HONORATHA MUZULI
HONORATHA MUZULI
  • 15
  • 170 646

Відео

Kubali akuajiri by Honoratha Muzuli live ibadani kanisa la mti wa uzima Dodoma
Переглядів 3494 місяці тому
Kubali akuajiri by Honoratha Muzuli live ibadani kanisa la mti wa uzima Dodoma
RELAX -HONORATHA MUZULI ( Official Video Music) +255715040200
Переглядів 5689 місяців тому
tulia kwa Yesu kama Wana wa Israel walivuk Mimi nani nisivuke??? ujumbe wa kutia moyo Relax
TUMBO NIACHE - Honoratha Muzuli (Official 4k Video)+255715040200
Переглядів 1,3 тис.11 місяців тому
angalia tumbo linavyotesa watu kulihudumia asubuhi chai, maziwa, supu na chapati, mchana ugali samaki mchicha, wali kuku juice Kwa pembeni jioni njaa Iko palepale unaanza kuhangaika hata muda wa kusoma neno huna wakati mwingine unakula bila kusali tumbo niache nimtumikie Mungu.
PASTOR WILBARD CHIPANDA NA MAMA CAROLINE WATOA UJUMBE MZITO JUU YA HUDUMA YA HONORATHA MUZULI
Переглядів 193Рік тому
#rosemuhando #mwambahuyuhapa #pastorchipanda #dodoma
UZINDUZI ALBAM YA RELAX BY HONORATHA MUZULI 12/11/2023 DODOMA ±255715040200
Переглядів 1,5 тис.Рік тому
#rosemuhando #mwambahuyuhapa #honorathamuzuli
Ng'ara Tu - Honoratha Muzuli ( Official Video)
Переглядів 2,3 тис.Рік тому
Ng'ara Tu - Honoratha Muzuli ( Official Video)
church live show - Mwamba
Переглядів 1,2 тис.Рік тому
church live show - Mwamba
Mwamba Huyu Hapa - Honoratha Muzuli Ft Rose Muhando ( Official 4k Video) ±255715040200
Переглядів 146 тис.Рік тому
#rosemuhando #mwambahuyuhapa #honorathamuzuli
Mwamba Huyu Hapa (Video)
Переглядів 3,2 тис.Рік тому
Mwamba Huyu Hapa (Video)
Honoratha Muzuli Ft Rose Muhando-Mwamba Huyu Hapa Official Audio Music 0715040200
Переглядів 4,4 тис.Рік тому
Majibu ya maswali Yako yapo mikononi mwake usikate tamaa hakuna la kumshinda Yesu ndiye Mwamba.
Relax- By Honoratha Muzuli 0715040200/0685566655
Переглядів 2,9 тис.Рік тому
Unapopopitia changamoto yoyote iwe ndoa, madeni, misiba, kutengwa na ndugu au magonjwa tulia kwa Yesu mtazame yeye ndo kila kitu maishani mwako. Ujumbe huu ukalete mabadiliko kwa kila jaribu utakalopitia relax - narelax natulia kwake
KALI YA MWAKA TAZAMA MAHARUSI HAWA WALIVYOBADILIKA UKUMBINI
Переглядів 4892 роки тому
KALI YA MWAKA TAZAMA MAHARUSI HAWA WALIVYOBADILIKA UKUMBINI
STEVE NYERERE AKISEREBUKA MAMBO YAMEBADILIKA
Переглядів 3562 роки тому
STEVE NYERERE AKISEREBUKA MAMBO YAMEBADILIKA
HONORATHA MUZULI (Yamebadilika-AUDIO)
Переглядів 4,1 тис.3 роки тому
MAMBO YAMEBADILIKA Wimbo uliobeba ushuhuda mkubwa kwa yale tunapitia ni wimbo mzuri unaotia moyo na kufariji inawezekana Jana yako ilikuwa ngumu pale akili inaishia Mungu wetu anaanzia, Yesu hubadili Mambo magumu kuwa mepesi, laana hugeuka na kuwa baraka, dharau huwa heshima Karibu kuusikiliza wimbo huu Usiache kusubscribe, like, comment na share kwa wengine Facebook: HonorathaMuzuli Instergram...

