Monica Liampawe
Monica Liampawe
  • 5
  • 8 310
MATAPELI WA BIMA FEKI WANASWA MOROGORO
Mamlaka ya usimamizi wa Bima - TIRA kanda ya kati imekamata magari 66 katika mainispaa ya Morogoro yaliyokatiwa bima za kughushi zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 61.
Meneja wa TIRA kanda ya kati STELLA RUTABUZA amewataja baadhi ya watuhumiwa wa utapeli huo huku akiwatahadharisha wananchi kutowatumia watu hao na kampuni zinazojuhusisha na utapeli huo.
Переглядів: 37

Відео

WALIMU WALIOHAMA KWA VIMEMO MOROGORO KUKIONA
Переглядів 304 роки тому
Mkuu wa mkoa wa Morogoro LOATA OLE SANARE amepiga marufuku tabiya ya walimu wa mkoa huo kuhama kwa vimemoMkuu huyo pia ametembelea miradi iliyopo katika manispaa ya Morogoro akiongozana na baadhi ya viongozi wa wilaya hiyo.
KILOSA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Переглядів 114 роки тому
SANARE ATAKA WAKULIMA NA WAFUGAJI WAOWANE ILI WAKITAKA KUUANA WAJIUWE WENYEWE
kikimo Promo
Переглядів 35 років тому
Tunajivunia Nchi yetu ,Tunajivunia hifadhi zetu (hapa kazi Tu)
MAKALA YA MBEGU BORA ZA MAHARAGE TBC
Переглядів 8 тис.6 років тому
UTAFITI WA MBEGU BORA ZA MAHARAGE - SUA MOROGORO.

КОМЕНТАРІ