- 19
- 72 613
Isaac Sakala🔑
Tanzania
Приєднався 2 тра 2021
🌍
Відео
Isaac sakala Ubarikiwe (official video)
Переглядів 1,9 тис.2 місяці тому
#subscribe #ubarikiw #mercychinwo #christinashusho #zoravo #music #gospelmusic #paulclement #marthamwaipaja #rosemuhando #mikekalambay #paulmulaja #mosessumney #ada #yessir
Isaac sakala Ft Onesmo Richard My miracle Remix (Official Audio
Переглядів 1,3 тис.4 місяці тому
#subscribe
Isaac sakala nakwamini (Official video )
Переглядів 4,2 тис.5 місяців тому
#Nakuamini #subscribe #shere #kibongewayesu #mercychinwo #gospelmusic #moses #music #obbyalpha
Isaac sakala Yote Mema
Переглядів 1,8 тис.5 місяців тому
#yotemema #subscribe #share #rosemuhando #moisembiyeofficiel #patrick #frpatrice #kibongewayesu #rosemuhando #marthamwaipaja #madammartha #obbyalpha #dripyana #mercychinwo #gospelmusic #moses #music #paulclement #joellwaga
Isaac sakala My miracle (Official video )
Переглядів 2 тис.6 місяців тому
#mymiracle #trending #youtube #mercychinwo #moses #paulclement #obbyalpha #ada #agape #trending #mymiracle #alikiba #angola #kibongewayesu #wolterchilambo
Isaac sakala My Miracle (Oficial Audio)
Переглядів 3,7 тис.6 місяців тому
#mymiracle #trending Follow me👉🏾INSTAGRAME: isaac_sakala_?igsh=MWhiZXllb28yNHBidA FACEBOOK: isaacsakalatz TIKTOK : www.tiktok.com/@isaac_sakala?_t=8mcQMQtKdp0&_r=1 EMAIL: isaacsakalatz@gmail.com #trending #trendingshorts #trendingvideo #trendingreels #trendingstatus #mercychinwo #moses #obbyalpha #paulclement #ada #rosemuhando #zambia #mozambique #nigeria #congo #rwan...
Isaac Sakala_Atatenda(official video)
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
Isaac Sakala_Atatenda(official video)
Isaac Sakala_NAMWAMINI(official video)
Переглядів 7 тис.2 роки тому
Isaac Sakala_NAMWAMINI(official video)
Isaac Sakala Namwamini (Official Audio )
Переглядів 2,5 тис.2 роки тому
Isaac Sakala Namwamini (Official Audio )
Isaac Sakala Yananishangaza (official video)
Переглядів 2,2 тис.3 роки тому
Isaac Sakala Yananishangaza (official video)
Amenipa na nguvu za roho wake mtakatifu ndani mwangu,ameniamini ee babaa amenipenda unatosha❤❤❤
Ameen
MUNGU akuinue mdogo wangu
@@DorahMassae Ameen Dada
Mungu kamchukua babangu,Mungu kaniamini nitamtunza mama,eeh,Mungu jaribu hili ni kubwa kuzidi umri wangu,naomba niwezeshe baas😭💔💔💔Sina chochote
Amina
MUNGU ameniamini barikiwa sana
Wimbo mzuri sana Hongera Mungu azidi kukupigania
Ameen Barikiwa Mtumishi wa Mungu
Mungu azd kukuongezea zaid
Very powerful song be blessed man of GOD
Barikiwa sana mtumishi
Nmebarikiwa mno
Ameen ameen barikiwa mnoo🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Ubalikiwe sana mtumishi wa Bwana
Mwenyezi Mungu akubarikiiii sana Mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana huu wimbo'❤❤❤
@@HalimaJustine Ameen Mtumishi wa Mungu
Hakika mtumishi
What a powerful gospel music
Be blessed
@isaacsakalaaa Amen
Nimetoka TikTok nimekuja kutafuta hii nyimbo, barikiwa mtumishi
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@@isaacsakalaaaAmen
Zawadi hata mm nimetoka TikTok.
@DorahMassae wimbo mzuri sana
I just saw this song in tiktok and i was touched and what i go through God has trust in me i will win in the Mighty name of God
@@rehemangala1399 Be blessed Mtumishi wa Mungu
Naupataje man ulisema ulpostiwa kwenyeakaunt nyingine
Kaka wimbo wko wathaman naupateje
@@OmbeniLwabi Tutauweka
Amen nice song
Amina mtumishi umefungua ufahamu wangu umeamsha roho yangu iliyozimia
Asante Mungu kwa kuniamini Tena, Asante kwa kunifariji
Amen Amen nasikia kuinuliwa glory be to God Almighty 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Powerful ❤❤❤❤❤
Kakika MUNGU, ameniamini sana.
😢🙌🙌
Yes ameniamini toka January mpaka leo December; Asante Baba Tuliotoka Tiktok kwa yule dada tujuane!❤
Amen amen ❤
Nataka niamin kilichopendezesha huu wimbo nmpangilio mzuri mashair na sauti yachin yenye unyenyekevu ivumayo🎉🎉🎉💝
Am blessed for sure🙌🙌🙏🙏🙏ameniamini kweli
Waooo 😢Amen
I love this song❤is touching..I love God..
Amina.piwa mungu akutunze wimbo unanibariki sana
Barikiwa sana mtumishi
Wimbo wa baraka
Amen ahsante sana Yesu kwa kuniamini, barikiwa sana ndugu kwa wimbo wenye baraka tele 🎉🎉🎉❤❤❤🙌🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@@annetokwero Ameen Mungu akuinue sana
Ameen 🎉🎉🎉🎉
Hakika akinipenda Yesu inatosha
Ameen Yesu Akubariki sana
MUNGU Ameniaminii🙌
Ooooooooh baba huyu yesu jamani who else from TikTok until hire I love Jesus ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Batomayo naona ushafika kwandugu yetu Na kumsapot hongela sana kaka
Hallelujah Mungu akubariki mtumishi Kwa wimbo mzuri 🔥🔥
@@RachelEmmanuel-v6g Ameen Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
I love this song be blessed bro❤❤❤
Weeeeeeeeeh huuuu wimboo dahhhh Sijui ❤❤❤❤ nifanyej jamani ❤❤❤❤❤ ngoja Nimtukuze Mungu Aliekupa ufaam Na kutunga wimbo huuu
@@RobertsonNandime-eo9fp Yesu Akuinue Barikiwa Pia
Amenipenda Mungu inatosha
Hongera kwa kazi nzuri nilikua nasubiri sauti yako dada Estar
@@MarthaMwakinyamile Ameeen
Huu wimbo unitoa tiktok
Jamani barikiwe sana huu wimbo umenibariki NIMEJIKUTA siku nzima naimba Amenimini Yesu amenipa Afya hallelujah 🙌👏
@@VeronicaFrank-lp1uv Yesu aendelee kukutunza Mtumishi Wa Mungu