КОМЕНТАРІ

  • @julietmuasya4500
    @julietmuasya4500 Місяць тому

    Amina yu mwamba

  • @andrewjkayombo6979
    @andrewjkayombo6979 2 місяці тому

    Woow mwimbo mzuri sana ubarikiwe .🎉

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 2 місяці тому

      @@andrewjkayombo6979 Asante Sana kaka yangu kwa sapot yako

  • @mariamyusto
    @mariamyusto 2 місяці тому

    Asante kwawimbo mzuri hakika tunahubiri hawataki nikweri mungu akubarki dada

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 2 місяці тому

      @@mariamyusto amen dada kabisa tunahubir hawataki wanaperuzi tu habar za udaku kuview mahubir no

  • @ButcherBoy-f2v
    @ButcherBoy-f2v 2 місяці тому

    Hongela Sana mtumish Ms Alvin kwa wimbo mzuli

  • @mussamashallah281
    @mussamashallah281 2 місяці тому

    Bonge la song,God bless you.

  • @ButcherBoy-f2v
    @ButcherBoy-f2v 2 місяці тому

    Hongela Sana mtumish msalimie ticha Alvin

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 2 місяці тому

      @@ButcherBoy-f2v waoo salam zitamfikia Siyo ticha tu sema meneja au mume wa mwimbaji😅🙏

  • @mshambawayesu
    @mshambawayesu 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤ Nimeelewa Hili Song Rafiki Angu

  • @jescamichael7140
    @jescamichael7140 2 місяці тому

    My Favorate singer🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FavourJumbe
    @FavourJumbe 2 місяці тому

    Mashairi nimeyaelewa❤ be blessed big c*

  • @danieldottoalphonce8297
    @danieldottoalphonce8297 2 місяці тому

    Kazi imepowaa haswaaaa maana unagusa kweliii mungu akubariki na akulinde

  • @damasialphonce-vc8fh
    @damasialphonce-vc8fh 2 місяці тому

    This is a very nice song and it'll be more popular for the gracefully of God amen 🙏 here we go

  • @queenmgohamwende6681
    @queenmgohamwende6681 2 місяці тому

    Ujumbe mzuri sana kipenzi my wii asante sana kwa kutukumbusha

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 2 місяці тому

      @@queenmgohamwende6681 amen barikiwa sana mpendwa wangu

  • @TheophilaSanka-my7sl
    @TheophilaSanka-my7sl 2 місяці тому

    Hongera Sana dear wimbo mkubwa huu unaujumbe mzito🎉🎉🎉❤

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 2 місяці тому

      @@TheophilaSanka-my7sl Asante sana mpendwa wangu tuendelee kukumbushana

  • @mcDoubleDInano
    @mcDoubleDInano 2 місяці тому

    Hongera sana uko vzr sana hii imeanda Kwa speed kubwa bonge la song kabisa wakumbushe kabisa

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 2 місяці тому

      @@mcDoubleDInano amen Asante sana mtumishi wa Mungu baba D mwenyew original ntakuja tuwakumbushe na mwanza waache kuperuzi

  • @MussaMavunde
    @MussaMavunde 2 місяці тому

    Ubarikiwe honorata

  • @MussaMavunde
    @MussaMavunde 2 місяці тому

    Hongera sana dada honolata nimekuelewa sana unamaanisha

  • @ajonline7994
    @ajonline7994 2 місяці тому

    Umegusa panapotakiwa mtumishi wa Mungu. Wengi wataponaaa

  • @carolinemtulo7607
    @carolinemtulo7607 2 місяці тому

    hongera dada wimbo mzuri❤❤❤

  • @Petromalima-z6f
    @Petromalima-z6f 2 місяці тому

    Wimbo wa harusi yangu itakapofika huu

  • @TumainiSwai-tp4bs
    @TumainiSwai-tp4bs 2 місяці тому

    😢😢😢 Asantee kwa kutukumbusha Mtumishi tunamaliza muda kwenye kuperuzi badala ya kusoma neno😢😢😢😢

