OSHA TV ONLINE
OSHA TV ONLINE
  • 189
  • 16 222
TIMU YA WAVU YA OSHA KUIKABILI UTUMISHI SHIMIWI
Timu ya mpira wa pete ya OSHA, siku ya kesho itashuka dimbani katika mchezo wake wa mwisho dhidi ya timu ya Ofisi ya Rais Utumishi katika mchezo wake wa mwisho wa kundi C katika michuano ya SHIMIWI inayoendelea Mkoani Morogoro.
Переглядів: 20

Відео

OSHA YAJINOA KUWAKABILI ARDHI
Переглядів 22Місяць тому
Kikosi cha timu ya Soka cha OSHA Sports Club kinatarajia kushuka dimbani siku ya kesho kwajili ya mchezo wake wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya timu ya Ardhi katika michuano ya SHIMIWI inayoendelea Mkoani Morogoro.
WAKAGUZI WAFAFANUA HUDUMA ZA OSHA SABASABA
Переглядів 473 місяці тому
Wakaguzi wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi wakieleza huduma mbalimbali zinazotolewa na OSHA katika maeneo ya kazi.
MAHOJIANO YA MTENDAJI MKUU WA OSHA TBC
Переглядів 453 місяці тому
Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi Khadija Mwenda pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi Zanzibar, Ame Faki Saleh akifanya mahojiano na Mtangazaji wa TBC, Khalid Gangana katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Dar es salaam(Sabasaba)
WAZIRI NDEJEMBI: UTENDAJI WA OSHA UNARIDHISHA
Переглядів 513 місяці тому
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi, ameeleza kuridhishwa na utendaji wa Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) ambao umeimarika kutokana na matumizi ya mifumo ya TEHAMA ambayo imeboresha na kurahisisha upatikanaji wa huduma za usalama na afya nchini. Ametoa kauli hiyo, alipotembelea banda la OSHA katika Maonesho ya 48 ya Kim...
WAZIRI WA KAZI ATEMBELEA MTIBWA SUGAR, AITAKA OSHA KUKAMILISHA UCHUNGUZI WA AJALI
Переглядів 1645 місяців тому
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi, ametembelea kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa kufuatia ajali iliyotokea Mei 22, 2024 ambapo ameutaka Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kukamilisha uchunguzi wa ajali hiyo ili kuruhusu kiwanda hicho kurejea katika uzalishaji kwa haraka. Waziri Ndejembi ametoa agizo hilo jana (26/0...
OSHA YATOA MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA KWA WABUNGE VIJANA 100
Переглядів 395 місяців тому
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetoa mafunzo ya Usalama na Afya kazini kwa wabunge chini ya Umoja wa Wabunge Vijana Tanzania (TYPF) 100, ikiwa ni utekelezaji wa mkakati wa Taasisi hiyo kuhakikisha makundi mbali mbali katika jamii yanakuwa na uelewa wa kutosha kuhusu kanuni bora za usalama na afya mahali pa kazi. Mafunzo hayo ambayo yamefanyika katika ukumbi wa OSHA Jijini Dodo...
OSHA YATOA MAFUNZO KWA WANAFUNZI WA TAASISI YA TEKNOLOJIA DSM
Переглядів 485 місяців тому
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetoa mafunzo ya uelewa wa masuala ya usalama na afya mahali pa kazi kwa wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Dar es salaam (DIT) kwa lengo la kuwajengea misingi bora ya uzingatiaji wa sheria, kanuni na miongozo husika katika utekelezaji wa majukumu yao pindi watakapo ingia katika mifumo ya ajira. Aidha, Mafunzo hao hayo yalijikita zaidi katika ...
WAZIRI NDEJEMBI ATEMBELEA OFISI ZA OSHA DSM
Переглядів 295 місяців тому
Ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi katika Ofisi za Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza jinsi Taasisi hiyo iliyopo chini ya Wizara yake inavyotekeleza majukumu yake.
WAZIRI NDEJEMBI AFUNGA MAFUNZO KWA BODA BODA ARUSHA
Переглядів 246 місяців тому
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Deogratius Ndejembi akifunga mafunzo yalijumuisha mada mbali mbali zikiwemo utambuzi wa vihatarishi vya usalama na afya katika shughuli za usafirishaji pamoja na utoaji wa huduma ya kwanza kwa waathirika wa matukio ya ajali za barabarani kwa madereva boda boda jijini Arusha
WAZIRI NDEJEMBI AFUNGA MAFUNZO KWA BODA BODA ARUSHA
Переглядів 56 місяців тому
Boda boda waaswa kujenga tabia ya kutoa huduma ya kwanza kwa wahanga wa ajali za barabarani badala ya kupoteza muda wa kumfuata aliyesababisha tukio la ajali.
