- 476
- 89 880
Kurasini FPCT
Tanzania
Приєднався 5 тра 2020
Karibu kwenye chaneli ya UA-cam ya FPCT Kurasini. Tunamini utakuwa na wakati mzuri wa kutazama mahubiri yetu tofauti na matangazo ya moja kwa moja. Jisikie huru kutoa maoni na ushiriki ukurasa wetu, na marafiki zako, familia na wenzako, na muhimu zaidi usisahau ku subscribe ili kupata video mpya mara kwa mara kutoka FPCT Kurasini
Відео
ASKOFU MSTAAFU DAVID BATENZI AKEMEA USHOGA KWA NGUVU ZOTE
Переглядів 75Рік тому
ASKOFU MSTAAFU DAVID BATENZI AKEMEA USHOGA KWA NGUVU ZOTE
MAISHA YA MKRISTO BAADA YA KUOKOLEWA.... Mch, Shambo kutoka Kigali ~ Rwanda
Переглядів 2052 роки тому
MAISHA YA MKRISTO BAADA YA KUOKOLEWA.... Mch, Shambo kutoka Kigali ~ Rwanda
IBADA YA WIKI YA VIJANA FPCT KURASINI 26/06/2022
Переглядів 1 тис.2 роки тому
IBADA YA WIKI YA VIJANA FPCT KURASINI 26/06/2022
MUNGU NI MUNGU WA KUBARIKI ... Askofu David Batenzi
Переглядів 6072 роки тому
MUNGU NI MUNGU WA KUBARIKI ... Askofu David Batenzi
MUNGU NI MUNGU WA KUBARIKI - Askofu David Batenzi - FPCT KURASINI 3/7/2022
Переглядів 3482 роки тому
MUNGU NI MUNGU WA KUBARIKI - Askofu David Batenzi - FPCT KURASINI 3/7/2022
ROHO MTAKATIFU AKIWA NDANI YAKO ATAONEKANA KWA MWENENDO NA TABIA YAKO.
Переглядів 2632 роки тому
ROHO MTAKATIFU AKIWA NDANI YAKO ATAONEKANA KWA MWENENDO NA TABIA YAKO.
KUUKABILI WAKATI UNAKUTANA NAO KATIKA MAISHA YAKO/FACE THE SEASONS THAT YOU ENCOUNTER IN YOUR LIFE.
Переглядів 8872 роки тому
KUUKABILI WAKATI UNAKUTANA NAO KATIKA MAISHA YAKO/FACE THE SEASONS THAT YOU ENCOUNTER IN YOUR LIFE.
Uzinduzi wa kanisa jipya FPCT Mafia / Vijana FPCT Kurasini
Переглядів 4534 роки тому
Uzinduzi wa kanisa jipya FPCT Mafia / Vijana FPCT Kurasini
Nguvu ya Maombi / Mchungaji Oscar Kindole
Переглядів 4554 роки тому
Nguvu ya Maombi / Mchungaji Oscar Kindole
Mpingeni Shetani nae atawakimbia / Askofu David Batenzi
Переглядів 2,1 тис.4 роки тому
Mpingeni Shetani nae atawakimbia / Askofu David Batenzi
👏👏👏
👏👏👏
Safi sana ,mbrkiwe ❤
Amen,we are so blessed,be blessed too,big up church admstrtn
Amen,tunashukuru kwa ibada nzuri
God bless you 🙏
Amen,tunaendelea kufaidika na program hii,wahusika wote Mungu awakumbuke daima ,uwepo na uso wake usiwaache,big up church admnstrtn
Amen
Amen,Tukikaa ktk uwepo wake tutaishi maisha matakatifu,amani na kuzishinda dhambi,ubrkiwe msomaji wa neno,big up church admnstrtn,( media sijawaelewa!? picha hatuzioni)
Ni kweli Tunahitaji nguvu za Roho Mt ili tuweze *kuukulia wokovu,kumtumikia Mungu bila mapungufu pia kupanda viwango vya juu vya kiroho na kihuduma* barkiwa Askofu wetu,b blssed pryz tm,our choir DGC n church admnstrtn,thx
UAMSHO huambatana na MATENGENEZO. 1;Kanisa _"likiliishi NENO na KUOMBA kwa KUMAANISHA tena kwa BIDII na kwa kulenga kwenye TARGET lazima UAMSHO utokee maana Mungu wetu si baali hata asijibu maombi yetu. 2;Kubadili MIFUMO ya utendaji kwa kazi za MADHABAHUNI na MTAZAMO wa Imani yetu kwa baadhi ya mahitaji tunayoyaombea,thx
Amen,mbarkiwe ktk yote,.Mwl na Engineer Bwana akutie nguvu,una vitu ndani mwako ambavyo kanisa linapaswa kufaidi,Bwana akutengenezeea mazingira mazuri zaidi ya huduma,keep it up fpct kursn admnstrtn
🙏♥️
Very nice,glory to God,eh! eh! eh! Hii ni ibada takatifu kbs! mbarkiwe wapendwa 🙏♥️
Amen,Mungu akubarki mwl & mwinjlst A.M.Nimebarkiwa sana na mafundisho hayo(yanahitaji ku download mtu akawa anayasikiriza hata bila bando) maana yanatuhusu sana na kwa kutojali kwetu tumepoteza waongofu wapya wengi (mh,Mungu atusamehe na atuwezeshe kuwafuatilia kwa moyo wa upendo).Tunahitaji na sisi hizo hatua za kuwafanya wafuasi tuziishi (tusiwe kama waliohitimu tukabweteka hata kukauka kiroho na kugeuka kuwa wanadini tu) big up media & church admnstrtn
