- 59
- 42 302
Mirathi ya Wajawema Online
Приєднався 1 чер 2022
Miraath ya Wajawema Online (Qur'an na Sunnah kwa Ufahamu wa wema waliotanguliya)
WANAWAKE WANAWATANIA WAFANYA BIASHARA WAMASOKONI | SHEIKH ABUU NUFEYDAH HUSSEIN SEMBE حفظه اللّٰه
WANAWAKE WANAWATANIA WAFANYA BIASHARA WAMASOKONI | SHEIKH ABUU NUFEYDAH HUSSEIN SEMBE حفظه اللّٰه
Переглядів: 268
Відео
NASAHA KWA MADEREVA WA VYOMBO VYA MOTO | SHEIKH ABUU NUFEYDAH HUSSEIN SEMBE حفظه اللّٰه تعالى ورعاه
Переглядів 37012 годин тому
NASAHA KWA MADEREVA WA VYOMBO VYA MOTO | SHEIKH ABUU NUFEYDAH HUSSEIN SEMBE حفظه اللّٰه تعالى ورعاه
HUKUMU YA KUSHIRIKI MAZISHI YA KAFIRI | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه تعالى ورعاه
Переглядів 4 тис.14 днів тому
HUKUMU YA KUSHIRIKI MAZISHI YA KAFIRI | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه تعالى ورعاه
SASA HIVI KUNYOA NYWELE WANAWAKE NDIO HABARI | SHEIKH ABUU NUFEYDAH HUSSEN SEMBE حفظه اللّٰه تعالى
Переглядів 46614 днів тому
SASA HIVI KUNYOA NYWELE WANAWAKE NDIO HABARI | SHEIKH ABUU NUFEYDAH HUSSEN SEMBE حفظه اللّٰه تعالى
KUNA FAMILIA KUTUKANA NIKAMA NYIRADI KWAO | SHEIKH ABUU NUFEYDAH HUSSEN SEMBE حفظه اللّٰه تعالى
Переглядів 37221 день тому
KUNA FAMILIA KUTUKANA NIKAMA NYIRADI KWAO | SHEIKH ABUU NUFEYDAH HUSSEN SEMBE حفظه اللّٰه تعالى
USIWAPONGEZA MAKAFIRI KATIKA SIKUKUU ZAO | SHEIKH ABUU HASHIM ABDL-QAADIR حفظه اللّٰه تعالى ورعاه
Переглядів 10321 день тому
USIWAPONGEZA MAKAFIRI KATIKA SIKUKUU ZAO | SHEIKH ABUU HASHIM ABDL-QAADIR حفظه اللّٰه تعالى ورعاه
FADHILA HIZI WANAZIKO WALE WENYE HARAKA BAADA YA SALAMU | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM حفظه اللّٰه
Переглядів 1,4 тис.21 день тому
FADHILA HIZI WANAZIKO WALE WENYE HARAKA BAADA YA SALAMU | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM حفظه اللّٰه
USITAKE MSAADA KWA YOYOTE ISIPOKUWA KWA ALLAH TU | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTU حفظه اللّٰه
Переглядів 603Місяць тому
USITAKE MSAADA KWA YOYOTE ISIPOKUWA KWA ALLAH TU | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTU حفظه اللّٰه
MAKATAZO YA KUFANYA MAANDAMANO | SHEIKH ABUU NUFAYDAH HUSSEIN SEMBE حفظه اللّٰه تعالى ورعاه
Переглядів 264Місяць тому
MAKATAZO YA KUFANYA MAANDAMANO | SHEIKH ABUU NUFAYDAH HUSSEIN SEMBE حفظه اللّٰه تعالى ورعاه
WATU WENGI WANAFELI KATIKA HALI HII | ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه تعالى ورعاه
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
WATU WENGI WANAFELI KATIKA HALI HII | ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه تعالى ورعاه
HIKI KITABU NI SINDANO MVUMILIE KIDOGO | SHEIKH ABUU NUFAYDAH HUSSEIN SEMBE حفظه اللّٰه تعالى
Переглядів 2,8 тис.Місяць тому
HIKI KITABU NI SINDANO MVUMILIE KIDOGO | SHEIKH ABUU NUFAYDAH HUSSEIN SEMBE حفظه اللّٰه تعالى
KILA MIAKA IKIENDA NA MAUTI YANAKUKARIBIA | SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه اللّٰه