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 2 місяці тому

      @@TumainiSwai-tp4bs barikiwa sana madam Kwa kutambua hilo ❤️🙏

  • @saramabeyo9817
    @saramabeyo9817 2 місяці тому

    Wow.. huu wimbo ni balaaa, ujumbe wake unaeleweka vzuri mnoo bila kutumia nguvu😍 Hongera Sana Honoratha kwa kazi nzuri ya kutuletea wimbo mzuri, Uzidi kubarikiwa Kila iitwayo Leo.

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 2 місяці тому

      Waooo amen asante sana mpendwa wangu Mungu akubariki Kwa muda wako na bando lako

    • @FelisterAyo
      @FelisterAyo 2 місяці тому

      Comment ndefu kama mstari wa biblia 😅

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 2 місяці тому

      Wivu huoooo 🤣🤣🤣

  • @gracebagaile6318
    @gracebagaile6318 2 місяці тому

    Hongera sana Kwa kazi nzuri

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 2 місяці тому

      @@gracebagaile6318 asante sana upunguze kuperuzi Sasa hahahahaha

  • @joshuacharles7231
    @joshuacharles7231 2 місяці тому

    Ubarikiwe Sana

  • @MariaAloyce-e8t
    @MariaAloyce-e8t 2 місяці тому

    Facebook,Instagram, telegram🔥🔥 Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaidi sisy❤❤

  • @kemmypaul4944
    @kemmypaul4944 2 місяці тому

    Big up sissy ❤❤❤❤❤

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 2 місяці тому

      @@kemmypaul4944 Asante mdogo wangu chautundu wa familia

  • @tayanatina1918
    @tayanatina1918 2 місяці тому

    🔥🔥🔥 message sent 🙏Mungu azidi kukuinua kwaviwango vya juu sana.

  • @alvinmalipaya5844
    @alvinmalipaya5844 2 місяці тому

    Hatari sana huu wimbo kuanzia sauti , vyombo na kila kitu Hongera mwimbaji Honoratha Muzuli ❤

  • @AmosMwijonge
    @AmosMwijonge 2 місяці тому

    Hongera sana.!! Kazi ya Mungu inatendewa haki

  • @samuelpaschalofficial5557
    @samuelpaschalofficial5557 2 місяці тому

    Waache kuperuz bonge la wimbo

  • @gracemtebene7361
    @gracemtebene7361 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @laurentjovita3279
    @laurentjovita3279 2 місяці тому

    Woooow what a song ❤😊

  • @FelisterAyo
    @FelisterAyo 2 місяці тому

    Huu wimbo🙌 Ilikua kama utani vile hatimaye inatrend kila Kona 🔥🔥🔥🔥🔥😍

  • @bartholomayochenga2678
    @bartholomayochenga2678 2 місяці тому

    Wimbo wa kuchukulia mke bila mahari huu jamani😎

  • @bartholomayochenga2678
    @bartholomayochenga2678 2 місяці тому

    Wooooow ni zaidi ya 🔥🔥

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 2 місяці тому

      @@bartholomayochenga2678 nasubiri kideo cha Wataona haya sijasahau

  • @Graduation2024Live
    @Graduation2024Live 3 місяці тому

    You are such a talented musician ❤❤❤

  • @ShedrackLolani
    @ShedrackLolani 3 місяці тому

    Hapo nimekubali Honorata unaendelea kufanya vyema. Ubarikiwe sana.

