- 51
- 34 201
LUGANDYA INFO
Приєднався 1 вер 2014
Відео
MUUNGANO CHRISTIAN CHOIR-Ninapoutazama msalaba
Переглядів 7082 дні тому
Ninapoutazama msalaba ni wimbo mtamu ulioimbwa na Muungano Christian Choir miaka ya 1970,ni zamani sana,wengine kipindi hicho hatujazaliwa. Kifo cha yesu pale msalabani ni chemichemi ya furaha na uzima wetu.Barikiwa na wimbo huu.
MUUNGANO CHRISTIAN CHOIR-Yerusalemi ya kupendeza
Переглядів 9447 днів тому
MUUNGANO CHRISTIAN CHOIR-Hakika dunia imekwisha chafuka
Переглядів 1,2 тис.7 днів тому
MUUNGANO CHRISTIAN CHOIR-Mataifa yote yatakusanyika.
Переглядів 1,1 тис.7 днів тому
MUUNGANO CHRISTIAN CHOIR-Katika sauti tamu nilizoimba.
Переглядів 1,2 тис.7 днів тому
MUUNGANO CHRISTIAN CHOIR,Hatimaye ndugu muwe hodari
Переглядів 97917 днів тому
MUUNGANO CHRISTIAN CHOIR,Maisha yangu mafupi
Переглядів 78717 днів тому
FRIENDS OF JESUS,SIKU YESU ATARUDI
Переглядів 150Місяць тому
MUUNGANO SDA CHOIE,Umoja wa nchi za mataifa
Переглядів 1,5 тис.Місяць тому
MUUNGANO SDA CHOIR,Yatupasa tulitambue tukio.
Переглядів 2,1 тис.Місяць тому
LIVING VOICES CHOIR,Mukama ye musumba wange
Переглядів 55Місяць тому
MAPIGANO ULYANKULU,Ni rahisi ngamia kupenya.
Переглядів 331Місяць тому
KAMINULA CHOIR,Twakushukuru
Переглядів 371Місяць тому
Nice song
Mbarikiwe sana kwa ujumbe makini wa vitabu vyenye ukweli
Nautafuta wimbo wa Muungano " Mwili wangu Mimi ni kama ua.." upload it kama unao Ndugu na uzidi kubarikiwa❤️🙏
The song make me to remember my late beloved sister. She used to sing this song when she was in strong emotion. From Mwanza TZ.
Ubunifu kweli
Hakika uimbaji wa choir inchini Tanzania ni wa kipawa
Kuna nyimbo za harusi waliimba enzi zile, unaweza kuwa nazo
Nitapambana kuzitafuta mkuu niziweke hapa
@danielsimeon1980 niko na kaseti kadhaa shida ni kukutana nikuzikabidhi
@@thegreatstudios Ohh asante sana,upo wapi mkuu siyo shida naweza kuzifuata
@@danielsimeon1980 nakuru ila kanda ziko kisii
nyimbo zenye upako
Amina,endelea kubarikiwa na nyimbo hizi mtu wa Mungu
Aki huu ndio uimbaji
Amen,barikiwa sana na hizi nyimbo.
Kuna nyimbo za harusi japo ziko kwa kaseti
Long time ago
Amina
Be blessed Soo much 🙏
Asante Sana.
Amen
Sweat melodies
Amen
nyimbo nzuri sana Asante Kwa nyimbo
Amen,barikiwa sana
Hallelujah
Habari, aky weka hizi nyimbo Kwa you tube: Dalili za kuja kwake bwana Yesu, Kweli naikumbuka a siku ile, Ahadi ya ndoa, Ndugu yangu sikiliza, mwanakondoo,
Hebu jaribu vidmate uandike hizo nyimbo unaeza pata
nyimbo zenye upako nabarikiwa sana
Amen,wajulishe na wengine wabarikiwe pia na usisahau kusubscribe kwa chanel yetu
Zilizopendwa Amina
Nafurahia wimbo huu sana, nakumbuka mwaka wa 1991-3 kule Nyamache Kisii highlands
Wimbo huu wanikumbusha mbali sana muungano christian choir wakiwa magena, Kisii highlands. Mungu wetu awape nguvu nyote.
Amen,share na wengine pia wabarikiwe.
Naombeni wimbo unaitwa watumishi wa mungu kama Paulo naitwa Paulo Abraham Noongipa
This song makes me to shed my tears!hakika Mungu yuko na atakuwako milele!!
Ohhh,be blessed,you can share to others these blessings.
Aminaaaaaaa nyimbo uongofu mkubwa barikiweni Muungano
more and more like this😍😍😍😍😍Amen and Amen
Amen and Amen
Nazihitaji nyimbo za SDA za zamani kama hii. Kwa majina naitwa Ibrahim Salum Mganga
Nyimbo nzuri sana. Ina utulivu wa hali ya juu sana.
nyimbo nzuri sana
Kwa kweli, hizi ndio nyimbo zangu aisee. Zina utulivu mno.
Sauti tamu jamani mbarikiwe
Amen
Kindly share vol 24 also, very strong message to the current world
Looking for it
Am really blessed by this song God bless this choir
Amen, Share to others these blessings.
Nitafutie "dalili za kuja kwake Yesu zatimia", ndugu yangu sikiliza", Yesu ndiye bwana harusi kanisani bibi harusi", "kweli naikumbuka a siku ile...nikasikia Sauti ikisema kwaheri watu wafao"
Nasubiri hii pia
Spiritual vibes, my heart is calmed down
Amen
A beautiful collection. My heart feels at rest
The joy in heaven after I'm through with this life
AMEN
Love the Muungano Tz choir. I'm always blessed.
Amen
Nyimbo zenye upako.
Amen
beautiful heavenly voices
This is the best i can hear from a singing choir in the world.May God be praised and glorified for you
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Ahsnteni sana kwa zawadi ya mwaka mpya. Nyimbo zenu nazipenda sana
asantw sana,endelea kubarikiwa,washirilkishe na wengine mmbaraka huu.
Mbona nmekuwa nmewatafuta miaka yote siwapati. Ahsnteni sana kwa nyimbo zenu tamu. Zinanibariki tu sana🙏
Sasa waweza barikiwa na nyimbo hizi tamu
Wonderful, wonderful song!
Amen
Asante kwa kutuwekea nyimbo za zama
Endelea kubarikiwa,mjurishe na mwingine kwa mibaraka hii
nyimbo nzuri mubarikiwe
Kwa MIAKA mingi Sasa nimbo zenu zimekuwa zinanipa ujumbe mkubwa sana. Zimekuwa zinanifanya kuwa karibu na Mungu zaidi. Nawashukuruni kabisaa
Endelea kubarikiwa,mjurishe na mwingine kwa mibaraka hii
Mibaraka hakika...Tubarikiwe sote
Nabarikiwa sana nanyi watumishi
Naomba link ya group lenu la whatsap