Amina, utukufu kwa Mungu, wataalamu wetu watafanyia kazi ombi lako na kutoa mrejesho. Barikiwa sana
🙏 b blessed our church
Ameen
Let''s be the doers ot the word not hearers only,May Almighty God bless you our beloved pastor O.K
Yesu etuwezeshe na sisi kuwa mawe hai ili tuwaunganishe wenye dhambi na Mungu kwa kutumia sauti zetu,pesa zetu,elimu yetu,matendo mema ,teknologiya na nguvu zitendazo kazi ndani yetu,thx pstr n fpct kursn admnstn
Amen,mbarkiwe wapendwa,""hii imenifurahisha **DINI ni njia ya wanadamu kumtafuta Mungu na **WOKOVU(Injili) ni njia ya Mungu kumtafuta mwanadamu b blessed pst ,big up Fpct Kurasini
Amen ,hili neno ni njia ya mkato ya kujibiwa maombi ""tuombe kwa kulenga kwenye target""(baada ya **kusoma neno la Mungu,kuuliza na kuongozwa na Roho mt) tutapata ""taarifa"" kamili,b blssed Engnr ,kp it up amka na Bwana.Kwa kuepuka malumbano ya kidini haturuhusiwi kusema**wenye dhambi hasa dini fulani wazi wazi bali kwa mafumbo**serikali inakataza,thx
Amen,tunaamini Mungu atajibu maana hayo ni mapenzi yake,big up amka na Bwn**tuko pamoja**
Kwa tafsiri hii kuna watu wengi Sana walipotelea ndani ya kanisa, Mungu taupe macho ya kuona jinsi ya kuwasaidia wa ndani kwanza kabla ya kutoka nje.
🙏 ktk yote
Inawezekana ""kutoa"" bila *upendo**lkn haiwezekani ""kupenda"" bila *kutoa**aise hii kauli ni sawa kbs! ""Kumbe ule mti wa uzima walikuwa wanatumia matunda yake kabla ya *anguko*! ah! mwl ubrkiwe sana, (walikatazwa wa mema na mabaya),big up fpct kursn admnstrtn
Amen,nimejifunza kweli ( juu ya mwana mpotevu,kondoo aliyepotea na mwanamke aliyepoteza shiling moja) kumbe Kuna waliopotelea ndani! Ubrkiwe mchngj kwa tafsiri sahihi ya maandiko( mbegu unazopanda mioyoni mwetu hazita dumaa zitaota na kuzaa nyingine 30,60 hata 100) thx tunakpenda
Amen,mbarkiwe wapendwa ,jitihada zenu si za bure ktk Bwana
Asante sana Pst Kindole.Nimebarikiwa.
Tumebarkiwa sana,Mungu atusaidie ""tusifuatishe namna ya dunia *warumi 12:2"" mbarkiwe wapendwa tuko pamoja hatua kwa hatua
amen,Mungu atuwezeshe kutimiza yote yatupasayo kwa viwango vya juu❤ 🙏
Hakika tumebarkiwa na ibada yote kwa ujumla,Mungu atuwezeshe kushuhudia isivyo kawaida ili tutimize """agenda"""au """agizo ""au ""kusudi""lake kuu juu ya **wanadamu**ubrkiwe baba askofu kwa msisitizo huo
"lengo ni kumwabudu Mungu tu""matokeo yake kama *udhihirisho ""nayo ni muhimu lkn la kwanza ndilo kuu"""hii kauli imenielimisha zaidi,ubarkiwe msomaji wa neno
Amen,Mungu ni mwaminifu tena ni Baba atatenda🙏
Hakika ibada hii inanibariki sana, Barikiwa sana Pastor Kindole kwa maono haya
Amen,neno limenitia moyo na kugeuza mtazamo na uelewa pia,.Kumbe kuchelewa ktk hitaji au jaribu kunaanda jibu au ushindi mkubwa ! mbarkiwe wapendwa ,tunazdi kunufaika na program zenu
Amen
🙏♥️
Eh! tumejifunza kweli(Wana wa Mungu, malayika wale waliomtembelea Ibrahim na jinsi wlivyoumbika, wanefiri ,majini na uongo wa waganga,na uzao wa Adamu ktk kuijaza Dunia) Asante pstr nimezdi kukupenda na kufaidika mengi kutoka kwako kwa neema ya Mungu,big up fpct kursn
Hakika Mungu ametuhudumia
Amen na tena amen kwake aaminiye,big up fpct kurasini
""Mungu kwetu ni ""kimbilio,nguvu,msaada ,wokovu,ngome,na njia za kutoka mautini Zina Yehovah Bwana""amen mbarkiwe wapndwa
Amen
Amen,,Mungu atusaidie kuilinda mioyo yetu kwa neno ,maombi, uongozi wa Roho mt na kuuruhusu utawala wa Mungu ,(mfno w wanawke 3 ah! una ujumbe mtamu kbs,brkiwa msomaji wa neno dada Theo
Tumebarikiwa na ibada yote,(tutailinda mioyo yetu kwa ""kuliishi neno,kuomba, kuongozwa na Roho mt,na kumruhusu Mungu kutawala maisha yetu) ubrkiwe sana msomaji wa neno🙏
Amen
Amen,🙏
❤️🔥
Aminaa
Amen,ushuhudà huo mtamu kweli(wauaji walisinyaishwa).Talanta tulizopewa kumbe tunadaiwa faida mpaka siku ya kuuvua mwili,Mungu atuwezeshe ❤
Amen ❤