  • @ezekielimallya4896
    @ezekielimallya4896 4 місяці тому

    Balikiwa sana kipenzi cha yesu kazi yako ni njema mno

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 4 місяці тому

      @@ezekielimallya4896 amen Asante Sana mtumishi wa Mungu

  • @tayanatina1918
    @tayanatina1918 4 місяці тому

    Endela kutumika shamban mwa bwana my dear na Mungu azidi kukuinua kwaviwango vya juu sana🔥🥰🥰

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 4 місяці тому

      @@tayanatina1918 amen amen Asante sana rafiki mzuri ubarikiwe na Bwana

  • @samuelpaschalofficial5557
    @samuelpaschalofficial5557 4 місяці тому

    Mbingu zimekukubari dada angu uko vzr mno nakupenda marikia wangu mwaaah Mungu akutunze sana

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 4 місяці тому

      Waooo hii imeenda asante mdogo wangu udugu wangu kaka wa Taifa nakupenda zaidi acha tukubali kuajiriwa na Yesu tuwe mabosi wa ufalme wa Mungu

  • @TumainiSwai-tp4bs
    @TumainiSwai-tp4bs 4 місяці тому

    Serikali ya Mbinguni ipo huru ❤❤❤❤ Wacha tuajiriwe na Bwana shambani mwake

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 4 місяці тому

      @@TumainiSwai-tp4bs amen tukiajiriwa tunakuwa mabosi tunamiliki na kutawala mammy G❤️

  • @TheophilaSanka-my7sl
    @TheophilaSanka-my7sl 4 місяці тому

    Amen dear nakubali kuajiriwa na Yesu🎉🎉

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 4 місяці тому

      @@TheophilaSanka-my7sl yes ukiajiriwa unakuwa bosi malaika walinzi wanakuzunguka

  • @gracebagaile6318
    @gracebagaile6318 4 місяці тому

    Hongera kazi nzuri

  • @mshambawayesu
    @mshambawayesu 4 місяці тому

    Hongera Sanaaa❤❤❤❤

  • @damasialphonce-vc8fh
    @damasialphonce-vc8fh 4 місяці тому

    God bless you 💕 Mama

  • @pudemartin5505
    @pudemartin5505 4 місяці тому

    Congrats dear🔥🔥🔥

  • @zareamalipaya3035
    @zareamalipaya3035 4 місяці тому

    Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu zaidi......,wimbo mzuri sana

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 4 місяці тому

      @@zareamalipaya3035 hulali mama Kiko Asante kipenz changu

    • @zareamalipaya3035
      @zareamalipaya3035 4 місяці тому

      @@honorathamuzuli5734 hahahaha nalalaje kwa mfano mama Kiko....🤣...nice song ....umetisha my wi

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 4 місяці тому

      @@zareamalipaya3035 wabheja sana mwonyeshe antiii mwenye nyota yake mjini Apostle mwansile ❤️

  • @saramabeyo9817
    @saramabeyo9817 5 місяців тому

    Nina mengi sanaa ya kueleza kuhusu kuendekeza tumbo😩

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 5 місяців тому

      @@saramabeyo9817 hahaha nieleze kipenzi nizidi kulikimbia😛😛

  • @pascaziaz.butoiakasisterp.3897
    @pascaziaz.butoiakasisterp.3897 5 місяців тому

    Jamani tumboo ! bonge la msg 🎉

  • @pascaziaz.butoiakasisterp.3897
    @pascaziaz.butoiakasisterp.3897 5 місяців тому

    Hangera saana Bonge la wimbo na Msg ya Nguvu

  • @FelisterAyo
    @FelisterAyo 5 місяців тому

    Hongera sana rafiki yangu ❤ siku ukiwa star mkubwa unikumbuke mwenzio tulikua tunaenda wote mataa 😂😂😂

    • @honorathamuzuli5734
      @honorathamuzuli5734 5 місяців тому

      Hahahaha mbavu zangu mie uwiii sitakusahau kipenz ntakuita kama chifu come come come 🤣🤣