KWARARA MEDIA EDUCATION CENTRE
KWARARA MEDIA EDUCATION CENTRE
  • 523
  • 16 616
SDLM 4 : Mada Ndogo ya Tatu: UMUHIMU WA MATUMIZI YA VIFAA.
kuibua vipaji na ubunifu , huibua dhana halisi ya somo pia kazi ya mwalimu huwa nyepesi sana mtoto husoma akicheza hubu mtazam teacher Hafsa na teacher Bello katika hii video.
Переглядів: 35

Відео

SKELETON
Переглядів 107 годин тому
Hili ni somo lenye kufuata mtaala ya mpya darasa la 4 sayansi.
SDLM 4 : Mada Ndogo ya pili: KUTUMIA VIFAA
Переглядів 1177 годин тому
Kugusa, kuonja , kugusa, kunusa na kuona. Mwalimu tumia vifaa katika hatua mbalimbali za usomeshaji na kuzingatia mahitaji ya watoto na somo lenyewe. Hebu mtazame teacher Bello na teacher Hafsa wakitupa somo hili
VIFAA VYA MAWASILIANO
Переглядів 189 годин тому
Mwanafunzi darasa 1 atapata somo kubwa.
SDLM 4 : Mada Ndogo ya Kwanza: KUTENGENEZA VIFAA.
Переглядів 899 годин тому
Sinema boksi, Mikungu na Sahani hivi ni miongoni mwa vifaa anavyotengeneza mwalimu wa maandalizi, teacher Hafsa na teacher Bello wakitupa hilo somo
OUTPUT DEVICES 2
Переглядів 512 годин тому
Somo safi la kisansi na kiteknolojia hebu tazama video hii
SDLM3: Mada Ndogo ya Nne : KUPANGA RATIBA YA KILA SIKU
Переглядів 6912 годин тому
Kuchunga wakati, kufuata utaratibu, kujitegemea ,kujiamini haya ni matunda ya ratiba. Pia ratiba bora inaonesha wakati wa kukagua usafi, kucheza , kusoma, kuandika , kuhesabu, kuimba na kula matunda. hebu tumtazame teacher Ashura na Teacher Bello wakitupa hilo somo.
SDLM3: Mada Ndogo ya Tatu : Dhamira Ambatano (Cognitive Development)
Переглядів 14714 годин тому
Bustanini, mtoto anaweza kujifunza rangi , kuhesabu na maumbo tofauti huu ni mtaala uliyojengwa kwa mfumo wa Dhamira Ambatano hebu tutazame walimu wetu hawa
SDLM 3 : Mada Ndogo ya Pili: KUJIFUNZA KWA UGUNDUZI
Переглядів 65День тому
Kugusa, kunusa, kushika , kuona na kusika. mtoto huweza kugundua kwa kutumia akili yake na husababisha kumbukumbu na ufahamu wa muda mrefu hebu tumtazame teacher Bello na teacher Ashura wakionesha mbinu hio.
RUWAIDA
Переглядів 71День тому
RUWAIDA ni kipofu wa kuzaliwa, ni msomi haswa, mwanasheri mbobezi, mtumishi wa serekali, wakili, mwanachuoni, mama, pia ni mwanandoa hebu tizama video hii ufahamu zaidi.
SDLM 3 : Mada Ndogo ya Kwanza: MICHEZO ILIYOPANGWA NA MAZOEZI
Переглядів 69День тому
Chezesha Ufundishe huwo ndio wajibu mwalimu wa maandalizi hebu tumtazame mwalimu na mtaalamu wa michezo Bi Ashura na teacher Bello wakikupa mbinu mbalimbali za kumsomesha mtoto michezo na mazoezi huku mtoto akifurahia somo
PRESSURE
Переглядів 2714 днів тому
Mifano halisi katika mazingira yetu, vitu halisi, kushirikisha wanafunzi kwa kutumia uzoefu wao wa maisha na michoro mizuri haya mwanafuzi hufahamu kirahisi somo hadi kufanya calculation hebu tumtazame mwalimu huyu.
SDLM 2 : Mada Ndogo ya Tatu: TABIA ZA WATOTO
Переглядів 8114 днів тому
Kusuluhisha mizozo kwa njia za kirafiki na za kitoto kwani watoto wana tabia tafauti hebu tumtizame teacher Bello na teacher Subrina wakituongoza katika hili Somo.
SDLM 2 : Mada Ndogo ya Pili: MASWALI YA WAZI
Переглядів 5614 днів тому
Muulize mtoto suala lenye kumfanya afikiri , kutoa mawazo yao na kuongeza udadisi hebu tumtazame teacher Bello na teacher Sabrina wakitufundisha mbinu mbalimbali za kumkuza mtoto.
SDLM 2: Mada Ndogo ya Kwanza: Mazingira ya Darasa
Переглядів 8514 днів тому
Darasa lenye vifaa vya kutosha na vilivyopangwa vizuri, kwa mfano vifaa vya hisabati, vya kuchezea, vya kusomea na michoro mbali mbali humuwezesha mtoto kusoma na kufahamu kwa wepesi na kufurahi hebu tumtazame teacher Bello na teacher Subrina akitupa somo hilo.
SDLM 2: Mada Ndogo ya Nne: KUJITHAMINI
Переглядів 3314 днів тому
SDLM 2: Mada Ndogo ya Nne: KUJITHAMINI
WATER
Переглядів 2614 днів тому
WATER
SDLM 1 Mada ndogo ya Nne: Vipengele Sita vya Mtoto (Six Aspects of the Child)
Переглядів 8414 днів тому
SDLM 1 Mada ndogo ya Nne: Vipengele Sita vya Mtoto (Six Aspects of the Child)
Linear Programing
Переглядів 721 день тому
Linear Programing
Physics F3, Optical Instrument
Переглядів 6221 день тому
Physics F3, Optical Instrument
SDLM1: Mada ndogo ya Tatu: Upatikanaji wa Lugha (Language Aquisition)
Переглядів 4021 день тому
SDLM1: Mada ndogo ya Tatu: Upatikanaji wa Lugha (Language Aquisition)
WRITING AVARIETY OF TEXTS
Переглядів 1721 день тому
WRITING AVARIETY OF TEXTS
SDLM1: Mada ndogo ya Pili; Ukuzi wa Ubongo (Brain Development)
Переглядів 10221 день тому
SDLM1: Mada ndogo ya Pili; Ukuzi wa Ubongo (Brain Development)
ACID, BASES AND SALTS
Переглядів 2921 день тому
ACID, BASES AND SALTS
SDLM1: Mada Ndogo ya kwanza : Ukuzi wa Kiakili (Cognitive Development)
Переглядів 14621 день тому
SDLM1: Mada Ndogo ya kwanza : Ukuzi wa Kiakili (Cognitive Development)
NON-METAL
Переглядів 721 день тому
NON-METAL
Verification of Archimedes' Principle
Переглядів 6621 день тому
Verification of Archimedes' Principle
TATU NA PAKA WAKE
Переглядів 7328 днів тому
TATU NA PAKA WAKE
EXCREACTION
Переглядів 928 днів тому
EXCREACTION
HEALTH & IMMUNITY Care & Support for pupils living with HIV & AIDS PLWHA
Переглядів 15Місяць тому
HEALTH & IMMUNITY Care & Support for pupils living with HIV & AIDS PLWHA

КОМЕНТАРІ