maoni yako!
Jinsi ya kujitenga na laana, magonjwa na tabia za kurithi kutoka kwa familia au ukoo!
Переглядів 2,4 тис.2 роки тому
Jinsi ya kujitenga na laana, magonjwa na tabia za kurithi kutoka kwa familia au ukoo!
MKE MPE MUMEO "CHA ASUBUHI" KINAEPUSHA AJALI ZA MICHEPUKO: Mch Leah Amos anaachia nondo!
Переглядів 31 тис.2 роки тому
MKE MPE MUMEO "CHA ASUBUHI" KINAEPUSHA AJALI ZA MICHEPUKO: Mch Leah Amos anaachia nondo!

КОМЕНТАРІ

  • @رقيهالغافري-غ1ذ
    @رقيهالغافري-غ1ذ 5 днів тому

    Mm Niko nikilala nawaona wezee wangu inamagan

  • @Rjhg-d4l
    @Rjhg-d4l 7 днів тому

    Leo nimeota nipo namsaidia mama samia kwenye kutoa msaada

  • @moussadunia
    @moussadunia 12 днів тому

    Nisha ota naongeya na rais wetu wa Congo mara sita tukila pamoja, tukizungumza na hata tuki lala nyumba moja. Hapa siku zilipita nili zungumza na rais wa Rwanda tuki tembeya naye pamoja na watu wengi kutu sindikiza wakati tuki tembeya tuki ongeya

  • @HilderBuki
    @HilderBuki Місяць тому

    Too much noise mtu hata hawezi kuskiza

  • @annabernad1066
    @annabernad1066 Місяць тому

    Mimi nimeota ndoto naomba mwenye kujua kutafsiri ndoto anisaidie

  • @GraceKwenyepa-hc3uj
    @GraceKwenyepa-hc3uj Місяць тому

    mimi nimeota naongea na raiss watu walikua wengi sana akaniomba nmba mimi yani mpaka siamini

  • @samsonmasanja9397
    @samsonmasanja9397 Місяць тому

    Shida watoa story nyingi ukule time Kua direct tu

  • @MARYSHANGWA
    @MARYSHANGWA Місяць тому

    Amen

  • @NasraKassim-r7c
    @NasraKassim-r7c 2 місяці тому

    Nimeota nampokea mama samia alikuwa anashuka kweny gali alafu nikawa natembea nae tukaenda kwa mtu flani ivi maskini mama samia akawa ana msaidia alaf tukawa tunaongea nae

  • @NellyKombe
    @NellyKombe 2 місяці тому

    Amina

  • @yunismahang6449
    @yunismahang6449 3 місяці тому

    Amen 🙏

  • @TeresaOkwach
    @TeresaOkwach 3 місяці тому

    Glory be to God ❤

  • @RaseduOfficial
    @RaseduOfficial 3 місяці тому

    Risasi natafuta wakumiminia ndaaaani sana ❤❤❤❤

  • @VictoriaNyendera
    @VictoriaNyendera 3 місяці тому

    Good

  • @NadiaLacongolaise
    @NadiaLacongolaise 3 місяці тому

    Mimi ni mu congo leo nimeota raisi mama samia akinipa mbumba wa pesa😮

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 4 місяці тому

    Wengi tumeota sana tupo na marais au viongoz wakubwa....lkn wengi wanauliza nini kitatokea maishan mwao sikia ndoto ni ndoto utaota utabaki kuwasikia viongoz tu

  • @patricksindakila1909
    @patricksindakila1909 4 місяці тому

    nilishawayi kuota iyo ndoto Mara mingi Sana Léo tena na iyota Niko naongeya na président wa Rwanda tunacheka naye 👏👏👏👏👏

  • @AgapeNkya
    @AgapeNkya 4 місяці тому

    Nimeota mume wangu anambiwa na rais wa nje ya nchi yetu akimwambia amvalishe koti na akamvalisha koti la blue

  • @fayzfayz1807
    @fayzfayz1807 4 місяці тому

    Amen 🙏🙏

  • @fatimaussene1010
    @fatimaussene1010 4 місяці тому

    Mimi nimeomba samahani mpaka sasa nimechoka na mbaya zaidi amenifata nchi niliyopo but nikimtumia sms ni mwezi wa 8 sasa anijibu ila anapokea sms zangu na ata rafiki zangu akikutana nao awaambii kama tumeachana je atarudi kweli