MKUU WA WILAYA ARUSHA AWAHASA WAAJIRI KUJISAJIRI NA OSHA.
Переглядів 276 місяців тому
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Felician Mtahengerwa amewahasa waajiri kusajili maeneo yao ya kazi OSHA wakati akizungumza na wafanyakazi kutoka mbalimbali wakati wa hafla za kilele cha maadhimisho ya usalama na afya mahali pa kazi jijini Arusha akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Mkonda katika hafla hizo
DKT BITEKO - WAAJIRI WAPENI WAFANYAKAZI WENU STAHIKI ZAO
Переглядів 386 місяців тому
Dkt. Biteko awataka waajiri kuwajali wafanyakazi wao kwa kuwapatia haki zao za msingi ikiwemo uboreshaji wa mazingira ya kazi ili wazalishe kwa tija
NAIBU WAZIRI KATAMBI ATOA NENO KWA WAFANYAKAZI
Переглядів 146 місяців тому
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Patrobas Katambi akizungumza na wafanyakazi kutoka mbalimbali wakati wa hafla za kilele cha maadhimisho ya usalama na afya mahali pa kazi jijini Arusha mbele ya Mgeni rasmi wa hafla hizo Mhe. Dkt. Doto Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.
HAFLA ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA USALAM NA AFYA MAHALI PA KAZI
Переглядів 116 місяців тому
HAFLA ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA USALAM NA AFYA MAHALI PA KAZI
DKT. BITEKO AWAHASA KUBORESHA MIFUMO YA USALAMA NA AFYA
Переглядів 106 місяців тому
DKT. BITEKO AWAHASA KUBORESHA MIFUMO YA USALAMA NA AFYA
HAFLA ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA USALAM NA AFYA MAHALI PA KAZI
Переглядів 166 місяців тому
HAFLA ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA USALAM NA AFYA MAHALI PA KAZI
TUZO ZA USALAMA NA AFYA ZIKAWE CHACHU KWA WAAJIRI - DKT BITEKO
Переглядів 106 місяців тому
TUZO ZA USALAMA NA AFYA ZIKAWE CHACHU KWA WAAJIRI - DKT BITEKO
BONANZA LA ‘SAFETY DAY’ LAFANA JIJINI ARUSHA
Переглядів 306 місяців тому
BONANZA LA ‘SAFETY DAY’ LAFANA JIJINI ARUSHA
BONANZA LA ‘SAFETY DAY’ LAFANA JIJINI ARUSHA
Переглядів 496 місяців тому
BONANZA LA ‘SAFETY DAY’ LAFANA JIJINI ARUSHA
WAHARIRI WA HABARI
Переглядів 326 місяців тому
WAHARIRI WA HABARI
SAFETY DAY 2024
Переглядів 226 місяців тому
SAFETY DAY 2024
WAWEKEZAJI WAASWA KUTII SHERIA ZA KAZINI
Переглядів 468 місяців тому
WAWEKEZAJI WAASWA KUTII SHERIA ZA KAZINI
WATUMISHI WA TRC WAHITIMU MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA KAZINI
Переглядів 478 місяців тому
WATUMISHI WA TRC WAHITIMU MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA KAZINI
OSHA YAELEZA NAMNA TEHEMA ILIVYORAHISISHA UTOAJI HUDUMA
Переглядів 248 місяців тому
OSHA YAELEZA NAMNA TEHEMA ILIVYORAHISISHA UTOAJI HUDUMA
BI. KHADIJA MWENDA AUPONGEZA UONGOZI WA MKULAZI
Переглядів 2508 місяців тому
BI. KHADIJA MWENDA AUPONGEZA UONGOZI WA MKULAZI
KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA NA UZALISHAJI SUKARI KIWANDA CHA MKULAZI
Переглядів 2188 місяців тому
KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA NA UZALISHAJI SUKARI KIWANDA CHA MKULAZI
WAJASIRIAMALI WADOGO WANUFAIKA NA MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA ARUSHA.
Переглядів 199 місяців тому
WAJASIRIAMALI WADOGO WANUFAIKA NA MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA ARUSHA.
PAC: OSHA ITUMIKE KUAINISHA VIWANGO VYA USALAMA NA AFYA KATIKA UNUNUZI SERIKALINI
Переглядів 349 місяців тому
PAC: OSHA ITUMIKE KUAINISHA VIWANGO VYA USALAMA NA AFYA KATIKA UNUNUZI SERIKALINI
MAAFISA UTAWALA WAASWA KUFIKISHA ELIMU YA USALAMA NA AFYA NGAZI ZA CHINI
Переглядів 2910 місяців тому
MAAFISA UTAWALA WAASWA KUFIKISHA ELIMU YA USALAMA NA AFYA NGAZI ZA CHINI

КОМЕНТАРІ

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 Місяць тому

    huo ndo mwendo Serikali kupitia taasisi zake....iwekeze viwanda muhimu

  • @Daniel-wp8xw
    @Daniel-wp8xw 2 місяці тому

    Tupeni namba za simu

  • @Daniel-wp8xw
    @Daniel-wp8xw 2 місяці тому

    Namba za simu

  • @BedsonMwaluko-gn3dd
    @BedsonMwaluko-gn3dd 2 місяці тому

    Nahitaji mawasiliano yenu kiwanda cha lodhia

  • @BugoloMhozya
    @BugoloMhozya 2 місяці тому

    Ahsante kwa elimu

  • @samsongodfrey3910
    @samsongodfrey3910 3 місяці тому

    Qualification ni zipi?