Переглядів 391Місяць тому
KILA MIAKA IKIENDA NA MAUTI YANAKUKARIBIA | SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID حفظه اللّٰه
MAHIMIZO YA KUSOMA VITABU VYA RUDUUD | SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID خفظه اللّٰه
Переглядів 711Місяць тому
MAHIMIZO YA KUSOMA VITABU VYA RUDUUD | SHEIKH ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEID خفظه اللّٰه
KUWAOMBEA DUA VIONGOZI SIO UNAFIKI BALI NI KATIKA MWENENDO WA SALAF | ABUU HASHIM حفظه اللّٰه
Переглядів 122Місяць тому
KUWAOMBEA DUA VIONGOZI SIO UNAFIKI BALI NI KATIKA MWENENDO WA SALAF | ABUU HASHIM حفظه اللّٰه
NASAHA KWA MADUATI JUU YA KUWA NA SUBRA | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه تعالى
Переглядів 765Місяць тому
NASAHA KWA MADUATI JUU YA KUWA NA SUBRA | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه تعالى
WATU WA BIDA'A MMETOA WAPI JAMBO LA TALAQINI | SHEIKH ABUU NUFEYDAH HUSSEN SEMBE حفظه الله تعالى
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
WATU WA BIDA'A MMETOA WAPI JAMBO LA TALAQINI | SHEIKH ABUU NUFEYDAH HUSSEN SEMBE حفظه الله تعالى
DEMOCRACY NI UHURU USIO NA MIPAKA | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه تعالى
Переглядів 6632 місяці тому
DEMOCRACY NI UHURU USIO NA MIPAKA | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه تعالى
WAKATI NIKATIKA NEEMA KUBWA ZA ALLAH | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه تعالى
Переглядів 1,2 тис.2 місяці тому
WAKATI NIKATIKA NEEMA KUBWA ZA ALLAH | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه تعالى
HAKI ZA MTOTO JUU YA MZAZI WAKE | SHEIKH ABUU HASHIM ABDUL-QAADIR AL-MUSAAWA حفظه اللّٰه
Переглядів 3182 місяці тому
HAKI ZA MTOTO JUU YA MZAZI WAKE | SHEIKH ABUU HASHIM ABDUL-QAADIR AL-MUSAAWA حفظه اللّٰه
NASAHA MUHIMU KWA WAZAZI WA WATOTO! | ABUL KHATWAAB ABDALLAH حفظه اللّٰه
Переглядів 8382 місяці тому
NASAHA MUHIMU KWA WAZAZI WA WATOTO! | ABUL KHATWAAB ABDALLAH حفظه اللّٰه
ATHARI MBAYA ZA MAANDAMANO! | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه
Переглядів 3662 місяці тому
ATHARI MBAYA ZA MAANDAMANO! | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه
NASAHA KWA WALIMU MADUATI NA WANAFUNZI | SHEKH ABU NUFAYDAH HUSSEIN SEMBE حفظه الله
Переглядів 9272 місяці тому
NASAHA KWA WALIMU MADUATI NA WANAFUNZI | SHEKH ABU NUFAYDAH HUSSEIN SEMBE حفظه الله
SALAMA YETU IPO KATIKA MAMBO MATATU | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه تعالى
Переглядів 2,8 тис.2 місяці тому
SALAMA YETU IPO KATIKA MAMBO MATATU | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه تعالى
UKITAKA KUBARIKIWA SHIKAMANA NA (SURATUL BAQARAH) | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه
Переглядів 2 тис.2 місяці тому
UKITAKA KUBARIKIWA SHIKAMANA NA (SURATUL BAQARAH) | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه
KATIKA MISINGI YA DA'WA YETU | SHEIKH ABUL QASSIM BIN MAFUTA -Allaah amhifadhi
Переглядів 1,2 тис.2 місяці тому
KATIKA MISINGI YA DA'WA YETU | SHEIKH ABUL QASSIM BIN MAFUTA -Allaah amhifadhi
KIHAKIKA HASA MAPENZI YA WATOTO KWETU MAKUBWA! | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه تعالى
Переглядів 7172 місяці тому
KIHAKIKA HASA MAPENZI YA WATOTO KWETU MAKUBWA! | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه تعالى
JE NI NINA ATASIMAMA BADALA YETU KUISOMA HII DINI!? | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه
Переглядів 1,9 тис.2 місяці тому
JE NI NINA ATASIMAMA BADALA YETU KUISOMA HII DINI!? | SHEIKH ABUL FADHWIL KASSIM MAFUTA حفظه اللّٰه
MTU USIFIWI UCHAWI WATU WANASIFIWA ELIMU
Переглядів 1,3 тис.3 місяці тому
MTU USIFIWI UCHAWI WATU WANASIFIWA ELIMU
📺📺UMAUTI UMAUTI UMAUTI⚠️ MZUNGUMZAJI_SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA (ALLAH AMHIFADHI)
Переглядів 4735 місяців тому
📺📺UMAUTI UMAUTI UMAUTI⚠️ MZUNGUMZAJI_SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA (ALLAH AMHIFADHI)
بارك الله فيكم وحفظكم الله ويسر الله أمورنا وأموركم وجميع المؤمنين والمسلمين.
آمين يارب العالمين 🤲
Hilo nalo tatizo Wllah wanawake mcheni Allah
Jazzakallah khayra Allah awaifadhi mashekh wetu wa kisalafi
Allahumma amiin
Allah amlipe kheri kwa nasaha zake hizi Amiin
Hahàhah... Kwamba sokwe la kwanza ni....?
Nisaidieni hapo ni Abuu twaalib au Abdul mutwalin
Dalili!
Tujitahid kufuata Quran na sunna Tu
Ni sahihi kabisa.
unapotosha
Ni ushauri tu Darsa zizingatie mazingira ya kimaeneo Darsa zizingatie hishma na faragha za watu!
Na kutoa sadaka jee?
Mansha allah.
Upo sahihi sheh Allah akuhifadhi
آمين
Ni kweli wanatupotezea muda sanaa
Hii mada naitaka full naomba msaada
Hapo mim Niko na swali je akiwa ni mzazi wako vip hapo?
Pia haito faa ndugu allaah akuhifadhi na ikiwa wapo wenzake WA kumzika watamzika LAKINI ikiwa hayupo basi wewe utaenda kumfukia mzazi wako Yaan BILA ya utaratibu ulio wekwa na uislaam
Sheikh ABUL FADHLI QASIM MAFUTA QASIM ALLAH AMUHIFADH ❤❤❤
Kweli sheikh
Kwa ushahid gani
Kasome
Hicho Qisa Cha Ammy yake Mtume hakitoshi kuwa ni ushahidi? Au unajua ushahidi ni lazima iwe ni Aya ya Quran?
We unataka ushahidi gani? Kama ameutoa dhahiri mfano wa Mtume wetu.
Kwahivyo mtume aliwahora wale makafiri waliouawa vitani na waislamu ama walizikwa?
Jazakallah kher
Jazaakumullah khayran
Allahumma amiin
Jazakha'Allah Khairat Sheikh Allah akulinde na Husda za wanao kuhusudu
بارك الله فيك
nenda kasome jaahil murakkaba wewe
Allah tufanyie wepesi inshallah
ALLAH AKBAR
بارك الله فيك
Allahuma nusra ya Allah..amiin
Wallah! Hasa wakina mama baadhi yao watukana mpaka mapenzi kwake yaondoka ukikua sijui kwanini kuna mda mpka wajiuliza mbona kama wampenda sana baba kuliko mama!! Allah awaongoze wazazi wetu.
