- 8
- 29 596
CHENDU FILMS
Приєднався 30 лип 2020
MOVIES AND SERIES
IN AND OUT OF TANZANIA
BEST AND QUALITY
IN AND OUT OF TANZANIA
BEST AND QUALITY
KWANNJEKA Ep_7 #CHENDU
Kwannjeka ni Series yenye maudhui ya Kitanzania inayoweza kukuelimisha kukufurahisha na kukuhuzunisha, Usikubali kupitwa nahii )
Переглядів: 2 386
Відео
KWANNJEKA Ep_6 #CHENDU
Переглядів 3,1 тис.9 годин тому
Kwannjeka ni Series yenye maudhui ya Kitanzania inayoweza kukuelimisha kukufurahisha na kukuhuzunisha, Usikubali kupitwa nahii
KWANNJEKA Ep_5 #CHENDU
Переглядів 3,1 тис.16 годин тому
Kwannjeka ni Series yenye maudhui ya Kitanzania inayoweza kukuelimisha kukufurahisha na kukuhuzunisha, Usikubali kupitwa na hii )
KWANNJEKA Ep_4 #CHENDU
Переглядів 3,2 тис.День тому
Kwannjeka ni Series yenye maudhui ya Kitanzania inayoweza kukuelimisha kukufurahisha na kukuhuzunisha , Usikubali kupitwa na hii )
KWANNJEKA Ep_3 #CHENDU )
Переглядів 3,9 тис.14 днів тому
Kwannjeka ni Series yenye maudhui ya Kitanzania inayoweza kukuelimisha kukufurahisha na kuuhuzunisha, Usikubali kupitwa nahii )
KWANNJEKA Ep_2 #CHENDU
Переглядів 5 тис.14 днів тому
Kwannjeka ni Series yenye maudhui ya Kitanzania inayoweza kukuelimisha kukufurahisha na kukuhuzunisha, Usikubali kupitwa nahii )
KWANNJEKA Ep_1 #CHENDU
Переглядів 9 тис.14 днів тому
Kwannjeka ni Series yenye maudhui ya kitanzania inayoweza kukuelimisha kukufurahisha na kukuhuzunisha, Usikubali kupitwa nahii )
KWANNJEKA COMMING SOON NEW SERIES(STARRING CHENDU ,MKUZA, KAVUNGWA &MBWEMBWE). tarehe 7/01/2025
Переглядів 74021 день тому
KWANNJEKA INAMUHUSU MZEE NJEKA AMBAYE NYUMBA YAKE INA MAUZA UZA SANA KIJANA KAVUNGWA ANAAMIA HAPO MAUZAUZA JUU YA MAUZAUZA USIPITWE
Jamani me nampenda sana kipipi anavyokuwa mcheshi
kazi nzuri sana
Ila kipipi anambio kweli😂😂😂
ua-cam.com/video/ln3eXIIQesU/v-deo.htmlsi=MbysYB4yAv61wmBH
Mkuu wangu chendu kazi nzuri Sana naipenda Sana kweli mkuu Wangu chendu unajua kuleta movie ambayo inatufanya tufurahi❤❤🌹🌹🌹🫂
❤❤KAZI Safi sna mnatuburudisha sna❤❤
Uko sawa mkuu mdau wako kutoka London
👌👌👌
Kagumbwa unaigiza tishart imelowa mijasho kwapani jamn😂😂
Kwanjeka baluza nawapenda mno😂😂😂
Jamani shunda siwez kuish bila wew japo kuwa nakufikia kiunoni😂😂😂
Kazi nzuri sema kipipi apunguze kelele mcharuko wa saiz unatosha
Huyu kavungwa na boss wake wanfurahsha sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mkosoe mpaka ataongea kiswahili kilichonyooka
Kavungwa n maksudi sio masukudi😂😂😂😂😂jamn
❤❤❤❤
Humu tu chumba juu ya chuma oya mzee chendu nipe like at 2 apo kwaajil ya Wana bigwa ote na tunaofuatilia kwannjeka
Chendu baba angu wewe mganga mchawi au ni keria yako tu ya uwigizaji
Unyama nimwing sana
Noma sana kwanjeka
Jmn Amina mmmmh
Kwanjeka kwanjeka
Kaz iko powa sana teena sana
Kazi nzul sana chendu ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
𝑨𝒎𝒊𝒏𝒊𝒂 𝒎𝒓 𝒄𝒉𝒆𝒏𝒅𝒖 𝒔𝒆𝒎𝒂 𝒕𝒘𝒆𝒏𝒅𝒆 𝒏𝒂 𝒎𝒖𝒅𝒂
😂😂❤❤mzee chendu umetisha sana
Jaman mbn inachelewa san
Jaman nawaoend sana ila gos siwez kuishi bila wewe
Chendu unachelewa kuleta kwa nnjeka
kavungwa unatukosea wamakonde bhana kuongea gan huk 😂😂😂😂😂
Nashuluku sana😂😂
baluza baluza unatisha sna natamani kuku ona jamani❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂mganga dah😂😂😂Shukran brother chenduu
😂😂😂kavugwa unatudhalilisha
Mnachelewa sana kutoa
Haya kwanjeka isha pamba moto sasa uku 😂😂😂😂
hii mbna inakaa kama house of trouble yake chumvi nyingi
Anayawez kwl uyo au kell tu
Kwa njeka ni balaaaa buluuu
Chendu 📽️ auna baya baba chukua 🌺🥀🌹🌹 yako
Baluzaa na tutabaluzana🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤
Aah jamani hii kali ya mwaka
mukuza hii kwannjeka Amepunguza ukatili 🤣🤣🤣
Mzee kashaaza Mambo yake mkuza utakoma
Nimefrah kukuona baluza😂😂😂😂
Kwan mukuza huwez sema bila kufokea mtu😂😂😂😂😂🎉jaman fatum kayakanyag❤😂😂😂😂wa kk kam haw duu ❤
Hii Kali mkuza unakula na mwenzio😂😂😂😂
Mkuu Wangu Chendu kazi yako tutazidi kufatilia na pia mkuu Chendu kazi yko n nzuri Sana Tena Sana yaani mwaaaaaah❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Tabasamu la mbuzi😂😂😂😂😂