  • @GreaceEzekiel
    @GreaceEzekiel 4 місяці тому

    Nice 👍👍❤

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 5 місяців тому

    Poleni sana kwa ajari Katika kiwanda Cha Sukari Mtibwa. Lakini kwa maelezo ya Engineer Kuna uzembe ulifanyika harafu huyu mtaalamu sijamuelewa eti anasema Kuna bomba la steam linalo tumika ni la Aluminum!., pia sijamuelewa kwa kusema eti walijaribu kuruhusu steam iende lakini steam hiyo ilikuwa haifiki waliko kusudia ifike hapa napo sijamuelewa!!. Pia baada ya kushindwa kufikisha mahali walipo kusudia ifike walizima mtambo harafu baadaye wakauanzisha tena mtambo huo wa steam ndipo ikatokea ajali hiyo. Hapa panauzembe ulifanyika lazima uchunguzi ufanyike kwa kina maana ajali hiyo imeondoka na nguvu kazi kubwa ya watu ambao pia walikuwa na wategemezi weo.

  • @minnah1659
    @minnah1659 5 місяців тому

    OSHA imenifunza ving kuhusu usalama makazin hata sehemu zingne

  • @yonachitema
    @yonachitema 5 місяців тому

    Safii

  • @yonachitema
    @yonachitema 6 місяців тому

    Great

  • @DenisTumbo
    @DenisTumbo 7 місяців тому

    Wafanya bisha turioko mikoani. Tunaipataje sukari ii

  • @greenhealth7114
    @greenhealth7114 8 місяців тому

    Very true, Congratulations to our leaders and Madam Khadija in prioritizing Occupational health, and still considering Economic and health well being at the same time 💪💪🇹🇿🇹🇿👷‍♂️ @OSHA

  • @ShaniaKing-o5d
    @ShaniaKing-o5d 10 місяців тому

    Da nilikua naipenda sana hii kazi toka mdogo tatzo sikuelewa na sielewa jinsi ya kupata hii kazie

  • @RafaelMateo-b2g
    @RafaelMateo-b2g 11 місяців тому

    Tuko pamoja osha ila kozi ya taifa ya afya na usalama tuleteeni mikoani

  • @jacksonmarcus8481
    @jacksonmarcus8481 Рік тому

    Aliyesoma environmental disaster management anahaj ya kusoma OSHA

  • @yonachitema
    @yonachitema Рік тому

    Safi

  • @jasminntarambechannel
    @jasminntarambechannel 2 роки тому

    kuna vigezo gan vya kupata mafunzo ya OSHA

  • @nuruchande8848
    @nuruchande8848 2 роки тому

    Nikitaka mafunzo nafanyaj jmn

  • @yonachitema
    @yonachitema 2 роки тому

    Safi

  • @forestynjombeiringatunteme5659
    @forestynjombeiringatunteme5659 2 роки тому

    Good somo

  • @erickandreaslutambi8799
    @erickandreaslutambi8799 2 роки тому

    Tunawatakia Kila La Kheri Katika Utumishi Wao.

  • @greenhealth7114
    @greenhealth7114 2 роки тому

    Excellent talk from muheshimiwa inapendeza kuona viongozi pia wanajua umuhimu wa afya na usalama mahal pa kazi safety future is bright 🌞

  • @kondoatown8765
    @kondoatown8765 2 роки тому

    Hii Dodoma inaenda kuwa bonge la JIJI in Tanzania

  • @godlovegodwin188
    @godlovegodwin188 2 роки тому

    THANK YOU

  • @shakaurembo477
    @shakaurembo477 2 роки тому

    Rlp JPM

  • @greenhealth7114
    @greenhealth7114 2 роки тому

    So proud of the new office 🏢 in accordance to the work you guys Do, you really deserve a quality office so the trainees can see as an example when they are trained about how building should look like

  • @innocentdeogratius7345
    @innocentdeogratius7345 3 роки тому

    powered

  • @jalimashauli6974
    @jalimashauli6974 3 роки тому

    Mbona mnatuma nusu wapendwa

  • @yonachitema
    @yonachitema 4 роки тому

    OSHA kwa mazingira ya kazi salama

  • @nassirsuleiman7911
    @nassirsuleiman7911 4 роки тому

    big up

  • @kassimsalum108
    @kassimsalum108 4 роки тому

    Love you OSHA

  • @fulgensilucas7757
    @fulgensilucas7757 4 роки тому

    Keep it up...alunta kontinue

  • @raphaelungani9024
    @raphaelungani9024 5 років тому

    Kazi nzuri 👏👏

  • @bilalkileo4861
    @bilalkileo4861 5 років тому

    Hongera OSHA