Kilimo cha Papai Tz
Kilimo cha Papai Tz
  • 56
  • 89 717
Shamba linauzwa Kisarawe Pwani
Jipatie shamba lenye ukubwa wa ekari moja. Shamba linafaa kwa makazi, kilimo na ufugaji. Shamba linapatikana umbali wa kilometa 12 kutoka Kisarawe mjini.
Lakini pia viwanja vya barabarani vinapatikana. Kwa mahitaji ya mashamba na viwanja Kisarawe, Mkuranga, Bagamoyo na Pwani kwa ujumla karibu sana. Pia tunazo mbegu za mihogo, migomba, papai za kisasa, n.k.
Piga simu sasa: 0758447040 au 0715797489.
Переглядів: 170

Відео

Mbegu bora ya Mihogo
Переглядів 426Рік тому
Pata mbegu bora ya mihogo kwa gharama nafuu kabisaaa. Mbegu inapatikana Kisarawe Pwani na inakomaa ndani ya miezi sita tu. Tunauza mashamba pia Kisarawe kwa bei nafuu. Karibuni sana. Piga simu sasa: 255758447040 255715797489
Ufugaji wa kuku wa kienyeji
Переглядів 1422 роки тому
Sasa tumekufikia ewe mfugaji. Je, una ndoto ya kufuga kuku wa kienyeji lakini haujui uanzie wapi? Tunakupa ushauri na kukupatia vifaranga vilivyochanjwa kwa dawa za asili kwa bei nafuu kabisaa. Tuma ujumbe WhatsApp sasa: 0758447040 . . . . . . . . . #youtubeislife #subscriber #youtubeguru #youtubecontent #newvideo #subscribers #youtubevideo #youtub #youtuber #youtubevideos
Miche🌱 Miche🌱 Miche🌱 Papai Malkia F1 hybrid
Переглядів 6222 роки тому
Pata Miche Bora kabisa kwa bei sawa na bureee. Miche yetu ni hybrid na unaanza kuvuna kuanzia miezi 6. Wahi sasa ofa hii inaisha Disemba 31, 2021. Tunapokea oda za kuandaa miche na inakua tayari ndani ya mwezi mmoja tu. Piga simu sasa au tuma ujumbe WhatsApp: 0758447040 Karibu sana.
Kilimo cha Papai: Kuandaa na kutunza kitalu
Переглядів 3,3 тис.3 роки тому
Maandalizi Bora ya Kitalu yatakupatia miche iliyobora. Fuatilia maelezo kuhusu uandaaji wa kitalu cha miche ya papai. Kwa mahitaji ya miche ya papai piga simu/WhatsApp - 0758447040. Miche yetu ni Malkia F1 hybrid na unaanza kuvuna ndani ya miezi sita (6). #youtube #subscribe #like
Kilimo cha Papai: Kutembelea shamba Kwa ushauri
Переглядів 1,2 тис.3 роки тому
Changamoto kubwa ni maji na kudhibiti magonjwa. Piga simu sasa⤵️⤵️ 0758447040
KILIMO CHA PAPAI: HABARI NJEMA KWA WAKULIMA WA PAPAI
Переглядів 1213 роки тому
Hii siyo ya kukosa ewe mkulima wa Papai Tz. Miche ndio hioo iko sokoni. Bei zetu ni nafuu sana. Weka order sasa hivi kwa kupiga/tuma ujumbe WhatsApp 0758447040. Tutafuatilia maendeleo ya shamba lako kuanzia kupanda hadi kuvuna. Ushauri wa madawa, matumizi ya mbolea na hali ya udongo unaostawisha papai vizuri. Karibuni sana. #like #diamondplatnumz #subscribe #youtube #kilimo
Habari njema kwa wakulima wa mihogo
Переглядів 2573 роки тому
Pata mbegu bora ya mihogo kwa bei nafuu. Piga 0758447040 sasa
Hii ndio migomba aina ya mzuzu
Переглядів 1,7 тис.3 роки тому
Najua umekua ukitamani siku moja umiliki shamba kubwa la migomba. Ni rahisi, kama unayo nia utaiona nia. Video hii inaonesha shamba la migomba aina ya mzuzu ambayo hutumika sana kwenye hotel 🏨, bar, na kwenye vibanda vya chips. Lakini pia, mzuzu hupikwa majumbani. Karibu kwa huduma ya kilimo bora kabisa. Tupigie au tuma ujumbe WhatsApp: 0758446
Hii mashine ni balaa...Tunafika mpaka shambani kwako🌱 #youtube #subscribe #like #kilimo #malkiaf1
Переглядів 1,3 тис.3 роки тому
Tunafika shambani kwako kukagua shamba lako la papai na kukupatia ushauri wa kitaalamu. Tunapiga dawa kwa kutumia mashine ya 'fumes' na kuweka shamba lako chini ya uangalizi wetu. Epuka magonjwa na changamoto mbalimbali kwenye kilimo cha papai. Piga au tuma ujumbe WhatsApp:👇👇 0758447040. Nyote mnakaribishwa.
Kilimo cha Papai: Maandalizi ya kitalu cha miche ya papai.
Переглядів 3793 роки тому