Mambo hayo muponayo nyny salaf
Acha chili Kama wanayo mboni wanayakemea
Acha chuki Kama wanayo mboni wanayakemea
@@anyimikemwakyanjala7158 kwan hamujijuw kuwa nyiny ni watu wakukurupuka!munakawaida ukwel umedhihiri munajileta tumeshawaelewa sasa hamtupi shida
Ndio ktk baadhi ya misikitini ya masufi baada ya swala maranyingi kuna anaesimama nakuanza kuongea ya uongo au uzushi ktk dini ko nibora uondoke Wallahi
@@Abul_Hassan_Wa_Hussein hicho ni kisingizio tu hamkosi chakujitetea!kwan kuna misikiti mingap yakisuf haifany hivyo mdanavyodai mbona hamkai?tena jambo kubwa ambalo mkonalo mnapenda kujikweza na kudharau wengine!sio tabia ya uislam badiliken hayo sio maamrisho ya uislam
Kama zile za duktur Islam alukupa za uso mashaAllah ukakimya,😂
Ndo ukweli kw😮😮😮anini ikifika kwenye ukweli inaleta. Hojaaa? Hata ww iidi hakuhusu na huo ndo ukweli na sio chuki ndo ukweli wenyewe sasa hio chuki inatoka wapi hapo?
@@FatumaOmary-wn3zw Nina shida na Sheikh wenu kuita watu Kafiri ilhali tunamwabudu uyo uyo Mungu mnaye mdhania kuwa ni wa kiislamu pekee
Unaeneza chuki na we ni kiongozi wa dini #shameful
Una wazimu ww
@omarhanein9571 Sina ila we ndio wazimu
Jazaakallah khayra
❤❤ ni kweli kbc Allan akuhifadhi
Jamani kama nyinyi s masalafi kaheni mbali siyo matusi tutashndwa kuvumilia jamani
جزاك الله خيرا لقد افدت و اصبت
toa dalili sheikh
Hakika
Amlipe Allaah Sheikh wetu kheri na amzidishie Sharaf na ilimu na umri wenye manufaa. Aamiin
اللهم آمين 🤲
Tatizo umekosa ufaham kama una akili piganieni qur an itawale sio kutwa munapigana vijembe kama waimba taarab
Acha ushabiki Sasa nyinyi masufi na salafi nani wanatumia kitabu na Sunna?
Ukifanya hivo wewe inatosha
Wewe ni inzi umefuata nini kwenye mzinga wanyuki kacheze kwenye kinyesi
Alafu ndo wakwanza kulalamika wanawake wanzalishwa na wanaume
Mkiumwa mnakumbilia huko ama kweli wew chizi hujielewi
Wew ndo hujielewi sio kila kinachosemwa na shekh ufuate kama kinaenda kinyume na mafundisho ya mtume hiifai kufuatwa
Wewe Umjui mzungumzaji
@MuhammadKachinjila hajielewi anachozugumza kwani maneno ya shekh hayajawahi kuchukua nafasi ya Allah na mtume
@@YaziduIddy-u7psisi salafi tunaangalia kitabu na sunnah za mtume na kauli za ulamaa sasa watakuaje limekuuma ww ni hizbi nini😂😂
MashaAllah Nampenda huyu sheikh kweli kwa ajili ya Allaah Saiv amekuwa mwiba wa koo kwa Mahizbi na wengine watu wa Bidaa Allaah amuhifadhi
اللهم آمين 🤲
Kitabu gani hicho
الأجوبة المفيدة عن اسئلة المناهج الجديدة
Ninacho pdf yake na duruusul zake kuanzia mwanzo uhitaji weka namba nipe namba zako nikutumie
@@islaminmyheart9348Assalaamu alaykum wa rahmatullaah...al habyb Allaah akuhifadhi naomb nitumie kwa?hiyo namb hapo juu
Allah akuifadh na akuzidishie maarifa sheikh wetu
آمين
Maasha Allah ' tabaraka llah