  • @KhantShoto
    @KhantShoto 4 місяці тому

    Apo sawa kabisa mama

  • @PastoryNestory
    @PastoryNestory 4 місяці тому

    Jamani nimeota naongea na mama samia

  • @ElizaGodchild
    @ElizaGodchild 5 місяців тому

    Amen amen amen

  • @MugonekeOmbeni
    @MugonekeOmbeni 5 місяців тому

    Nimeota namshauri chisekedi

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe 5 місяців тому

    Huu ni uwongo kupaa niushindi

  • @suleimanmwahesa4655
    @suleimanmwahesa4655 5 місяців тому

    😅😊😊

  • @sefaniangoya7862
    @sefaniangoya7862 5 місяців тому

    My favourite artist in Tz .be blessed sister

  • @Maua-y2c
    @Maua-y2c 5 місяців тому

    Amen 🙏

  • @MARYGASPAR-il6ov
    @MARYGASPAR-il6ov 6 місяців тому

    Mimi mara nyingi namuota Rais Samia

  • @CandiAa-k5p
    @CandiAa-k5p 6 місяців тому

    Amin

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi 6 місяців тому

    Ufahamu nzuri mnoo be blessed 🙌 mtumishi.

  • @paulinaemanueli6881
    @paulinaemanueli6881 6 місяців тому

    🤔🤔🤔

  • @godfleychiwanga
    @godfleychiwanga 7 місяців тому

    Somo hili liacheni kulifundisha maana naona wote mnafundisha pumba tu nawaonya acheni kulifundisha mala moja mta wapoteza watu

  • @godfleychiwanga
    @godfleychiwanga 7 місяців тому

    Ninyi mtahukumiwa kama hamjui somo hili la ndoa acheni kufundisha mbona muna wachanganya watu wewe unsema alieoa wake wengi asiwache inamana aendelee kuzin na hao wanawake? Nawanya acheni kufundisha mala moja

  • @GloryKomba
    @GloryKomba 7 місяців тому

    Ukiota unafanya mapenz na mpenz wako hiii inamaan gani?

  • @NassriLucas
    @NassriLucas 7 місяців тому

    Apana siyo kweli kuowa miaka 27 apo napnga

  • @DaniKisitu
    @DaniKisitu 8 місяців тому

    nimeota rais yuko kwenye msafala wake anatemberea miladi yake

  • @EdwardDache
    @EdwardDache 8 місяців тому

    Ukiota.umepata.jua.kwamlango

  • @bensonmoris463
    @bensonmoris463 8 місяців тому

    tusaidie tujue mkuu

  • @bensonmoris463
    @bensonmoris463 8 місяців тому

    amen,me niliota napigwa picha nikiwa na rais samia,mkuu nn maana yake,

  • @HudhaifaMansour
    @HudhaifaMansour 8 місяців тому

    Unaongea pumba

  • @alexmzumbwe1328
    @alexmzumbwe1328 8 місяців тому

    Sawa kamanda WA injili

  • @KuvunaGonda-l4f
    @KuvunaGonda-l4f 9 місяців тому

    Nkweli kabisa lakini mziki ukojuuuu plz

  • @margaretmaina-r9k
    @margaretmaina-r9k 9 місяців тому

    Amen niliota nikiogea na mca

  • @TryphonMwakimata
    @TryphonMwakimata 9 місяців тому

    Ameen mtumishi wa Mungu mahubiri na maneno haya yamenijenga sana kwasababu kuna wakati nmekata tamaa kwa mambo yaliyonitokea ktk ulimwengu wa roho

  • @kizitoleons6291
    @kizitoleons6291 10 місяців тому

    Hakuna kukata tamaa

  • @Makambaramadhanimbogo
    @Makambaramadhanimbogo 11 місяців тому

    Nimeota napambana nanyoka nakumu uaa

    • @BroMussaKisoma
      @BroMussaKisoma 11 місяців тому

      Ishara ya kumshinda adui ktk ulimwengu wa roho. Lakini adui huwa hachoki endelea kudumu katk uweza wa nguvu za Mungu ili uendelee kushinda

  • @wilbroadndunguru6825
    @wilbroadndunguru6825 11 місяців тому

    Amen

  • @mwaminierasto9718
    @mwaminierasto9718 11 місяців тому

    Amen

  • @penuelinaamsi2146
    @penuelinaamsi2146 11 місяців тому

    Mchungaji mm nimeota ndoto binti yangu wa kazi anatembeaa na mume wangu ,,hii ndoto nimeota zaidi ya mara 3 siku tofauti na leo nimeota tena kila nikiamka nikiamka inajirudia tena ,, naomba msaada wa kutafsiriwa