Tunaendelea kuandaa miche Bora ya Papai Malkia F1 hybrid kwa bei nafuu... Weka order yako leo ili ufaidike na huduma hii mapema. Piga simu au tuma ujumbe WhatsApp: 0758447040. Subscribe, like, share na comment 🙏 Nyote mnakaribishwa.
UNAANZAJE KUIKOSA MALKIA F1 PAPAYA HYBRID #youtube #like #subscribe
Переглядів 2953 роки тому
Unasubiri nini? Haya ni maandalizi ya miche ya papai kwa ajili ya msimu huu. Hujachelewaa. Weka oda yako mapema kwa kupiga simu au tuma ujumbe WhatsApp 0758447040.
HII NDIO PAPAYA MALKIA F1 HYBRID
Переглядів 2,9 тис.3 роки тому
Kama ulikua hujaifahamu Papaya Malkia F1, nimekuwekea hapa kwenye hii video. Ni papai tamu na zuri linalokubalika sokoni. #malkiaF1 #kilimochapapaitz #youtube
HABARI NJEMA KWA WAKULIMA WA PAPAI
Переглядів 1753 роки тому
Hii ni ofa kwa mkulima wa papai popote pale ulipo. Pata miche Bora ya papai kwa bei ya punguzo kabisa. Usichelewe maana hii haijawahi kutokea. Tupigie au tuma ujumbe WhatsApp: 0758447040 #kilimochapapai #malkiaF1 #youtube
ANGALIA JINSI YA KUPATA MICHE MINGI YA MIGOMBANI SHAMBANI
Переглядів 1,7 тис.3 роки тому
Kwenye video hii utajifunza njia bora kuzalisha miche mingi ya migomba shambani kwako fuatilia mpaka mwisho. Kwa mahitaji ya miche ya papai na migomba aina mbalimbali piga/WhatsApp: 0758447040. Karibuni sana. #youtube #youtuber #subscribe #like #love #youtubecommunity
ELIMU YA MOTO: NINI UFANYE KUJIOKOA KAMA NYUMBA YAKO INAUNGUA MOTO
Переглядів 243 роки тому
ELIMU YA MOTO: NINI UFANYE KUJIOKOA KAMA NYUMBA YAKO INAUNGUA MOTO
Romantic music, Relaxing music, Deep Sleep Music, Healing Music, Calm, Meditation, Study music,
Переглядів 53 роки тому
Romantic music, Relaxing music, Deep Sleep Music, Healing Music, Calm, Meditation, Study music,
Utashangaa huu ufugaji wa kuku
Переглядів 433 роки тому
Utashangaa huu ufugaji wa kuku
Woah! Maajabu ya Treni inayopaa...angalia maajabu haya.
Переглядів 173 роки тому
Woah! Maajabu ya Treni inayopaa...angalia maajabu haya.
KILIMO CHA PAPAI: SEHEMU YA PILI || KUPANDA MBEGU KWENYE KITALU
Переглядів 1,1 тис.3 роки тому
KILIMO CHA PAPAI: SEHEMU YA PILI || KUPANDA MBEGU KWENYE KITALU
KWA WALIMU WOTE TANZANIA || HUU NI UJUMBE MUHIMU SANA KWETU
Переглядів 623 роки тому
KWA WALIMU WOTE TANZANIA || HUU NI UJUMBE MUHIMU SANA KWETU
SIMBA VS YANGA || Mashabiki warushiana maneno. "Watu watapata magonjwa ya mioyo"
Переглядів 383 роки тому
SIMBA VS YANGA || Mashabiki warushiana maneno. "Watu watapata magonjwa ya mioyo"
Kilimo cha Papai: Sehem ya Kwanza || Maandalizi ya mbegu za papai
Переглядів 2,6 тис.3 роки тому
Kilimo cha Papai: Sehem ya Kwanza || Maandalizi ya mbegu za papai
Jack Ma message about success: Successful people are always optimistic.
Переглядів 723 роки тому
Jack Ma message about success: Successful people are always optimistic.
Tired of failing job interview? Here is a solution. Watch this video till the end.
Переглядів 153 роки тому
Tired of failing job interview? Here is a solution. Watch this video till the end.
Uondoaji wa maua ya migomba
Переглядів 5813 роки тому
Uondoaji wa maua ya migomba
FAIDA ZA KILIMO MSETO SHAMBANI #kilimochapapai #kilimochamigomba #kilimochamihogo
Переглядів 1553 роки тому
FAIDA ZA KILIMO MSETO SHAMBANI #kilimochapapai #kilimochamigomba #kilimochamihogo
#kilimochapapai MALKIA F1 HYBRID PAPAYA | Faidika na kilimo cha papai
Переглядів 2,9 тис.3 роки тому
#kilimochapapai MALKIA F1 HYBRID PAPAYA | Faidika na kilimo cha papai
ZISHINDE TABIA HATARISHI || HATUA TANO (5) ZA KUBADILI TABIA #Learn #Practice #Transform
Переглядів 913 роки тому
ZISHINDE TABIA HATARISHI || HATUA TANO (5) ZA KUBADILI TABIA #Learn #Practice #Transform
Aina nne (4) za marafiki wa kuepuka #epukamarafikihawa #marafikisumu #toxicfriendships
Переглядів 1083 роки тому
Aina nne (4) za marafiki wa kuepuka #epukamarafikihawa #marafikisumu #toxicfriendships

КОМЕНТАРІ