John Mongella
John Mongella
  • 77
  • 56 542

Відео

KAMPENI YA JIONGEZE TUWAVUSHE SALAMA YAZINDULIWA MWANZA
Переглядів 1585 років тому
Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Afya na Ustawi wa Jamii Mkoani Mwanza wamezindua Kampeni ya Uzazi Salama ijulikanayo kama "Jiongeze Tuwavushe Salama". Kampeni hiyo imezinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella ikiwa na kauli mbiu ya "Kila mmoja wetu anao wajibu wa kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi.Maneno basi, sasa vitendo." Akiongea katika uzinduzi huo Mhe.Mong...
INASIKITISHA AFA KWA KUANGUKIWA NA MAWE RC MWANZA NA MASHUHUDA WAZUNGUMZA HAYA
Переглядів 575 років тому
INASIKITISHA AFA KWA KUANGUKIWA NA MAWE RC MWANZA NA MASHUHUDA WAZUNGUMZA HAYA
KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI MKOA RCC CHAKETI MKOANI MWANZA HAYA NI MAAZIMIO
Переглядів 735 років тому
KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI MKOA RCC CHAKETI MKOANI MWANZA HAYA NI MAAZIMIO
HAFLA KWA WAAJIRI WALIOFANYA VIZURI BODI YA MIKOPO MKOANI MWANZA..
Переглядів 265 років тому
HAFLA KWA WAAJIRI WALIOFANYA VIZURI BODI YA MIKOPO MKOANI MWANZA..
KIKAO CHA BODI YA BARABARA MWANZA WAJUMBE WAZUNGUMZA HAYA NA RC MONGELLA ATOA MAAGIZO MAZITO.
Переглядів 845 років тому
KIKAO CHA BODI YA BARABARA MWANZA WAJUMBE WAZUNGUMZA HAYA NA RC MONGELLA ATOA MAAGIZO MAZITO.
WAZIRI MKUU AFUNGUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO KANDA YA ZIWA RC MWANZA AZUNGUMZA HAYA.
Переглядів 295 років тому
WAZIRI MKUU AFUNGUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO KANDA YA ZIWA RC MWANZA AZUNGUMZA HAYA.
WAZIRI MKUU AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAWASILIANO WA SERIKALI MWANZA AZUNGUMZA HAYA
Переглядів 165 років тому
WAZIRI MKUU AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAWASILIANO WA SERIKALI MWANZA AZUNGUMZA HAYA
RC MONGELLA NA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII WAFUNGUA MKUTANO WA UWEKEZAJI SEKTA YA UTALII.
Переглядів 235 років тому
RC MONGELLA NA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII WAFUNGUA MKUTANO WA UWEKEZAJI SEKTA YA UTALII.
MKUU WA MKOA MWANZA APOKEA UGENI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO, MIFUGO, NA MAJI
Переглядів 895 років тому
MKUU WA MKOA MWANZA APOKEA UGENI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO, MIFUGO, NA MAJI
RC MONGELLA AJIBU HOJA ZA WANANCHI LIVE KWENYE MKUTANO WA HADHARA BUGOGWA WILAYA YA ILEMELA
Переглядів 535 років тому
RC MONGELLA AJIBU HOJA ZA WANANCHI LIVE KWENYE MKUTANO WA HADHARA BUGOGWA WILAYA YA ILEMELA
RC MONGELLA AKAGUA MRADI WA MAJI BUGOGWA NA ATOA MAAGIZO HAYA.....
Переглядів 275 років тому
RC MONGELLA AKAGUA MRADI WA MAJI BUGOGWA NA ATOA MAAGIZO HAYA.....
Rais Magufuli aunga juhudi za Wananchi Mwanza, atoa Milioni 20
Переглядів 3066 років тому
Mhe Rais Dkt.John Pombe Magufuli ametoa sh milioni 20 kwaajili ya ujenzi wa barabara katika Mtaa wa Nyamazobe kata ya Mkolani Mwanza baada ya Wanachi kuonesha juhudi za kujenga Barabara yenye urefu wa mita 500 iliyoko Mlimani. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo akikabidhi fedha hizo kwa Mwenyekiti wa mtaa Julius Makamba mbele ya mkutano hu...
RC Mongella aagiza waliohusika katika udanganyifu wa MITIHANI wakamatwe
Переглядів 1416 років тому
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella leo hii amekutana na walimu wa shule za msingi na sekondari wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza pamoja na idara ya elimu ya mkoa ili kujadili namna ya kudhibiti vitendo vya udanganyifu wa mitihani uliofanywa na shule za Alliance, New Alliance na Kisiwani. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata na kuwachukulia hatua wate...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ametengua maamuzi ya SUMATRA
Переглядів 9816 років тому
leo tarehe 05 october 2018 Mhe. John Mongella Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ametengua maamuzi ya SUMATRA Mkoa wa Mwanza baada ya kufuta njia tano za Sekou Toure hadi Kigongo ferry Bulale hadi Kigongo ferry, Buzuruga hadi Nyamikoma, Buzuruga hadi Lamadi na Usagara Mzunguko. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ametengua maamuzi hayo ya SUMATRA kwa kuwa hayakushirikisha wadau mbalimbali hivyo njia hizo ziataendelea k...
RC Mongella atoka Ofisini kwake nakwenda kutembelea Wananchi Mtaani
Переглядів 3546 років тому
RC Mongella atoka Ofisini kwake nakwenda kutembelea Wananchi Mtaani
RC Mwanza apokea wawekezaji kutoka Jimbo la Henan China
Переглядів 4166 років тому
RC Mwanza apokea wawekezaji kutoka Jimbo la Henan China
RC Mwanza apokea vitabu zaidi ya laki tatu ilikupunguza uhaba mashuleni.
Переглядів 2206 років тому
RC Mwanza apokea vitabu zaidi ya laki tatu ilikupunguza uhaba mashuleni.
Wasukuma walivyoimba Nyimbo yakumpongeza Mhe. Rais Magufuli na RC Mongella
Переглядів 25 тис.6 років тому
Wasukuma walivyoimba Nyimbo yakumpongeza Mhe. Rais Magufuli na RC Mongella
Kivuko kipya cha MV Mwanza, kimezinduliwa rasmi
Переглядів 2366 років тому
Kivuko kipya cha MV Mwanza, kimezinduliwa rasmi
Shekh Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Afariki dunia, RC Mongella atoa pole kwa Familia
Переглядів 4146 років тому
Shekh Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Afariki dunia, RC Mongella atoa pole kwa Familia
RC Mongella apongeza kazi nzuri ya Ujenzi wa Kituo cha Afya Kolomije.
Переглядів 3796 років тому
RC Mongella apongeza kazi nzuri ya Ujenzi wa Kituo cha Afya Kolomije.
RC Mongella aungana na Wananchi kufanya Usafi wa Mazingira Mwanza.
Переглядів 1506 років тому
RC Mongella aungana na Wananchi kufanya Usafi wa Mazingira Mwanza.
RC Mongella achukua hatua kari kwa Mkurugenzi wa kiwanda cha ICK Mwanza.
Переглядів 14 тис.6 років тому
RC Mongella achukua hatua kari kwa Mkurugenzi wa kiwanda cha ICK Mwanza.
RC Mwanza azindua Kampeni ya “Furaha yangu” itakayo hamasisha upimaji wa VVU.
Переглядів 626 років тому
RC Mwanza azindua Kampeni ya “Furaha yangu” itakayo hamasisha upimaji wa VVU.
RC Mongella aonesha furaha yake Jukwaani katika uzinduzi wa Kampeni ya Furaha yangu.
Переглядів 4496 років тому
RC Mongella aonesha furaha yake Jukwaani katika uzinduzi wa Kampeni ya Furaha yangu.
"Zamu hii wakina Baba tuamke kutambua Afya zetu" RC Mongella
Переглядів 546 років тому
"Zamu hii wakina Baba tuamke kutambua Afya zetu" RC Mongella
RC Mongella apata Tuzo kwa juhudi zake katika kurejesha mali za Chama Kikuu cha Ushirika Mwanza.
Переглядів 3136 років тому
RC Mongella apata Tuzo kwa juhudi zake katika kurejesha mali za Chama Kikuu cha Ushirika Mwanza.
Rc Mwanza aweka baraka zake kwa shindano la Miss Mwanza 2018.
Переглядів 1,4 тис.6 років тому
Rc Mwanza aweka baraka zake kwa shindano la Miss Mwanza 2018.
Kwa mara ya pili makontena 18 yakiingia melini katika bandari ya Mwanza kusini kuelekea Uganda.
Переглядів 8246 років тому
Kwa mara ya pili makontena 18 yakiingia melini katika bandari ya Mwanza kusini kuelekea Uganda.